Sheikh KISHKI - {2/2} - MAJINI NIVIUMBE AINAGANI ?

  Рет қаралды 134,611

shining noor

shining noor

13 жыл бұрын

Пікірлер: 110
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 3 жыл бұрын
Shekhe kishk, may God protect and bless you fi dunya Wal akhira
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 5 жыл бұрын
Mashaa Allah sheikh wetu I love so much Allah akulinde na kila la Shari in shaa allah
@miangijunior4358
@miangijunior4358 Жыл бұрын
Shukrani sana sheikh Kwa Elimu hizi ALLAH Akujahalie kheri katika Dunia na kesho Akhera Amiin
@Som-Hanoolaato
@Som-Hanoolaato 10 жыл бұрын
Masha Allah, Hafiduhullah Baarak Allahu feekum for sharing !
@xubimohamed6128
@xubimohamed6128 7 жыл бұрын
thanks sh kishki we love u so much , may allah meet us on paradas love u
@madinaabc4825
@madinaabc4825 4 жыл бұрын
Thank you sheikh sharifu suleyman ..may Allah reward you more and more
@jamilamunisi1480
@jamilamunisi1480 5 жыл бұрын
Shukran sana Sheikh Nurdin Kishki Allah akujaalie kila lakheri
@kadejahoe6543
@kadejahoe6543 5 жыл бұрын
Shukran jazillan shekhe wetu Allah atujaalie sote twah binadamu na majini wema Amiin
@humudmarhoon8044
@humudmarhoon8044 7 жыл бұрын
jazaakLlahukhyra
@abdul693
@abdul693 12 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie ilmu uzidi kutuelimisha
@rahmahrahmah6683
@rahmahrahmah6683 5 жыл бұрын
Amiin
@jamilamunisi7484
@jamilamunisi7484 5 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie kila lakheri na akukinge na kila shali
@fadhilyallyomarysangore9704
@fadhilyallyomarysangore9704 5 жыл бұрын
Amiin
@freedomgin1758
@freedomgin1758 5 жыл бұрын
Asalamualeykum warahma tulahi wabarakatuh sheikh Mimi ni na maswali mengi saaana juu yako sijui Nita kupatake,,,, asalamualeykum shukran sana
@maryamkasonso6029
@maryamkasonso6029 5 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 жыл бұрын
Subhanallah
@OmanOman-gc1zu
@OmanOman-gc1zu 5 жыл бұрын
MashaAllah Allah akujalie InshaAllah 🙏
@lijibra
@lijibra 12 жыл бұрын
Mashallah ya sheikh
@SelemaniHassan
@SelemaniHassan Жыл бұрын
Mashallah
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 жыл бұрын
Amin yarab
@ashaselemanskai5063
@ashaselemanskai5063 5 жыл бұрын
amiin
@nnbb8402
@nnbb8402 6 жыл бұрын
Jazakah Allah kheir
@mohamedsaidahmedjaffer4108
@mohamedsaidahmedjaffer4108 5 жыл бұрын
ameen yarbbi
@hanifahamis3402
@hanifahamis3402 3 жыл бұрын
Jazakallah khaira
@nasorcholo7333
@nasorcholo7333 4 жыл бұрын
Mashaalah mungu akujaalie inshallah 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@abdulzackawami7780
@abdulzackawami7780 4 жыл бұрын
Inshallah!
@abdrazackhashim6549
@abdrazackhashim6549 5 жыл бұрын
Allah akulinde uwe na afya njema inshallah
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 жыл бұрын
Amen yarab
@maryamkasonso6029
@maryamkasonso6029 5 жыл бұрын
Asante nurdin kishk
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 3 жыл бұрын
masha Allah
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 жыл бұрын
Amen aamen yarab😭😭😭😭
@makariospeter9447
@makariospeter9447 3 жыл бұрын
Yesu pekee. Hakuna jini mwema. Yote ya kukemea kwa jina la Yesu
@bakarisalumu2797
@bakarisalumu2797 6 жыл бұрын
inshaa allah
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 жыл бұрын
Amin
@rutahalima1400
@rutahalima1400 11 жыл бұрын
Asalaam alaikum wa rahmatu llah wa barakatu Alhamdulillah rabil alamin Nashkuru mola Karima kwa kukuwezesha kutupa elimu Allah subhana wa taala akuzidishiye kila jema Sheikh kipenzi cha wa islam, vipi na weza kupata vitabu hivyo mana makao yangu ni hapa ulaya je na weza kutumia malipo na crédit card? nashukuru wa salam alaikum wa rahmatu llah wa barakatuh
@bwirizasitta2062
@bwirizasitta2062 5 жыл бұрын
Mashaalh
@mariamally7355
@mariamally7355 5 жыл бұрын
Jazka llah heri
@brendawambui5808
@brendawambui5808 Жыл бұрын
Thank you kishki now I know
@hamisimuhammad6225
@hamisimuhammad6225 2 жыл бұрын
Nakupenda kwaajili ya Allah
@khamisjuma5863
@khamisjuma5863 4 жыл бұрын
Shekh kila mtu anajini yategemea mwema au mbaya kapandisha ama laa
@samsacute8672
@samsacute8672 5 жыл бұрын
Assalam alaikumu ww shekh sasa yenye kukuingia anakuamurisha kua muganga naomba udutafusiriye kwahayo in Shaa Allah
@ashaselemanskai5063
@ashaselemanskai5063 5 жыл бұрын
sheikh nurdin Alla akulipe kila raheli
@abbyadams8691
@abbyadams8691 Жыл бұрын
Shehke atoa wito kwa majini 😄😄😄😄
@abaisani3485
@abaisani3485 7 жыл бұрын
wewe unasema yesu ni kiboko yao je yesu na mungu na mkuu wewe rudi shule!!
@abshiroduba3501
@abshiroduba3501 4 жыл бұрын
Shida ya wakristo. Hawajui tofauti kati Manabii Na Mungu Subhana Allah.
@AlhajNasoro
@AlhajNasoro 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@WeBorn2DieAnyTime
@WeBorn2DieAnyTime 11 жыл бұрын
MashaAllah, wapi part 1. :).... BaarakAllahu feek for sharing
@abshiroduba3501
@abshiroduba3501 4 жыл бұрын
MashaAllah. Wapi part 1.
@cmsa1r
@cmsa1r 12 жыл бұрын
Yesu yesu yesu ni jibu.....majini yanalia
@warda7373
@warda7373 5 жыл бұрын
😘
@idrisidris5299
@idrisidris5299 5 жыл бұрын
Asalam alaikum sheikh, kwa mfano binaadam anafatwa na mashetani, na yeye ako na jini kwa mwili anamsaidiya,huyo naye ni jini gani?
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
Naona mnawaongelea ndgu zenu
@swalainaletaamaninautulivu2239
@swalainaletaamaninautulivu2239 7 жыл бұрын
yesu kama mna muona kiboko basi jiandaeni na moto wajahanam ss waisilam tunaimani na tunakubali nyiye wakilisito amuna faida
@lailatmrsrajaimustapha1384
@lailatmrsrajaimustapha1384 5 жыл бұрын
Nanyie wakirsto subirien siku ya kiama huyo yesu atakavyo wakana mtalia na kusaga meno ngojen sasa mkaidi hafaidi mpaka siku ya idd nanyie endeleen kukaidi mtafaidi siku ya kiama
@daviddavid-gq8zp
@daviddavid-gq8zp 5 жыл бұрын
swala inaleta amani nautulivu Ghhhbbv Allah akubariki sana pamoja na Majini wote kwa jina la mkuu wa majeshi Mohamed Abdalah s.a.w!Takbir!
@daviddavid-gq8zp
@daviddavid-gq8zp 5 жыл бұрын
Lailat mrs rajai Mustapha Allah akubariki kwa jina la Mohamed Abdalah!
@fetrishakaza1473
@fetrishakaza1473 4 жыл бұрын
Una akili ww nyie ndomjiaandae kwasababu ujuwi nn maana ya jini kwann kaitwa jini mme pumbazwa
@alhabibismail3031
@alhabibismail3031 4 жыл бұрын
Use good words
@tausiramadhan7927
@tausiramadhan7927 3 жыл бұрын
Na je inakuaje kwa yule anaambiwa ana waalimu wanataka mja afanye tiba yaan atibie
@TheGame-nz7um
@TheGame-nz7um 5 жыл бұрын
Iweje awe sala 5 apandishe mashetani.... Kuna nini hapo.
@clementjames7274
@clementjames7274 7 жыл бұрын
Hayo nikwa waislam tu kwetu tulio okoka Yesu ni kiboko ya hayo majini
@fadhilyallyomarysangore9704
@fadhilyallyomarysangore9704 5 жыл бұрын
Ivi nyie wakristo nyie ndo majin
@swaumtadeo386
@swaumtadeo386 6 жыл бұрын
Nikweli Mimi nahisi ninawo baazi wananitesa sana
@tuliakonga2614
@tuliakonga2614 5 жыл бұрын
Kumbe jini ni shetaniiiii !!!! njooni kwa YESU.
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 4 жыл бұрын
Tulia Konga Yesu yenyewe pia ana Mungu wake ambae ndio Mungu wetu waislamu
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
@@ameirzapy1318 Mungu wa Yesu sio wenu waislam Mana Mungu wenu hawezi kuwa na mtoto kwa kuwa hana mke mtafutieni mke Mungu wenu
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 жыл бұрын
Yani wachawi nimtihani kwakweli
@sarehhaitham7862
@sarehhaitham7862 6 жыл бұрын
Hashim mbonde
@dannyasavela
@dannyasavela 7 жыл бұрын
Mbn Waislamu Na Wakristo Tunaishi Kwa Upendo Tu..
@abuuhudhaifahabuuqataada7849
@abuuhudhaifahabuuqataada7849 4 жыл бұрын
shekhe kishki ktk kuwataja hawa majini na ainaze..umetumia kitabu gani
@clementjames7274
@clementjames7274 7 жыл бұрын
YESU KRISTO NI KIBOKO YA HAYO MAJINI
@beastmasteraloha7214
@beastmasteraloha7214 7 жыл бұрын
shenzi type wewe mshamba
@ApostleIshishagmail
@ApostleIshishagmail 6 жыл бұрын
Yesu sio rafiki wa majini ni adui wao
@bigandsmall5047
@bigandsmall5047 6 жыл бұрын
Yesu ni muislamu .Mfuateni kama munampenda
@sarahwanjala6601
@sarahwanjala6601 4 жыл бұрын
Kweli Yesu nikiboko yao Njooni kwa Yesu jamani nizama zamwisho hizi Yesu anarudi tena
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 4 жыл бұрын
Sarah Wanjala Yesu pia ana MUNGU wake alie mtuma ambae ndiye Mungu wa waislamu
@munibullahmarunda7051
@munibullahmarunda7051 5 жыл бұрын
upuuzi mtupu....sheikh mzima kuongea vituko namna hii
@jamilamunisi1480
@jamilamunisi1480 5 жыл бұрын
munibullah marunda wewe ndio mpuuzi kwan apo kakosea wapi kazi kutafuta makosa tu
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 жыл бұрын
@@jamilamunisi1480 labda alivyosema kuwa msafi ni muhimu kwake yeye ni upuuz
@jamilamunisi1480
@jamilamunisi1480 4 жыл бұрын
Hadija mandanje umeona ee kuna wengine mawaidha ayo yanawachoma
@abdulzackawami7780
@abdulzackawami7780 4 жыл бұрын
Sasa hapo sheikh ameongea upuuzi gani sasa eti?
@abdulzackawami7780
@abdulzackawami7780 4 жыл бұрын
Sasa hapo sheikh ameongea upuuzi gan au ww ndo haujaelewa
@darlinmamawatatu6411
@darlinmamawatatu6411 9 жыл бұрын
Stop that chinachina everyone ana right yake ya dini utache sawa eheee kuwa na kristo wako wacha tuwe na Allah wetu simple
@xubimohamed6128
@xubimohamed6128 7 жыл бұрын
darlin kiwanga stupid
@darlinmamawatatu6411
@darlinmamawatatu6411 7 жыл бұрын
+Xubi Mohamed stupid ur dad and ur mother swan
@bigandsmall5047
@bigandsmall5047 6 жыл бұрын
Wewe ujielewi .Usipobadili dini yako utachomeka chungu kimoja na huyo ibilisi.
@abbasmjatta3102
@abbasmjatta3102 6 жыл бұрын
darlin kiwanga mbaki na majini yenu kumbe mnaswali nayo. Kumbe majini wote ni waislam na Muhammad ni mtume wao!!! Kweli Mungu aliposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa aliwaona waislam. Vp dini ya Mungu iwe ya majini na mashetani
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 5 жыл бұрын
@@abbasmjatta3102 labda nikupe elimu maana umeongea utumbo na hiyo aya ulioitumia huijui inakwambia nini,kwanza kabisa jini alitangulia katika hii dunia,alafu ikiwa wewe ni msomi unajua kabisa shetani alikua malaika ila amelaani alipo kaidi maagizo ya m/MUNGU, hata wewe ni binadamu lakini uenda ukawa shetani hicho kiburi kikizidi maana ibilisi laana tulwahi alikua na kibri hivyo ivyo, pia hii inakuchanganua kwamba akhera ziko sehemu mbili,kuna sehemu ya watu wema na kuna sehemu ya watu wabaya,yaani wanaotenda mema na kuna wale wanatenda maovu,mfano wewe labda umekesha baa kufanya mahaswi wakati ndugu yako anafanya matendo mema,sasa wataka kuniambia wazazi wenu atawachukia nyinyi wote?alafu nikupe elimu maana umeongea utumbo hii ni haya ipo kwenye bibilia NA PEPO WACHAFU WALIPOMUONA YESU WALIANGUKA MBELE YAKE NA KUSEMA, KWELI WEWE NI MWANA WA MUNGU muulize pastar wako analijua hilo andiko kumbe pepo wachafu walikua marafiki wa yesu,jini nikiumbe na ujue kua wewe uko na kibri ndicho kinacho kusumbua lakini kaa ukijua huko uliko sio sehemu salama, maana wewe ikiwa unachukia jini na unampenda ibilisi laana tulwahi wewe ni chizi, hivi unajua kua kiti cha shetani cha henzi kiko kanisani? Muulize mchungaji wako atakuonyesha ilo andiko,pia nakushangaa ukitwambia kua unashangaa jini akisali!huo ndio utukufu wake Allah na hilo halipingiki,lakini nawashangaa nyinyi makafiri mnaosema mnachukia majini,sasa hiyo ni ishara kua mnaemuabudu hana mamlaka katika hii dunia, maana majini mnapishana nayo kila sehemu je mbona uyo mnaemuabudu hasiwaumbie dunia yenu muache kukanyaga ardhi iliokanyagwa na majini?ujue kua shetani ni mmoja tu na ndie anaetamba na aliaidi kuja kutumaliza na ndie yule aliewaangamiza nyinyi na hilo andiko ulilotumia linawahusu nyinyi na makanisa yenu,Ukiambiwa YESU MUNGU ALELUYAH, ukiambiwa YESU MWANA WA MUNGU ALELUYAH sasa huko sinikukosa maarifa
@Richesfam
@Richesfam 9 жыл бұрын
Wasilamu, mje kwa YESU Christo, yeye pekeyake, ndio njia ya ukweli kwa Mungu. Mje kwa Yesu, msipoteye. Shatani alisha wafunga macho yenu. But I pray that Lord Jesus would open your eyes to show you the true path.
@saadiyamwasi5127
@saadiyamwasi5127 9 жыл бұрын
wewe ndio unaefaa kuvukaa maana ujielewi unakotoka wala unakoenda ulifungwa macho kitambo sasa fikiria sana unayoyasema
@Richesfam
@Richesfam 9 жыл бұрын
Thank you honey, I pray that the Lord Jesus Opens your eyes and see the truth. Mungu akubariki, na ninakuombea sikumoja utajuwa ukweli, yakwamba Yesus ndio njia ya Ukweli yakufika Binguni. :)
@mohammedhegdah
@mohammedhegdah 8 жыл бұрын
+china china if jesus is ur lord and as u say jesus was killed, this means u av no God!
@mohammedhegdah
@mohammedhegdah 8 жыл бұрын
+china china ur religion has so many faults that u dnt knw of coz u avent learned abt it, u jst fllwng ur parents, study ur religion n u wl leave it!
@xubimohamed6128
@xubimohamed6128 7 жыл бұрын
china china nonsense
@abdulzackawami7780
@abdulzackawami7780 4 жыл бұрын
Nyie mnaosema Yesu ndo wa kwanza kwenda kwa waganga huyo yesu mwenyewe alisalitiwa na Yuda na Yuda aliingiwa na shetan Mbona hakumtoa sasa
@nadiahas
@nadiahas 12 жыл бұрын
Mashallah
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 жыл бұрын
Subhanallah
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 жыл бұрын
Amin
@clementjames7274
@clementjames7274 7 жыл бұрын
Hayo nikwa waislam tu kwetu tulio okoka Yesu ni kiboko ya hayo majini
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 5 жыл бұрын
Ukifuta hilo andiko utakua umefanya kitu cha maana, NA PEPO WACHAFU WALIPOMUONA YESU WALIANGUKA MBELE YAKE NA KUSEMA, KWELI WEWE NI MWANA WA MUNGU, kumbe pepo wachafu walikua marafiki wa yesu, wewe unadanganya, alafu nikukumbushe kua kila siku mnajitoa mapepo uko kanisani wakati kiti cha shetani cha henzi kiko kanisani bisha tu wewe, na hapa duniani hakuna uokovu waokovu niwale walio okoka na adhabu ya moto
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 4 жыл бұрын
clement james hakuna alie okoka wewe acha kukudanganya, tuseme wewe umekamilika ?
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 жыл бұрын
Mashallah
Sheikh KISHKI - {3/3} - KHUL-WII
28:19
shining noor
Рет қаралды 3,1 М.
Sheikh KISHKI - {1/2} - MAJINI NIVIUMBE AINAGANI ?
42:36
shining noor
Рет қаралды 78 М.
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,6 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 24 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 39 МЛН
Watu 10 Waliolaaniwa
49:12
RAUDHWAH ISLAMIC CHANNEL
Рет қаралды 299 М.
034 2 NUREED KISHKI...MAISHA YA NABII MUSA WAKATI WA UTUME (A)
30:03
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 4,9 М.
AINA ZA MAJINI NA KAZI ZAO || BAYANA YA KHUTBAH YA IJUMAA || 12/8/2022
44:57
Ust Abuumuhammad Said
Рет қаралды 8 М.
SHEIKH MUSTAFA SONGORO - MAJINI
1:09:17
Sheikh Mustafa Songoro
Рет қаралды 41 М.
Sheikh KISHKI - {1/2} - MALAIKA NI VIUMBE AINAGANI ?
42:34
shining noor
Рет қаралды 44 М.
MSIMSHAMBULIE DR SULLE UHAKIKA WA ELIM YA MAJINI HUU HAPA INATISHA No2
44:55
Sheikh Naasor BACHU - KWENYE UZITO KUNA WEPESI
36:17
shining noor
Рет қаралды 676 М.
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,6 МЛН