SEMINA YA NENO LA MUNGU TANGA MJINI. DAY 5. JUNE 2019.
Пікірлер: 55
@user-ts6fh4si3m4 ай бұрын
Ahsante YESU KIRSTO kwa kuniokoa nimekupolea Leo kupitia mtumishi wako Mwalimu Christopher mwakasege#ahsante YESU KIRSTO kwa neema hii.
@sirielmunis652511 күн бұрын
Sifa na utukufu zikurudie ee Mungu wetu kwenye kiti cha enzi
@DeboraBenard-nf4em4 ай бұрын
Jina la Bwana ribarikiwe sana🙏🙏
@wandoamwambu81982 жыл бұрын
Utukufu kwa Bwana Yesu, huu ushuhuda ni kwa ajili ya kuliinua Jina la Yesu. Nina kiu ya kujua kama amewapata ndugu zake, na watoto wake. Mungu atukuzwe kwa wote waliojitoa kwa ajili yake, na Mungu akubariki Mwl na mama kwa huduma. UTUKUFU APEWE YESU.
@eliymanueljesus3762 жыл бұрын
Amen Asante BWANA YESU
@anithermsigwa2 жыл бұрын
Mwalimu Mwakasege is more than a Nation's Treasure. MUNGU BABA asante kwa ajili ya zawadi hii
@yonahkash30992 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe ......kuna somo alifundisha mwalim Mwakasege dar es salam 2018 na somo lilikuwa ni ISHARA ZA MUNGU KTK MAJIRA YA KUJILIWA (siku ya tatu) nmejaribu kutafuta Cd na KZfaq bila mafanikio,tafadhali sana watumishi wa Mungu kama lipo tunaomba mtuwekee huku KZfaq. Na Mungu awabariki
@bensonmwaigaga66122 жыл бұрын
Mungu aendelee kujifunua saana Kwa jina laYESU KRISTO
@raymondbudodi47662 жыл бұрын
Mungu anikumbuke katika kutimiza maono ya mapenzi yake kwangu,na kunipigania Vita vya kiroho kupitia mashambulizi ya ndoto ambayo Adui anayaachilia kwangu ili kunikwamisha,Bwana na Aliangalie Neno hili kwangu.kwa Rehema na Neema yake nitavuka
@graceedson51332 жыл бұрын
Namshukuru MUNGU kwa ajili ya Mwl mwakasege,Mungu aendelee kumtunza na kumtumia ili tuzidi kupanda viwango vya juu.
@upendochenela80002 жыл бұрын
Asante Mungu kwa ajili ya mtumish wako Moses wewe ndie baba wa wote Asante yesu nakushukuru kwa ajili ya uponyaji wako NAMI nimepokea kwa Imani Asante yesu
@raymondbudodi47662 жыл бұрын
Yesu unapowagusa wengine nami usinipite, niliambiwa ninatatizo la Kuzidi Asidi tumboni,kupitia Shuhuda mbalimbali na hasa huu wa Mzee Moses,Bwana nami nihuishe,naziamini Nguvu zako Bwana.
@vumiliagunda4162 жыл бұрын
Ameni ubalikiwe mtumishi kwa kutuponya natamani niwe muombaji lakini kipaji hicho Sina mungu anasaidie kwa hilo
@upendochenela80002 жыл бұрын
Sifa na utukufu apewe bwana Asante Mungu kwa ajili ya baba mwakasege na mama yetu Mungu azidi kuwatia nguvu Mungu awatunze
@wisenb19432 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe Niko bukoba asante kwa neno la MUNGU.Amen
@gracieasante51662 жыл бұрын
0o.j0
@enriqueganywamulume36812 жыл бұрын
Shukrani mwalimu kwe ku tu rudiya hiitena tume faidika sisi ambao hatuku jaliwa neema ku fuatilia wakati ule . Mungu asifiwe na aku zidishiye tena
@yohanasanga33712 жыл бұрын
bwana YESU apewe sifa samahani nipo mbeya nataka kuokoka nahitaj kujua mwakasege ratiba yake ya kuja mbeya ni lini
@mwl.lydiamcharo43762 жыл бұрын
Mana Ministry Mungu awabariki sana kwa somo hili....naomba kama inawezekana muweke somo hili kwa siku inayofuata....au wapi naweza pata cd zote za somo hili la Tanga
@wemalemsoni64092 жыл бұрын
Hakika niwewe wa kuabudiwa na kupewa sifa na utukufu na heshima niwewe pekee Mungu wangu
@yonaalex98112 жыл бұрын
Jamani wateule wa Mungu ninaomba atakae weza kati ya wote mnao soma ujumbe huku kwenye Grupu munisaidie kuniunganisha na mwalimu ninajambo kubwa nasijui nitalifikishaje kwa mwalimu linanitesa.
@neemamachangemachange88742 жыл бұрын
Asante Yesu kwa kumwokoa Mzee Mose's
@janehenry25442 жыл бұрын
Mungu akubariki sn mtumishi wa mungu
@miriamnaliaka732710 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@costavmunisi52272 жыл бұрын
before I start to listen 👂 God bless 🙏 you teacher
@ntugwacosmas86012 жыл бұрын
Baba. Ubarikiwe sana na Mungu
@merycianachangarawe89792 жыл бұрын
Mungu ubaki kuwa Mungu Halleluja
@berthafoya5682 жыл бұрын
AMEN MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI
@wemalemsoni64092 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@ednalucumay84692 жыл бұрын
Asante Yesu kwa neema hii
@wendyaaron96962 жыл бұрын
Hallelujah Yesu apewe sifa
@davideliaminimhandomhando73622 жыл бұрын
Ameni
@johnhenjewele15212 жыл бұрын
Amina Baba
@evanslugalia41082 жыл бұрын
Always a blessing listening to my mentor Mwl. Mwakasege
@neemajulius12562 жыл бұрын
Amen Amen
@joeltayari532 жыл бұрын
Utukufu ni kwako Ee BWANA
@bennchunga0312 жыл бұрын
Ooooh hallelujah hallelujah Glory to GOD 🙏🙏🙏
@nawikemwasamboma5510 Жыл бұрын
Amina
@tulibakomwafula90792 жыл бұрын
Asante Yesu. Shalom.
@tulibakomwafula90792 жыл бұрын
Ni Yesu tuuu🎊🎊🎊🥀
@Lucy-nr2sm2 жыл бұрын
AMEN 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
@jema12322 жыл бұрын
Amen
@brownmwakyoma26952 жыл бұрын
Amina
@jesusismyeverything1630 Жыл бұрын
Ameeen
@zawadmokil72072 жыл бұрын
Samahan baba nami nahitaji kitabu iko Cha ndoto ata kuomba ninashindwa
@queenlatiphamushi95542 жыл бұрын
Jmn Mwalasegeee yukoo wapii??? Namtafutaa kwa Bidiiiii
@jamesgasper66112 жыл бұрын
NENDA ARUSHA
@christophakaseba82372 жыл бұрын
Nimefurahi kuona neno hili balikiwa mwalim mwakasale
@linusmtana18222 жыл бұрын
Naomba mtuwekeee SoMo lote jamani
@rithatamba17602 жыл бұрын
Jamani Mimi Nina shida na maombi ya Mwalimu Mwakasega, na Niko mbali, nitafanikiwa vipi kuyapata? Naomba msaada.