No video

Chocolate Fudge Sauce/Rojo La Chocolate

  Рет қаралды 38,593

Mziwanda Bakers

Mziwanda Bakers

Күн бұрын

Kwenye Video Hii Utapata Kujifunza Kuandaa Chocolate Fudge Sauce Ambayo Utaweza Kupambia Keki Pia Ukifanya Rojo Zaidi Inakuwa Kimiminika Kitamu Sana Juu Ya Keki Hasa Keki Za Slices/Vipande

Пікірлер: 57
@ivethaignas603
@ivethaignas603 2 жыл бұрын
Asante Sana, unatuponya wengi kwa ufundi wako, MUNGU azidi kukubaliki
@allyahahmed1091
@allyahahmed1091 3 жыл бұрын
ila mziwanda mashallah kw kweli wewe dDa 🙌🏻🙌🏻🙌🏻tumtumie jamani hela ya soda huyu dad asije kuchoka
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Hahahahahaha Ahsante nimecheka nashukuru kwa zawadi hii yakufanya nicheke hivi 🙏🙏🙏🙏kwa kujali
@cookingwithmimmo
@cookingwithmimmo Жыл бұрын
Hiyo hakika ina ladha nzuri sana
@nashounfrank6749
@nashounfrank6749 2 жыл бұрын
Hbr mpendwa.. Naomba utufundishe recipe ya fudge nyeupe au rangi .mfano pink, gold, bluu n.k
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 3 жыл бұрын
Better late than never ☺️ Am here watching it dear..tamuuu😋😋😋😋😍😍😍
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Hahahahaaa karibu love😋😋😋
@mamuually8995
@mamuually8995 3 жыл бұрын
Mashaa Allah Shukran Allah azidi kukubariki madam
@zulfajuma9897
@zulfajuma9897 6 ай бұрын
Mashaallah
@arafasaid2878
@arafasaid2878 3 жыл бұрын
Thnks dear nimejaribu kupika imekua soft baada ya kupoa naona imekua nzito alafu na sukari inaskika haikulainika
@agathathobias8690
@agathathobias8690 3 жыл бұрын
Ahsante dear nilkuwa nasubir hii kitu Mungu akutunze
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Amiin shukran
@VickyFredrick-zs4py
@VickyFredrick-zs4py 3 ай бұрын
Hiyo keki kwenye kontena bei gani dear
@hawagomba598
@hawagomba598 Жыл бұрын
Dada mziwanda kama nataka kutengeneza rojo yenye rangi zingine tofauti na za chochote natumia nini na nini
@HadijaSheban
@HadijaSheban 3 жыл бұрын
MashaaAllah asante sana kipenzi 🤤
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
🥰🥰🙏
@erictemu740
@erictemu740 3 жыл бұрын
Dada Kwenye MAHITAJI UMEWEKA UNGA lakini MBONA HUJATUMIA??
@Shumy-nw6rm
@Shumy-nw6rm 9 ай бұрын
Unaweza kuchovya kwenye donuts?
@siriyangu4724
@siriyangu4724 3 жыл бұрын
Masha Allah shukran da
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
😘😘
@hannahhassan8881
@hannahhassan8881 Жыл бұрын
Kwa list yako umeandika unga/flour bt sikuona ukiweka inakuaje?
@anithapeter8705
@anithapeter8705 3 жыл бұрын
Jmn nataka kujua mnapatikana wapi nahitaji vitu dukani kwenu
@muniraramadhani9093
@muniraramadhani9093 3 жыл бұрын
Nitakuja somo kwa darasa zaidi
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Karibu sana mwali
@magrethmushi1583
@magrethmushi1583 2 жыл бұрын
Asantee kwa somo je kama unaeka maziwa unatakiwa uweke kiasi gani?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Kiasi cha maji
@stellahmwaliko914
@stellahmwaliko914 Жыл бұрын
Asante
@carinesima7730
@carinesima7730 3 жыл бұрын
Hey dear,hayo maji unayoongeza ili iwe nyepesi ni ya barid au ya moto?na wakati unaongeza unakua umerudishia kwenye moto?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Ya moto dear waweza weka maziwa au maji
@milkamburushi2375
@milkamburushi2375 Жыл бұрын
Mbona nimeona unga lakin hujaweka?
@brayufulala5748
@brayufulala5748 3 жыл бұрын
Apo unauza ngapi
@sharifaalawi1676
@sharifaalawi1676 3 жыл бұрын
Sijajutia kukufaham
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
😊😊shukran na karibu
@edinamasunga7473
@edinamasunga7473 3 жыл бұрын
Samahn madam kama huna chocolate chips ,unatumia nin?
@herself7545
@herself7545 3 жыл бұрын
Tumia chocolate ya kawaida tu
@mzurymohamed8181
@mzurymohamed8181 Жыл бұрын
Mim naomba kujua kama samli inaweza kutumika
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Hapana kwa hapa usitumie
@mzurymohamed8181
@mzurymohamed8181 Жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 asante
@lucyamani7624
@lucyamani7624 3 жыл бұрын
Sukar yngu imgom kuyeyuka na nimetumia measuring cup
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Pole sijui wapi umekosea hapo,sukari ni nyepesi kuyeyuka
@hannahhassan8881
@hannahhassan8881 Жыл бұрын
Unaeza kuisaga sukari
@esterdoriye4304
@esterdoriye4304 3 жыл бұрын
Asante love unaweza kuhifadhi ikakaa siku kadhaa ,tupe namba zako mmy
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Inahifadhika kwenye kabati tu ama fridge
@midianarushuli5612
@midianarushuli5612 3 жыл бұрын
Yaani baada ya kuweka cocoa chips au cocoa pound unaweza kuweka maziwa tu
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Unaweza bila shida
@DOTOCHARLES-so7rh
@DOTOCHARLES-so7rh 10 ай бұрын
Mbona vipimo hakuna
@roz3990
@roz3990 3 жыл бұрын
Mamii umetaja unga kwenye recipe, sijaona ukiutumia
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Hatutumii unga dear labda hiyo cocoa
@lydiaaspro1740
@lydiaaspro1740 3 жыл бұрын
Mammy hivi nisawa kutumia maziwa badala ya maji
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Ni sawa zaidi dear
@lydiaaspro1740
@lydiaaspro1740 3 жыл бұрын
Asanteee ubarikiwee
@mzurymohamed8181
@mzurymohamed8181 Жыл бұрын
Iyo margarine ni samli au siagi jmn
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Siagi dear
@emmynilesh8742
@emmynilesh8742 3 жыл бұрын
Je naweza kuweka chocolate ya ivory mpnz?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Jaribu kuweka ila sijawahi tumia hiyo dear
@emmynilesh8742
@emmynilesh8742 3 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 sawa mamy
Jinsi Ya Kupika Chocolate Fudge Keki/Simple Chocolate Fudge Cake Recipe
10:37
BLENDA INAVYOTENGENEZA ICECREAM LAINI/homemade blender icecream
8:21
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 10 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 4,6 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 10 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
Chocolate Ganache Recipe | All My Tips and Tricks!
9:25
Preppy Kitchen
Рет қаралды 1 МЛН
How to make chocolate truffles with milk at home(Subtitle on)
7:04
Joon's Little Table
Рет қаралды 12 МЛН
Chocolate Ganache in Kiswahili & English subtitles
5:51
Aroma Of Zanzibar & Beyond
Рет қаралды 72 М.
Jifunze kupika moist chocolate/Mahanjumati
27:29
Mahanjumati Online
Рет қаралды 2,3 М.
The Best Chocolate Cake Recipe
14:28
Preppy Kitchen
Рет қаралды 1,4 МЛН
NAMNA YA KUTENGENEZA CHCOLATE FUDGE CAKE, UNAWEZA KUUZA NA KUFAIDIKA
3:56
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 10 МЛН