Mzee Yusufu Kaenda Makka Kumtapeli Mungu / Mungu Kapiga Laana/Dua Yake Haikuswii Makka Pro . Mazinge

  Рет қаралды 51,699

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Mzee Yusufu Kaenda Makka Kumtapeli Mungu / Mungu Kapiga Laana / Dua Yake Haikuswii Makka/ Pro . Mazinge
Mashaa Allah Pro.Habibu Mazinge akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Sababu Ya Mzee Yusufu Kaenda Makka Kumtapeli Mungu / Mungu Kapiga Laana / Dua Yake Haikuswii Makka/ Pro . Mazinge
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
KZfaq @Darsa tv
TikTok @Darsa tv

Пікірлер: 69
@ffed1876
@ffed1876 11 ай бұрын
Innaka laa tahdii man ahbabta walaakinna Llaha yahdii man yashaau.Mola atuongozee vizazi vyetu na atuswameh tusiyoyajua.Aamin.
@pythagorasgibson6368
@pythagorasgibson6368 3 ай бұрын
Isha Allah
@rajabusaidi6692
@rajabusaidi6692 3 ай бұрын
Subhana allah❤❤❤
@mcheshslim
@mcheshslim 11 ай бұрын
Wasiojielewa wanakupinga unachokifanya ustadhi
@TunnuAlly-bp7ur
@TunnuAlly-bp7ur 10 ай бұрын
Allah akusamehe we uliemiita sheikh jina baya
@eshasalim5496
@eshasalim5496 11 ай бұрын
SUBHANA ALLAH! ALLAH Atusamehe Ya Rabb. AMIIN
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 11 ай бұрын
Allah akuifadh sheikh Mazinge
@athmanmuhammed7333
@athmanmuhammed7333 11 ай бұрын
MWENYEZI MUNGU AKUPE UMRI MREFU SHEIKH MAZINGE
@eshasalim5496
@eshasalim5496 11 ай бұрын
ALLAHUMMA AMIIN
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 11 ай бұрын
Allahuma Amiin
@TunnuAlly-bp7ur
@TunnuAlly-bp7ur 10 ай бұрын
Mungu ukupe umri mrefu sheikh
@sarahmohamed3968
@sarahmohamed3968 23 күн бұрын
Kwani Allah hukuletea salam wewe mazinge nani kamsamehe na nani hajamsamehe
@samiramawby1257
@samiramawby1257 11 ай бұрын
Wewe mbaba angalie usiwe kuni za kuzimu wewe🙏
@user-jo9fb7df5z
@user-jo9fb7df5z 4 ай бұрын
Shekhe mazinge allah akujaalie upate daraja la juu kabisa peponi insha'allah unafanya kazi kubwa sana kwenye dini ya kiislam allah akupe afya njema uendelee kutoa dawa
@samiramawby1257
@samiramawby1257 11 ай бұрын
Hao mateja pia ni laana zenu,,,wengine ni watoto wa watu mlowafanya misukure kuwabadirishia maisha mwisho wanakuwa mateja coz hawajielewi,,,Pia sanda isiwe tusi ,,nyie ndo mnasababisha watu wanaufata ukristo hakuna mtu anataka kusimangiwa hadi kifo🙏🙏🙏🙏
@abdallahkhamisi4791
@abdallahkhamisi4791 4 ай бұрын
Mungu akupe umr mrefu shk maznge
@saidaabdalla2854
@saidaabdalla2854 11 ай бұрын
Yaa Allahu Bihusni khatima
@khamissalim8708
@khamissalim8708 8 ай бұрын
Ameen ya rabbi
@radjabubizimana5065
@radjabubizimana5065 5 ай бұрын
Alhmdulillahi
@samiramawby1257
@samiramawby1257 11 ай бұрын
Nyie ndo walee masheikh mnaovunja ndoa za wenzenu kutumia kivuli cha dini,,.ila uwezo wa kuwahudumia hamna,,,afya pia ya kuwamiliki hamna,,kazi kunukisha ugoro wake za wenzenu
@johnsulle4679
@johnsulle4679 11 ай бұрын
Au mungu wenu ni mwarabu
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 11 ай бұрын
Yaani wapo radhi wampe mwarabu matako hawa jamaa 😂
@SoudShuraim
@SoudShuraim 3 ай бұрын
We km hayakuhusu na hujui jambo tulia..kwn wewe Mungu wako ni mzungu..Acha kufuru
@samiramawby1257
@samiramawby1257 11 ай бұрын
Harafu nguvu za kiume ni sifa ya mume,,,bila nguvu ya kiume mnataka tuwasage na kuwakoboa then mpakatwe na wazungu????
@abubakariali9848
@abubakariali9848 11 ай бұрын
Sheikh Mazinge utatunga san Visa vyako 😮😮 hujatoa hio tarekh kama ilivyokuja kweny masimulizi
@omaryhaytham2899
@omaryhaytham2899 11 ай бұрын
Mpingaji wewe😂😂
@SoudShuraim
@SoudShuraim 3 ай бұрын
Hajatunga..ni kweli kabisa anachokisema we km hujui kasome
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 10 ай бұрын
Jamaa analinganisha aya kwa ufaham wake
@samiramawby1257
@samiramawby1257 11 ай бұрын
Haituishi Tanzania ya misiba,,,hata hukooo mataifa nao hujiburudisha kwa muziki mzuriiiii,,,hadi majini mnaowaabudu wanapenda MUSIC so be yourself babu🙏
@johnsulle4679
@johnsulle4679 11 ай бұрын
Mshamba ww huwezi kumhukumu mtu wakati ya kwako bado hujayaweza
@mariamwanjiku7518
@mariamwanjiku7518 11 ай бұрын
Ww kazi yako uwa kuwahukumu watu tu kwani ww ni nani
@user-zc1xq8xk1i
@user-zc1xq8xk1i 6 ай бұрын
Mazinge acha kutisha watu
@nyabendamathieu
@nyabendamathieu 10 ай бұрын
Mazinge ww uko wa motoni na waislamu wanaokufwata aca uongo
@SoudShuraim
@SoudShuraim 3 ай бұрын
Hata baba yako ni wa motoni
@LovelyFountainPen-bf7fb
@LovelyFountainPen-bf7fb 4 ай бұрын
Kajitapeli mwwnyewe yeye mola tajiri hafilisiki
@FarahJey
@FarahJey 11 ай бұрын
Mazing Horatio kuzungumza,kaliningrad nakupa nasaha,na hii nasaha pia kwa wale wanao kuwa mfano wako. Nasaha yenyewe inao husu aya (ان لله وان اليه راجعون) aya kama hii huwa mwasoma,nusu na munatarajia nusu nyengine watu wakamilishe wenyewe,bila shaka hivi ni makosa.unapo soma aya kamilisha mwenyewe.
@omaryhaytham2899
@omaryhaytham2899 11 ай бұрын
Sawa lkn alichokisema umekielewa lkn
@issaathmet
@issaathmet 11 ай бұрын
Naam ila umekosea kuiandika hiyo aya
@FarahJey
@FarahJey 11 ай бұрын
@@issaathmet sawa شكرا جزاك اللح خيرا الكمال لله (إنا لله وإنا إليه راجعون)
@jumahaji4141
@jumahaji4141 11 ай бұрын
wewe ulie muita shekhe tapeli jiangalie ww
@johnsulle4679
@johnsulle4679 11 ай бұрын
Kwan hii lugha yenu ya kutudanganyia haitafsiriki kwa kiswahili
@FatmaZena
@FatmaZena 11 ай бұрын
Soma elimu zote ndugu
@Sheba4651
@Sheba4651 11 ай бұрын
Kwani na nyie si mtumie lugha ya Yesu, mbona haina shida.
@samiramawby1257
@samiramawby1257 11 ай бұрын
Dua yako ipi imefila mzee tangu uanze kuomba???Mtume yupi kamuomba MUNGU????kumbe mzee YUSUPH alikuwa mtume wako???acheni dhurma kwa kutumia jina la ALLAH
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 11 ай бұрын
Ww mwenyewe tapeli tuu.
@user-bj8no2ob7l
@user-bj8no2ob7l 11 ай бұрын
Kama huna chakukoment kaa kimya
@samiramawby1257
@samiramawby1257 11 ай бұрын
Nyie mwapenda watu wawe majambazi then waigize maisha?kwani Allah hajui hao waimba muziki hizo ndo ajira zao???au mlitaka muishi na EID AMIN DADAA ndo mumsifie swala zake???nyie ndo mnataka waislaam wawe mafukara hadi waende kupakatwa LGBTQ ili mjue kuwa kipaji cha mtu ni karama na mtaji wake wa kumfikisha hadi MACCA na MADINA
@mariamwanjiku7518
@mariamwanjiku7518 11 ай бұрын
Mzee Yusuf ndio keshakwenda iyo makka ww ushakwenda??
@SoudShuraim
@SoudShuraim 3 ай бұрын
Hujielewi na hujamuelewa mazinge
@jesusislord9190
@jesusislord9190 11 ай бұрын
Ommy dimpoz kaenda kuhiji na anaimba mbona umekaa na mzee Yusuf
@faridmobji
@faridmobji 11 ай бұрын
Ommu Ajahiji kaenda umrah ...Umrah na hija tofauti
@jesusislord9190
@jesusislord9190 11 ай бұрын
@@faridmobji hijja ni nn? Na umrah ni nn??
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 11 ай бұрын
Halafu ommi hakutangaza kuacha mziki kama alivyo sema kaka yangu nimeacha na akawa akitembea kwenye mihadhara na mashehe kutangaza dini .ndio mana wamemuandama sanaaa.wamsamehe mungu ndio ata muhukumui.
@jesusislord9190
@jesusislord9190 11 ай бұрын
@@zulekhasaud483 kwahiyo ommy yupo sawa Akon sawa Dj khaleed sawa Mzee Yusuf wrong?? Msiwe hivyo muacheni mzee Yusuf
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 11 ай бұрын
@jesusislord9190 Mungu ndio atakaye hukumu pengine yy ndio msafi kuliko wao
@sarahmohamed3968
@sarahmohamed3968 23 күн бұрын
Kisha unavyoongea unajiamini wewe ni mtu wa peponi hicho ni kibri
@samiramawby1257
@samiramawby1257 11 ай бұрын
Mboma hamjadiri mahirizi yalokutwa katika mji mtakatifu wa ALLAH???nyie mna mema yapi???kutongoza makahaba vichochoroni na kuficha dhambi kwenye makanzy yenu na daawa???baasi na mimi nipakateni nipate hela waislaam wote tuwe mafukara
@user-yx3ex4vy7o
@user-yx3ex4vy7o 5 ай бұрын
Samiramawby1257 .5mo ago :Wewe nimuislam au kafiri?Tujuane kwanza
@samiramawby1257
@samiramawby1257 11 ай бұрын
Kwanini ufatilie mambo ya watu usiopatana nao katika matendo???wewe wa ALLAH kwanini uwadis kina HARMONIZE ???unawafatilia wa nini???nyie ndo mnafanya hadi Qaswida ipotee Tanzania make hamjui hata sauti nzuri humvutia ALLAH na huumbwa na ALLAH iwe msaada,,,kila mtu ana mda wake wa tooba so MIND YOUR own business dear old man
@aliykhamisi1431
@aliykhamisi1431 11 ай бұрын
Wasio jielewa wewe ni mmoja wao
@user-lq6kr2gl7n
@user-lq6kr2gl7n 3 ай бұрын
Umeonaaaaa naona anatapika upuuz km huijui din vizur kaa kimyaaa
@samiramawby1257
@samiramawby1257 11 ай бұрын
Sheikh sorry,,Hivi wewe ni ALLAH kujua duaa ya nani au hijja ya nani imepokelewa???hivi huyu mzee YUSUPH siku akiacha ajira yake ya masong kuna siku nyie mtamlisha???mtamfaa???mtampa huduma stahiki yeye na mkewe???au mtampa mshahara kulingana na hadhi yake???
@omarmakame3027
@omarmakame3027 7 ай бұрын
Kuna mlango wa tauba kauangalie Kuna mambo utajifunza ,utajua mengi apa Kisha ndio useme mambo mengine
@SoudShuraim
@SoudShuraim 3 ай бұрын
Kasome dini...kwn kuimba ni halali au haramu?bs wewe imba alf ukifa ndo utajua maana mtu akisema ukweli mnaporomoa maneno machafu.
@samiramawby1257
@samiramawby1257 3 ай бұрын
@@SoudShuraim una dhambi ngapi we kima mpaka leo hadi kuimba kukupeleke motoni???Kwahiyo akiwa shoga au jambazi atapata thawabu au pepo siku akifa???ask mohammad if he is in Jehannam or??
@sarahmohamed3968
@sarahmohamed3968 23 күн бұрын
Tumeisha wajuwa ni matapeli
@sarahmohamed3968
@sarahmohamed3968 23 күн бұрын
Wewe huwezi kuhumu hija za watu
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 51 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
UST. HABIB OTHMAN  MAZINGE | MZEE YUSUF NAKUDAI
21:06
Fahari yangu
Рет қаралды 71 М.
JE YESU NI MUNGU?  | MAZINGE VS NDACHA +254705602959
1:47:13
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 493 М.
OTHMAN MAALIM.....VISA VYA VITA YA BADRI
3:01:33
ADELINK HABARI
Рет қаралды 120 М.
КЕПКА КОМАРОВ
0:16
KINO KAIF
Рет қаралды 11 МЛН
It worked for me)
0:19
F&T Team
Рет қаралды 23 МЛН