Mwenge Jazz Band iko Vizuri Sikiliza Ilivyoucharaza Wimbo wa Mashujaa Utunzi wa Zahil Ali Zoro

  Рет қаралды 30,795

Ulinzi Channel

Ulinzi Channel

2 жыл бұрын

#wizarayaulinzi #jwtz

Пікірлер: 28
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 2 жыл бұрын
Kazi nzuri. Mmeutendea haki wimbo huu, Mtunzi wa wimbo ni Zahiri Ali Zoro akiwa na Kimulimuli Jazz Band.
@zahirallyzorro3940
@zahirallyzorro3940 Жыл бұрын
Mimi siitwi Zahil Ali Zollo. Please. Sil vou plait
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 8 ай бұрын
Kweli hawa wanaume wako vizuri, ukianzia kazi waliyotumwa, waliifanya kishujaa na vizuri, sasa sikiliza, na angalia,hicho wanachokifanya hapo ! ! WANATISHA.
@zabronmwogha9935
@zabronmwogha9935 2 жыл бұрын
Safi sana Wana Band coy
@AndrewKayombo-wm8bw
@AndrewKayombo-wm8bw 7 ай бұрын
Af Majaliwa upo vyema kwenye kuimba Huwa nakuona ukiwa na band ya msondo ngoma. Kaka nyanda nakubali.
@stephenjonas4866
@stephenjonas4866 Жыл бұрын
kali sanaaa
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 2 жыл бұрын
Afandi upo vizuri umeupatia sana hongera
@azikiwelutumo9127
@azikiwelutumo9127 Жыл бұрын
Safi sana
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 2 жыл бұрын
Kazi nzuri
@shariffalbadawi7269
@shariffalbadawi7269 Жыл бұрын
Wimbo ameukosea maeneo mengi ameuchafua
@papaamarsha1659
@papaamarsha1659 Жыл бұрын
Safii
@suleimankhamis8298
@suleimankhamis8298 Жыл бұрын
nice
@abdullkilawi5504
@abdullkilawi5504 Жыл бұрын
Paselepa
@ibrahimmwasamila6412
@ibrahimmwasamila6412 2 жыл бұрын
Wako vizuri sana askari wetu
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 2 жыл бұрын
Daa aisee nakumbuka mbali mlikuwa mnatugawia biskut na bifu za maharage iyo 1979
@afualusigi923
@afualusigi923 Жыл бұрын
Tulikuwa tunaita biskut za jeshini
@shariffalbadawi7269
@shariffalbadawi7269 Жыл бұрын
Wimbo ameukosea maeneo mengi Mwimbaji alikuwa na Pupa baadhi ya mistari ameirika maeneo mengine yapo Sawa hongera yake mpiga ridhim yupo sawa
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 2 жыл бұрын
Nchi yangu fahari yangu
@giriadbirusha7006
@giriadbirusha7006 2 жыл бұрын
Nzuriiii
@user-nj5zp8xt6b
@user-nj5zp8xt6b 10 ай бұрын
Akunakufa ovyo
@jworld1480
@jworld1480 7 ай бұрын
iv shukulu majaliwa ni mwanajeshi kumbe???
@sashashamsia6894
@sashashamsia6894 2 жыл бұрын
kazi nzuri wapiganaji
@geraldluiso6792
@geraldluiso6792 2 жыл бұрын
100%√
@obillaezra6205
@obillaezra6205 2 жыл бұрын
Huyu Afande ni Muimbaji nguli hata Mzazi wake Alikuwa muimbaji Mahiri sana”
@josephwere6319
@josephwere6319 5 ай бұрын
Huyu mwimbaji jina lake ni Nani?
@nassirali7499
@nassirali7499 2 жыл бұрын
Dah! nashindwa kujua kua hii ni channel ya sanaa na michezo au ni channel ya ulinzi? Mnaipita hata channel ya wasafi kwa kuposti waimbaji na wanenguaji. Inakuaje channel ya jeshi haina post hata moja yenye maudhui ya kiulinzi na kijeshi?
@simbaboniphace7794
@simbaboniphace7794 2 жыл бұрын
Fungua yako
@mrematvbabakoku8336
@mrematvbabakoku8336 2 жыл бұрын
Kila secta mnafaa natamani katiba ibadiliswe majeshi yote yapumzishe ninyi mkave nafasi
Mziki wa dansi zilipendwa- Kimulimuli -Tumerudi kishujaa
8:29
Eddie Nassor
Рет қаралды 141 М.
UJUMBE MAALUMU WATOLEWA RUVU STARS BAND
3:54
JKT RUVU STARS BAND
Рет қаралды 62 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 11 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Ottu Jazz Band - Mwanamkiwa (Official Video)
10:28
Tunes Of Africa
Рет қаралды 432 М.
Kupatwa Kwa Mwezi   Mwenga Jazz Band
7:34
Power Nguzo
Рет қаралды 98 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Polisi Jazz- Dunia
10:01
Eddie Nassor
Рет қаралды 62 М.
Mwenge Jazz~Chenja ya mchakamcha
8:45
Military Band Coy
Рет қаралды 96 М.
Juma Mrisho & Urafiki Jazz Band - Kwa Mjomba
6:39
Power Nguzo
Рет қаралды 73 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Kurugenzi- Ujamaa
8:28
Eddie Nassor
Рет қаралды 26 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Kurugenzi Jazz-  Wivu
6:42
Eddie Nassor
Рет қаралды 74 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Zairi Ali na Kimulimuli- Cleopatra
6:47
13 wivu kurugenzi jazz new)
6:44
ZILIPENDWAMUSIC
Рет қаралды 20 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 11 МЛН