Naomba like na mm sijawahi pewa like, kitu cha idd mubarak 2024 hii kwa babajoan
@kingsalim395821 күн бұрын
Cinema hii nimeipenda sana,,, zidi kugrow na kutupa content nzuri zaidi kila siku. I love your great work from here at university of eldoret, Kenya ❤️ Mungu awabariki siku zote
@Pascal-mu5hf21 күн бұрын
Dah baba Joan kweli na kubali Sana kazi zako nawa fwata 5/5 kutoka drc Congo 🇨🇩🇨🇩, alafu yule binti mwanafunzi kwakweli ni mrembo Sana angekuwa karibu na mimi ninge mtongoza❤❤ nawa takiya kila la heri kwenu.
@user-lz8kb9ds8k21 күн бұрын
Baba joani naombeni likes zangu from 🇰🇪 idd mubaraka nyote baba joani family
@otrackdevid21 күн бұрын
Auna baya baba Joan aki mwlm mgn🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@albertnyabwari725321 күн бұрын
Ni moto sana hii
@VeronicaNanjala-lv6ey21 күн бұрын
Wakwanza Leo naombeni like zangu much love from Kenya 🥰
@Edith-rq3mm21 күн бұрын
Nashangaa wengne cjui mnaonaga nin Kwan hamuon kama Mali za marehem haijaishaa mbon mnasifia Kaz ingne wakt ingne bado
@gimpesamsontv70621 күн бұрын
Kazi nzuri sana story safi
@user-fn6tb3si7m21 күн бұрын
Mke wa baba joan jamani❤❤🎉🎉
@user-qi1ni8cq6q21 күн бұрын
Baba Joani unajuwa papa
@IshmaelOkongo21 күн бұрын
wa kwanza Leo aki naomba like hata kumi 🙏🙌🙌
@user-on7in9tz6e21 күн бұрын
Kazi njema
@emmanueljackson-jk5fp21 күн бұрын
Baba joan hakika mimi ni sijawai kukosa tazama kazi yako na kila kazi huwa ni nzuri hivyo basi kwa binafsi mimi naomba utoe mwendelezo wa mali za marehemu kwani nijifunza kitu kwa series hiyo naipenda kweli kutoka MUSOMA -MARA .
@HilaryKalunde21 күн бұрын
Movie nzuri kiukweli inavutia hongera kwake baba joani
@charlesshitobelo687014 күн бұрын
Asante sana Comred Emmanuel Nchimbi, umeonyesha ukomavu wa kisiasa.
@user-jf7rs5ms1qКүн бұрын
Uyu baba ana move MZr ila amalizii hata mama mkwe pia mwalimu mgeni
@dondeprincer952721 күн бұрын
maliza mobie baba hii mambo ya kuruka itakufanya ukose ubunifu kwa kazi zako
@AmosSinkala-lx4sl21 күн бұрын
Baba Joan jitahid kumalizia movie zako kwanza na kuwa mbunifu huoni jinsi view walivyopungua kwa kasi hujiulizi shida nini?