MVUA YA MISUMARI ! MPINA AWAKA BAADA YA KUSIMAMISHWA NA BUNGE "NIMEONEWA SANA"

  Рет қаралды 3,915

TBConline

TBConline

Ай бұрын

Nachongewa
Wanafanya kampeni nitoke CCM niwaache wao,
Mmenikuta CCM wengine mimi ndio nimewapokea, Mtakuja kuwa na kibarua kigumu sana
Ni majungu tu rekodi yangu inajulikana
Nimetumwa na watanzania
Nimetafakari sana naenda mahakamani

Пікірлер: 18
@JosephMathias-fi1zz
@JosephMathias-fi1zz Ай бұрын
Mh. upo vzr, tunapenda mbunge mwenye msimamo.
@KulwaZephania-lm5fk
@KulwaZephania-lm5fk Ай бұрын
MH Safi Sana mbunge wetu Ila viongozi waliokufa walidai hawawaogopi wakubwa bas naww usiwaogope Mungu mbaliki mpina Mungu ibaliki tanzania
@nicholaslikombe4900
@nicholaslikombe4900 Ай бұрын
Njoo chadema bhana. .....
@evancemwanasenga8200
@evancemwanasenga8200 Ай бұрын
Mm nadhan mama angetumia vifaa kama hivi kwa kusikiliza hoja zao na kufanya upembuzi wa maamuzi bas angejitengenezea fun base kubwa na yenye kumfanya apite 2025 bila ukakasi wa aina yoyote. Ni mtazamo tu.
@douglasmwella2494
@douglasmwella2494 Ай бұрын
My country!
@kilimanjarostarlounge
@kilimanjarostarlounge Ай бұрын
mungu atusaidie tupate viongozi bora mwakani mfano wa mpina na kina mwambukusi na makonda
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Ай бұрын
Watanzania wengi vijana tunaona mambo yanayoendelea Bungeni kuanzia kutupandishia Kodi na Tozo kubwa mpaka kupelekea Migomo ya Wafanyabiashara nchi nzima
@petrondunguru6069
@petrondunguru6069 Ай бұрын
Tunakuunga mkono Mpina. CCM isubiri uchaguzi ujao itaona nini tutaifanyia.
@MaduhuSelebeya
@MaduhuSelebeya Ай бұрын
Ningekuwa na uwezo ningemuomba mungu aichome Dunia ili waumbwe wengine
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Ай бұрын
Serikali imekataa kutoa fursa za Ajira sasa Vijana wengi wapambanaji tumeamua kujikita katika Ujasariamali lakini Serikali mnatupiga Kodi kubwa. Lengo la CCM ni kutengeneza Vijana Maskini na sio Mabilionea
@user-kx5dt5ih2i
@user-kx5dt5ih2i Ай бұрын
Tupo tayari watanzania
@ChelehaniKamoga
@ChelehaniKamoga Ай бұрын
Pili uliambiwa hujitambui
@alphoncekahayi8719
@alphoncekahayi8719 Ай бұрын
Nchi hii hakuna mzalendo , sio wabunge , waziri wala raisi wa nchi , wote ni wasaka tonge tu
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Ай бұрын
Tukutane Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa 2025 sisi Vijana tumeamua hatupigii Kura CCM ili ianguke kama ANC Chama cha Afrika Kusini
@MustafaKingaru
@MustafaKingaru Ай бұрын
MWENYEZI MUNGU TUJALIE TUPATE TANGANYIKA YETU KWA AMANI NA BARAKA ZAKO
@user-bj9ej7tt1k
@user-bj9ej7tt1k Ай бұрын
Mpina.tunakuombea.kwa.mungu.watanzania.mambo.yako.yaede.vinzuri.mtetezi.wawanyonge.ndiyo.tuko.wegi.wao.wezi.ni.wachache.tu.kwenye.kura.wataona.tu .
@MaduhuSelebeya
@MaduhuSelebeya Ай бұрын
Mpina amekuwa mtetez wa wanyonge ningetaman kuona wabunge wegine wanamuu ga mkono
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 18 МЛН
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 31 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 12 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 56 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 18 МЛН