Рет қаралды 78,996
Hii video nimeandaa kuelekeza namna ya kupiga mahesabu ya kujua siku salama, siku za hatari na siku ya ovulation kwa mwanamke ili kuepuka mimba zisizotarajiwa, au kwa wenye kushindwa kupata ujauzito kwa sababu ya kutokujua siku njema za kupata ujauzito @ramonawatoto @mwijagemindset