MWANASHERIA AFUNGUKA KISHERIA SAKATA LA LAWI KUSAJILIWA SIMBA

  Рет қаралды 31,330

Katibu Mwenezi CCM Meru

Katibu Mwenezi CCM Meru

Ай бұрын

#simbasc #lamecklawi #usajilisimba #coastalunion

Пікірлер: 60
@erickprotace9463
@erickprotace9463 21 күн бұрын
Mtuelimishe juu ya njia za kusitisha mkataba au makubaliano, kama zilifatwa tutajua mwenyekosa ni nani na mmiliki wa mchezaji ni nani make makubaliano tushajua yalikuwepo.
@joshuataramo7317
@joshuataramo7317
Nadhan Simba haina Sababu kung'ang,ania Mchezaji Lameck Lawi . Mpango huo wa Usajili umeshaingiliwa . Maana hapo ilipofikia hapana Muafaka utakaopatikana. Tafuteni mchezaji mwingine. Aidha mkakae tena na Coast Union upya Ila kwa maoni yangu hamtaweza kuafikiana
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237
Wakili msomi ' kisheria kawaida ' ni sawa. Likini kama Magoli alivyosema 'sheria ya FIFA ' baada ya Coast Union kuona kuwa Simba hawakuweza kulipa kwa muda uliyowekwa walitakiwa watoe notice ya siku kumi kulipa ' haikutolewa ' muda huo ukipita ndio sheri ya kufuta huo mkataba unafanya kazi.
@user-mn3bx7vv7z
@user-mn3bx7vv7z
Simba wanabuni sehemu ya kubishana kila wakati. Wakiona hili ni kama linapoa wanaanzisha lingine jipya.
@zamoyonimshindo5083
@zamoyonimshindo5083
kama kuna mkataba kwa maandishi inawezeka simba wakafeli lakini kama ni kwa maneno costo watafeli
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873
Hela alizochukua mchezaji nazo zimeexpire
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635
Mavi mavi
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp
Wewe sio mwana Shelia ni utopolo tuta ona atakae shinda hii kesi
@gerowadamwandika669
@gerowadamwandika669 28 күн бұрын
Simba hili swala msikubali liishe kienyeji watazoea hawa Coastal lipelekeni Fifa uamuzi utolewe huko, ili liwe fundisho kwa wengine wanaotaka kupindisha Sheria.
@SwaleheHaji
@SwaleheHaji
Wewe wakiri wa kuku
@gerowadamwandika669
@gerowadamwandika669
Wakili msomi Gani huyu? Atakuwa ni utopolo huyo, akwende zake hajui anachoongea😂😂😂 wakili wa mchongo huyu😂😂😂😂😂
@JuhudiKasanga-yq5ks
@JuhudiKasanga-yq5ks
Wakili upo sahihi wanalipaje mda wao nje ya makubaliano hiyo ni dharau kwa coastal kama timu ndogo ifike wakati hivi vilabu vidogo viwe na viongozi wanaojitambua kama coastal wasimamie masilahi ya taasisi sio mapenzi ya watu kufanya mpira wetu kukua zaidi
@israelmunuo7938
@israelmunuo7938
Simba Hilo sakata mbona walishamaliza! Nyie mpo Tanzania kweli!
@user-yk8cf9fv7m
@user-yk8cf9fv7m
Walishachukua kishika uchumba wameanzaje kuuza ❤kwingine Tena !?
@namtingakassim5529
@namtingakassim5529
Tumechoka kusikia habari za Lawi simba piga chini huyo lawi
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892
Yaani hapa kwenye clab yetu bado kuna upuuzi Sijui ujinga huu utaisha lini, ikiwa mchezaji umempenda na mkakubaliana malipo kwanini ucheleweshe hayo malipo haliyakua mshakubaliana? Yaani Bado na mashaka ya uwozo huu ukaendelea
@dottosweetbert8879
@dottosweetbert8879
Huyu mwana Sheria naye anaongea kishabiki tu au hana taarifa za kina kuhusu yaliyotendeka.
@januarysungura8119
@januarysungura8119
Kwani ninyi coast kama mnajiamini si mumuze huko mnakoona ni sawa ili tuone uanaume wenu unapoishia
@ShaabanRamadhanKombo
@ShaabanRamadhanKombo
GSM
@hasbunakhamis487
@hasbunakhamis487
Huyo Alikomwe sio wakili
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 13 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 37 МЛН
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 30 МЛН
MAGORI ASEMA SIMBA ITAISHTAKI FIFA COASTAL UNION KUHUSU MCHEZAJI LAWI
6:14
KELVIN KIJILI SKILLS MCHEZAJI MPYA SIMBA SC ASSISTS RUNS
8:33
Klik Hapa TV
Рет қаралды 15 М.
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 13 МЛН