Рет қаралды 19
Anaitwa George McLaurin, Mwafrika wa Kwanza Kusoma Chuo Kikuu cha Oklahoma US Mwaka 1948, Alisoma kwa Shida, Usajili wa Kusoma Chuo tuu Aliupata kwa Kwenda Mahakamani, Alitengwa Kukaa na Wazungu, Alipewa Kiti Chake na Kukaa Pembeni, Alitengewa Chumba Bwenini.