MWAKINYO AOMBA KUMSAIDIA TWAHA KIDUKU NA DULLAH MBABE

  Рет қаралды 32,305

Bona Tv

Bona Tv

2 жыл бұрын

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
MWAKINYO AOMBA KUMSAIDIA TWAHA KIDUKU NA DULLAH MBABE
#Bonatv #Exclusive #mwakinyo

Пікірлер: 52
@ganjosuleman9263
@ganjosuleman9263 2 жыл бұрын
Mungu akupenguvu wanakuchukiya kwakuwa unafanya vizuri mungu akulinde kwakila lashari
@mussachipangula9562
@mussachipangula9562 2 жыл бұрын
Mwakinyo - Tanzania One Hongera kwa ushindi unaiwakilisha vyema Tanzania - Inshaallah Mwenyezi akupe kila linalowezekana katika kazi yako awe nawe daima Aamin
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 жыл бұрын
exactly
@juliusmwiburi8117
@juliusmwiburi8117 2 жыл бұрын
Mwakinyo hana uwezo wa kumsaidia twaha labda dullah wake hyo
@venanceselegebu8566
@venanceselegebu8566 2 жыл бұрын
Napenda style yako ya kumtanguliza Mungu mbele, pia jaribu kuwa unakimbia hata 5 km kabla ya mazoezi ni njia nzuri sana ya kuwa na pumzi kubwa
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
Usijali hiyo ni kawaida Kwa wanadamu wapo watakaokuchukia na wapo watakaokupenda pia huwezi pendwa na kila mtu wewe chapa kazi usiangalie makunyazi!
@lucassikomele5651
@lucassikomele5651 2 жыл бұрын
Mi binafsi mwakinyo kinachonivutia ni kumtanguliza mungu mbele Kila wakati na si wanadamu na kukubali kuwa ushindi uupatao ni kwa maombi ya washabiki wanaukufahamu na wasiokufahamu unatutia moyo nasi tunazidi kukuombea
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 жыл бұрын
Allah azidi kukusimamia na akuepushe na chuki na husda
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 жыл бұрын
Kinyooooooooo boy
@scholasticawillson8414
@scholasticawillson8414 2 жыл бұрын
Masikini akipata?. Yani siku ukipata bondia utaita Maji mma
@revocatusmashimba1347
@revocatusmashimba1347 2 жыл бұрын
Leo umeogea kwa nidhamu kweli mpaka nami umenishawsh nikukubal hongera Sana kw ushind
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 жыл бұрын
yap
@salomemahenge6758
@salomemahenge6758 2 жыл бұрын
Nakukubari sana wewe ndio bondia urio baki mbabe hamna kitu
@geitanjonas6429
@geitanjonas6429 2 жыл бұрын
Maneno meng gusa mziki wa kiduku tuone mbn unachonga 2
@OmarMohamed-bp9ix
@OmarMohamed-bp9ix 2 жыл бұрын
Twaha apigane na mabondia wa nje,,ndio tutajua kama kweli yupo fiti ili na yeye awe level za juu
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 жыл бұрын
Exactly
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 2 жыл бұрын
Kbs
@ramadhanhaji55
@ramadhanhaji55 2 жыл бұрын
Nje twaha kacheza game nyingi kuliko mwakinyo shida management ya kiduku
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 2 жыл бұрын
@@ramadhanhaji55 Nje yenye we nchi za Africa
@ramadhanhaji55
@ramadhanhaji55 2 жыл бұрын
@@seifabdulwahid4579 kwani mwakinyo kacheza ngapi nje ya nchi
@king-rr8oc
@king-rr8oc 2 жыл бұрын
Wewe sio bondia we we ni porfeshenal boxingg
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 жыл бұрын
Heeh
@ganjosuleman9263
@ganjosuleman9263 2 жыл бұрын
Mungu akuongeze nguvu
@lloveyoutanzania5315
@lloveyoutanzania5315 2 жыл бұрын
Mwakinyo unaniangusha sana hivi lini utaua bondia ulingoni? Mimi nataka siku moja upige bondia akufe kumanina zao hawa wanachonga sana
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 жыл бұрын
dah
@masulei579
@masulei579 2 жыл бұрын
Asifanye Kama diamond amiliki mabondia ote atapoteza ladha kiduku anabaki moro
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 жыл бұрын
Mwakinyo piga za nje tu
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 жыл бұрын
KWANINI ALI KIBA NA DIAMOND HAWAPIGANI JAMANI....?
@king-rr8oc
@king-rr8oc 2 жыл бұрын
Ndo utajua hujui akili bongo maana yke tumia akili acha kupga punyeto madem ni Weng sanaa mpka 2000 unatomba
@shadrackzablon5983
@shadrackzablon5983 2 жыл бұрын
Hadi ukakatwe govi
@issahamis581
@issahamis581 2 жыл бұрын
watu wameona dawa
@nyimbizikamtima967
@nyimbizikamtima967 2 жыл бұрын
Kama unajua ngumi hazina mwenyewe na uliyepambana naye alikuwa level za juu kwann unamtolea nje twaa kiduku kwann usikubali mzichape
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 2 жыл бұрын
Hakuna ubingwa wa mtelemko na yeye akweee pipa
@nyimbizikamtima967
@nyimbizikamtima967 2 жыл бұрын
@@eaglecrown1101 hujui unachokiongea ww
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 2 жыл бұрын
@@nyimbizikamtima967 weww unaejua unachokiongea ungekuwa wewe ungekubali.
@nyimbizikamtima967
@nyimbizikamtima967 2 жыл бұрын
@@eaglecrown1101 brow nishakwambia hujui chochote kaa kwa kutulia sipo kitimu mm acha povu nimetoa maoni yangu ka mtanzania na kamwe hatuwezi kuwa sawa kifikra so tulia acha wenge shemabikia unachokipenda
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 2 жыл бұрын
@@nyimbizikamtima967 jibu swali
@ismailhassan5662
@ismailhassan5662 2 жыл бұрын
Hunalolote 🐒ww
@dvoice8856
@dvoice8856 2 жыл бұрын
Huyo kama kwao ndo bingwa dah? Hiyo nch wamefeli bondia gani boya hivyo kumbe wewe ndo uliandaa pambano ndo maana jamaa alizingua analusha ngumi Kama anapigana na baba ake mkwe
@ombenimshana9162
@ombenimshana9162 2 жыл бұрын
Acha ushamba wewe, maneno mengi sana kama mwenzako Acha dharau
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 жыл бұрын
wapinzani hawakosekani
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 4,1 МЛН
Just try to use a cool gadget 😍
00:33
123 GO! SHORTS
Рет қаралды 85 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
CHEKESHA : MCHAWI WA UKOO | MAMA EMMA, MPOKI NA MASANJA
9:28
MBOWE AENDELEA KUSIKITIKA MSIGWA KUBEBWA NA CCM , SIKIA ALICHOKISEMA
9:59
ABUU JADAWI ONLINE TV
Рет қаралды 981
Rais RUTO amefanya kosa la kimkakati kufanya Round Table kipindi hiki!
30:23
CHEKESHA : BOSS MWENYE MASHINE YAKE YA MATOFALI
7:31
CHEKESHA
Рет қаралды 11 М.
Ronaldo Respect Moments 😍
0:20
Foul
Рет қаралды 8 МЛН
Фанат напал на Роналду
0:13
Новостной Гусь
Рет қаралды 414 М.
Cristiano Ronaldo, Lionel Messi, Neymar jr, Celine dept#football #youtube #youtubeshorts
0:33
Leglock in MMA 🤪 #shorts
0:17
Riccardo Ammendolia
Рет қаралды 1,4 МЛН