DOTTO MAGARI AMUWASHIA MOTO BABA LEVO, USO KWA USO, CHANZO GARI

  Рет қаралды 76,500

Mbengo Tv

Mbengo Tv

8 ай бұрын

Пікірлер: 96
@user-wp3xr8gr8u
@user-wp3xr8gr8u 8 ай бұрын
Doto Acha Tu unatisha mzazi unatufanya tujiskie good Always
@AldoMan-ex6mi
@AldoMan-ex6mi 6 ай бұрын
Nakubal
@humphreyleodgar9434
@humphreyleodgar9434 6 ай бұрын
Doto ni halisi halisia hakuna kufake ❤❤❤
@frankmganda2424
@frankmganda2424 7 ай бұрын
Broo Dotto nakukubali sana unaongea ukweli
@user-sj8ck1bk1d
@user-sj8ck1bk1d 7 ай бұрын
Pesa haitaki kelele broo piga kazi mdomo achia Mke Wako boi
@salehkejje8786
@salehkejje8786 7 ай бұрын
Doto ni mtu Wa kufurahisha watu Tunajiskia faragha sana uwepo wako
@katsuvakamatedaniel7893
@katsuvakamatedaniel7893 7 ай бұрын
Hapo kwa juma nime cheka eti Kama musabato 😅😅😅
@ASALABOY
@ASALABOY 8 ай бұрын
Mzee wanondo Dotto maca
@haroldkayanda7092
@haroldkayanda7092 8 ай бұрын
Hupendi maendeleo ya wenzio kazi kuwaponda, hivi wewe unauza magari au kazi kukashifu wenzio? Hiyo ndo kazi unaisha familia yako? 😂 pole!
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 8 ай бұрын
Dotto eeeeeeeh sijawahi kucomment leo acha nicheke2😂😂😂😂
@SharifuAlbughul-ls4mw
@SharifuAlbughul-ls4mw 8 ай бұрын
Yan mpk waandishi wanashindwa kumhoji wajikuta wanachekaaaa to na kuskiliza😂😂😂😂😂
@elizajoseph7209
@elizajoseph7209 8 ай бұрын
Anaendesha juma mosi na juma pili kama msabat0😂😂😂😂😂😂
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 7 ай бұрын
Doto acha uongo mbona hiyo gari haina namba kama kweli ni yako😅
@HappyGreenTea-fo8lz
@HappyGreenTea-fo8lz 4 ай бұрын
Anaendesha kila jumapili kama msabato😅😅😅😅😅
@eldaddyofficial
@eldaddyofficial 6 ай бұрын
Tto kakaa nao chuoni Uganda
@angedizzle1
@angedizzle1 8 ай бұрын
Kwa sisi watu wenye elimu.....😂😂
@bonabonala5559
@bonabonala5559 8 ай бұрын
doto mwamba upo juu kuriko mapua au mama levo
@user-lq1yg9mk1i
@user-lq1yg9mk1i 3 ай бұрын
Gari ni Chombo cha usafiri sio cha starehe...ukipata ajali ndio utajua.... Zaidi ni comfortability tu ya Gari kwa kutegemea umbali wa safari na ndio maana raisi ana magari ya town caravans' cars na gari za masafa ya mbali
@user-lq1yg9mk1i
@user-lq1yg9mk1i 3 ай бұрын
Dotto Kwa sababu yeye Ni dalali wa magari Sio ajabu....Ila Hao wengine wamezidi ulimbukeni na ushamba ....mzungu hana ujinga wa kumiliki magari mengi akiwa hata ana Pesa vipi na wasanii wa ulaya wao wanakua na magari mengi ili baadae iwe kama vintage Yard
@user-lq1yg9mk1i
@user-lq1yg9mk1i 3 ай бұрын
Achani kuiga maigo yasiyo ya msingi Kuna mambo kibao yakufanyia hizo Pesa ukaweleza na kufahidika ....acheni kua na mindsets za ajabu
@danreckgodfrey4663
@danreckgodfrey4663 7 ай бұрын
Kwani dotto una gari yaina gan? Maana unaponda wakati lakwako hatulioni na pikipiki huna😊😊
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 7 ай бұрын
Mbona doto unakaa banda la uani misifa yote hiyo uliyonayo jamani mnaishi mai sha yakuigiza sana
@bugabyarugaba3771
@bugabyarugaba3771 7 ай бұрын
Baba levo kwa doto tulia wenye jj lao huwawezi
@eldaddyofficial
@eldaddyofficial 6 ай бұрын
Mburundiii babalevoo
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 8 ай бұрын
Dotto. Sasa sisi Wasabato tumeingiaje apo? Mbona ivyo?😅😅
@eldaddyofficial
@eldaddyofficial 6 ай бұрын
😂😂😂
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 8 ай бұрын
Yawezekana,kanunuliwa ,Ila wanakata kwenye mshahara
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 8 ай бұрын
Eti hapa ipo😊
@sorwasoudy6256
@sorwasoudy6256 8 ай бұрын
Doto unaongea Sana
@ReginaJoseph-cm3cx
@ReginaJoseph-cm3cx 8 ай бұрын
Kodi unalipa?
@arafatkasu
@arafatkasu Ай бұрын
Vibunju 😅😅😅😅😅
@mathewungani9724
@mathewungani9724 8 ай бұрын
Matako ya Nyani.....Mapua
@user-fp9su6vp9y
@user-fp9su6vp9y 7 ай бұрын
🎉
@josephmihayo6236
@josephmihayo6236 7 ай бұрын
Mbwembwe nyingi, majigambo mengi kumbe anakaa chooni.
@gadafsalum8042
@gadafsalum8042 8 ай бұрын
Inatakiwa uanze kuripa kofi
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 8 ай бұрын
bora umewakomoa mana wambea hao 😏😏
@user-fg1gg3ec2o
@user-fg1gg3ec2o 7 ай бұрын
Kenya waoga wanaogapa kuuawa
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 8 ай бұрын
Duuu
@user-el6mm4lh4m
@user-el6mm4lh4m 8 ай бұрын
Dotto njaaa2 uyoooo na sofa zimemjaaaa daimond hnaaa hiana na m2 bba levo chapa kazi🎉🎉🎉🎉
@salehkejje8786
@salehkejje8786 7 ай бұрын
Doto achana na watu utajiharibia CV endelea kutufurahisha Cha mama kipo apo 😂😂
@user-lq1yg9mk1i
@user-lq1yg9mk1i 3 ай бұрын
Acheni ushamba wa magari nyie
@salumDion3175
@salumDion3175 8 ай бұрын
Kwan namba yagar inasemaje niileile au imebadirka
@user-vw7te4fu9h
@user-vw7te4fu9h 8 ай бұрын
😂😂😂
@fanitofaustino4108
@fanitofaustino4108 8 ай бұрын
Kkkkk
@Josephkp629
@Josephkp629 7 ай бұрын
Tqngazo la biashara hili
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 8 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@sorwasoudy6256
@sorwasoudy6256 8 ай бұрын
Doto ndo kboko w machawa
@eldaddyofficial
@eldaddyofficial 6 ай бұрын
Umeonaaa ehhhhhh hawavumiiiii tenaa wala hatuwaogopi tenaa
@user-uo8ce5wp9x
@user-uo8ce5wp9x 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@benitokibwaa4251
@benitokibwaa4251 8 ай бұрын
Humuwez baba levo ww
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 8 ай бұрын
Tatizo Doto watu wanampendea uongo wake tu na kujisifu hela lkn hamna chochote maigizo tu hayo ukimaliza interview unarudisha hela za watu hizo daaaah. Unasema Mazda gari lako lkn hakuna hata plate number mamyake
@Baron_Kigume
@Baron_Kigume 8 ай бұрын
Acha makasiriko. Tafuta Hela
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 8 ай бұрын
@@Baron_Kigume Sema unataka shingap nikutumie
@Baron_Kigume
@Baron_Kigume 8 ай бұрын
@@nasibuahmedy2438 Ninajitosheleza. Silalamiki hovyo na kuanza Ku-Diss hustle za wanaume wenzangu. Ninaheshimu wapambanaji
@Kimanzi001
@Kimanzi001 8 ай бұрын
DOTO MAGARI NDO NAANI MBONA ANA KELELE SANA?
@user-uo8ce5wp9x
@user-uo8ce5wp9x 7 ай бұрын
duu huyu mwamba hatar
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 8 ай бұрын
Mbona sijaona sehemu ambayo b levo anamchana doto ?
@westcijosh
@westcijosh 8 ай бұрын
Ukifungua macho utaona
@KIPUDA2023
@KIPUDA2023 8 ай бұрын
😂😂❤❤
@KingSillah-gx5nv
@KingSillah-gx5nv 8 ай бұрын
Wanaume watanzania wanaongea sana kuliko wanawake, hapa Kenya huwezi ongea vile huyu jamaa anajisifia utapigwa risasi mapema sanaa💔💔💔. Tajiri haonekani mtandaoni ama kwenye media , matajiri wanaogopa kuonekana, nashangaa vile watanzania wanapenda kujionesha wakijisifu vile wanavyo hela. Njoo hapa Nairobi uone matajiri, utajidharau kaka.
@wilsonthomas9176
@wilsonthomas9176 8 ай бұрын
Nchi yenu c haina aman
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 8 ай бұрын
Ushasema huko kwenu Kenya ila tambua huku ni Tanzania nchi huru. Alafu huyu Doto magari wala sio tajiri au umepagawa na hicho kibunda kidogo cha hela
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 8 ай бұрын
Million moja siyo utajiri.Hao unaowaona wanaongea sana riziki yao iko mdomoni.Hivyo lazima waongee sana.
@zakariadesha2707
@zakariadesha2707 8 ай бұрын
Kenya wanaumehawana pesa Tanzania tulishazoeya kutumiya pesa mtanzania wahaliyachini hakosikumiliki MILIONI kwanziya 5 kwahio kwetu tunaona kwawaidatu
@allendaniel3172
@allendaniel3172 8 ай бұрын
Asa nyi si mnatamaa Tz watafutaji ukiwa na pesa Yako ni Yako hakuna MTU ataitamani kikubwa kupambana Kila mtu awe na chake nyi Kenya piganen io mibunduki Kwa tamaa zenu
@nurdinkisaria9476
@nurdinkisaria9476 8 ай бұрын
Wee takataka fiche vihela vyako mshenzi nini
@user-rw9kc2wg4f
@user-rw9kc2wg4f 8 ай бұрын
Sema mnazingua nyie midia yenu jau iyo uso uso kwa uso baba levo yupo wapi ss acheni mamb ya kiwaki
@westcijosh
@westcijosh 8 ай бұрын
Matako ya nyani yamekua matako ya sungura😂😂 dotto kenge sana
@roseannandambo8695
@roseannandambo8695 8 ай бұрын
Utani utani tupinge utani na doto magari?
@laurentmupira1280
@laurentmupira1280 8 ай бұрын
Tukizichange kwenye dollars za Marekani, hamna kitu!!!! Ni ugari tu, na mboga za majani.
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 8 ай бұрын
Ila zakwakweeeeee
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 8 ай бұрын
We unazooo😂
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 8 ай бұрын
Mtumwa wa mayahudi
@davcodavid8651
@davcodavid8651 8 ай бұрын
Acha bwana wewe zake lkn
@laurentmupira1280
@laurentmupira1280 8 ай бұрын
@@NgengeMkeni-uo5hq, More, than him!!! For eg: Kila asubuhi nikiwa kaunta, nalazimika kutoa pesa taslimu zaidi ya milioni mia mbili ili kuwalipa wasafirishaji wa malori ya trela. Ni lazima iwe siri kubwa, iliyotunzwa vizuri na sio hiyo.
@user-hi1xf3je6l
@user-hi1xf3je6l 7 ай бұрын
Mmezingua kwa mzawa mwenye dar yke
@oyay2821
@oyay2821 8 ай бұрын
@babalevo waitwa huku
@andrewmmbaga1665
@andrewmmbaga1665 7 ай бұрын
😂😂😂
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,3 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO
27:31
Wasafi Media
Рет қаралды 205 М.
IBRAH WA HARMONIZE AMCHAMBA VIBAYA RAYVANNY,AMUITA MTOTO
9:19
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,3 МЛН