No video

Mwamba wenye imara Tenzi no 58 (Rock of Ages, Hymn no 58). Mbarikiwa mwakipesile full video

  Рет қаралды 112,562

Helbeth Mlelwa 🎖️

Helbeth Mlelwa 🎖️

3 жыл бұрын

Baada ya channel ya Mbarikiwa mwakipesile ya youtube kufungwa, sasa unaweza kuzipata video zake za zamani kwa kupitia channel zifuatazo.
1. Alex Tewele ... / @pastorstz
2. Zawadi blandine ... / @zawadiblandine
3. Helbeth Mlelwa ... / @helbethmlelwa
Mahubiri ya sasa ya Mbarikiwa Mwakipesile yanarushwa kupitia channel ya Kikosi kazi cha injili ... / @mbarikiwa_mwakipesile
Pia ibada zinarushwa live (mubashara) katika mtandao wa facebook. Ingia facebook na tafuta mbarikiwa mwakipesile au bonyeza maandishi haya / salome.mwampeta.5
KWA KILA CHANNEL ILIYOANDIKWA HAPO JUU. NI VYEMA KAMA UTASUBSCRIBE ILI UWEZE KUPATA TAARIFA ZAIDI.
NEEMA YA KRISTO YESU, IWE PAMOJA NAWE. AMEN

Пікірлер: 23
@user-ci3dk7qi8c
@user-ci3dk7qi8c 9 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu kuna siku moja utatoka kifungoni wamekufunga Bila sababu mungu yupo tunakulilia
@JairoYusuph
@JairoYusuph 8 ай бұрын
Mungu akutangulie kaka tunakuelewa sana
@yohananyavanga2497
@yohananyavanga2497 4 ай бұрын
Mtumishi Mimi napenda sana nyimbo zako
@noelmwembe6419
@noelmwembe6419 Жыл бұрын
Hakika YESU ni mwamba usio chimbuliwa kifaa chochote ukiwa ndani ya YESU unakuwa mwanadamu uliye salama sana.
@Milele
@Milele 3 жыл бұрын
Rock of ages, cleft for me Let me hide myself in Thee Rock of ages, cleft for me Let me hide myself in Thee Let the water and the blood From Thy riven side which flowed Be of sin the double cure Cleanse me from it's guilt and pow'r Nothing in my hand I bring Simply to Thy cross I cling Nothing in my hand I bring Simply to Thy cross I cling Naked, come to Thee for dress Helpless, look to Thee for grace Vile, I to the fountain fly Wash me, savior, or I die Rock of ages, cleft for me Let me hide myself in Thee Rock of ages, cleft for me Let me hide myself in Thee
@ebenezerankarpongnuamah
@ebenezerankarpongnuamah 3 жыл бұрын
I like listening to your songs Mbarikiwa may Yahweh bless you
@maryswai3403
@maryswai3403 7 ай бұрын
Baba wamekufunga bila kids lakini MUNGU mwenye kuwatetea wa tumishi wake atakupigamia farao alikuja kujuita baadae baada ya mapigo ya Bwana
@itrosisanga2146
@itrosisanga2146 7 ай бұрын
Bwana yupo nawe mtumishi wa Mungu.
@shidasanga5134
@shidasanga5134 8 ай бұрын
Amen mungu yuko pomaja na nanyi
@pst.josephmungatindi5290
@pst.josephmungatindi5290 5 ай бұрын
Kikosi Kazi Mungu na awabariki
@tabithamomanyi8136
@tabithamomanyi8136 3 жыл бұрын
God bless.may God continue using you
@sifaelpyuza3422
@sifaelpyuza3422 Жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu
@devothamwandala4204
@devothamwandala4204 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@emanuelmanasekimaro
@emanuelmanasekimaro 3 жыл бұрын
Naomba kama mtaweza ku upload il video ya wimbo wa Jina lake Yesu tamu tukilisikia.. na ule wimbo wa Nakuhitaji wewe wa ibada. Mungu awabariki sana
@user-jt4lo1og8w
@user-jt4lo1og8w 8 ай бұрын
Amen,❤❤❤❤congratu..
@abcdg1995
@abcdg1995 3 жыл бұрын
Iam a new subscribe here
@samuelluoga988
@samuelluoga988 2 жыл бұрын
NAOMBA wimbo wa tenzi namba 117 tufani inapovuma
@meryyohana6743
@meryyohana6743 Жыл бұрын
Anmeni
@brianshomi722
@brianshomi722 10 ай бұрын
AMEEEN
@renatuseustace1497
@renatuseustace1497 3 жыл бұрын
Yes
@davidmbwambo774
@davidmbwambo774 3 жыл бұрын
I like this song!
@vailethmsigwa9344
@vailethmsigwa9344 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa kazi njema ya mungu
@andrewjiles3810
@andrewjiles3810 2 жыл бұрын
Uu fundi wa tenzi
Mwamba wenye Imara - Godwin Ombeni
5:47
GODWIN OMBENI-ONLINE TV
Рет қаралды 5 МЛН
Kazi Yangu Ikiisha - Mbarikiwa Mwakipesile ( Tenzi no 102 ) video song
5:10
DANNY KISESA OFFICIEL 🎶
Рет қаралды 121 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 8 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 28 МЛН
Mbarikiwa Mwakipesile-EWE  ROHO WA MBINGUNI. Tenzi no 12   full video song
11:00
Helbeth Mlelwa 🎖️
Рет қаралды 55 М.
Mbarikiwa Njooni wenye dhambi  Tenzi no 34  [Album-Kazi yangu ikiisha]
5:31
Helbeth Mlelwa 🎖️
Рет қаралды 69 М.
Mbarikiwa TENZI NO 20 (Ninaye rafiki) live video kutoka studio
7:52
Helbeth Mlelwa 🎖️
Рет қаралды 209 М.
Full video. Tenzi NO. 80 kuoshwa kwa damu. Mbarikiwa Mwakipesile wimbo mpya
9:04
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 48 М.
Ni Salama Rohoni Mwangu - Tenzi za rohoni lyrics
5:24
Lyrics Captain
Рет қаралды 1,7 МЛН
Mbarikiwa video kutoka studio  Tenzi no 12  Roho wa mbinguni
9:55
Helbeth Mlelwa 🎖️
Рет қаралды 74 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН