NABII MKUU GEORDAVIE ALIVYOINGIA BURUNDI NAKUPEWA TUZO, AGAWA FEDHA KWA WATU

  Рет қаралды 64,940

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 229
@barakadestiny5354
@barakadestiny5354 Жыл бұрын
Mungu Akulinde baba siku zote ili uzidi kuwa baraka katika maisha ya watu lakini me namuomba Mungu anipe neema ya kutoa na kuwasaidia wengine
@joyceabeli3787
@joyceabeli3787 Жыл бұрын
Hongera kwa kusaidia watu maana wapo wenye pesa lakin hawasaidii watu kupata kwako pesa sisi hatuwezi jua ila kwa kujitoa moyo huo mungu azidi kukupa hekima nabusara maana sisi wabongo hatupendanagi kabisa na kusemwa kupo hata yesu mwenyewe wanamsema saidia watu nabii mkuu nakupendaga bure
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Sanaaaa mungu akubariki geodavie kwa kusaidia watu wenye uhitaji utafunguliwa popote palipokwama
@mjungatv8172
@mjungatv8172 Жыл бұрын
Et Nabii Mkuu daah...!!🤣🤣🤣 Hii Dunia Asee Innalillah wa innalillah Rajiuni
@jacobnghwali4531
@jacobnghwali4531 Жыл бұрын
Ulitaka shekhe mkuu hujielewi wewe
@MarkJackson-eq3wp
@MarkJackson-eq3wp Жыл бұрын
Tunakuomba nabii mkuu mungu akupe maisha na umri mrefu baba
@user-cu8xl1po7n
@user-cu8xl1po7n Ай бұрын
🎉ongera sana ubarikiwe baba niko marawi NAKUPENDA sana
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 Жыл бұрын
Wengine hapa watasema ni freemason..ilaa kwa mola anajuwa yeye ni siri yke..Allah akupe pope yako
@rosentikha1572
@rosentikha1572 Жыл бұрын
HONGERA NCHI YA BURUNDI KUMTAMBUA MH NABII MKUU DKT GD MUWAKILISHI WA MUNGU HALISI DUNIANI
@rahabbrayson6552
@rahabbrayson6552 Жыл бұрын
Hongera sana Nabii Mkuu
@angelleonard7086
@angelleonard7086 Жыл бұрын
Hongera Sana Nabii mkuu Dr GeorDavie mungu amekuinua kimaifa ikiwa ni wakati wa mungu hakuna wa kupinga hongera Sana baba yetu kipenzi tunakupenda na tunajua juhudi tangu ukiwa kijana mdogo Hawa wanaojidai hawaelewi wapeleke unafiki wao huko
@apostlej.rministiryprophet2219
@apostlej.rministiryprophet2219 Жыл бұрын
Hakika
@enizemwayingatv5196
@enizemwayingatv5196 Жыл бұрын
Barikiwa sana baba yangu Asante sana
@bakariadamu6068
@bakariadamu6068 Жыл бұрын
Mtu mzuri ni yule anaesaidia watu
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Kabisa,
@jacobnghwali4531
@jacobnghwali4531 Жыл бұрын
Hakika bakari
@kelvindaudi2107
@kelvindaudi2107 Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana baba ni nakupenda sana baba
@aaronmtumbuka7028
@aaronmtumbuka7028 Жыл бұрын
Man of god
@mathayopapiasi8872
@mathayopapiasi8872 Жыл бұрын
Bibilia inasema watu wake wana angamizwa kwa kukosa marifa Hosea 4:6 napia bibilia inasema sheatani huja kama maraika nuru kuweni makini
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 3 ай бұрын
Kama wanaanqamiya ukawaokowe pungusa umalaya upate mema
@rmmedia3288
@rmmedia3288 Жыл бұрын
Baba yangu Mungu akutunze!! unatuheshimisha mjini hapa!
@kazimotomaswi9700
@kazimotomaswi9700 Жыл бұрын
Kuleni notiii
@DaudiLaiza
@DaudiLaiza 8 ай бұрын
Hongera Sana mtumishi wetu
@desirendamuhawenimana7176
@desirendamuhawenimana7176 Жыл бұрын
Amefanya jambo Zulu Niwengi wanamiliki pesa ila kusaidia nivigumu sana
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Mungu akulinde baba unajitolea Tena unatulea
@rosentikha1572
@rosentikha1572 Жыл бұрын
WAAAAOOO...HONGERA BABA YANGU KIPENZI MH NABII MKUU DKT GEORDAVIE BALOZI WA AMANI
@staphordmwambalange3293
@staphordmwambalange3293 Жыл бұрын
Hakika mkuu Yesu wako akawe mfano Kwa wengine
@Veni584
@Veni584 Жыл бұрын
Duh!
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Amina baba dumu kuishi
@richardsteven-eu1mj
@richardsteven-eu1mj Жыл бұрын
Ndomaana Michele na maharage vimepanda beyi😢😢😢😢😢
@agnessmalyeek9387
@agnessmalyeek9387 Жыл бұрын
Babaaa ulipo popote tembea na baraka za mungu
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 8 ай бұрын
Huyu siyo mtumishi wa Mungu hata kidogo Yani
@geofreymbilinyi8023
@geofreymbilinyi8023 Жыл бұрын
Mmmm tena
@Kijamassawe
@Kijamassawe Жыл бұрын
Duh
@mwitathomas6832
@mwitathomas6832 Жыл бұрын
Kweli nabii hakubaliki kwao tz hawamuini duh
@yazid1004
@yazid1004 Жыл бұрын
Eti huyu ni Baba hehehehehehe sio Baba mungu tn sai tuna kiragosi kipya kwajina Baba
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 Жыл бұрын
Kwani ukijiita yesu au mungu we ni yesu kweli au mungu kwel jina tu, akijiita nabii kwani yeye nabii kweli anawakilisha manabii hongera kwake 🍎
@mwajumamohd7930
@mwajumamohd7930 Жыл бұрын
Anawakilisha manabii gani?? Labda wa uongo waliotajwa na biblia
@francisjackson6524
@francisjackson6524 Жыл бұрын
Nabii wa mchongo
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 Жыл бұрын
Astaghfirullah Astaghfirullah Astaghfirullah!!!
@bakaramourshaaban
@bakaramourshaaban Жыл бұрын
Wacheni kukufuru nyinyi umati huu nabii alikuwa mmoja tuu na si mwengine ni Nabii Muhammad S W A ,na ameshafika mbele ya haki , wachenini kujipatia madhambi jamani kuna mtoto
@radisokida894
@radisokida894 Жыл бұрын
Umejisahau Muhammad alikuwa mtu mtume isipokuwa nabii mnamjua naye ni nabii ISSA
@mjungatv8172
@mjungatv8172 Жыл бұрын
@@radisokida894 Kama ujuh na wewe usi comment k2. Mtu alikua Ni Adamu2 peke yake Ila sisi sote Mimi wewe Nabii Mohammadi nabii Issa sisi sote nk. Sisi ni Bin Adamu...or..Binadamu..kwa lugha raisi...
@munawwarbashir2680
@munawwarbashir2680 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 acha nao hao ni nabii wa wakirosto peke yao wenzetu Bado wapo na ujinga hatuwawezi unabii wao unaendelea
@jacobnghwali4531
@jacobnghwali4531 Жыл бұрын
Kanye ulale mbuzi wewe
@munawwarbashir2680
@munawwarbashir2680 Жыл бұрын
@@jacobnghwali4531 Au sio haya yy kakumbusha tuu hatoshuka malaika akasema kuwa hakuna nabii binaadam sisi tukumbushane na ndio maan vikawekwa vibu
@dismotv7176
@dismotv7176 Жыл бұрын
Wakati watz wanamponda Burundi huko wanampa TUNZO na wameonesha kiasi gani nabii huyu wanamuhutaji nchin kwao
@westchugagang5323
@westchugagang5323 Жыл бұрын
Niko Arusha sijawahi kwenda Ila Nina Imani siku moja na Mimi atanisaidia anasaidia wengi Sana huku mitaani Hana njaa
@salehegiza3305
@salehegiza3305 Жыл бұрын
Nabii anapewa Tuzo kweli hii ipo Africa tutakufa hivi hivi.na ujinga wetu
@jacobnghwali4531
@jacobnghwali4531 Жыл бұрын
Ulitaka shekhe ndo apewe?
@ombennathanael6960
@ombennathanael6960 Жыл бұрын
Nabii mkuu 😁 Hiki cheo sio masihara ujue .nani amempeo huo UKUU
@bushbabytz
@bushbabytz Жыл бұрын
Jamani hiyo mikono pepsi na uso wa mirinda inaniketereka....
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 Жыл бұрын
Ama kweli pesa ni Sabuni ya roho ila Pesa no Shetani Dah! Ila kiubinadamu Nakushukuru Mzee kwa kusaidia hao wamama Jaman Allah ndo anatujua sisi tusijaji watu Okay?
@sayeedsaleem6395
@sayeedsaleem6395 Жыл бұрын
We mpuuzi tuh
@mjungatv8172
@mjungatv8172 Жыл бұрын
@@sayeedsaleem6395 🤣
@jacobnghwali4531
@jacobnghwali4531 Жыл бұрын
Uko vizuri azizy hongera sana
@jacobnghwali4531
@jacobnghwali4531 Жыл бұрын
@@sayeedsaleem6395 mpuuz babaako
@sayeedsaleem6395
@sayeedsaleem6395 Жыл бұрын
@@jacobnghwali4531 Hahahaha mnadanganywa tuh hakuna lolote
@djamanitvonline3623
@djamanitvonline3623 Жыл бұрын
Imekuwaje Tena 🥺
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 Жыл бұрын
Kivipi?
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Sasa huyu ndo nabii mkubwa kuliko wote au vipi
@kingswebe3251
@kingswebe3251 Жыл бұрын
hiyo mikono ni myeusi au sioni vizuri
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Sitaki kumjaji huyu Baba..Kitu kimoja tu nnachompendea ni moyo wake wa kusaidia watu wa hali ya chini…Kuna wengi wana pesa ambao wanaitwa watumishi wa kweli ila wanajilimbikizia pesa wao tu…Viongozi matajiri wanaishi kama wafalme kusaidia mwiko….
@Tanzanian395
@Tanzanian395 Жыл бұрын
😆
@sebonikegobi6244
@sebonikegobi6244 Жыл бұрын
Sina uhakika kama hizo hela ni za kweli Mungu ndiye ajua
@rens6841
@rens6841 Жыл бұрын
Mungu wa ngurumo ya upako nikumbuke namm😭😭😭😭😭
@Mussajohn99
@Mussajohn99 Жыл бұрын
atatukumbuka juu ya tunayo pitia yatupasa kujua anatuwazia mema soon yatakuwa sawa🙏🏾
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 Жыл бұрын
Mbona anafanya Jambo JEMA Tu.!? Waswahili bwana?
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Жыл бұрын
Nashukuru kuwa muislam maana hakunaga mauza uza kama haya.
@stevensimon5642
@stevensimon5642 Жыл бұрын
Dini haimpeleki mtu mbinguni
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Jamaniiiiiiii wengine sio walemavu pesa hii
@reganshao
@reganshao Жыл бұрын
Kwisha habar ... Africa jaman why tunadanganywa hivyo
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Жыл бұрын
Tunadanganywa na nan?
@reganshao
@reganshao Жыл бұрын
@@rumdeesonsoa1811 haikuhusu.
@daudipaulo8925
@daudipaulo8925 Жыл бұрын
@@reganshao mjibu kabs tunadanganywa na manabii wa uongo
@reganshao
@reganshao Жыл бұрын
@@daudipaulo8925 yan huyu nimeona nikimjibu naweza kumtukana bure maana anaelewa kabisa ninachomaanisha
@nonolove1358
@nonolove1358 Жыл бұрын
Kiukweri pia mim uyu baba simuaminigi hata kidogo. M/MUNGU atupe neema yakujua manabii wakweri na Ugo 🤲
@youssefabdelaziz8776
@youssefabdelaziz8776 Жыл бұрын
nilikuwa wapi mimi sikujuwa kama nabii alikuwa burundi kwa kweli nabii ameondoka bila kuombea
@janvieryenga1419
@janvieryenga1419 Жыл бұрын
Mimi mwenzako nimekuwepo apo iyo siku ya le13/11/2022 nimebaatika kumuona Nabii mkuu kwa macho yangu, nimekuwa naomba nimuone na kweli nimemuonaka
@emmanueljohn8723
@emmanueljohn8723 Жыл бұрын
Uyu nabii jamani mikono kashika hoili nn mbona kama sielewi😂😂
@barakamarandu6163
@barakamarandu6163 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@apostlemathew5801
@apostlemathew5801 Жыл бұрын
Hahahahahaha
@apostlemathew5801
@apostlemathew5801 Жыл бұрын
Hahahaha
@bennyjohn1412
@bennyjohn1412 Жыл бұрын
Kweli anachichubuwa 🤣🤣🤣🤣Nabii huyo mikono yake au Ni upako 😂😂😂😂😂
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 3 ай бұрын
Siku ukikunwa utajitambuwa kuwa yukoje umeona mikono t
@ishipalemypasco2567
@ishipalemypasco2567 Жыл бұрын
Hakuna kitu hapo.ni wao kwa wao tu ndio wanapeana ma lusifa hao🤟🤟
@breymbasa3451
@breymbasa3451 Жыл бұрын
Lucifer unawajua ww
@frankgenes1535
@frankgenes1535 Жыл бұрын
Dah tunaangamia kwa kukosa maarifa..
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 Жыл бұрын
Innalillahi wainnailayhi raajiun . Jamani jifunzeni Uislam ondokaneni na ujinga huo. Hakuna unabii tena baada ya nabii Muhammad s.a.w
@pulikisia7963
@pulikisia7963 7 ай бұрын
Hiyo ni kulingana na uislamu wenu.
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 3 ай бұрын
Ukajifunze ww ikusaidiye
@uswegesuper
@uswegesuper Жыл бұрын
Leo nabii umekwama wapi? Mbona Msaada kidogo tofauti na huku Tanzania unatoaga 7mill ,200mill Kwa mkaliwenu
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 3 ай бұрын
Wew umetowa nn pungusa mdomo
@abedikabura9637
@abedikabura9637 Жыл бұрын
Tusome matayo 24:24
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Tunashukuru baba
@bennyjohn1412
@bennyjohn1412 Жыл бұрын
Umeona mikono yake ina rangi gani na uso wake una sura gani 😂😂😂🤣🤣
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Vp Kigali ataenda???
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 Жыл бұрын
WATU WANAPIGWA JAMANI
@hoseakavubu2844
@hoseakavubu2844 Жыл бұрын
Ukianza kutoa pesa mtaani utapata wafuaaaaaasi wengi. Maulimwengu
@gakeboranda3223
@gakeboranda3223 4 ай бұрын
🇧🇮🇹🇿❤
@michaelmrema5233
@michaelmrema5233 Жыл бұрын
Je? Kupitia hili je? Watumishi wapiga hela mmejifuzaaaaaa????
@josephkelvin3376
@josephkelvin3376 Жыл бұрын
Dah nilijua kavaa gropsii kwenye mikonoo kumbe dah 🤔
@Bagenzi4life
@Bagenzi4life Жыл бұрын
Eti kava nini 😂😂😂😂😂sio #gropsii ni #gloves
@bennyjohn1412
@bennyjohn1412 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂 uyo jamaa anatisha Iyo mikono sijuwi Ni nini 🤣🤣🤣🤣🤣
@josephkelvin3376
@josephkelvin3376 Жыл бұрын
@@bennyjohn1412 dah Yani nimamboo ya ajabu Sanaa
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 Жыл бұрын
Upako huo
@shadrackkassale2968
@shadrackkassale2968 Жыл бұрын
Mbona suti yakisanii hii mikononi nikama yakike au m ndo mshamba
@mathayopapiasi8872
@mathayopapiasi8872 Жыл бұрын
Abarozi mramenyana
@shadrackkassale2968
@shadrackkassale2968 Жыл бұрын
Maigizo
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 Жыл бұрын
Sura mirinda,,,mikono pepsi,,Chifu aache kujichubua ajikite kwenye kutangaza neno la Bwana!!
@dennymkumbala5748
@dennymkumbala5748 Жыл бұрын
😃🤣🤣Bango rahasan uyo nabii bro we pokea Neno mwonekano wa mtu achana nao we pokea upako toka kwa baba nabii mkuu
@apostlemathew5801
@apostlemathew5801 Жыл бұрын
Hahaha eti sura milinda mikono Pepsi
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 Жыл бұрын
Sasa mtumishi wa Mungu anakosoa tena Uumbaji wa Mungu?
@hilalyhashim2194
@hilalyhashim2194 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂Kumbe na we umemuona mwamba anajioiga sana kitaulo aiseee
@ivanf.lekule5618
@ivanf.lekule5618 Жыл бұрын
Hayo mashati yake sasa kama ya maiko Jackson 😂
@bennyjohn1412
@bennyjohn1412 Жыл бұрын
Kweli kabisa jamani 😂😂😂😂😂
@ilovejesus666
@ilovejesus666 Жыл бұрын
Nabii anapata tuzo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
😂😂
@Tanzanian395
@Tanzanian395 Жыл бұрын
😄
@jacksaidi6704
@jacksaidi6704 Жыл бұрын
Nabii ana bodyguards, watu wanafanya michezo kweli, sijui anajiona kitu gani... sijui atajibu nini kiama huyu!!!
@oderoodero5694
@oderoodero5694 Жыл бұрын
Hii nayo ni story ??
@michaelmrema5233
@michaelmrema5233 Жыл бұрын
Nabii joe devie uwe mfano wakuigwa
@superangeltv4615
@superangeltv4615 Жыл бұрын
dini za sikuiz ni siasa tu
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
Duniya ya aenda wapi ya sikitisha 😪😪
@davidndaha9607
@davidndaha9607 Жыл бұрын
Huyo anakua na msaada kama Abraham ndivyo alikua anatenda.Nabii songa mbele maana mtu akitenda wema vita nikubwa.
@mwajumamohd7930
@mwajumamohd7930 Жыл бұрын
Hamna Cha wema hapo,wanaopotea watakuja jua wamechelewa mno. Pole yao saaana wanaomfuata,kiufupi wamepotea bure maskini
@janvieryenga1419
@janvieryenga1419 Жыл бұрын
Kabisa mimi mwenyewe nimekuwepo apa iyi siku ilikuwa baraka sana kwa sisi watu tunao ishi Burundi le13/11/2022
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Walemavu bwana sio vilema
@pescopenterprises2728
@pescopenterprises2728 Жыл бұрын
Naahidi kufuata nyayo zako na tayali nimeisha anza maana wewe umekua mfano bora
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 manabii wa uchochoroni bhn eti nyayo unadhani ni matako eeh 🚮
@AbdulHamid-xj7ip
@AbdulHamid-xj7ip Жыл бұрын
Ila jama kwa wake za watu hatari
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 8 ай бұрын
Vaazi maalumu la kuzimu yupo KWA maelekezo ya kuzimu
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 3 ай бұрын
Umalaya umekusidi siku ukiolewa utapunguza ujinqa wamdomo kama nikusim unakusunini😊😊
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun..... Hakunanabii katika Duniahi manabii walisha pita na hatotokea na hayo zaliwa nabii mpaka kiyama kitasimama
@user-wc4um7eh4e
@user-wc4um7eh4e Жыл бұрын
Wanachukulia poa etinabii sikuakitokea nabii nakiama kimefika
@kizboytz6501
@kizboytz6501 Жыл бұрын
Sasa sasa we mtangazaji na ww unaitakidi uyo ni nabii daah nabii amevaa suti 😭😭 Allah atusameh sote
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Amyn . Duniayamwishohi
@namnam3771
@namnam3771 Жыл бұрын
Sasa avae nini jamani ...or you wanted him to wear rags ndoujue ni mtu wa Mungu... Achane na watumishi wamungu wapendeze basii
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 8 ай бұрын
Muabudu shetani huyu Jamaal dah alafu watu wanamuamini kuwa mtumishi wa Mungu dah
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 3 ай бұрын
Siku ikimpata mume ndiyo utamtambuwa kuwa nimtumisi wamungu ila kwasababu ujinga waufaham umekusidi ndiyo mana umefanana nadem
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 3 ай бұрын
Mwanaume lasima ujitaidi kuwa kama mwanaume watu wanasaidiwa unaropoka kama malaya unataka nini nenda bazi ww ukawasaidiye
@yazid1004
@yazid1004 Жыл бұрын
Kweli mapumba niwengi
@sahiyaali4466
@sahiyaali4466 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣ah Nimecheka
@gangmore9091
@gangmore9091 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 karne hii kuna Nabiiii
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
😂😂Mtihani
@calabash4221
@calabash4221 Жыл бұрын
Tena Nabii Mkuu
@mjungatv8172
@mjungatv8172 Жыл бұрын
Ni msiba kwakweli 😁
@adamufundikira7878
@adamufundikira7878 Жыл бұрын
@@hanifatanzania7258 mtihani kwenu manabii wapo tena ni wengi sana
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Жыл бұрын
Unabii na mkorogo!!! Kweli siku ya mwisho kila mtu atalia kivyake .ALLAH niongoze nife hali ya kuwa umeniridhia
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
mkorogo na kufuga ndevu nani mwenye nafuu zaidi?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
mkorogo na kuvuta masigara nani bora?
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Жыл бұрын
@@ramadhanmahongole9293 Ndevu ni maumbile ya mwanadam.Wapi mkorogo ni maumbile aliyoumbiwa mwanaadam.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
@@aishahazary4097ni maumbile ama uchafu...na kuvuta masigara?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
dunia hii itatulia ikiwa nyie baadhi ya waislamu msiojitambua mtaacha kukejel imani za watu wengine na imani mnayoilenga zaidi ni ukiristo shukuruni ukiristo umesimamama kwenye upole na unyenyekevu kama mtume wetu yesu kiristo alivyotuagiza " msiwalipe mabaya watesi wenu" ndio unaona amani ipo, fikilia viongozi wa kikiristo nao wangekuwa wanajibu hoja za kina kishki, mazinge ingekuwaje? amani ya ulimwengu iko mikononi mwa wakiristo bila ukiristo duniani amani hakuna
@nahanakadiri3969
@nahanakadiri3969 Жыл бұрын
Sekela vp mbona mtumishi qmevaa shati la marinda mikononi?au ndo design?afu white sout na km tai ya papo ni nn iyo?ni salama kweli? Mmmmh?!!!👆😭😔🙌🙌🙌
@rehemajoel7094
@rehemajoel7094 Жыл бұрын
Unamshangaa nn Nabii Mkuu mtu wa Mungu. Umezoea kuwanga e!??
@rehemajoel7094
@rehemajoel7094 Жыл бұрын
NABIIMKUU MTU WA MUNGU MH. GEORDAVIE, MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU
@talentedboys-tv1507
@talentedboys-tv1507 Жыл бұрын
Umaskinii ndo unakutesa ndughu😂😂😂😂hio fashion
@florianakhweso5749
@florianakhweso5749 Жыл бұрын
Ona SASA unaleta ushamba uliopitiliza mmezoea ku judge mpaka vitu msivovijua mnajadili had uvaaje WA mtu. Unadhani unaweza kumshauri mtu kama huyu kuvaa?
@sebonikegobi6244
@sebonikegobi6244 Жыл бұрын
Hakuna usalama
@jacksonjonathan2262
@jacksonjonathan2262 Жыл бұрын
Mbona tz hawajampa au hamtambuwe
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Kwani ni wa Tz !? Badi itakuwa kutimia kwa yale maneno ya Nabii kutokukubalika kwao !@
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 Жыл бұрын
Na pitatu🚶‍♀️
@ndennkya9554
@ndennkya9554 Жыл бұрын
😁😁nafuata nyayo
@deustutu1162
@deustutu1162 Жыл бұрын
Yeye hela anapata wap mbona hatuelewi
@sahiyaali4466
@sahiyaali4466 Жыл бұрын
Namie ndo nashangaa
@hawagondwe2056
@hawagondwe2056 Жыл бұрын
Kavaa nini mikononi baba yetu
@frankmsaki62
@frankmsaki62 Жыл бұрын
Kitaulo kimegoma mikononi🤣😂
@frankmsaki62
@frankmsaki62 Жыл бұрын
Kitaulo kimegoma mikononi🤣😂
@salimalesry428
@salimalesry428 Жыл бұрын
Hili jamaa linauza unga
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Жыл бұрын
Kwn ww hujawahi kushika milion 1?
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 Жыл бұрын
Kwahiyo unataka asisaidie watu au?
@amehassanrehanirehani2231
@amehassanrehanirehani2231 Жыл бұрын
Ata mm nafkiria hilo we umeona mbali san huyu jamaa so pw ila wanamuangalia tu me nawac was na unavyohis broo
@salimalesry428
@salimalesry428 Жыл бұрын
Mwamba anauza ngada kubali kataa gwajiboy ana wafuasi kuliko huyu na hagawi magari
@theafricaiknow6615
@theafricaiknow6615 Жыл бұрын
Tatizo hamsikilizi historia na ibada zake. Amekuwa mtumishi kwa miaka zaidi ya arobaini. Ana makanisa mengi sana nje na ndani ya nchi. Ana miradi kibao. Hawa watumishi hawategemei tu mahubiri, huwa wanawekeza kwa mambo mengine. Chukulia mfano marehemu Rwakatare alimiliki shule nyingi tu na mengineyo
@saidybhokey5744
@saidybhokey5744 Жыл бұрын
tapeli uyo hana unabii wowote
@jacobnghwali4531
@jacobnghwali4531 Жыл бұрын
Umasikini unakusumbua
@khatibabass3106
@khatibabass3106 Жыл бұрын
Dini ya pesa na ushetani
@joelkimario
@joelkimario Жыл бұрын
Acha chuki wewe..eti dini ya pesa..watu wenye uhitaji wakisaidiwa unakasirikaje wewe. Kama moyo wako hauko tayari kusaidia wenye uhitaji kaa kimya.. wewe unayetukana watu kwa mtandao huwezi kwenda mbinguni hakika hata dini yako inasadikika ni ndio dini bora..ni vizuri upende watu na uwe na upendo. Dini nzuri ni kusaidia yatima na wajane na wenye uhitaji
@mjungatv8172
@mjungatv8172 Жыл бұрын
@@joelkimario Kwani Ukristo Ni Dini..!?🤔 Afu usichokijua Broh kila mtu ataenda mbinguni na niwajibu kwenda..Ila itategemea utanda fikia wapi ama makazi yako yatakua Ni wap Kama n motoni ama peponi broh...!!
@jacobnghwali4531
@jacobnghwali4531 Жыл бұрын
Dini yako ya majini na uzinz
@khatibabass3106
@khatibabass3106 Жыл бұрын
@@jacobnghwali4531 mana maaskofi hawawafiri wakezenu makanisani vile wanavyokwenda uchi wanawaingiza vyumbani wanawatia
@khatibabass3106
@khatibabass3106 Жыл бұрын
@@jacobnghwali4531 dini mtakua NATO nyie Malaya
@davidpaschal778
@davidpaschal778 Жыл бұрын
Mikono na sula😆😅
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 Жыл бұрын
Wajina wako
@nonolove1358
@nonolove1358 Жыл бұрын
Wew 🤣🤣🤣😀
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Жыл бұрын
Acheni majungu anasaidia sana watu
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 Жыл бұрын
Tz kujunguliwa ni lazma😃
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Waambie palipo na ridhiki hapakosi fitina
@mwajumamohd7930
@mwajumamohd7930 Жыл бұрын
Maskini anajificha kwenye kivuli Cha kusaidia na kuwadanganya kwa pesa,kumbe ni uongo mtupu
@beckyhatungimana7856
@beckyhatungimana7856 Жыл бұрын
Jameni muweni macho namanabii fake
@mwigakatumpula5695
@mwigakatumpula5695 Жыл бұрын
Ogopa sana mtu ambae ana gawa pesa Tena bure huyoooo mtu ni wa kuchunguzwa sana. Nikauli ya mwl. Nyerere 🙌🙌🙆🙆😄😄
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Mwalimu nyerere aliongea au kuzungumza kwenye siasa siyo kwenye dini fuatilia vizuri grip zake huyo ni mtu wa mungu
@namnam3771
@namnam3771 Жыл бұрын
Kwaiyo wewe husaidiagi masikini ....if so🤔🤔🤔.. unasikitisha sana
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Usiwe mpotoshaji hizo ni sadaka zetu broo.
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows Жыл бұрын
@@gibsonjosephat6352 kwahiyo ni sahihi kusaidia na kuita vyombo vya habari kama hivyo? Una hakika ni sadaka zako
@mukekejembe8900
@mukekejembe8900 Жыл бұрын
Afrika watu watakufa hivohivo tunadanganwa eti Nabi Baba
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 Жыл бұрын
Amen🇸🇦🇸🇦🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 74 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 48 МЛН
ZIARA YA NABII MKUU KANISA LA LEMGUR - GeorDavie TV
9:55
GeorDavie TV
Рет қаралды 13 М.
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН