MWIJAKU Amnyea KAJALA "AMEPOTEA baada ya kuachwa na HARMONIZE/MARIOO ajiangalie"

  Рет қаралды 26,305

Rick Media

Rick Media

4 ай бұрын

...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Kajala #Harmonize

Пікірлер: 49
@kimchi-91
@kimchi-91 4 ай бұрын
Mwijaku yuko very smart sana huyu mwamba.
@user-yi8xf6ct2s
@user-yi8xf6ct2s 4 ай бұрын
Kwel kabisa umeongea point huyu mwamba very smart brain guy❤❤❤❤❤❤
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 4 ай бұрын
Si unasema hapo mwijakuuu jaman ushatoa Siri ya Kambi jaman master kayakanyagaa😂😂😂
@bonabonala5559
@bonabonala5559 4 ай бұрын
muha mpogorobhua nakuchukia ukimponda doto magari na harmonize zaidi ya hapo mpogoro mwijaku nakupenda sana
@user-zt3ug9wv7f
@user-zt3ug9wv7f 4 ай бұрын
But hapa kwa master j naona nkwel ameanza kuwa kma chawa siku hizi😂
@salumumalilo2966
@salumumalilo2966 4 ай бұрын
Mwijaku ni fundi ktk kupanga maneno hongera San boss
@user-el6mm4lh4m
@user-el6mm4lh4m 4 ай бұрын
Nakuelewa sanaaa mwamba mwijaku
@yosiaangumbwike2822
@yosiaangumbwike2822 4 ай бұрын
Master J kayakanyaga😂
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 4 ай бұрын
Kayakanyaga mno! Mzee angetulia tu alinde heshima yake siyo kila siku mitandaoni kujisifia na mambo ya kale. Awaache vijana wafanye mambo yao siyo kuwadhalilisha wakati wamemzidi kila kitu. Angekuwa contractor angehangaika na BSS?
@Unity6663
@Unity6663 4 ай бұрын
Na miguu yote 2 tena 🤣🤣
@kimchi-91
@kimchi-91 4 ай бұрын
😂🤣🤣🤣@@johnmwasilu7087
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 4 ай бұрын
Ni kweli sasa kajala ataongelewa kwa nini
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 4 ай бұрын
Na unamuongelea tayari 😂😂
@jimkellyngige981
@jimkellyngige981 4 ай бұрын
For once i agree with Mwijaku...Master Jay amekuwa HATER sana siku hizi and he is very BITTER nowadays!!...
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 4 ай бұрын
Mwijaku ameamua kuwasha moto kwa nyumba za master 😂
@walengamwamaua-ws6io
@walengamwamaua-ws6io 4 ай бұрын
Unaongea kweli mwijaku hapo very very
@user-gf2sq5ux4o
@user-gf2sq5ux4o 4 ай бұрын
Nii kweli kabisa anajitahidi kupost vigrip ila wapi havifanyi kutrendi
@DavisEnglishTv
@DavisEnglishTv 4 ай бұрын
Stak kuamini kam mwijaku na degree yake anapata shida kutamka alot of, napata shida pia kuamini kuwa mwijaku anamwambia kajala kuwa next time akipata mwanaume maarufu "She have to respect" badala ya kusema "She has to respect" mwinjaku pia anashindwa kutamka neno Natural. Mmmmh..Wenye madegree mnatuangusha
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 4 ай бұрын
Wako wabongo wengi wana degree na kiingereza kama lugha ni shida! Tumesoma shule za aina tofauti
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 4 ай бұрын
Kwa Tz kawaida ya kuwa mpole
@ericmugishaa8507
@ericmugishaa8507 4 ай бұрын
Unahisi wewe ndiye umepatiya Unajifanza mungereza wakati hujuwi chochote 😢 Kwaniwewe umekosowa nini 😂😂
@DavisEnglishTv
@DavisEnglishTv 4 ай бұрын
@@ericmugishaa8507Nenda kajifunze kwanza kuandika vizuri ndo uje nikueleweshe
@SilaMinanda
@SilaMinanda 4 ай бұрын
She has, she have, the samething kinachotofautisha ni time, hapo ni tense mzee ndio znakuchanganya
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 4 ай бұрын
Nashaa mwenyewe ame muabandon na mtoto wake
@merinakassembe118
@merinakassembe118 4 ай бұрын
😂😂😂muache shangazi kweli?lakini asikiki
@user-hn3km9ex5r
@user-hn3km9ex5r 4 ай бұрын
Mwijaku kiboko 😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅🎉🎉🎉
@user-ot8fp5pu9g
@user-ot8fp5pu9g 4 ай бұрын
Mtangazaji endelea hivyo hivyo...utafika mbali
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 4 ай бұрын
Mwijaku master J kashachoka Hana jipya huyo kachunda
@user-mo3kf2uk5b
@user-mo3kf2uk5b 4 ай бұрын
Mwijaku bana unachomea kajala 😂
@sibhonikealiko
@sibhonikealiko 4 ай бұрын
Mwijaku analalamika maisha yake kusemwa na Master J?? Hiyo si ndo kazi ambayo Mwijaku anaifanyaga😅😅😅
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 4 ай бұрын
Uso wote umearibika sende kwa antyEzekiel hakachukue cosmetic hanatissha uso wake halafu kwa Hamo asahau
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 4 ай бұрын
Kapotezwa halafu limezeeka limekonda Hilo limama haaaa
@DaudiSaid-bj7dh
@DaudiSaid-bj7dh 4 ай бұрын
Sasa huo muda wa kufuatilia mtu ameweka au ametoa mnaupata wapi??
@user-wc5jc8vp6u
@user-wc5jc8vp6u 4 ай бұрын
Kawe kun wafany biashara wadogo 500 hi imeenda
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 4 ай бұрын
Mwizi shangazi aliiba hatinkabda yakukabidhiwa
@mrengineer8901
@mrengineer8901 4 ай бұрын
Sio she have bana ni she has
@mwendemwende5789
@mwendemwende5789 4 ай бұрын
Kajala kapotea wapi? Hamo ndio kapotea kajala Ako na mwanae
@AsmaMosh-mk8pu
@AsmaMosh-mk8pu 4 ай бұрын
Ww wakona kazi gani
@user-mo3kf2uk5b
@user-mo3kf2uk5b 4 ай бұрын
Mwijaku bana unachomea kajala 😂
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 2,3 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 136 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 51 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 49 МЛН
MISSO MISONDO AITEMBELEA FAMILIA  YAKE KIJIJINI KWAO MASASI
1:25
MTUNZI ONLINE TV
Рет қаралды 1 М.
Слепой парень помог раскрыть тайну 😱
0:45
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 2,3 МЛН
And how are they not embarrassed?
0:19
Rinuella
Рет қаралды 25 МЛН
У Котика Отняли Игрушку 🥺
0:15
ДоброShorts
Рет қаралды 2,1 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
0:12
Laro Benz
Рет қаралды 25 МЛН
Don’t Bully a Vampire Girl 👿
0:38
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 25 МЛН
ЧТО НАМ ПОПАЛОСЬ?😜😜😜
0:12
Chapitosiki
Рет қаралды 876 М.