No video

“Napaswa kuwa nimekufa, sipaswi kuwa hapa” Trump afunguka baada ya kunusurika kuuawa

  Рет қаралды 17,183

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 48
@christophermsekena616
@christophermsekena616 Ай бұрын
Huyo ni Mungu 100%
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
Huyo mungu ana jambo Lake Naye la kheri 😋😋😋
@benjagaspar5304
@benjagaspar5304 Ай бұрын
Dah mungu yupo na trump💯💯
@DamianCyprian
@DamianCyprian Ай бұрын
Ahsante Kwa taarifa sky
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Yaani kitendo cha kugeuza kichwa chake kuelekea upande wa kulia kwake bac ikawa bahati yake ya kuendelea kuishi. Maana rasasi ilikuwa inalenga katikakati ya kichwa. Mungu kama hajataka ufe bac hata iweje huwezi kufa. Mungu ni mzuriii daima na milele. Bwana atakulinda na mabaya yote, atakulinda uingiapo na utokapo tangu sasa na hata milele. Amen. Zaburi 121:7-8. Mungu yuko upande wako Warumi 8:31.
@diamondplatnumz.148kviews5
@diamondplatnumz.148kviews5 Ай бұрын
Amina kubwa
@HappyPallangyo-vt7xx
@HappyPallangyo-vt7xx Ай бұрын
Amen
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
@@HappyPallangyo-vt7xx haleluyaaaa amen!!
@subiramussa1428
@subiramussa1428 Ай бұрын
Amen
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew Ай бұрын
Kikubwa amshukuru mungu vibaya mno
@eve3894
@eve3894 Ай бұрын
Thank you SKY ❤
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 Ай бұрын
Mungu ni mkubwa hata kwa lissu alimtetea hivo hivo asilolitaka Mungu hakuna anae weza kama Mungu hataki
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew Ай бұрын
Yaani mia mia
@user-pt7lc4xu3d
@user-pt7lc4xu3d Ай бұрын
Mungu mkubwa
@kafitiwilliam8358
@kafitiwilliam8358 Ай бұрын
Safii sanaa
@user-up6zl1ck3j
@user-up6zl1ck3j Ай бұрын
Ana bahati kama Tundu lisu
@furahafaraja5572
@furahafaraja5572 Ай бұрын
2024
@documentary369
@documentary369 Ай бұрын
Kilichomtokea ni tiketi nzuri kwa kiti anachogombea, maana suala la kukosekana kwa ulinzi mpaka anashambuliwa. Na mlinzi wake amekuwa Bora zaidi.
@paulhema5713
@paulhema5713 Ай бұрын
Ila risasi sio mchezo unaweza ukadhani sijui ni nyuki amekungata....jamaa alipoga sikio akajua amengatwa.....mungu tuepushe na hata Tanzania
@user-uu7fp4wq7s
@user-uu7fp4wq7s Ай бұрын
Tumekupata vizuri Kaka ...Ila mwa iyi dunia nikumuogopa munguu tuu.trump ivi amepona kifo .napia ajifunze kitu ki1 asiwazie iyi dunia ni yake ...aache ubaguzi
@diamondplatnumz.148kviews5
@diamondplatnumz.148kviews5 Ай бұрын
Sahihi
@noonelike6382
@noonelike6382 Ай бұрын
Please please SNS na dj smaa na brothers wengine hapo studio shalom/bwana yesu asifiwe, Aisee brothers tunahitaji uchambuzi wa mahojiano aliyo fanyiwa yule kijana Joshua okayo raisi wa baraza la wanafunzi chuo cha KSL, mahojiano aliyofanyiwa na kituo cha NTV, baada ya kutekwa na kupatikana. Please please hile interview inavitu Naona Ndani yake. Please please.
@moseskulola6913
@moseskulola6913 Ай бұрын
Mungu Ali fanya kazi wake nakumu ponya trump
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Ай бұрын
Kumbe na huyu anaamimi km kuna mungu
@NdakhiSusu-qz9md
@NdakhiSusu-qz9md Ай бұрын
Atr
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk Ай бұрын
Yaani hapo Mungu alimlindaaaaa akapona ana kusudi nae aendeleee kuishiiii huyo sniper dogo tu wa miaka 20 anashabaha hatari alikuwa kalenga kichwa akipasue lakini Mungu akamfanya Trump ageuke kidogo ikapunyua sikio wamarekani wana roho mbaya kuua mtu kwao ni sawa na kuua sisimizi au mdudu
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy Ай бұрын
Secret service nao ni inside job pia
@kilimanjarostarlounge
@kilimanjarostarlounge Ай бұрын
sns embu fuatilia elon mast anazingua kifaa gani cha kupambana na target za waalifu kwenye uchaguz yupo live muda huu tupe habari
@trizereve3386
@trizereve3386 Ай бұрын
Hini Kiki huyu mzee atafuta kuraa
@pascalmanyama2304
@pascalmanyama2304 Ай бұрын
Nilisema hapa hapa sns na kwingine kuwa aliponea chupuchupu baada ya kugeuza kichwa kuangalia kulia,kwa kweli ashukuriwe Mungu tuu,na mwenyewe kadhibitisha.Kila mara huwa nasema popote duniani mtu au kikundi kikiamua kufanya uhalifu hata uwe na ulinzi wa aina gani kama Mungu hajaingilia kati basi hujuma itafanyika na utabaki umeduwaa na bunduki lako hivyo usiseme ulinzi wa taifa fulani ni dhaifu,kama halija kukuta wee shukuru Mungu,binadamu ana akili sana na sio robot!
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 Ай бұрын
MUNGU ndie mlinzi pekee hapa duniani, Trump akishinda itakuwa vyema maana hatutakuwa na vita nyingi kama ilivyo kwa Biden mpenda ICE CREAM 😂😂😂
@habarugiraRodrigue
@habarugiraRodrigue Ай бұрын
Iyo nimipango yake
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Bola hangekufatu marayauyo shenzizake
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Ай бұрын
mmbwa
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Ай бұрын
labda baba yako lakini siyo kwa mungu aliye juu
@ProsperUlungi
@ProsperUlungi Ай бұрын
😂bila shaka utakuwa muislam
@ahmedabry293
@ahmedabry293 Ай бұрын
​@@ProsperUlungiHilo ndio tatizo lenu.. Uislamu unaingiaje na maoni ya mtu binafsi.. 🚮
@joezeno8
@joezeno8 Ай бұрын
@@ahmedabry293😂😂😂😂😂
UDADAVUZI mtitiriko wa TRUMP kupigwa risasi! Kulikuwa na SNIPER wa pili
35:47
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 106 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 29 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 32 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 63 МЛН
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 145 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 106 МЛН