No video

Mwijaku: Lazima nimualike DIAMOND, amechangia Ujenzi wa Nyumba yangu! Amuoe Zuchu! Part 3

  Рет қаралды 25,940

LilOmmyTV

LilOmmyTV

Күн бұрын

Mwijaku amesema atamkaribisha Diamond Platnumz kwenye nyumba yake! adai kuwa Hela yake ya kwanza kuanza ujenzi ilitoka kwa Diamond, na amepokea ujumbe wa kufurahisha kutoka kwa Simba!
Tazama full interview hapa, Susbcribe, Like, Comment & Share! Part 4 inaendelea
Kijana tumia kinga, Zingatia uzazi wa mpango. #Sitetereki

Пікірлер: 48
@john_1trader
@john_1trader 7 ай бұрын
Diamondi ana moyo wa kipekee wanaomsema naamini asha wagudua kuwa wana tamaa kubwa kwenye maisha yao do maana anawaweka pembeni
@fredymando
@fredymando 6 ай бұрын
mwijaku kwachanganyikiwa niko na gorofa ya 800milioni ni nzuri kuliko yake
@samkb5823
@samkb5823 7 ай бұрын
Yes
@HusinaKarama-ti9jm
@HusinaKarama-ti9jm 7 ай бұрын
Mashaallah mwijaku ❤️❤️Diamond 🦁🤲
@user-jd9xd3gk3m
@user-jd9xd3gk3m 7 ай бұрын
Naona anatafuta hela ya finishing kwa mialiko😂😂😂
@Kildokiza145
@Kildokiza145 7 ай бұрын
King of intenvien respect sana kaka🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 7 ай бұрын
Kati ya watu ambao wamemkuza diamond na Harmonize ni Mwijaku na Baba levo. Kwakua wanamuongelea
@john_1trader
@john_1trader 7 ай бұрын
Aah bro kama umekuja wakati hawa machawa tulia tu
@ramlabaruani4202
@ramlabaruani4202 7 ай бұрын
Ujui lolote wewe diamond ndio kawakuza hao wote na panya wengine simba ni✨✨
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 7 ай бұрын
We tahila kweli hawa jamaa wamekuja juzi alafu unasema wamemkuza Mond!!!??
@dicksonkusaga
@dicksonkusaga 7 ай бұрын
​@@john_1trader0:33 0:33
@dicksonkusaga
@dicksonkusaga 7 ай бұрын
​@@john_1trader0:53
@user-nq4md3sj6d
@user-nq4md3sj6d 7 ай бұрын
angalia emotion na jinsi Lil Ommy anavyoongea utajua kweli kuwa Jet iko karibuni Trust me.. muangalieni Omy anavyosisitiza
@veronicahwanjiru4568
@veronicahwanjiru4568 7 ай бұрын
First time mwinjaku yuko serious
@TALLUBOY
@TALLUBOY 7 ай бұрын
HILA KAKA MWIJAKU USIWE UNAMSEMA VIBAYA DIAMOND PLATINUM MAANA UNAMSHUSHIA BRAND YAKE MZEE NA WATU UNAVYO MSEMA DIAMOND UNAMSHUSHIA HESHIMA NA WATU MANENO YAKO WATU WANAMZARAU Maana unavyo muita mwambino da! Siyo poa
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 7 ай бұрын
Yupo kazini
@Kildokiza145
@Kildokiza145 7 ай бұрын
SITETEREKI kaka lil unajuwa sana
@Kildokiza145
@Kildokiza145 7 ай бұрын
Tuko Live brother Lil ommy tukiwa USA 🇺🇸
@omanmct135
@omanmct135 7 ай бұрын
Mashalllah❤ mwijaku😂
@grandbwisengotv4702
@grandbwisengotv4702 7 ай бұрын
Ni DC
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy 7 ай бұрын
hebu atuachie mond wetu, kwa matusi na vitimbi alivyomfanyia, mond ni muungwana sn ila wewe huheshimu wenzio, pumbavu mwijaku
@tonygee5680
@tonygee5680 7 ай бұрын
Ati huyuu anafikiri yeye ndiye bingwa wa kuhojii buree kabisaa. Rolls Royce ina muhimu gani kwenye jengo
@happynkya9770
@happynkya9770 7 ай бұрын
simbaaa
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 7 ай бұрын
tambwe reta mbosso pluzzz
@samniza1763
@samniza1763 7 ай бұрын
Mwaafrika! mwaafrika tu.
@abdallahmvungi3566
@abdallahmvungi3566 7 ай бұрын
AKILI M2 WANGU🥸
@anisiamchembe6552
@anisiamchembe6552 7 ай бұрын
Kijana pambana mpaka kieleweke watu mjini zalau ni nyingi sana huo ni mfano mzuni sana
@vumbakingvumbaking9571
@vumbakingvumbaking9571 7 ай бұрын
Jitu zima fala kabisa mbona Ali vujisha picha za uchi za menina kiazi kabisa ukweli gani una wambia wenzako
@JamaliOmary
@JamaliOmary 7 ай бұрын
Lakini huyu boya anaweza kuongea maneno mazuri akiamua
@bonnefaceathumani7270
@bonnefaceathumani7270 7 ай бұрын
😂😂😂😂 mwija leo kdgo nimekwelewa
@elizabethchabluma-zw5qz
@elizabethchabluma-zw5qz 7 ай бұрын
Sasa Simba anasafari nyingi anaweza akawa nayo mwijaku acha wivu na hauwezi kuwa na ndege
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 7 ай бұрын
Hujamuelewa bd uyo kiumbe utapata tabu sn
@masoudamour
@masoudamour 7 ай бұрын
hahahaha mwijaku nisungura mjanja anazirusha anakupeleka maboya yy msomi yake yanamuendea
@user-rf7ni6tr2o
@user-rf7ni6tr2o 7 ай бұрын
Duuu kumbeee kakusaidia reo umekua kama faraa
@user-fo5fb4tp4i
@user-fo5fb4tp4i 7 ай бұрын
Oya broo mtafte ten chawa mwambie aache ushamba
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂🎉
@naimanimo4925
@naimanimo4925 7 ай бұрын
Migu paka Vaseline ,stop talking bad about diamond
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 7 ай бұрын
😂😂😂
@plumbingtanzaniaplumber7570
@plumbingtanzaniaplumber7570 7 ай бұрын
Ila We umeyapk mft sio mby unaona
@graceanyungu2774
@graceanyungu2774 7 ай бұрын
Mwaija ovyo na chuki za kibinafsi
EXCLUSIVU : IMEVUJA SAUTI YA AHMED ALLY AKIDEKA KIMAHABA KWA MREMBO
6:14
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 27 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 146 М.