MZEE ALIYEKIMBIWA na MKE KISA UMASKINI AJENGA NYUMBA ya MILIONI 300, ATAFUTA MKE, ATAJA NAMBA ZAKE..

  Рет қаралды 68,250

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

MZEE ALIYEKIMBIWA na MKE KISA UMASKINI AJENGA NYUMBA ya MILIONI 300, ATAFUTA MKE ATAJA NAMBA ZAKE..
Mzee Jumanne Kingu ni mkazi wa Mkonoo jijini Arusha ambaye aliwahi kuwa na tuhuma za kuwanyanyasa kijinsia watoto 22 na kesi yake ikapelekwa mahakamani na huko ikakosekana ushahidi kesi zake zote zilizokuwa zikimkabili zikafutwa.
Ameibuka na kudai kuwa watu wanamuonea wivu kutokana na mafanikio aliyonayo wanamuita Freemason.
Kutoka katika nyumba ya mbao hadi leo hii anajenga nyumba ya shilingi milioni 300 ya ghorofa.
Alikimbiwa na mke kutokana na umaskini, lakini kwa sasa anatafuta mke mwingine wa kumuoa...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 267
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@gracenkembo8318
@gracenkembo8318 Жыл бұрын
MIMI NIPO HAPA NAHITAJI KUOLEWA
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie kipato, Waache waseme, Wewe fanya yako mzee wangu.
@user-ty6lr1zq7j
@user-ty6lr1zq7j Жыл бұрын
Watu wengi wamekosa maarifa kila mafanikio ya mtu wao wanawaza uchawi yani tunahitaji ukombozi wa fikra pole sana baba Mungu akuzidishie kadri umwombavyo
@sharifaabdala1565
@sharifaabdala1565 Жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi insha allah upate mke mwema Aamiin
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mwenyezi mungu akulinde na akujaaliye kila lenye kheri na baraka , akuepushie na Shari ,husida Amin yaraby thumma Amin 🤲🙏🙏♥️♥️❤️
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Жыл бұрын
Allah akupe mke mwenye imani ya dini
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Aaamin.
@alichum3200
@alichum3200 Жыл бұрын
Yupo mwanamke mzuri.mchamungu.mbunifu mzuri ni jirani yangu jee uko tayari nikuunganishe? Kama ndio nipigie
@ahmedkandoro9594
@ahmedkandoro9594 Жыл бұрын
MASHA ALLAH , ALLAH AKUZIDISHIE KHERI MZEE WANGU .
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde na husda za walimwengu
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani 25 күн бұрын
Baba hao wote ni wivu na choyo roho mbaya mafidi wanataka mtu asipate ukae unaombaomba na wakuzarau kama mali ya kichawi bas wakatafute wao usiwasikilize ishi maisha yako na mwenyezi Mungu atakubaliki said 🎉
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Жыл бұрын
Hongera baba, fanya kazi kwa bidii usiwasikilize wambeya wenye dhiki. Wafunge mkanda kama wewe.
@mariselabasil4350
@mariselabasil4350 Жыл бұрын
kweli mungu ni mwema.
@efraimrichard6440
@efraimrichard6440 Жыл бұрын
Wadada Sasa Kama nawaona mzee kuwa makini wadada wa saivi ni hatar kabisa
@khadijaali4657
@khadijaali4657 Жыл бұрын
Mashallah hongera sana mzee wangu ila kwa hali unayotaftia mke kupata ni haraka sana utampata lkn je atakua ni mke mwema kama ndoto ya kila mwanaume au atakua ni mtu ambae ana wenzake akilini nakwambia hivyo kwa sababu wanawake ni cc kuna wengine watakupenda sababu ya mali ulizonazo tu lkn atakua hana mapenzi na ww…ww umpe kila anachokitaka yy atafute kibenteni cha kumsugua vzuri hayo nayo yapo ujue mzee wangu from kenya 🇰🇪 nawatch nikiwa Saudiarabia
@khamisidossa
@khamisidossa Жыл бұрын
Unamaneno we msaud mmmh
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 Жыл бұрын
Ni hakika maneno yako kuntum
@khadijaali4657
@khadijaali4657 Жыл бұрын
@@khamisidossa 🫢🫢🫢Hata sio maneno huyu mzee niowe macho sana bila hivyo maliyake italiwa na aambulie patupu,by the way ndoa ni maelewano baina ya mke na mume lkn hapo asipokaa 😳😳😳ndoa itakua ya mke kufata mali tuu lkn sio mapenzi
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Жыл бұрын
Mm naona km angefanya mutafuta ktk vikundi vya dini. Mana umu mitandaoni mhh ataoata mwizi tu na sip. Mke
@khadijaali4657
@khadijaali4657 Жыл бұрын
@@nishaabdula5015 Kweli kabisa
@edinahmaganga2722
@edinahmaganga2722 Жыл бұрын
Hongera sana Mzee wangu walimwengu wanapenda maneno sana wewe songa mbele achana na maneno ya wakosaji ziba masikio kwa pamba mtu mwenye wivu na maendeleo ya mtu mwingine huyo ni mchawi
@davidjohn2957
@davidjohn2957 Жыл бұрын
Apana mtukuze Mwenyezi Mungu na tumia mda mwingi kumshukuru mwenyezi Mungu
@salmajuma5313
@salmajuma5313 Жыл бұрын
Mashallah Allah akupe mke mwenye hofu ya mungu inshallah 🤲
@abdulrisassy2488
@abdulrisassy2488 Жыл бұрын
Allah akusimamie usipate mke jambazi mzee wangu
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Жыл бұрын
Huyu baba àñatoa sadaka sana anasaidia watu Allah kambariki
@namsamson3443
@namsamson3443 Жыл бұрын
Ndio maana anabarikiwa sana
@mohdchuma78
@mohdchuma78 Жыл бұрын
Unamjua?
@dottodottovales4138
@dottodottovales4138 Жыл бұрын
@@mohdchuma78 ndio
@user-qg2sw9bj2i
@user-qg2sw9bj2i Жыл бұрын
Kabisa,Allah kasema mkitoa tutakuzidishieni
@jimjam4148
@jimjam4148 Жыл бұрын
MASHA ALLAH.
@chinaboyzanzibar5328
@chinaboyzanzibar5328 Жыл бұрын
ASSALAAMU ALEYKUM MZEE YANGU FROM TZ .MY NAME IS SIDIK I AM LIVING IN UK LONDON 🇬🇧. I AM ORIGINAL FROM MOMBASA 🇰🇪 KENYA I AM PROUD OF YOU MY ALLAH ALWAYS MAKE U HAPPY WITH UR LOVELY FAMILY I KNOW YOU HAVE FAITH WITH OUR LOVELY ALLAH AND ALLAH WILL HELP YOU INSHALLAH DONT LISTEN TO PEOPLE SOME PEOPLE ARE NOT GOOD TO ME YOU ARE LIKE MY FATHER REMEMBER ME IN UR DUA UR SON SIDIK FROM UK WS
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 Жыл бұрын
Na wewe Sasa unachekesha, Mzee amesema hajasoma hata shule ya msingi halafu unamuandikia kingeleza ili?
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 Жыл бұрын
@@theresiakaruhanga364 anatafuta kiki
@faza4023
@faza4023 Жыл бұрын
@@theresiakaruhanga364 acha majungu..sio mtanzania.. English nayo ni lugha
@kiri5807
@kiri5807 Жыл бұрын
Huyu mzee namkumbuka allizuliwa kuharibu watoto .Watzn sijui tukojee . wakiambiwa waje kumtoa huyo nyoka wanaye ? Hayo ni matatizo yetu husda na choyo .
@vincej9275
@vincej9275 Жыл бұрын
Hongera sana mzee wangu kwa bidii. Utapata mkee mwema.
@lydiadotto3380
@lydiadotto3380 9 ай бұрын
nipo mm Baba
@yasminrashidi3070
@yasminrashidi3070 Жыл бұрын
Masha ALLAH barakallah Nipo mm
@neemajohn6142
@neemajohn6142 Жыл бұрын
Kwa ushauli wangu ungekaa kimya unapojitetea san unaibui watu wakufatilie wakat umetoka kwenye matatiz
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ana matatizo huyo Mzee ukiona mtu anajitetea sana ujue kuna jambo, na Mzee kibabu kuja mitandaoni kusaka mke 😅
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Жыл бұрын
Watanzania acheni roho mbaya na choyo , mpendeleeni mtu kupata msaidiwe
@yuzasivyussuph6087
@yuzasivyussuph6087 Жыл бұрын
Mashallah
@shabanikitula645
@shabanikitula645 Жыл бұрын
Huyu mzee ana roho nzuri sana
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Жыл бұрын
Mtangulize mungu hatakutupa
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 Жыл бұрын
Mungu amlinde na ambarkie
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro Жыл бұрын
Pole Mzee,na hongera kwa kupambana!
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah jazakallah 💪💖💖
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Hongera sana
@FettyAbdala
@FettyAbdala 2 ай бұрын
Salaam alleykum warahamatullah wabarakatuh samahan baba angu mie shida ya god ya nyumba
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Mungu atakupa mke mwema amina babaa
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
NIKONNJETU., NAMI. NASAKA VYANGU NINGEKUA TZ NINGEKUTAFUA KWASABABU UNAIIMAN YA DINI NDCHO NINGEKIFATA KWAKO. NAKUPENDA BABU KWAAJILI YA ALLAH
@jumannekingu68
@jumannekingu68 Жыл бұрын
Asante sana
@MHDFURNITURE-jn2rx
@MHDFURNITURE-jn2rx 8 ай бұрын
asante mungu kwa kuiyonyesha dunia kama unaweza kumpandisha umtakae na kumshusha umtakae
@fathiyaalrawahi6382
@fathiyaalrawahi6382 Жыл бұрын
Hongera umesubiri baba baada ya dhiki faraji
@hawahaji-si1nw
@hawahaji-si1nw Жыл бұрын
Hongera mungu akujaalie Kila la kheri unataka mke mwenye sifa gani
@alfredngetich4645
@alfredngetich4645 Жыл бұрын
Mungu akubariki Hadi washangae
@daudkindy8062
@daudkindy8062 Жыл бұрын
Mashaallah
@farajafaraja3494
@farajafaraja3494 Жыл бұрын
Asante baba na global Kwa kunipa Mume kama huyu kesho napanda bus maguful namfuata Arusha, tusioneane wivu😊😊😊😊
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy Жыл бұрын
😂
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Tigo unatoa ila maana huyo ustadhi lazima akupakue mkunduni 😅
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefuu bba. Inshaalh
@anitajacob3641
@anitajacob3641 Жыл бұрын
Mungu azidi kukubaliki
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 Жыл бұрын
Pole ndugu yangu mungu akujalia
@beatriceyustomwakabanje5789
@beatriceyustomwakabanje5789 Жыл бұрын
Mke mwenyewe ndio mm nioe tu bby ww handsome Sana 🙄😁
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Hongera sana babu ila nguvu 😂 zipo iyo ipoje mana wasiji wakaanza kuku chiti nitaumiya saana 🤗
@rahmajaffar794
@rahmajaffar794 Жыл бұрын
Kwa ushauri tu ingekuwa vizuri kama ungeoa mke mwema asiekufahamu utafute wanaume wenzio walio wacha Mungu wakutafutie mke mwema alie mcha Mungu asie na unafiki ma anaeogopa kumuasi Mungu hata kwa jambo dogo
@hpmobilephone9951
@hpmobilephone9951 Жыл бұрын
Hongera yako mzee
@glorysungura3180
@glorysungura3180 Жыл бұрын
Hongera kwa uvumilivu. Ukiwa masikini unaitwa mchawi, MUNGU akikuinua unaitwa freemasons. Lipi jema duniani? Usikubali kutafuta mchumba kwa namna hiyo, wengi watafuata mali, ukifirisika watakumbia. Omba MUNGU AKUPE MKE MWEMA ATOKAE KWAKE.
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Жыл бұрын
Mzee jimbo lipo wazi.. Wajane jitokezeni! Mgane Tajiri hyoooo
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 Жыл бұрын
Mi ningeolewa na wewe ila shida tu, mi Mkristu na sina shida ya maisha naweza kuishi maisho yoyote ila tu mi Mkristu na siwezi kuolewa na muislamu Wala kubadili dini. Nakuombea akufanikishe katika mipango yako.
@shakazulumsalamo8931
@shakazulumsalamo8931 Жыл бұрын
🙏
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 Жыл бұрын
Salisbury muombe mungu akure mke mwema
@zainabkenya-hd8hv
@zainabkenya-hd8hv Жыл бұрын
ASALAM ALEIKUM MM HAPA PIA NATAFUTA MUME
@wm9669
@wm9669 Жыл бұрын
Wow. Mashallah. Maskini ni yuke aliyetoroka. U maskini sio mali 😊
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Mzee usitafute mke mtandaon Nenda vituo vya watoto yatima Utapata mke bora sanaa NAKUOMBEA KWA ALLAH MZEE
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
@@Jeybrands yesi watoto yatima Wapo wanaofika miaka 18 wapo umri 25 wapo wa 30 kwasababu mimi nawajua Vzl hao watu wanakuwa ni watu wenye Maadil mazul sana but wamefunzwa sana wakiwa sehem za malezi yao
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
@Jeybrands mbona unamuuliza swali ambalo jibu alishatoa?
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
@Jeybrands ulilouliza wewe mwenyezi!
@frolawihenge2078
@frolawihenge2078 Жыл бұрын
Weee mzeekuwa makini kwa.ghorofa hiyo watakupaparikia wengi!!!!Tunakuombea mwenyezi Mungu akujaalie upate mke mwema .
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 Жыл бұрын
Hata wewe Frola unafaa akuoe.
@rebeccaalex6308
@rebeccaalex6308 Жыл бұрын
Mungu WA mbinguni akuzidishie baba yng achana na hao wanaokuita mchawi. Penye mafanikio hapakosi maneno.
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 Жыл бұрын
Anataka mke Rebecca unasemaje?
@rebeccaalex6308
@rebeccaalex6308 Жыл бұрын
@@johnkiimbila6799 mungu ampe mke mwema mwenye hofu ya mungu.
@joanesasalavaleriano9980
@joanesasalavaleriano9980 Жыл бұрын
Mim Léo ni wakwanza nipeni zangu
@subirafatma3234
@subirafatma3234 Жыл бұрын
Pole sana kaka njoo burundi tunakuitaji
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 Жыл бұрын
daah kwa kweli MUNGU ni mkubwa
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
mh🙄Uyo mzee naye Atuliye 🎤kama Anataka mwanamke wakumpiga pesa zake hapo sawa✍️
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Pole sana mzee wangu unepambana sana mpk ukafanikiwa aisee wanyatu ni wapambanaji sana
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Kingu wanyiramba
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
@@neema_mollel kumbe wanyiramba ila fresh bado wa singida
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
@@amanimanase8798 yes wafuga mbojo
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
@@neema_mollel ivi ndo kwenu kule unyirambani
@wettykznznhuioploko1571
@wettykznznhuioploko1571 Жыл бұрын
Kolumba nipe mume uyo nampenda anatowa sadaka sana anaimani ya mungu
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Mzee Allah akujaaliemkemwema
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 Жыл бұрын
Safi Sana mzee Akili Ni nywele Sasa ligi inaisha wao hawana pointi hata moja Sasa wewe unaingia finali. Tena Lima hata na nyanya mzee zinalipa Sana ukilima hekari tatu utapata zaidi ya milioni Mia chap ili uzidi kuwachapa kwa matendo.
@jumannekingu68
@jumannekingu68 Жыл бұрын
Aya bwanaaa. Nakushukuru kwa kunishauri njlime nyanya talima In sha allah
@mayarashidi2765
@mayarashidi2765 Жыл бұрын
Miashaailaah ongera baba achanao usiwasikilize
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ana matatizo huyo Mzee ukiona mtu anajitetea sana ujue kuna jambo, na Mzee kibabu kuja mitandaoni kusaka mke ustadh anatafuta mwanamke papa la mjini ili ampakue mavi ya mkunduni huyo ni tigo lover 😅
@jumaamartin7929
@jumaamartin7929 Жыл бұрын
mimi nikushauri kwakua unahitaji umpe mungu nafasi.kwa maana gani kwakunadi kua unaitaji mke kwa staili hii yakuonesha mali zako.hutompata mke mwema.kwakua atahitaji mali zaid kuliko kukupenda wewe.kuna utaratibu wa kumpata mke.tena wapo wanawake humo misikitini wenye hofu ya mungu.pia ukienda mahali usipo julikana utampata mke wa kukupenda wewe sio mali.ushauri mwengine usiowe bint.japo wanasema gari bovu huvutwa na gari zima.umri utafute mke ambae umemzidi miaka saba au kumi.lakin mabint.atachukua pesa yako mwenyewe akale tam kwa vijana na ataihonga ili aipate tam.mabint wanataka kupelekewa moto babu.
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 Жыл бұрын
TUMEJIFUNZA,KWAKO...HONGERA SANA
@jumannekingu68
@jumannekingu68 Жыл бұрын
Asante sana
@mfenesini-bh1fk
@mfenesini-bh1fk Жыл бұрын
Dah,! binadamu
@jessysalami1788
@jessysalami1788 Жыл бұрын
Baba mm nipo mke mwema ila tubadilishe kwanza jina la hatiyanyuma ueke langu 🤦tena mm mwanamke mpambanaji
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 2 ай бұрын
Mwambie nakuja kula bata lamtaniwangu😢😮😮 nambahiyo
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 Жыл бұрын
Usitafute mke kwa njia ya mtandaoni hiyo hutompata mwema
@jtheophil5499
@jtheophil5499 Жыл бұрын
Watanzania acheni rohoo mbaya.fanyeni kazi kwa bidii .punguzeni michepuko focus ,fanyeni maendeleo.
@malila4582
@malila4582 Жыл бұрын
Weeeeeeh! Mzee wewe mke mbona nipo hapa mzee wanguaaaa
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 Жыл бұрын
Achana nao we endelea na shughuli zako ule Bata uzeeni
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Hii ni fursa wallah ,ngoja kesho nijipeleke kwa mzee😁😁
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
Lisemwalo lipo, hana utajiri wa kutisha mpaka achukiwe na kila mtu, nyumba kama hiyo zipo kila mahali huko mpaka vijijini, lazima kuna kitu hapo
@MATIKO9640
@MATIKO9640 Жыл бұрын
Usipoangalia hapo kwenye mke ndipo kwenye kufeli
@saididodi3988
@saididodi3988 Жыл бұрын
Hii tz inamambo Sana
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 Жыл бұрын
Mzee Ntakupa Nyanyangu Buree na nshaongea nae Amekubali Asema Mahari yake hana haja na nyumba zako! Umpe msahafu Umsomee Suratu- Yassin" tu!
@mamaamour9669
@mamaamour9669 Жыл бұрын
Mzeee mkee nipooo
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
😳🙄
@RachelBriervanity1
@RachelBriervanity1 Жыл бұрын
MUNGU Mkubwa Sana Ningekuwa sina Mume ungenioa Mimi Hahahaaa Natania tu
@johnyusuph3221
@johnyusuph3221 Жыл бұрын
Mnapitiaga kwenye utani humo humo hahahaaa
@mayaltv9441
@mayaltv9441 Жыл бұрын
Tangu apate kesi anahangaika sana huyu mzee
@benjaminandebe386
@benjaminandebe386 Жыл бұрын
Mzee nihatari kwa iyo umrikuoa
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Жыл бұрын
Mzee wng wanawake ndivyo walivyo km watt wasamehe bure, kiboko yao kuwazalisha sana !
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Siyo bre kuna kitu hao wazungu wa omani
@petercostakisoka
@petercostakisoka Жыл бұрын
🙄🙄🙄🙄🙄
@bushbabytz
@bushbabytz Жыл бұрын
Acheni ujinga ninyi hiyo nyumba haijachukua hata milioni 16
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 Жыл бұрын
Binadamu bwana ukipata freemason..ukikosa mchawi vipi jema kwenu?acheni roho mbaya
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Жыл бұрын
Uyu. Baba jmn anatowa HD namba yacm. Kaa
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 Жыл бұрын
Manshahallah mungu akuzidishie. 🙏
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 Жыл бұрын
Babu yangu wanaadamu hawaishi kusema hao wanaosema we ni Freemason ni wao wenyewe
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
Kwaiyo kipindi kile alicho kuwa na matatizo alikuwa ana mke kumbe
@victorkivuyo6126
@victorkivuyo6126 Жыл бұрын
SASA HUYO MWANAMKE AMBAE ALIKUWA MKE WAKO KILICHOMTOA HAPO NI NINI HASWA, WANAWAKE WAKO WENGI ILA SIO WOTE NI WA KUOA, NA UMEJITANGAZIA UNATAFUTA MKE WATAKUJA WENGI SASA NI WEWE MUNGU AKUONGOZE USIJE KUOA MKE MFUATA MALI, MR BOB SOSY AKA KATIA WA ARUSHA MURIETI JIRANI KABISA NA MHESHIWA GAMBO
@mollelemanuel4659
@mollelemanuel4659 Жыл бұрын
Mzee wangu ninakushauri, ujifinze kukuaa kimya ... Utapunguza maadui ...watu wanavyujuaa maisha yako kwandani ndivyo unavyojijengea maadui wengi... Kwenye mafanikio kuna maadai wengi...hacha kueleza mafanikio yako wacha wayaone wenyewe utaheshimika
@peteradioyona5919
@peteradioyona5919 Жыл бұрын
Mzee waambie nao watafute nyoka ili wajenge mjengo wakati huna mjengo c walikausha hiyo ndo roho ya waafrika
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 2 ай бұрын
Mpenambayangu teali mchumba kashapata
@maliamaliy8985
@maliamaliy8985 Жыл бұрын
Nioe mm
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,5 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
History of Tula Wange Town in Gombe state Nigeria
10:29
AREWA AYAU TV CHANNEL
Рет қаралды 81
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,5 МЛН