MZEE ALIYE FUNGWA GEREZANI KWA UONEVU NA HALMASHAURI YA MBEYA NA KUPEWA KESI YA MADAI YA MILIONI 12

  Рет қаралды 126,772

Adil TV

Adil TV

4 ай бұрын

#AdilTV

Пікірлер: 61
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 4 ай бұрын
Makonda mungu akupe mwisho mwema ila ulipotokea nyuma ulikua mtu mwenye jeur na kiburi Sanaa ila kabla hujafa uombe radhi ulio wakosea nyuma ila saiv ww mtu poa Sana Tena mtu wa kuigwa
@kilimanjaro77international26
@kilimanjaro77international26 4 ай бұрын
Wacha Utoto, wabongo hawa endi bila shuruba
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
beautiful soul; Paul Makonda..Mama Samia ww kweli ni mama ukatupenda Tanzania. barikiwa Samia binti yake na Suluhu wake Hassan
@fredykephacy5166
@fredykephacy5166 4 ай бұрын
Daaaa viongozi mbon wako hivo wananyanyasa sana wanachi
@blog9117
@blog9117 4 ай бұрын
Makonda umeibeba Tanzania ukiomba kura za urais tunakupa umeupiga mwingi ndani ya tanzania
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 4 ай бұрын
Makonda akigombea urais anapewa
@user-ql6jr4tz4m
@user-ql6jr4tz4m 4 ай бұрын
Uwishi maisha marefu
@jobungure7195
@jobungure7195 4 ай бұрын
Huu uongozi utafika Kenya lini huku ndio Kuna shida mbaya sana
@honhonhaule9232
@honhonhaule9232 4 ай бұрын
Uko vizuri makondaaa
@user-os6sc7is5h
@user-os6sc7is5h 3 ай бұрын
Fanya vitu nakuaminia mkuu wewe na waziri wa Alizi kama nyinyi wenyewe Amjui CCM inakua vizuri kutokana na wewe makonda waziri wa Arizi na waziri mkuu mambo mnayofanya mama samia 2025 Anachukua uraisi mia.mia ❤❤❤☝🤲😂😂🙏✊👏👏👏
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana Makonda.
@user-hh4us7kb5q
@user-hh4us7kb5q 4 ай бұрын
mama akimaliza omba urais
@luganocornel9121
@luganocornel9121 3 ай бұрын
Nikipata pesa nitakupatia ununue darubini ili uweze kusoma mabango yaliyombali. Kazi iendelee comrade Makonda
@Zubaiba
@Zubaiba 4 ай бұрын
Hongera sana Mr makonda
@rashidalbalushi8355
@rashidalbalushi8355 4 ай бұрын
Toka enzi za mwalimu Nyerere Tz ina matatizo nakumbuka wakati ule kulikuwepo shirika la STC wananchi wakabadilisha wakasema sasa tule chetu shirika likafillisika kwa hiyo hakuna uzalendo c serikalini wala polisi wala wananchi lini watanzania watakuwa waaminifu?
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 4 ай бұрын
Ni kuzidi kumuomba MUNGU ,cku Moja uaminifu utaonekana ktk jamii.
@jumamnumbwa9483
@jumamnumbwa9483 4 ай бұрын
Kwa hivo wataalam wanayumbisha viongozi,wizara ya kilimo ikatafute eneo lingine
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 4 ай бұрын
Anaye futa hati ni Raistu Hicho kinacho fanyika hapo ni Maneno yasio na Masiko huyo anaye simama hapo Hana Maamuzi
@simumbaken4902
@simumbaken4902 4 ай бұрын
One komando makonda ast rais wangu mm samia
@TasianaKuta
@TasianaKuta 2 ай бұрын
Kweli MH unapiga Kazi Mama Samia kakupatia kuweka hapo unetukumbusha Sana Rai's Magufuli
@user-ev3if3ss8o
@user-ev3if3ss8o 4 ай бұрын
Mungu akusaidie makonda 1:16
@mabeyainvestment5485
@mabeyainvestment5485 4 ай бұрын
ila wewe hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@laylayl5166
@laylayl5166 4 ай бұрын
Muheshimiwa warudishiwe eneo lao Wana nnchi dhulma hiyoo
@jofreyfungo1112
@jofreyfungo1112 4 ай бұрын
Tatizo ni Bashe hapo hataki kupata ushauri Kwa yeyote
@user-qp6zn2xf8w
@user-qp6zn2xf8w 4 ай бұрын
Makonda mungu akubariki,, akupe Maisha marefu kwa kuisimamia haki
@blog9117
@blog9117 4 ай бұрын
Makonda oyeeeeeee
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 4 ай бұрын
Makonda 2030
@npiperito19
@npiperito19 4 ай бұрын
Kutoka🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 nakubali sana👌👌👌
@Zubaiba
@Zubaiba 4 ай бұрын
Wakurugenzi mbona vituko jamani
@siwahemochristine8059
@siwahemochristine8059 4 ай бұрын
Huyo dada anahibu kwa dharahu yeye ndio tatizo hapo mbeya na sibure anamtu anaye mshika mkono
@MichaelMlowe-ne3ri
@MichaelMlowe-ne3ri 4 ай бұрын
Mimi sie ccm lakin kuhusu makonda ni kiongozi sahihi hapaswi kuwa mwenezi tu mungu atujaalie tupate rais mweny urafiki na wananchi kama mh.makonda
@user-er8mq8ju2o
@user-er8mq8ju2o 4 ай бұрын
Huna imani hiyo
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 4 ай бұрын
Himeland
@JosephGambishi
@JosephGambishi 4 ай бұрын
Kweli kaka
@amosmahona433
@amosmahona433 4 ай бұрын
🙏
@Miro255
@Miro255 4 ай бұрын
Hapa shida ni serikali kuruhusu wakurugenzi kuhama bila kuweka mambo yao sawa, kwahyo mkurugenzi mpya akija anajificha kwenye kichaka cha ugeni ndan ya halmashaur......hili ni tatzo kubwa mno
@user-qj3hk5zt5p
@user-qj3hk5zt5p 4 ай бұрын
Mh Mimi ni mwenyekiti ccm tawi nilishawai kuchomewa nyumban sijawahi ona msaada toka wilayan au mkoa au taifa hadi nikakata tamaa mh nimepoteza vitu vingi sana mh Naomba msaada japo nimejenga jengo la ccm tawi Kukatia bima wana nchi kugawanya kuku kata kijij kuchimba mabarabara hawajanikumbuka kunifuta machozi jaman dah Jarman naomba nisaidieni
@user-jx4on5mr7y
@user-jx4on5mr7y 4 ай бұрын
Safi sana
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 4 ай бұрын
Homeland
@user-qj3hk5zt5p
@user-qj3hk5zt5p 4 ай бұрын
Onger
@user-yn4te8mc3c
@user-yn4te8mc3c 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 nice makondaaaa respect
@user-wm5fg7xi1o
@user-wm5fg7xi1o 4 ай бұрын
Makonda is contracting his government
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 ай бұрын
WANA CCM MWISHO WA DUNIA IKO KARIBU SANAAA, ACHENI UNAFIKI NA MSJUNGU. ACHENI KUENDEKEZA RUSHWA NA TAMAA YA PESA. MOTOOO WA AHELA UTAWAMALUZA . MSIKILIZENI MAKONDA ANAEISHI NA MUNGU.
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 4 ай бұрын
Kipenya umepotea kabisa Utarudishwa tena gerezani weweMkugenzi ni Mkubwa sana una Mdhalilisha!!
@user-gw7fu9pu7d
@user-gw7fu9pu7d 4 ай бұрын
May the lord be with you makonda
@AlexMwansule
@AlexMwansule Ай бұрын
I'm
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 4 ай бұрын
Jamaani hivi mahakama hazipo
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 4 ай бұрын
Mahakama zipo na mahakimu wapo lkn kama huna hela hupatikana haki ndio maana wanakuja kwamakonda unapata haki yako bila gharama. Makonda ili kazi uliyoifanya idumu iwe kwenye shroa maana ukiondoa vitarud vyote
@user-xz8tb3vh6l
@user-xz8tb3vh6l 4 ай бұрын
Eee
@DavidEmilian-hq9xm
@DavidEmilian-hq9xm 4 ай бұрын
Hayo malalamiko mengi nî juu ya watendaji wengi ni wa ccm nini tafsiri yake?
@user-nu2em5rt7j
@user-nu2em5rt7j 4 ай бұрын
Kwaredhima
@JosephMhaiki-ld7rn
@JosephMhaiki-ld7rn 4 ай бұрын
Nilikichukia chama cha Ccm kutokana na kero nzito za wananchi. Sasa kwakazi hii unayoifanya mheshimiwa Paulo Makonda , inaubariki sana Moyo wangu Mungu naazidi kukupa afya njema na uhai mrefu ili uzidi kuwasaidia wananchi wenye majeraha ya moyo .
@user-zl3le1wz2u
@user-zl3le1wz2u 4 ай бұрын
Kesi za serikali zinafunga wananchi wake zichunguzwe sio kumsubiri Makonda.Mkuu wa mkoa, Mkuu wa wilaya, Waziri mkuu, Makamu wa rais na Mbunge ni jukumu lenu mwananchi si mtumishi wa umma na kama ni michango serikali usilazimishe kwani imeshindwa kabisa kilimo kukifanya kuwa uti mgongo wa Taifa mwananchi huyu afanyeje?. Mahakimu wetu wawe waelewa
@user-xz8tb3vh6l
@user-xz8tb3vh6l 4 ай бұрын
Tunawaombea
@hafsamnenga1942
@hafsamnenga1942 4 ай бұрын
Rais ajae 2030
@DianaWilawila
@DianaWilawila 4 ай бұрын
Mwamba
@user-nc3on3hg2e
@user-nc3on3hg2e 4 ай бұрын
J
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 4 ай бұрын
Jibu la hayo yote ni katiba mpya na kufuata sheria tuuuu.
@jumamnumbwa9483
@jumamnumbwa9483 4 ай бұрын
Katiba mpya ni ujinga
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 4 ай бұрын
MIMI NINAOGOPA SANA , INA MAANA SERA YA CCM NI KUTULETEA MIGOGORO NA MWISHO WANAKUJA KUTUCHEZESHA SINEMA?
@user-xo3bf3hm3p
@user-xo3bf3hm3p 4 ай бұрын
Hujajierewa
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
Haha😂 Power💪 #trending #funny #viral #shorts
00:18
Reaction Station TV
Рет қаралды 16 МЛН
UNASEMAJE WEWE ? TRA HAWAJUI HESABU, NJOO HAPA USEME VIZURI
10:56