MWANAFUNZI WA AJABU Full episode 12

  Рет қаралды 92,832

BabaJoan

BabaJoan

23 күн бұрын

Пікірлер: 240
@BabaJoani
@BabaJoani 21 күн бұрын
JAMANI HII NDIO EPISODE YA MWISHO KWA MWANAFUNZI WA AJABU,LAKINI NAWALETEA NYENGINE NZURI NAOMBA MUIPOKEE WATU WANGU,BAKI KWENYE CHANNEL YAKO PENDWA HII YA BABAJOAN. ASANTENI🙏🙏🙏🙏
@AnnaMmassy
@AnnaMmassy 21 күн бұрын
Saw
@mcmangethia5360
@mcmangethia5360 21 күн бұрын
Mapema sana
@carolkiptoo8703
@carolkiptoo8703 21 күн бұрын
Keep it up good work
@JackieMua-wh1fk
@JackieMua-wh1fk 21 күн бұрын
Ok we will
@Mr.kapuyenge
@Mr.kapuyenge 21 күн бұрын
Awaaaa tunaisubilia by MAWENGE TZ
@romanabarua9545
@romanabarua9545 21 күн бұрын
Hatimaye tamati..... nimefuatilia mwanzo mwisho na mm naomben like hata 5 tuuu
@kennytweve5681
@kennytweve5681 20 күн бұрын
Za nn
@janethmshahara4048
@janethmshahara4048 21 күн бұрын
Mi wakwanza nmetishaaaa, like kwa baba Joan sio kwangu
@SaidahMohammed-ju9qd
@SaidahMohammed-ju9qd 21 күн бұрын
Much love to you guys from Kenya ,, Kama we mkenya piga like❤❤❤
@YvonneWangeci-oe8uf
@YvonneWangeci-oe8uf 19 күн бұрын
𝚙𝚒𝚊 𝚖𝚖 𝚖𝚔𝚎𝚗𝚢𝚊
@user-xm9if4lf7n
@user-xm9if4lf7n 21 күн бұрын
woow nimefika kwa wakati baba johan like yako sasa
@user-ec6ow2cx7c
@user-ec6ow2cx7c 21 күн бұрын
Kazi nzuri sanaaaa wapendwa ila mmetuacha anging cz mlopoteza sauti pande zingine alafu atujui vile kulienda baba Joan pia mwisho haukutoa sauti much love from Kenya watching from lebanon ❤❤
@user-kq7xg6rh7r
@user-kq7xg6rh7r 21 күн бұрын
Mlianza vizuri lakn dah hapo mlipomalizia mme2acha njia panda kwa kweli
@user-vo7yb6wp1m
@user-vo7yb6wp1m 21 күн бұрын
Sio kila MTU anapewa msaada baba Joan anyways congratulation Kwa kazi nzuri🎉🎉❤
@JosephSululu-jk3jl
@JosephSululu-jk3jl 15 күн бұрын
nimeipenda sana hii movie akujarie MUNGU uwe mzm na uzidi kutuletea mazurii ♥️♥️♥️♥️♥️
@thadeusminja1071
@thadeusminja1071 20 күн бұрын
Kongole kwako baba Joan, usichelewe kuachia nyingine tusiwe wapweke, ila movie mpya usimuache mama kanchuda🤣🤣
@user-yi6ub2uq2i
@user-yi6ub2uq2i 12 күн бұрын
Kazi nzuri xna baba Joan tunakupenda xna pamoja na mama watoto
@user-wj7vo5kv4n
@user-wj7vo5kv4n 21 күн бұрын
Wa mwisho naomba like
@DianaKerubo-jy7pz
@DianaKerubo-jy7pz 21 күн бұрын
Mm WA nane huku nipate likes za mamake Joan
@WinifredSyombua
@WinifredSyombua 21 күн бұрын
Imekuwa mzuri hila mmemaliza vibaya mmetuchaganya
@josehkan
@josehkan 19 күн бұрын
Hatimaye tumefika tamati,filamu imekuwa ya kupendeza tunaigoja inayofuatilia❤
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 21 күн бұрын
Inshallah ❤️ tuko pamoja baba joan
@Faith-pl3ie
@Faith-pl3ie 21 күн бұрын
Kwani ilikuwa story pongezi kwa kazi Zuri unafanya ❤❤❤
@user-nz7kl1to2y
@user-nz7kl1to2y 21 күн бұрын
Hii movie haijaisha vzri ..haikueleweka kabisaa...
@stephenmukwata1737
@stephenmukwata1737 19 күн бұрын
Hii bro umemaliza vizuri, na imekuwa tamu kama maembe ya huku kwetu Kenya. Love from Kenya
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o 21 күн бұрын
Baba Joan movie ni nzuri ila mmemaliza vibaya
@user-zb2wx8ws6g
@user-zb2wx8ws6g 20 күн бұрын
Wow ❤❤❤
@LovelyDragonflies-qu2zo
@LovelyDragonflies-qu2zo 17 күн бұрын
Uko vizuri sana baba joani ila boresha mwishoni❤️❤️❤️
@EmmanuelMartine-sd8vq
@EmmanuelMartine-sd8vq 21 күн бұрын
Kaz mnajua tatizo lenu hamjui kumalizia movie yan mwisho haueleweki
@Tyughcdrbdt
@Tyughcdrbdt 21 күн бұрын
Kabisaa yaan,mwisho hauelewekii
@kondebouy1308
@kondebouy1308 21 күн бұрын
Sema kungoja sana karibu bundle zangu ziishe,,, 🤔
@justintusali4038
@justintusali4038 17 күн бұрын
Hatukuona viziri kwenye baba jony ameenda na hao wa dada waajabu ile n'a kitabu hatujuwi bilikuaje hamumaloze vizuri kabisa
@magnibrondi3152
@magnibrondi3152 21 күн бұрын
Kazi nzuri from Oman brother
@user-dz4pi6np8i
@user-dz4pi6np8i 21 күн бұрын
Wow 😲 twakupenda pia❤❤❤🎉🎉🎉
@jeanwilletmazomena1840
@jeanwilletmazomena1840 21 күн бұрын
Mimi hapa kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@tasianagwaku
@tasianagwaku 20 күн бұрын
mungu akutie nguvu baba joan nimependa san movie yak
@valinemkanamkuverammbone-ci9ou
@valinemkanamkuverammbone-ci9ou 21 күн бұрын
Kazi nzuri watching from Kenya 🇰🇪
@rachelndaki5642
@rachelndaki5642 18 күн бұрын
Hongereni sana mov nzuri 👏👏
@MeshackMusee-ff2ur
@MeshackMusee-ff2ur 21 күн бұрын
Wa Kwanza jameni fro kenya
@user-xd8qy1cx2b
@user-xd8qy1cx2b 21 күн бұрын
Mwisho mzuri kazi nzuri sana baba joan😂😂
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 21 күн бұрын
Asante sana bba Joan kazi nzuri maichallah ❤❤❤❤
@GiftMkinga
@GiftMkinga 20 күн бұрын
Kazi nzuri sana baba joani
@ShamsaAbasi
@ShamsaAbasi 4 күн бұрын
Tunakupenda pia kk muvi nzuri
@jeffommy1032
@jeffommy1032 20 күн бұрын
Hapa wa bongo ndio tunapokoseaga watu mpo kwenye hatari lakini upo na viatu mkononi huoni km vinakutia uzito dada angu 😂😂😂😂
@user-yg3hi4zz1t
@user-yg3hi4zz1t 21 күн бұрын
Wakwanza from kenya❤❤
@madymag6926
@madymag6926 20 күн бұрын
Kazi nzuri ssna baba joan hila hapo mwisho himenichanganya sana nawakubali sana nyote ❤❤❤❤❤😂😂😂😂
@fammamourchy2164
@fammamourchy2164 20 күн бұрын
Asantéeee Kazi nzuri Courage Nawa ❤
@user-wv3du7ld2p
@user-wv3du7ld2p 14 күн бұрын
Wauuuuu Santi sanaa Baba Joan love you content so much
@user-fu1db6bt3v
@user-fu1db6bt3v 20 күн бұрын
🎉🎉❤❤❤ kazi nzuri nawa penda sana
@user-bm1oe9lh1m
@user-bm1oe9lh1m 20 күн бұрын
Kazi nzuri san❤❤🎉
@rasoal1471
@rasoal1471 20 күн бұрын
Kazi Nzuri Sana Baba Joan na Team yko
@OgandaSak-vv8ok
@OgandaSak-vv8ok 19 күн бұрын
Imekua nzuri asenteni ni nyie
@user-tw8jn9fw2b
@user-tw8jn9fw2b 20 күн бұрын
Hii ilikuwa movie poa baba Joan keep up good work ♥️♥️
@user-cw6py3mw5l
@user-cw6py3mw5l 19 күн бұрын
Asantii kwa Kazi njema baba joan❤
@RizikiZiki
@RizikiZiki 21 күн бұрын
Baba Joan ndo kauwisha wenziye umezidi ukaidi unaambiwa husikiyi onasasa umeuwisha wenziyo bora nawz ungekufa ukawafata wenziyo wamekufa bila hatiya yeyote😢
@EmmanuelMartine-sd8vq
@EmmanuelMartine-sd8vq 21 күн бұрын
Kaz nzur sana endeleen kupamba
@EnjoyJohn-fo3ox
@EnjoyJohn-fo3ox 19 күн бұрын
Kaz nzur xna et 2po Na wew nega kwa bega Baba joan
@mahirmahir2407
@mahirmahir2407 19 күн бұрын
❤❤❤❤ nimeipenda kwakweli mwanafunzi wa ajabu
@user-fh5ko7he2z
@user-fh5ko7he2z 21 күн бұрын
Kazi nzuri baba Joan hongera sana🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@husnahusna1544
@husnahusna1544 21 күн бұрын
Move nzuri sana nimefatilia mwanzo mwisho nimeipenda Usimwamini kila mtu kuwa msaada nimejifunza kitu shukran Kwa muvi nzuri
@GHgh-hq3zj
@GHgh-hq3zj 21 күн бұрын
Kazi nzuri kbs
@asanatiniyonkuru7593
@asanatiniyonkuru7593 17 күн бұрын
❤❤❤ woooo🎉🎉🎉 nime yipenda kinyama kazi nzuli
@user-rk3hl7lo4g
@user-rk3hl7lo4g 20 күн бұрын
Kaz nzuri
@EstherBarasa-es3tn
@EstherBarasa-es3tn 20 күн бұрын
Wow baba Joana God bless you
@user-nl1vy8sh1j
@user-nl1vy8sh1j 19 күн бұрын
𝐊𝐚𝐥𝐢 𝐒𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐢𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 sana❤❤❤
@TheDc-dishon
@TheDc-dishon 21 күн бұрын
Naipenda Sana ❤️ from Nairobi Kenya
@AmirNgunde
@AmirNgunde 21 күн бұрын
Munajua ila jitaidin mwisho mumaliziage vizuri kama hii aieleweki mwisho
@ViraBabwiriza
@ViraBabwiriza 20 күн бұрын
Congratulations 👏 nawa kubali washikaji wangu wili kundi
@JulieMlay
@JulieMlay 3 күн бұрын
Mwisho sijauelewa jaman
@user-rz9uf2xx1x
@user-rz9uf2xx1x 21 күн бұрын
Jamani hio sauti n ya baba John kweli 😂😂😂😂😂😂😂
@rosedeborah6193
@rosedeborah6193 21 күн бұрын
Asante sanaaa Baba Joan kwa iyo movie .Lakini fundisho iko mingi ndani yake
@DannyMutai
@DannyMutai 21 күн бұрын
Watching live from kenya 🇰🇪
@user-rl4ii9xj5n
@user-rl4ii9xj5n 20 күн бұрын
Much love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇿🇦
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 20 күн бұрын
Always u a the best baba Joan ❤❤❤❤
@SeleIddi-gj9fu
@SeleIddi-gj9fu 21 күн бұрын
Super Baba Joan
@user-km7rs7pe5d
@user-km7rs7pe5d 21 күн бұрын
Ninzuri saana ila weka vipande virefu virefu
@user-uo9bq2cy4p
@user-uo9bq2cy4p 20 күн бұрын
Bona mkamaliza hii ata bila kujua waliofariki kama walifufuka,,walioibiwa na majini like that..but twakupenda xana
@user-kt3er8th9l
@user-kt3er8th9l 20 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 baba Joan
@najmamohamedi
@najmamohamedi 21 күн бұрын
Nice
@BrightnessPatrick
@BrightnessPatrick 20 күн бұрын
Asantee sana Kwa mov nzur sana nimejifunza vingi san kupitia hii mov love so much baba Joan♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@HeakiMusoma-ri8bj
@HeakiMusoma-ri8bj 4 күн бұрын
Jaman sijaona mwenye kitabu anavyo bambana na majin😢
@SalmaOmary-ck3du
@SalmaOmary-ck3du 20 күн бұрын
Haya kwaelini vipebzi tutaonana tena
@user-fr3hf5un9w
@user-fr3hf5un9w 21 күн бұрын
Nakupenda sana baba joan
@mustafahlokol7338
@mustafahlokol7338 21 күн бұрын
Nimeachwa na mwanafunzi wa ajabu 😭😭😭💔💔💔
@SalomonMugenyi
@SalomonMugenyi 21 күн бұрын
Mi kwanza toka Congo déc🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@user-nm2zu3bs6m
@user-nm2zu3bs6m 18 күн бұрын
Wow so nice ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@israelkirway5504
@israelkirway5504 21 күн бұрын
HONGERA SANA baba Joan but umetuacha tuna hang
@kibaniotv
@kibaniotv 21 күн бұрын
Kazi zuri kikubwa dua
@mourinelelei3223
@mourinelelei3223 21 күн бұрын
Dakika ya kumi jamani,pia mimi nipewe baba joan
@JasinthaAngelo
@JasinthaAngelo 17 күн бұрын
Asante baba Joan nakukubali
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 21 күн бұрын
Ahsante sana baba Joan ❤❤❤❤
@user-ge3tn7zs8r
@user-ge3tn7zs8r 21 күн бұрын
Ongereni baba Joan 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-mm1ll8gu2w
@user-mm1ll8gu2w 20 күн бұрын
Mung Wang daaaah polen
@AsheliMlengo-rj8ed
@AsheliMlengo-rj8ed 16 күн бұрын
Pamoja sana baba joani 🎉🎉
@rukcabby2572
@rukcabby2572 21 күн бұрын
Wauuu nice baba Joan ❤
@asyawaamidu2968
@asyawaamidu2968 21 күн бұрын
Mama kanchodar umevua wigi 😅😊
@peterpatrick528
@peterpatrick528 20 күн бұрын
Baba Joan umemaliza tofauti sana umejisahau kama movie zako tunaangalia wakumbwa pia siyo watoto tu nakuomba tu ujitahid kumodify kidogo ili zivutie zaidi movie hii imeisha kitotototo sana. But nakukubali sana big up tunasubiri nyingine
@BabaJoani
@BabaJoani 20 күн бұрын
Hapana sio tofauti ndugu,jitahidi kuelewa final hiyo
@user-on7in9tz6e
@user-on7in9tz6e 20 күн бұрын
Kazi njema
@marthaalex-zo3rd
@marthaalex-zo3rd 19 күн бұрын
muv inamafunz sanshukrn
@AminaKarimj
@AminaKarimj 17 күн бұрын
Saw lakn mbn atujajua ukweli jamn kuuz kitabu cheus
@Roze-so4he
@Roze-so4he 21 күн бұрын
Kazi tamu
@GravitTaboi
@GravitTaboi 20 күн бұрын
Alafu niulize tu Mali za Marehemu iliiahaje juu hatukumaliza
@fidesvenancemshanga5492
@fidesvenancemshanga5492 20 күн бұрын
Ooh!! Very Nice❤❤❤❤❤
@sharonbhoke-hk2my
@sharonbhoke-hk2my 21 күн бұрын
Good job baba joan❤❤❤❤❤❤
@SakinaSeif-tt6hf
@SakinaSeif-tt6hf 17 күн бұрын
Hongera sana
@rtrw708
@rtrw708 20 күн бұрын
Baba joa nakubal
@millicentrabera
@millicentrabera 21 күн бұрын
Karibu sn bro
BABA YANGU KIPOFU Full episode /1/
24:09
BabaJoan
Рет қаралды 27 М.
MTOTO NYOKA  ( FULL EPISODE 1 - 5 )
46:45
IYAGAMBA VFX
Рет қаралды 458 М.
🍟Best French Fries Homemade #cooking #shorts
00:42
BANKII
Рет қаралды 25 МЛН
СҰЛТАН СҮЛЕЙМАНДАР | bayGUYS
24:46
bayGUYS
Рет қаралды 756 М.
FOOTBALL WITH PLAY BUTTONS ▶️ #roadto100m
00:29
Celine Dept
Рет қаралды 74 МЛН
MWANAFUNZI WA AJABU Full episode 11
18:24
BabaJoan
Рет қаралды 137 М.
[九日 NineSols] 全Boss無傷 | All Bosses [No Hit]
39:59
鸚鵡 | Parrot
Рет қаралды 23 М.
MAMA YANGU KICHAA (SEASON 2 EP 1)
13:26
Steve Mweusi
Рет қаралды 150 М.
HOFU  /1/
16:52
BabaJoan
Рет қаралды 52 М.
UFC 302: Ислам Махачев - Слова после боя
2:34
BABY Comedy : Baby helps homeless people
1:00
BABY Comedy
Рет қаралды 10 МЛН
Miracle Doctor Saves Blind Girl ❤️
0:59
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 44 МЛН
Сделала парню приятно
0:18
KOTVITSKY
Рет қаралды 2,4 МЛН
Prank ambil hp cewe sampe di kejar
0:27
Ary Afrizal
Рет қаралды 6 МЛН
МАРШРУТ ПЕРЕСТРОЕН 🙄🤣
0:53
Елена_LaVidaLoca💃
Рет қаралды 1,6 МЛН