No video

SIKU SALAMA NA SIKU ZA HATARI KWENYE MZUNGUKO WAKO

  Рет қаралды 148,029

Dr Ramo

Dr Ramo

2 жыл бұрын

MZUNGUKO wa hedhi, siku salama, siku za uzazi na siku hatari.
mada tutakayozunguka nayo kila Jumanne, kwa siku 15 kaa mkao, kujifunza, mana nimegunduwa wanawake wengi wanapigwa chenga na kalenda na hujikuta haelewi. KWA UTANGULIZI👇👇
ILI UELEWE VIZURI MADA HII MPAKA MWISHO - BASI HUNA BUDI KUJIFUNZA MAMBO KADHAA MUHUMI
Kama wewe ni mara yako ya kwanza kabisa kujifunza mzunguko wa hedhi basi itakufaa kuwa na KALENDA yako ya ukutani na PENI nyekundu na nyeusi kama utaweza.
1- Siku ya kwanza umepata bleed (wengi husema nimeingia siku zangu) ndio siku ya kwanza ya mzunguko wako wa hedhi katika mwezi husika.
2- Siku ya mwisho ya mzunguko wako wa hedhi ni siku moja kabla hujapata hedhi ya mwezi mwingine.
3- Mzunguko wa hedhi sio lazima kila mwezi uje siku ile ile na tarehe ile ile
4- Mzunguko wa hedhi sio lazima kila mwezi uwe na urefu/ukubwa ule ule.
5- Mzunguko wa hedhi ni nini?
Ni idadi ya siku unazochukua kuanzia siku ya kwanza umepata hedhi/bleed mpaka siku moja kabla ya kupata hedhi ingine ya mwezi mwingine.
6- Siku za Hedhi ni nini?
Siku za Hedhi ni siku kuanzia siku ya kwanza umepata bleed mpaka siku ya mwisho umemaliza ku-bleed
7- Siku za Hatari ni nini?
Siku za Hatari ni siku zote ambazo unaweza kufanya tendo la ndoa na kupata mimba
8- Siku za Uzazi ni zipi?
Siku za uzazi ni zile siku ambazo kwa mtu anayetaka kupata mimba ndio siku zenye uwezekano mkubwa wa kupa mimba, ni siku ambazo dalili zote za yai kutokea au kutoka zinaonekana (kawaida ni siku 3-4)
9- Siku ya Yai Kupevuka au siku ya Mimba
au kutoka katika nyumba yake (ovaries)
Hii ni siku ambayo yai hutoka/hutolewa katika nyumba yake (nyumba ya mayai au ovaries) na kuelekea kwenye mirija ya uzazi ili kushika mimba kwa kiingereza inaitwa ovulation day.
10- KATIKA MAISHA YA KAWAIDA - mwanamke akisema nimeingia kwenye siku zangu basi anamaanisha ameanza bleed. Kama atasema leo niko mwezini siku ya pili basi anamaanisha yuko katika siku ya pili ya hedhi na siku ya pili ya mzunguko wa hedhi.
Kwa hiyo kama mwezi huu wa Sita ulianza kupata hedhi siku yoyote ile basi siku iyo ya kwanza ulipopata hedhi kwa mwezi huu wa sita ndio siku yako ya kwanza ya mzunguko wa hedhi kwa mwezi huu wa sita. Mfano kama ZAYNAB aliingia siku zake tarehe 15/06/2019 basi leo tarehe 24/06 ni siku yake ya 10 ya mzunguko wako wa hedhi. Haijalishi kama alimaliza hedhi yake tarehe 08/06 au kabla ya hapo. Kwa hiyo kitu muhimu hapa ni kuwa siku za mzunguko wa hedhi na siku za hedhi ni vitu viwili tofauti sana. Katika mfano huu hapa ni kuwa Nola leo ni siku yake ya 10 ya mzunguko wa hedhi lakini alimaliza bleed tarehe 08/10 kwa hiyo siku zake za hedhi au siku zake za bleed zilikuwa 4 tu yaani tarehe 05/06, 06/06, 07/06 na tarehe 08/06.
INAENDELEA...... kwenye kipindi kijacho
Dr Ramo +255 712 286 686

Пікірлер: 181
@ramonawatoto
@ramonawatoto Жыл бұрын
Kwa wale wenye kusumbuliwa na matatizo ya hormonal imbalances hii hapa video yenye muongozo wake. kzfaq.info/get/bejne/n7Vyn5eTs8vSnKM.html
@MickaelShimba
@MickaelShimba 8 ай бұрын
Je Kam kaingia tarh 30 mwez huu ck hari ni zp
@NicklaKiti-cm1dk
@NicklaKiti-cm1dk 4 ай бұрын
Dr kam leo nimekuwa kimwili na mpenzi wangu na leo ni tarehe 15 na huwa napata tarehe 30 siku zangu salama ni gani ama naeza pata mimba kweli
@ZuleyMohammad
@ZuleyMohammad 13 күн бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@ZuleyMohammad
@ZuleyMohammad 13 күн бұрын
😊😊
@TumainManyilizu-zb6kq
@TumainManyilizu-zb6kq 6 күн бұрын
Habali mim nahesabu vizul lakin sibebi mimba
@SaitotiSaitoti-g8p
@SaitotiSaitoti-g8p Күн бұрын
Je ukifanya mara moja ukiwa kwenye siku hatar
@MamaIdrisaa
@MamaIdrisaa 13 күн бұрын
Kweli
@tunurajabu1503
@tunurajabu1503 5 ай бұрын
Sawa doctor ..Asante sana
@AudesCocy
@AudesCocy 13 күн бұрын
Mimi ndo nimeelewa kupitia yeye uko vizuri 👌
@AnnastellaSinkamb
@AnnastellaSinkamb 2 ай бұрын
Asante sana doctor 🙏
@ANNAJACKSON-lh6id
@ANNAJACKSON-lh6id 6 ай бұрын
Ahsantee dr nmekuelewa sana
@hilalhilal222
@hilalhilal222 2 жыл бұрын
Much thanks dr Maan nilikuwa nashindwa Ku use calender but now very very understand 🙏🙏
@aishanassoro1183
@aishanassoro1183 2 жыл бұрын
santee dr ramo
@user-uy8tt4wb7f
@user-uy8tt4wb7f 10 ай бұрын
Tnxb bro
@tumainimwanyabupe8904
@tumainimwanyabupe8904 Ай бұрын
Doctor nimekuelewa vzr kabisa
@ElidaNgirwa-ny3is
@ElidaNgirwa-ny3is Жыл бұрын
Ahsante sana Dr 👏
@twairam694
@twairam694 2 жыл бұрын
Shukran 🙏maana mi ndo hua aijui kabisaa🙏
@ChristinaSanga-ht7ig
@ChristinaSanga-ht7ig 3 ай бұрын
Asantee doctor umenifungua macho
@JaneJuma-ou7fe
@JaneJuma-ou7fe Ай бұрын
Ahsant doctor
@user-rf5zf2xc9h
@user-rf5zf2xc9h 20 күн бұрын
Nimekuelewa Sana
@DidahBakar
@DidahBakar Ай бұрын
Asant doctor
@user-rf5zf2xc9h
@user-rf5zf2xc9h 20 күн бұрын
Asant
@bridgitokungo5896
@bridgitokungo5896 18 күн бұрын
Asante sana doctor nimejua mzunguko wangu ,,ILA Niko na shida ya ukavu na kukosa hamu ya tendo
@ChristinaSanga-ht7ig
@ChristinaSanga-ht7ig 3 ай бұрын
Asante sana
@user-fc4pz6ns4q
@user-fc4pz6ns4q 26 күн бұрын
Asnt doct nimekuelewa sana
@EliaMnyandoe
@EliaMnyandoe Ай бұрын
Dr. Upo vzur mno kwenye kuelezea kuliko wote leo nmeelew kabisa thank you so much
@MpokiFrank
@MpokiFrank 3 ай бұрын
Ubarikiwe nimejifunza nilikua sijuw
@Catekathika88
@Catekathika88 23 күн бұрын
barikiwa sana
@mariyaboniface3580
@mariyaboniface3580 Ай бұрын
Somo uzuri sana nimekuelekeza Dr Ramo Asante sana🤝
@user-su5oi5wb6c
@user-su5oi5wb6c 3 ай бұрын
Nice
@ChristinaKitemba
@ChristinaKitemba 8 күн бұрын
dah asante dr. nilikuwa sielew chochote
@DainessPaulo
@DainessPaulo 4 ай бұрын
Asant kaka angu nimekuerewa vizuri ❤❤❤
@wemambonge6256
@wemambonge6256 22 күн бұрын
Nimekuelewa
@user-ei1jb3gz7u
@user-ei1jb3gz7u Жыл бұрын
Dr asant kwa somo lako
@roseshayo7713
@roseshayo7713 2 жыл бұрын
ubarikiwe🙏 nmejifunza sasa
@amanimionwa1451
@amanimionwa1451 2 ай бұрын
asante
@user-bv4zf6tv4e
@user-bv4zf6tv4e 6 ай бұрын
Shukran
@rosemarybernard1859
@rosemarybernard1859 Ай бұрын
Habr
@WhitneyWhity
@WhitneyWhity 28 күн бұрын
Asante
@Ashamussa-v3m
@Ashamussa-v3m Ай бұрын
hongera somo liko vizur
@denizamartin4588
@denizamartin4588 Ай бұрын
ujumbe mzuri mno
@anethmushi327
@anethmushi327 2 жыл бұрын
Asante nmekupata vizuri sana dokta
@ruqmuya7193
@ruqmuya7193 2 жыл бұрын
😌💕💕
@eleonorashipande4297
@eleonorashipande4297 3 ай бұрын
Dr Ramo ni mmoja tu💪
@user-on8cb8qq9o
@user-on8cb8qq9o Жыл бұрын
Nilikuatu nikisikia mzukuko Ila Leo I say nimeelewa sana ubarikiwe doctor ❤
@farhasaidi2057
@farhasaidi2057 2 жыл бұрын
Asante Sana Allah akulipe kher nimekuelewa vzr sna shukuran
@boreshaafyayako1
@boreshaafyayako1 2 жыл бұрын
Good
@ramonawatoto
@ramonawatoto Жыл бұрын
Thanks
@user-bs6dg6bw8g
@user-bs6dg6bw8g 10 ай бұрын
Kaka nimekuelewa sana tuuuuuuuuuuuu❤❤❤
@user-vc1yp9oe5d
@user-vc1yp9oe5d 25 күн бұрын
𝔹𝕒𝕣𝕚𝕜𝕚𝕨𝕒 𝕤𝕒𝕟𝕒 𝕕𝕣🎉
@BinaAllymacheda-qw4rt
@BinaAllymacheda-qw4rt 3 ай бұрын
asante doctor nimekuelewa nashida ya mtoto
@user-ld8ph3es6t
@user-ld8ph3es6t 10 ай бұрын
sikua naelewa maana ya mzunguko lakini sasa nimeelewa daktari asante sana
@LatifaJuma-ml2sv
@LatifaJuma-ml2sv 11 ай бұрын
Me me niliingia hedhi tareh 22 na nimemaliz tareh 27 nimekaa wik nikafany mapenz na xk tatu tok nimefany mapenz ss sijielew tumb linaum najixkia viby
@mariyaboniface3580
@mariyaboniface3580 Ай бұрын
🤝
@user-yk2jg8nu6p
@user-yk2jg8nu6p 6 ай бұрын
Last month sikunyesha nilikuwa natumia dawa ya kienyeji ya kkukunywa ,,,lakini this month feb nimeanza kuona periods date 6 na sijuwi safe days zangu na dangerous days za kushika mimba
@LianaHamisi
@LianaHamisi 2 ай бұрын
Dokita me naigia hedhi take 25 namaliza taleh28 je SKU zangu zaatali nizip kwajil yakubeba ujauzito
@mwanaidysirlym865
@mwanaidysirlym865 Жыл бұрын
Mashallah, Dr waelekeza vizur mnoo mnoo
@ramonawatoto
@ramonawatoto Жыл бұрын
Shukrani sana. Karibu pia
@AnnaPatrice-f9i
@AnnaPatrice-f9i 16 күн бұрын
Nimeielw doctor thinks
@user-rl2gi1bm1o
@user-rl2gi1bm1o 5 ай бұрын
M bd
@AdamMpemba
@AdamMpemba 3 ай бұрын
Kwamajina betruda, namba kujua mm kilaifikapo terehe 22 nanza hedhi namaliza tarehe25 je sikuzangu zahatali ni zipi?
@HappinesMathara-me9cx
@HappinesMathara-me9cx 2 ай бұрын
Sawa dokta nina swali
@user-xn8ot5fg5t
@user-xn8ot5fg5t 6 ай бұрын
Mm nmetok 15
@anneyrommoka9024
@anneyrommoka9024 Жыл бұрын
Mekuelewa
@LiziwaniOsumani
@LiziwaniOsumani 23 сағат бұрын
Mimi mke wanguu mwanzo kaingia talehe tatu mwanz ulio fata kaingia talehe sita jee nisiku gani yahatali kwke?
@BrigitteKusare
@BrigitteKusare Ай бұрын
Samahanii dr. Kama umemaliza hedhii yakoo jumatatu na umefanya mapenzii siku ya 2 yaani jumatanoo unapata mimbaa
@AishaOmary-bp6ov
@AishaOmary-bp6ov 2 ай бұрын
nataka unifundishe maana hata sijui maana ya mzunguko wangu si uelewi
@DidahBakar
@DidahBakar Ай бұрын
Asant nimeelew kidg maan nilikuw hat cjui siku zang za hatr na natafut mtt Dr
@FilimonElia-ip6ww
@FilimonElia-ip6ww Ай бұрын
Me xielew
@estaphone
@estaphone Жыл бұрын
Mimi nikimaliza hedhi zangu Dr na Huwa ni siku mbili nikijaribu ya tatu mimba tayari ,Hadi Nina watoto watatu,pia mzunguko wangu nikipata leo tarehe 7 mwezi ujao utakua tarehe 5au 4
@leticianoah
@leticianoah 4 ай бұрын
je kuna uwezekano wa kupata ujauzito ikiwa umesex na mwabaume hajaingiza uume wote ndan na pia kamwaga mbegu juu ya uke
@SekelaJakson-ls7dd
@SekelaJakson-ls7dd 3 ай бұрын
​@@leticianoah😂😂😂😂unapata ndio kama ulikuwa siku ya hatar
@Teaching356
@Teaching356 2 ай бұрын
Huyu nae😂​@@leticianoah
@user-ef5vv5gl3v
@user-ef5vv5gl3v Ай бұрын
😂😂
@kahonjasadokisadoki
@kahonjasadokisadoki 15 күн бұрын
Nimekuhelewa vizuri ila mimi ninatatizo nikihingiya mwezi huhu taree7 utakuta mwezi ujaho 6 aho tano hivo inanipa shida kujuwa mzunguko wangu.
@RehemaChibupa
@RehemaChibupa 2 ай бұрын
Dr Mimi mzunguko wa wa siku 26
@user-wt7jo9rt7z
@user-wt7jo9rt7z 9 ай бұрын
Somo zuri San docta nimejifunza Leo man wag nasumbuliwa San n homoni
@Ticah-h1f
@Ticah-h1f Күн бұрын
Kwa hiyo siku ya saba na ya nane mkikutana haiwezi tokea kupata ujauzito??
@jumakanyama1257
@jumakanyama1257 3 ай бұрын
Samahani docta Mimi Naomba kuuliza, hiv kuna uwezekano WA mwanamke kubebwa ujazito ikiwa hajaona uteute? Na inasababishwa Nani
@AgnesElia-lt5pe
@AgnesElia-lt5pe 3 ай бұрын
Dr tafadhali naomba unisaidie hapa kuelewa juu hedhi yangu ni irregular hivi sasa nitajua lini siku salama na siku hatari
@MagrethFaustin
@MagrethFaustin 2 ай бұрын
Mbona mzunguko wangu wa hedhi sikuelew kwamfano mwenz ulopita nilipata hedhi tarh 9 sa mwenz huu nimepata hedh tarh 3 nikamaliza tareh 7 unakuta sielew
@AmusedIceHockey-hc9jh
@AmusedIceHockey-hc9jh 2 ай бұрын
Dr mm nmepim hospital nimeambiwa n uvimbe mdg ambao cio sababu ykutoshik mimba lkn cpt mimb mpk nw
@SashaKifalu
@SashaKifalu 4 ай бұрын
Mm nilikuwa natumia sindano chakushangaa nilichoma sindano moja nimemaliza miezi mitatu chashangaza adi saiz sjabrid sijabr sijabr
@salma1134
@salma1134 Жыл бұрын
Mipia nimeelewa kabsa alhamdulillaah
@ramonawatoto
@ramonawatoto Жыл бұрын
Karibu sana
@RuthjepkosgeiKangogo
@RuthjepkosgeiKangogo 2 ай бұрын
Mimi nimejaribu sana nasipati Mimba ni saidie
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 2 ай бұрын
Utapata Tu InshaAllah
@NuratyMsafiri
@NuratyMsafiri 16 күн бұрын
Vip ukikutana nae siku moja Kati yaizo zaatali
@RamadhaniKassim-fx5cm
@RamadhaniKassim-fx5cm 4 ай бұрын
. Dr, mi nimejaribu kujipa mfano wa mtu mwenye mzunguko wa siku 37 inakua mwisho wa siku za hatari inakua siku 28 hivi nikweli
@GracePaul-ce1xb
@GracePaul-ce1xb Ай бұрын
Dr naomba kujua siku zangu za Atari Huwa naingia period try 26inaenda adi tarehe Moja ya mwezi unaofuata mwingine
@CatherinMkakatu
@CatherinMkakatu Ай бұрын
Ukikutan namwanaume tare27ikaw badoinayo fat natakiwa kuwanajianda kwaxkuza hex ntakuwa namimba
@user-jp3fg2oz8c
@user-jp3fg2oz8c Ай бұрын
Doctor mimi nlijua cku yakuingia period ndo cku ya kwanza na ntahesabu cku tano za hedhi cku tano za salama afu cku nane za hata na zfuatazo znakua ni salama mpaka pale ntapoingia period,au me nakosea? nisaidia please
@Espy-ek8
@Espy-ek8 5 ай бұрын
Je doctor kwa mwanamk anaye ingia period mara 2 ndani ya mwezi mmoj inakuaj hapo
@user-mq9nv8un2y
@user-mq9nv8un2y Жыл бұрын
Dokt samahan period yang ni kila tareh 18 na hiy tareh hiy 18 nimekutana na x Wang nawez kubeba mimb naomba jibu
@silviasilvester
@silviasilvester Жыл бұрын
Asanty nimeleewa vizury sasa
@MagrethFaustin
@MagrethFaustin 2 ай бұрын
Et sielew
@DoreenMenyenya
@DoreenMenyenya 2 ай бұрын
Dac me huanza 26 naweza patq mimba
@MagrethFaustin
@MagrethFaustin 2 ай бұрын
Kwa jina naitwa mageth naomba nikuliz swali
@user-zh4io3fv1m
@user-zh4io3fv1m 5 ай бұрын
Samahn doctar nieleweshe Mimi nimemaliza enzi yangu Tarehe 28 Mwezi wa nane mpka sasa sijapata
@ndayikezaaminata424
@ndayikezaaminata424 7 ай бұрын
Dr hawujambo kwahuyo mufano umetupa yani nikifanya mapenzi iyo siku yakumi 18 au 19 tu naweza kupata ujawuzito yani namanisha sikufanya mapenzi kwanzia hiyo siku ya 9 hadi siku ya 17 nikaja kufanya siku ya 18 na 19 tu kunawuwezekano yakubeba ujawuzito?
@Mayenzeboniphace25
@Mayenzeboniphace25 2 ай бұрын
Doctor Kwan mwanamke anaye ingia kwenye cku zake za hatari ni siku Gani akiwa na mzunguko wa siku 33
@saumchai6332
@saumchai6332 2 жыл бұрын
Mimi ni 24
@UmayyasaidSaid
@UmayyasaidSaid 3 ай бұрын
Sasa dokta me nmekuelewa vizur lakin sasa kwamfano mimi katika karenda naanza kubridi taree 30 alf kam kesho taree 1 je na mim naweza kutumia karenda hiyo uliowek kam kujifunza?
@UmlathAhmada-yg4gd
@UmlathAhmada-yg4gd Ай бұрын
Mimi ninatumia kalenda lakin sasa naona leo siku ya pili sion period
@Sultan-fz7ug
@Sultan-fz7ug 8 ай бұрын
Je anae ingia kuanzia taree 5 mpaka cku ngap kushika ujauzito
@MarthaPeter-kr3bm
@MarthaPeter-kr3bm Ай бұрын
Samahani docter niliingiaa siku zangu tarehe 17 nikamaliza tarehe 21 hapa siku za hatari ni zipi
@zainabjuma3401
@zainabjuma3401 2 ай бұрын
Dokta mi huw naingia cku tatu nimeingia trh 24 mwez tano je cku ya hatar yangu lini celew
@ElinaIvvo
@ElinaIvvo 21 күн бұрын
Samahan Dr Mimi niliingia tarehe 21 ni katoka 24 siku ya hatar kwangu ni ipi?
@RoswintaLovenus-wp4dv
@RoswintaLovenus-wp4dv Ай бұрын
Dr naomba urudie Tena siku nyingine
@tumainsprian2406
@tumainsprian2406 4 ай бұрын
Mi naona miezi milefu tu je kama umekutana mwez wa pili unahesabu kuishia ile tar 29 au unaenda hadi tar 31
@SamwelSamwely-xe2le
@SamwelSamwely-xe2le Ай бұрын
Mi naingia tarehe 3 siku yangu ya kubeba mimba ndo inakuwa tarehe ngapi
@user-iz2jp3vb3m
@user-iz2jp3vb3m 8 ай бұрын
Asante nimelewa nitajalibu kufatiria ili nibebe mimba
@user-ws7xc4bw8n
@user-ws7xc4bw8n Ай бұрын
Docta mm Sina siku maalum ya hedhi siku Huwa zinabadilika badilika vp nikitumia Kalenda uliyo fundisha naweza kupat ujauzito
@MamuHashim
@MamuHashim Ай бұрын
Nikikutana nae sk zahatar naakamwaga begu njee nitapata mimba
Hizi ndio siku za Kushika Mimba - Dr Baiya Kissiwa
10:12
Kalamutz
Рет қаралды 32 М.
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 28 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 41 МЛН
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI  | Love Story
40:44
DONTA TV
Рет қаралды 1 МЛН
Dr. Chris Mauki: Epuka maneno haya 8 wakati wa tendo la ndoa
8:16
Chris Mauki
Рет қаралды 612 М.
JE , KUNA MADHARA USIPOFANYA MAPENZI MUDA MREFU ?
2:23
Wasafi Media
Рет қаралды 12 М.
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН