#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 22,356

Global TV  Online

Global TV Online

6 ай бұрын

#EXCLUSIVE: DAVID MULOKOZI ALIYETRENDI na JUMBA LAKE la KIFAHARI MANYARA - NI VIOO na MAWE ya VOLCANO...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 33
@globaltv_online
@globaltv_online 6 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@hashimmziray7416
@hashimmziray7416 5 ай бұрын
hongera saaana ,ni mfano wa kuigwa Africa, nyumba hii ni moja ya nyumba bora zaidi na ya kisasa zaidi Africa nzima, hadi watu wa UN Habitat wafike hapo kujionea Manyara imetisha, Tanzania 🇹🇿
@nin6324
@nin6324 6 ай бұрын
I love his energy that’s literary me… staying at home is a way better than in a hotel….
@irenekayombo5509
@irenekayombo5509 5 ай бұрын
Hongera sana kwake.
@abelmwakalinga2305
@abelmwakalinga2305 5 ай бұрын
Nimependa wazo lakutembea ili kupata exposure. Big up kwa kazi nzuri
@ThomasMselewa
@ThomasMselewa 6 ай бұрын
Interview nzuri sana ila changamoto ni mtu wa sound alishindwa kucontrol muingiliano Kuna mawimbi ya upepo sana yameharibu kazi ila big up
@domisonrichman6499
@domisonrichman6499 6 ай бұрын
Big work bro naishi huku na wahaya wengi Kagera sifa nyingi but Huyu bro hana sifa kabisa keep it up ..mm strong ndo kinywaji changu hicho
@godfreychaula3969
@godfreychaula3969 6 ай бұрын
kolumba interview nzur ila next time kuwa makini na sound....noise nying sana apaaa
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 6 ай бұрын
Waooo, inatia MOYO sana. Hongera kwake
@subiradaud711
@subiradaud711 5 ай бұрын
Safi sana shem
@ellgodfather282
@ellgodfather282 5 ай бұрын
Mimi nimesport madayako ya kutengeneza nchi maana Tanzania ni sehemu nzuri sana duniani.
@ellgodfather282
@ellgodfather282 5 ай бұрын
Ina wezekanza
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 3 ай бұрын
KAZIKAZI SIO MAANDAZI..
@juniorstanford1467
@juniorstanford1467 6 ай бұрын
This is huge
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 6 ай бұрын
Ndio maana Millard Ayo anawa win kila siku nyinyi media nyingine hamko serious na mnachokifanya.Yaani mmetoka koote mpaka mmefika hapo halafu lengo lililowapeleka mnalifanya ilimradi tu.sauti iko mbovu,back sound zakitosha fujo mtindo mmoja.Kuweni seriou na kazi zenu.Shame on you
@highthemetv7857
@highthemetv7857 5 ай бұрын
Fungua media yako we mbwa acha kelele
@user-ho1cj3es8d
@user-ho1cj3es8d 5 ай бұрын
Huo nao ni ukweli 😂
@Ryanzabron
@Ryanzabron 5 ай бұрын
Ila jamaa umeongea ukweli 😂😂😂
@reubenedwinnditi9979
@reubenedwinnditi9979 5 ай бұрын
Umeongea ukweli mkuu
@user-rg1xe7we7b
@user-rg1xe7we7b 6 ай бұрын
Umeniinspire mi alot
@dn.n4983
@dn.n4983 5 ай бұрын
Unayo sema kweli ujipende ni kwelin
@hanifamziray277
@hanifamziray277 6 ай бұрын
Safiii ni msomi sn ss mwinyaku ana nyumba sio ile yako na ipo babati hii ni ndio kasiri
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 6 ай бұрын
Nmejifunza,you are e your own limit
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 5 ай бұрын
Huyo jamaa nitajili anae jielewa hayuko Kama wengine misifa kibao dah ongera Sana mkuu
@sarahminja7255
@sarahminja7255 6 ай бұрын
Mwandishi wa habari anaongea Sana alitakiwa atuonyeshe nyumba iko vip mpaka ndani
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 3 ай бұрын
Nawishi kuklonana na Bilionea Mulokozii
@massawemrlowprice3949
@massawemrlowprice3949 6 ай бұрын
Which country is this😂
@asheryyakuta8088
@asheryyakuta8088 6 ай бұрын
Tanzania
@luganoessom1464
@luganoessom1464 6 ай бұрын
mtu anaitwa masawe bado unafikiri hajui kwamba hii ni tanzania😁@@asheryyakuta8088
@mbachoclassic7818
@mbachoclassic7818 5 ай бұрын
Nigeria
@mimikimanga3126
@mimikimanga3126 5 ай бұрын
Tanzania
@subiradaud711
@subiradaud711 5 ай бұрын
Safi sana shem
@faustinemtui8174
@faustinemtui8174 5 ай бұрын
Very Inspiring . Bravo Mulolozi Sir.
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 35 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 11 МЛН
Compressed Biogas (CBG) | Call For Action
10:27
Down To Earth
Рет қаралды 21 М.
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 35 МЛН