SIMBA NA LAMECK LAWI WAKUBALI YAISHE!! COASTAL UNION WAMPELEKA YANGA, SIMBA WALIKYUKA MAKUBALIANO

  Рет қаралды 37,802

LIKE MEDIA

LIKE MEDIA

Ай бұрын

Пікірлер: 98
@allysaidi-uy9rm
@allysaidi-uy9rm 27 күн бұрын
Wahuni hao simba
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe Ай бұрын
Aibuuuuuuuuuu hiyooooooo , Simba mapema hii fanyeni Mipango mingine
@yusufhussein5654
@yusufhussein5654 28 күн бұрын
mkundu wako
@SarahKaale
@SarahKaale Ай бұрын
Mimi naona kama imeshindikana waachane nae tu watafute mchezaji mwingine bora.
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe Ай бұрын
Kuweni wapole kugombea mchezaji ni aibu mnagombana na wanaommiliki aibu sana hii Alli Kamwe atamchangia Lawi kwenda cas
@mjanthony4864
@mjanthony4864 Ай бұрын
Hata akienda Kasi, Aitosaidia Kitu. Walitoa Notes ya Siku Kumi?😅
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 Ай бұрын
Kimeumana mtu na ndgu yake, patamu hapo😂😂
@abedisembe4551
@abedisembe4551 Ай бұрын
Ubabaishaji Simba mnalipaje wakati hamjafanya medical test angekuwa mgonjwa ivyo simba wamelipa kwasababu ya kuwai dili Hilo la njee
@johnurio9151
@johnurio9151 Ай бұрын
Tunataka kusikia wachambuzi wakimtetea lawi aende nje Simba waache janjajanja
@fatherjaytz
@fatherjaytz 29 күн бұрын
Huko nje hata akiwa Simba wataenda tu
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh Ай бұрын
Cost ni wahuni wakubwa ninyi hayo ni mambo ya kihuni hayako kwenye mpira wa sasa
@SeniSalam
@SeniSalam Ай бұрын
Take action dharau imezidi
@nurdinmvellah4032
@nurdinmvellah4032 Ай бұрын
Kwann tusiachane nae, maana hata akija Simba hata fanya lolote, dogo mwenyewe kipaji kimezuka hvi karibuni si Cha msimu tu hicho,?
@EmmanuelyChristopher
@EmmanuelyChristopher Ай бұрын
Hawa Cost wanampango wa kuua kipaji Cha huyo dogo Rungu likifika hapo ni baraa
@H3s4d
@H3s4d Ай бұрын
Ina. Maana. Viongozi wa SSC wanakwenda kienyeji kwanini?mme chele Wa kulipa pesa. Ubabaishaji
@H3s4d
@H3s4d Ай бұрын
Ina maana. Simba wamemuona hiyo mchezaji Hakuna Zaidi ya huyo ?
@revocatusmalimi4525
@revocatusmalimi4525 13 күн бұрын
Mh Magori kama kuna mpango wa kulipeleka kwenye chombo cha maamuzi huna ulazima wa kuanika ushahidi/vielelezo vyako katika mdahalo hùu
@erickprotace9463
@erickprotace9463 8 күн бұрын
Waandishi tuelimishe juu ya njia za kusitisha makubaliano, kama coastal walifata tutajua mmiliki wa mchezaji ni nani kati ya simba na coastal.
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe Ай бұрын
Coast wanajuwa wanachokisema
@HumoudSalim-ct1tz
@HumoudSalim-ct1tz Ай бұрын
Hawo wanampango wakumpotezea kipaji chase Hao cost washaauza
@juliusmagoti5650
@juliusmagoti5650 Ай бұрын
Kwa nini hamkulipa ndani ya muda uliotakiwa ili kuepuka migogoro kama hii? After all, MO karudi, hela ipo kwa nini mlipe nusunusu
@chancelorharubu2731
@chancelorharubu2731 Ай бұрын
Taja timu ambayo hailipi nusu tanzania,na wengine wanakopa hata hiyo nusu hawatoi,ndio maana unasikia timu zinafungiwa usajili kwamba hawakulipa
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s Ай бұрын
​@@chancelorharubu2731 acha kudanganya hakuna timu iliyofungiwa kisa ilipora mchezaji kisha wakamtangaza bila ridhaa ya timu inayommiliki. Wale wanaofungiwa ni wale wanaokatisha mikataba na hawalipi fidia kwa wakati lakini sio wizi wa mchezaji kama mnavyotaka kufanya kwa Coastal hiyo ni dhambi na laana kubwa
@user-ek4lh5vo7c
@user-ek4lh5vo7c Ай бұрын
simba wanatapatapa
@nassoropongwa8022
@nassoropongwa8022 Ай бұрын
Viongozi wa makolo wahuni
@bakarimakalo7128
@bakarimakalo7128 Ай бұрын
Simba wanapamba na Wana Yanga waliopo Coastal Union ambao wanapambana kuhakikisha Lameck Lawi haendi Simba. Baadhi ya Viongozi hao wa Coastal/Yanga wamo humo humo TFF. Msimuumize Kijana Lawi kwa kumuweka mtegoni na matatizoni.
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t Ай бұрын
Tff ni karia na karia ni kolo wa kutupwa wala halipingiki hilo mkiyakoroga kunyweni wenyew msiwaingize yanga kwenye migogoro yenu na simba B
@Kabeya410
@Kabeya410 29 күн бұрын
😅😅Magori anatumia udhaif wa coast kutojua sheria ya fifa ati wapewe notisi siku 10 lakini wanafanya makusudi kwa kuwa wana karia ila kisu kimefika kwenye mfupa coast kuna mguto na Simba kuna karia na coastal sijui itakuaje 😅
@wilsonmalosha3337
@wilsonmalosha3337 Ай бұрын
Wamezoea magumashi, hali kama hii ilitokea kwenye Usajili wa Mhilu kutoka Kagera Sugar kwenda Simba. Simba wamezoea dhuluma, kwa Wakongwe tunakumbuka Sakata la Francis Fulla Mwikalo
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
Mumeandika "SIMBA WALIKYUKA MAKUBALIANO" Huo ni UZEMBE MKUBWA jirekebisheni LIKE MEDIA. Hamjui kuwa DUNIA NZIMA Inawaangalia sana .
@jankenkasambala7687
@jankenkasambala7687 Ай бұрын
Wakubaliane kwamba huyo mchezaji auzwe kwenye hiyo timu ya nje ya nchi alafu pesa igawanywe kwa Coast na Simba
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v 29 күн бұрын
Anayetoa RUNGU NI PATRICK SAIMONI
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
Ninyi waandishi kwanini mnashindwa kuuliza baadhi ya maswali Kwa Mfano Simba kwanini haikulipa kiasi cha fedha kwa muda sahihi wa MAKUBALIANO? Swali lingine Mangungu huoni kuwa UNAFANYIWA FIGISU kwasababu hutakiwi KWENYE NAFASI HIYO Wapenzi wanataka UJIUZULU KWANINI Unang'ang'ania?
@YusuphSomo
@YusuphSomo Ай бұрын
Simba acheni ujanja ujanja....!
@bestel321
@bestel321 Ай бұрын
Magori anakuaga mpumbavu sana, nakumbuka alivokua anamteteya Mo kwenye wizi ukitaka kumjua Magori kamuulie mzee Hamissi Kilomoni ndio anae ujuwa utapeli wa Magori.
@user-ty9yg8fg9g
@user-ty9yg8fg9g 28 күн бұрын
Wale mashabiki wasiojielewa mnaoaminishwa timu yenu ina hela za kumwanga kiko wapi mchezaji wa ndani hela inalipwa kwa mafungu je mtaweza kumsajili mchezaji bora kutoka nje???? Matango pori endeleeni kufuatilia mambo ya yanga sijui kafungiwa mara fifa safi sana yakwenu yanachelewa Vile vile endeleeni na sifa za mabilioni mdomoni na kwenye vyombo vya habari
@laurentLyatuu-hw7vb
@laurentLyatuu-hw7vb Ай бұрын
Mangungu utaondoka na lameki lawi kwenda nae yanga ndio huoo ujinga unaoufanya
@yusufhussein5654
@yusufhussein5654 28 күн бұрын
nyie waandishi hamjui chochote hamjui chochote mavi matupu
@OS-pf6op
@OS-pf6op Ай бұрын
Wanachelewa kulipa wakitafuta pa kupata 10%😂😂
@emmanuelmrope7819
@emmanuelmrope7819 29 күн бұрын
Mbona kama nimemsikia akisema makubaliano ni kuwa mchezaji akishafanyiwa vipimo ndio biashara itafanyika ya malipo sasa imekuwaje ulipe nje ya makubaliano pesa? Mbona tyr hicho ni kipengele tosha cha kuwafelisha hata mkienda FIFA
@halidmaunga9150
@halidmaunga9150 Ай бұрын
hahahahaaaaaaaaaaa magoli acheni blablaa mnatiumiza sisi walipa kiingiliio
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Ruagarichard
@Ruagarichard 9 күн бұрын
Samba chukueni hatua zarau zimezidi .
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l Ай бұрын
ACHA UHUNI WEWE MZEE,KWA KAGERA MWAKA JUZI MLIFANYA UHUNI PIA
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx Ай бұрын
Mbona baba Yako arifanya uhuni ukazariwa
@josephgamba8389
@josephgamba8389 Ай бұрын
Hapo hamna uongoz Dunduka FC achen ujanja ujanja 😂😂😂
@drvaxminja2133
@drvaxminja2133 Ай бұрын
Simba mnazinguka na kufatilia madeni ya Yanga, leo mbona mmepoa hivyo? Tatizo lenu mnakuwa busy na mambo ya Yanga kuliko yenu.
@sadih5333
@sadih5333 Ай бұрын
Mwamnyeto hamjamaliza deni ongeleeni hilo kwanza
@Kabeya410
@Kabeya410 29 күн бұрын
Simba toka zamani walimsajili kutoka coast fransis mwikalo wakamsajili ati kwa jina la FURA MWIKALO 😅ILA WAKATI HUO MZEE EL MAMRI NI SIMBA ILA KAAMUA KWAMBA HUYO FRANSIS MWIKALO NDO HUYO HUYO FURA MWIKALO NGOMA IMEGONGA MWAMBA MCHEZAJI AKACHEZA COAST SIYO SIMBA 😅
@marcobulili4341
@marcobulili4341 Ай бұрын
Migogoro fc
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw 29 күн бұрын
Mumesahau yenu na Morrison
@namtingakassim5529
@namtingakassim5529 Ай бұрын
Simba waachane na huyo lawi muda muda muda upo mvutano wa nini tumechoka kusikia ujinga huu au simba hamna pesa? Acheni kuwalpa kichwa hao coast achanaeni huo tafuteni wachezaji wa maana
@AyubuIssa-np3vc
@AyubuIssa-np3vc Күн бұрын
Wachezaji wote walio sajiliwa umetowa ww pesa
@kazembeally1619
@kazembeally1619 10 күн бұрын
Kama vpimo vya hospital hamkufanya na moja yakipengele kwenye mkaba nimcheji kufanyiwa checkup.swali.langu kama mchezaji mngemfanyia chackup angeonekana ana matatizo kiafya nyinyi mngemsajili.
@sosmakanya4901
@sosmakanya4901 Ай бұрын
Kwa nini mlilipa mwezi wa tatu kabla ya dirisha kufunguliwa
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx Ай бұрын
Nisheria Gani inakataza
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx Ай бұрын
Kunakuripa nakumtangaza kumtangaza nikuwa ushaamchukua sasa kwakuwa dirisha harijafunguriwa huwezi kumtangaza
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr Ай бұрын
KAMA ILIVYOKUWA KWA MWAMYETO
@user-in7jr4py7y
@user-in7jr4py7y Ай бұрын
Costo na upotolo ni wale wale shule hakuna
@godfreymabula6858
@godfreymabula6858 Ай бұрын
UTOPOLO MAMA AKOO kumamaeee
@muridundhikri
@muridundhikri Ай бұрын
Simba ni wababaishaji tu nyinyi mmepewa muda na mnajidai mna pesa kwanini msilipe kwa muda muafaka mnafanya maigizo kama ya manzoki, hii ni kawaida yenu
@bilajasho449
@bilajasho449 Ай бұрын
Weee nawe ushabiki umekukaa hadi kwenye shida zako
@bilajasho449
@bilajasho449 Ай бұрын
Weee nawe ushabiki umekukaa hadi kwenye shida zako
@bilajasho449
@bilajasho449 Ай бұрын
Weee nawe ushabiki umekukaa hadi kwenye shida zako
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx Ай бұрын
Unaerewa warichokubariana warierewana mchezaji afanyiwe vipimo ndiowamarize kuripa badarayake mchezaji arikuwa timu yataifa hakujakufanya vipimo lakini viongozi wakaona japohakuja ngojatulipe akirudi tutajua sasa uritaka wafanyeje
@kasimumughuna201
@kasimumughuna201 Ай бұрын
Jifunze matumizi ya r na l,, tofautisha r na l😂😂😂​@@Shemahonge-ku7xx
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Ай бұрын
NA NYIE VIONGOZI WA COSTAR UNION MNAMATATIZO SANA KWANN MNAMYUMBISHA KIJANA? ACHENI UJINGA. MNAMHARIBU KISAIKOLIJIA .. LAWI AMECHAGUA SIMBA NYIE MNALAZIMISHA ABAKI COSTAR
@marcobulili4341
@marcobulili4341 Ай бұрын
Kwa KAGOMA yanga ilipewa notes ya siku 10? Njooni mezani tuwauzie kagoma vinginevyo tutawapeleka FIFA, wewe mshawishi pamoja na muuzaji!
@tezuramziray8700
@tezuramziray8700 Ай бұрын
Utapeli huo watu wazima nyie. Ujue kuna jambo limejificha hapo kwanini walipe hela bila kufuata vifungu kwani mchezaji kwenda timu ya taifa hatarudi? Angekuwa mgonjwa. Na hili mashabiki wa Simba mjue wapigaji bado wapo hakuna viongozi hapo
@waziribori2280
@waziribori2280 8 күн бұрын
TFF YOTE IMEJAA WATU TOKA TANGA WANAJIONA WANAWEZA SHINDA WAKATI HUYO MGUTO WAMESHEMSHA . HAKUNA NOTICE VUNJA MKATABA UNATOA NOTICE YA SIKU 10. KWELI HUYO MGUTO NI KIONGOZI WA TFF AU NANI HAJUI TARATIBU ZA FIFA KUHUSU USAJILI . KARIA ACHA TABIA ZA KUZOA WATU WASIOJUA SHERIA ZA MPIRA
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
VIONGOZI WA SIMBA KAZI MNAYO.Chelewa Chelewa UTAKUTA Mwali SI WAKO!
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Ай бұрын
Unalialia nn sajili wachezaji wengine waache coast wamuuze South wapate mpunga mwingi nyie mbuma hakuna
@user-in7jr4py7y
@user-in7jr4py7y Ай бұрын
Mnao coment humu wote utopolo
@godfreymabula6858
@godfreymabula6858 Ай бұрын
Mama Ako acha usenge
@KATEGILEMABADA
@KATEGILEMABADA Ай бұрын
Hili ni dili la YANGA kulipa kisasi ila watafeli tu
@H3s4d
@H3s4d Ай бұрын
Kweli pesa nusunusu acheni. Aibu ,Simba timu kubwa
@tezuramziray8700
@tezuramziray8700 Ай бұрын
Yaani hapa ujanja ushajulikana, hela hamna mnataka kuingilia deal la watu la kumuuza Lawi nje ya nchi. Daah aibu sana watu wamkuze kijana wao nyie mnadandia mafanikio ya watu halafu ati mnatamba mna hela.
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc Ай бұрын
Kwani maneno yote ya Nini kweli kama Simba Ni Mali yenu twaomba tuone mkataba aloweka Saini kwenu 😂yani kweli Simba mmefeli Sana Leo hii mwagombania mchezaji Na coastal union aibu kubwa
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Ай бұрын
Duh Simba mna fail wapi? Je ni kweli Tajiri yupo? Mbona hela mnashindwa kulipa mnalipa nusu nusu. Sasa Coastal ambayo ilikuwa na uhusiano mzuri na Simba Sasa Coastal ni adui wa Simba. Wale wazee wa zamani wa Coastal na Simba wapo wapi? Hivi Coastal hata kama wanaotaka kumuuza mchezaji ndio wampeleke Yanga??
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Ай бұрын
Tafuteni mchezaji mwingine,achaneni na ujinga huo
@SarahKaale
@SarahKaale Ай бұрын
Mimi naona kama imeshindikana waachane nae tu watafute mchezaji mwingine bora.
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t Ай бұрын
Yanga hawana mpango na lawi semeni tu ndo hivyo simba wakikwama lazima yanga iingizwe kati wanao mtaka lawi ni ubeljiji acheni kutafuta content kwa kuandika kichwa cha habari cha uongo
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 Ай бұрын
Unajizushia peke yako Hayupo aliyemtahwa Yanga.
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t Ай бұрын
@@edwardmizambwa237 kichwa cha habari kinasemaje?? maan mim nimeongelea kichwa cha habar
@proisolution7166
@proisolution7166 29 күн бұрын
MAGOLI UBABAISHAJI UPO KWA KUWA WEWE BINAFSI UNA HOLD VIPI NAFASI MBILI YA UANACHAMA WA SIMBA NA U MMO ETI MJUMBE UPANDE WA MWEKEZAJI BT AT THE SAME TIME HIYO BODI HEWA HAINA MANDAATE YA KISHERIA(KUSAJILIWA) MNAJIITAJE TIMU KUBWAAAA.
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l Ай бұрын
MNALIPA KWA MAFUNGU NA KISHA SIMBA KUWENI WAPOLE KWA COASTAL MAANA WAO NDIO WANAOMMILIKI NA MPAKA SASA HAWEZI KUCHEZA KWENU MPAKA WAO WAMRUHUSU
@chancelorharubu2731
@chancelorharubu2731 Ай бұрын
Kilichowakwamisha coat ni tamaa tuu hakuna lolote,tuone mwanzo wa msimu lawi atacheza timu gani,na coast wakifanya mchezo wanapigwa faini wenyewe watashangaa,mtakuja sikia tu muda si mrefu
@user-ud4rk1vw7l
@user-ud4rk1vw7l Ай бұрын
Kamwe tuko chini ya miguu Yako tunakuomba Umsaidie Mzee Magori kwenda FIFA na kama ikibidi haja ya fedha basi muombe GSM aweze kusaidia sakata hili kuepuka aibu hii .
@KondoMhando
@KondoMhando 29 күн бұрын
Yanga wanasajili wachezaji wenye akili na kipaji. Hawagombei wacheza wa mpira wa (chandimu). Matatizo yenu wachezaji, msiwahusishe yanga. Yanga kwa sasa wanafikiria mambo makubwa ya kimaendeleo. Kubooresha wachezaji, kujenga uwanja, kutafuta wachezaji wanaoweza kucheza na Azizi ki, na mambo mengine ya kimaendeleo. Au Simba wanataka Rais Samia awaonee huruma, aingiliekati kama alivyofanya kwa Feisali kwenda Azam? Imekula kwenu hiyo, acheni TAMAA kazeni mkanda. Mwambieni Mo atoe zile (bil 200) msajili wachezaji. Sio kugombea wachezaji wa vilub vya ndani, mtoke nje mkasake wachezaji wa halali. Hivi habari za Mayele zimefia wapi Simba? Kweli watu wa kutapatapa!
@juliusmanzalima7513
@juliusmanzalima7513 10 күн бұрын
Kwani lawi ni nani? Muacheni aende2
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 58 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 36 МЛН
MWANASHERIA AFUNGUKA KISHERIA SAKATA LA LAWI KUSAJILIWA SIMBA
6:26
Katibu Mwenezi CCM Meru
Рет қаралды 31 М.
貓媽媽🆚爆米花🌽🥷🍿 #aicat #shorts #cute
0:33
Cat Cat Cat
Рет қаралды 7 МЛН
😱ВСЕМ БЫ ТАКИЕ СТАЛЬНЫЕ НЕРВЫ
0:18
MEXANIK_CHANNEL
Рет қаралды 7 МЛН
He understood the assignment 💯 slide with caution x2
0:20
Carlwinz_Official
Рет қаралды 23 МЛН
天使妈妈拍到了什么大家吓一跳?#火影忍者 #佐助 #家庭
0:23
火影忍者一家
Рет қаралды 4,4 МЛН