H baba na baba levo wasifike Congo au ma umbwa kumchafuwa harmoniz 👊👊👊🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👊
@JosephatWesonga-ef7gq5 ай бұрын
Mwijaku ❤❤❤
@azizsoud43195 ай бұрын
Bing up mwijaku ❤
@robertphilip3855 ай бұрын
Duu kweli mwijaku ni chawa wahatari
@GertrudeBukuru5 ай бұрын
Safi sana mwijaku
@siphifahashimu97235 ай бұрын
uko sawa mwijaku
@user-mv5iy9ih3b5 ай бұрын
Kka nmekuelew sana
@bonabonala55595 ай бұрын
kwahili mwijaku ninakupenda sana kumtetea konde boy kwa ukuma wa Mama levo atafukuzwa wcb mpaka sasa aliaidi kumzaria mondi mimba imegoma msenge azai mama levo
@abraaabravoo80805 ай бұрын
Hahahhaa et mama levo
@boniphaceonlinetv38785 ай бұрын
😅😅😅😅 mwijaku nomaa ,
@gloryprosper50735 ай бұрын
😂😂😂😂😂 loooh mwijaku ulikuepo😅
@athumanimhanga20535 ай бұрын
Et harmo anaenda na milioni 50.yanyokoo 😂😂😂😂
@ilynpayne74915 ай бұрын
Harmonize hana ela an gombea milion 5 fala sana kumbe ni maskini 😂😂
Waha tuko straight na vya kwetu na hatutaki ujinga pia mwijaku kumlazimisha bb lev asiende hosp hii ni imaturity kwenye masuala ya law na inaonekana kuwa huyu mchanga sana anataka watu wapigane tu
@anafikamugisha88345 ай бұрын
Yaani mwijaku nimekuelewa Sana wewe kumbe unajielewa saana simama hivyohivyo nawenye akili timamu Baba levo ana tamaa sanaaaa
Huyu jamaa harmo amfingulie kesi kwa kumdharirisha. Alidhatoa wimbo Harmo Mavi, harmo Mavi . Harmo pia afungure kesii kwa damage anayompa kwenye biashara yake.
@topcollections75385 ай бұрын
mwanamme mambo ya kupenda kupewapewa pesa na unajiita ombaomba na uchawa nbaya sana
Ilo libaba levo sio bule limetumwa amchafue Jeshiiiiii na watashindwa
@khamisyahya13835 ай бұрын
Baba boss wke mondi hela anayo akamuombe sas asimchafue tembo
@EsteR-dt9iw5 ай бұрын
Mm nilimwambia huyo anataka hela tu atimae mwijaku nae katoa jibu
@veronicangailo76445 ай бұрын
Hata Hamo hana hela ni maigizo tu kugombani m5
@user-hb4dl1lp9y5 ай бұрын
Dh pole san babalevo lakin ndo uache tamaaa pes ni zakupita
@rosemaryphilipo30095 ай бұрын
Baba lovo anamdomo sana harmo angemkata ata iyo pua ili abaki kilema
@lilhomies25415 ай бұрын
Tatizo LA mwijaku Ana urongo wa wazi kabisaa
@abbassalum68245 ай бұрын
😂😂 Mwijaku leo umejua kuniacha hoi eti anaenda kupima shingo anaenda kupima Fuvu😂 kumbe hadi Fuvu amelipima
@jameszephania31435 ай бұрын
Kumbe anacheza kamali 😢😢😢
@fredgonga5 ай бұрын
😂😂eti akazungushe! Hela ya watu
@DanielSaid-tv7dd5 ай бұрын
Uyuuu jammaa mwehu kweli we ndo mtu mzimaa achaa utotooooo we ndo mtoto unaongea ujinga ungekuwa umekabwa ungeingea uninga
@user-yy3oy9wn7b5 ай бұрын
Acha wa muchape baba levo ni mujuaji na ajui kitu si ana lelewa wasafi
@user-yz8de4lb3m5 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza mwijaku anaongea ukweli.. kiukweli nimefrahi
@presentertelence16795 ай бұрын
BABA LEVO AMETUMWA TU NA DIAMOND
@giztony20095 ай бұрын
Mondi ni mkubwa sana jitaidi kuficha ujinga wako
@presentertelence16795 ай бұрын
@@giztony2009 kafie uko kinenge
@silviocimo39485 ай бұрын
Sasa yeye hanazo hela nyingi, mbona aja towa hela zake akampa uyo ntu wake acheze
@nzeyimanamwavita19045 ай бұрын
Jeshiii safi sana bado juma lokole naye 😂😂😂😂👍👍
@sophiekindem90715 ай бұрын
😮👊🏽👊🏽🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍🏽💯
@thehustlerafrica43685 ай бұрын
Kumbe harmonize nae masikini anagombania pesa na machawa😂😂😂
@karimjuma40195 ай бұрын
Jidanganye ivyoivyo
@khadhiriramadhan59845 ай бұрын
Hamo njaa unanganganiya mlioni5 😂😂😂😂😅😅😅
@fatmafatu11285 ай бұрын
Wehata milioni moja huna unakenuwatu
@nasrqmatimbwa66885 ай бұрын
Tupo kwenye msiba wa maombolez😅😅😅😅
@esterkinunda22755 ай бұрын
Mwijaku ndo amna ktu apoo nnachomwamin mi mwijaku nktu anachofanya uku nakiona maana apo ww upo kumtetea boss wako tuu na uovu wake
@charlestobby60315 ай бұрын
Uhovu upi unaongelea wewe ulikuwepo siku ya tukio au bendera fata upepo tu
@presentertelence16795 ай бұрын
🤣😂😂😂 Mnyonyaji mkubwa
@user-wr7kk6ke7x5 ай бұрын
Ndo maana nampenda mwijaku anaeleweka mapua hoi😅
@godwingodwin25645 ай бұрын
Baba levo ni mtu mzima anajitambua kweny ukweli acheni aseme uyo msanii wenu konde kweli anaenda kucheza kamali hamna kitu apo Simba hana vitu km ivo, konde mnamkuza tu ila ukweli hana hela mbwa uyooo kanajidai kananguvu katakuja pasuliwa one day
@caissemalatinho2525 ай бұрын
Yani munazingua kwenhe msiba mzito wa kitaifa munaongelea upumbafu
@carlosleonard60505 ай бұрын
Vip ka harmonize naye katunga uongo...na
@salehkhamis-ob8ln5 ай бұрын
ila harmonise amekosea sana amuombe radhi tu bangi zenu mziweze sio mnamalizia kwenye mili ya watu
@AUDREALY5 ай бұрын
Kma namuona mwijaku anavo tetemeshwa na kesi isio mhusu😅😅😅 Harmo mwenye kesi ata ajasema lolote unataka uwe shahidi kwa kipi na mbona haraka haraka hivo eti kwenye fidia😢😢😢 dah kaiepuka kesi ya #Ericomond Kenya sasa hii sijui 😂😂😂 mtu mkubwa apigani kijinga jinga ivo aise anyway mahakama itafanya kazi yake fidia ni mahakamani😮😅😅😅😅
@charlestobby60315 ай бұрын
Ukizingua unadundwa tu kwa hiyo ukiwa mkubwa ndo utukanwe unyamaze si ndio hamna hiyo utachezea kipondo tu😅
@petercostakisoka5 ай бұрын
Eeh me nilikuwa najiuliza daaah harmonize ni mtu wa kugombea million 5 na account zinasoma mabilion uyo baba levo anatengeneza mazingira ya kupata pesa safii sana mwijaku
@user-us7yu2cj9l5 ай бұрын
Kwaiyo ndio umepata majibu kwahuyo
@walidsultan74865 ай бұрын
Acha ujinga wee mzee tumegundua wasanii wabongo ni maskini 😂😂😂😂
@charlestobby60315 ай бұрын
Masikini kama alivyo babarevo mpenda vya bure😅😅
@walidsultan74865 ай бұрын
@@charlestobby6031 ndio wa saani wote walikuemo casino maskini walikua wanasubiri mgao 😂😂
Baba Zima baba levo hebu tulia wakati mwingine unakera
@giztony20095 ай бұрын
Huyu ni muongo kwani huyo sam chaupole si angepewa hela na huyo HARMONIZE sasa msanii mkubwa unaanza kusimamia kugawa hela ya watu badala ya kutoa hela yko mwenyewe harmonize mwenyewe kumbe ni maskini
@wanyalukoloculturaltours50455 ай бұрын
hahahaha ila hawa majamaa maisha yao
@user-eu6yq8tp7y5 ай бұрын
Nyadundo hana ela anagombania m 5 si choko konde ni choko masikin
@user-vv5pf4rj9w5 ай бұрын
Why kupigwa fuvuuu😂
@JackOchwele5 ай бұрын
Huyu ni kenge tu. Hamna kitu anaongea. Ni utetezi tu.
@jackmabirangacharles93985 ай бұрын
Ushahidi wa kuambia hata Mahakamani Huwa haukubaliki hata Mahakamani Mwijumaaa isiongee kitu ambacho wewe ulikuwa nyumbani kwako
@Mtotowababa5 ай бұрын
unajua issue sio story, Kama kuna camera kwenye casino watoe ushahidi... Wa video
@xaviersimaoassilaassila91605 ай бұрын
Mwijaku we malaya tu mbwa
@vincentmushi12475 ай бұрын
Vido vidox umemuaji dada Mwijaku..mtu ambae anaweza kukuambia kuwa bata ana uwezo wa kujamba...wakati bata zake ni kuharisha...wacha panya apelekwe mahakamani...😂