MWIJAKU AWEKWA KATI NA KAKA YAKE, KIKAO KIZITO, MATUMIZI YA PESA

  Рет қаралды 24,266

Mbengo Tv

Mbengo Tv

7 ай бұрын

Пікірлер: 39
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 7 ай бұрын
Kaka kamaliza kila kitu hongera sna mwijaku kwa kuwa na bora na sio bora kaka❤
@PizzoBeatz
@PizzoBeatz 7 ай бұрын
Wabembe Hawa wanapenda sifa sana 😂😂😂
@karimjuma4019
@karimjuma4019 7 ай бұрын
Nyumba mzuri sikatai ila bilion ?kuwen na heshima na pesa
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 7 ай бұрын
Mwao wanafanana
@StevenPeter-sg7zo
@StevenPeter-sg7zo 7 ай бұрын
Jamaa amefanana na stamina
@mohdshebe5640
@mohdshebe5640 7 ай бұрын
Aaaaaa hapa bwana kuna siri ya nyumba hiii hahaha ,1.3 billion weee achaa tuu
@annatwelewile3498
@annatwelewile3498 7 ай бұрын
Nusurani hongera zako umekuwa,
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 7 ай бұрын
48 bado kijana kabisa masha allaah
@100kidso
@100kidso 7 ай бұрын
Wa kwanza ❤
@meshack3266
@meshack3266 7 ай бұрын
Nyumba kali ila bilion moja hapana ile ya kina navikenzo na hii je maana ile walisema milion miasaba
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 7 ай бұрын
Mwijaka kasema taa zinatoka china maana yake kaka yake kaagiza kutoka china
@user-fs6lp3op1x
@user-fs6lp3op1x 7 ай бұрын
Apo Sasaaaa
@rashidrashidmaulid1129
@rashidrashidmaulid1129 7 ай бұрын
Hapo hapo kasema alikuwa na China anampigia fundi wake wa umeme video call wanachafua taa 😅😅sema liongo ila pongezi yake mjengon wa kishiba
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 7 ай бұрын
Tatizo mnachagua udaku badala yakusikiliza bro anamzungumziaje mwijaku, mwenyewe tayari ameshasema ukimchukulia serious huwezi kuelewana nae.
@user-vt3uq3xv3s
@user-vt3uq3xv3s 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@rerisamba
@rerisamba 7 ай бұрын
Yani ndugu kama hawa ndio wana takikana sio ndugu wenye wivu
@josephkiwale374
@josephkiwale374 7 ай бұрын
Mwandishi vp mbna kama hutaki kukubali ivi😂😂
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 7 ай бұрын
Bilioni katudanganya
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 6 ай бұрын
Hata Mimi niliju stamina duh
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 7 ай бұрын
Mwijaku muongo alisema taa kanunua china moya laki7😂😂😂😂
@tabyabelemwenebenga2311
@tabyabelemwenebenga2311 7 ай бұрын
Ila ngumba yake
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 7 ай бұрын
Wanafanana!
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 7 ай бұрын
Bilioni moja ni uongo. Ni nyumba ndogo yenye ghorofa moja na gharama hua inaongezeka kwa urefu wa ghorofa. Hapo hata milioni 400 sijui. Wajenzi na waliojenga wanafahamu. Nondo kokoto zege ndio zinapandisha gharama ya ujenzi na sio eti taa milango labda iliyonakshiwa na dhahabu dhahabu. Hiyo size ya nyumba navivyotumika kujenga bilioni ni uongo
@arnold9406
@arnold9406 7 ай бұрын
Kiki hizo
@enoszaka-tx8qw
@enoszaka-tx8qw 7 ай бұрын
hawa kama family hawakua na mawasiliano kwenye interview zao huyu taa kaagiza china kaka mtu taa zimetoka dukani kwangu morogoro 🤣🤣🤣🤣🤣
@rajabually869
@rajabually869 7 ай бұрын
Kaka dio mkweli
@shamshabani2262
@shamshabani2262 7 ай бұрын
Kwan kaka yake ana kiwada cha mataa , je kama ana chukua mzigo china unajuaje sasa?
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 7 ай бұрын
Iweee zimetokaaa Moro lakini zinatokaaa china
@TahilaRamadhan-hz3pd
@TahilaRamadhan-hz3pd 7 ай бұрын
Hpna kasema asilimia 80 ya taa kampa yeye but nyengine katokanazo china mwijaku
@moriscollins4494
@moriscollins4494 7 ай бұрын
Mwamba kasema taa kaagiza china huku zimetoka moro
@bilid4128
@bilid4128 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 7 ай бұрын
Kikubwa kajenga nawewe kajenge
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 7 ай бұрын
Ndomaana watu hawapendi wazaz na ndugu zao waojiwee 😂😂😂
@ladooladoo1285
@ladooladoo1285 7 ай бұрын
Ni sawa kaka kaagiza kutoka china si wafanya biashar wananunua nje jamani
@syliviakente9460
@syliviakente9460 7 ай бұрын
Ukiwa una jenga ukapata nafasi.ukasafiri nje ya chini waweza leta container lako lenye vifaa vya ujenzi ukafuata taratibu za Kikodi TRA kuna unafuu sana
@grantmwakalambile2808
@grantmwakalambile2808 7 ай бұрын
Co nyumba yake acha kuzingua kazitoa wp hela za mjengo wote huo chawa mwijaku
@rerisamba
@rerisamba 7 ай бұрын
Itabidi uamini tena kajenga kwa mwaka mmoja
MAPYA KUHUSU SAKATA LA MAKONDA, DUDU BAYA AWASHA MOTO
9:49
Mbengo Tv
Рет қаралды 60 М.
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 2,4 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 26 МЛН
DADA WA KAZI ALIYE FUMANIWA NA BOSS WAKE AFUNGUKA MWANZO MWISHO
20:46
KUMEKUCHA,MAKONDA YUPO WAPI?, DR SULLE ATEMA CHECHE
19:08
Mbengo Tv
Рет қаралды 28 М.
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН