Kwa mala ya kwanza namuona zuzu..anafaanyiwia interview
@velaalberto77665 жыл бұрын
Huyu nash ndio kwanza leo namuona kwenye interview... sijutii kumfahamu🔥🔥🔥
@homan_nkwama5 жыл бұрын
Sio siri mtangazaji huyu atafika mbali sanaaa,HONGERA SANA NASH EMCEE
@jamesmushi25525 жыл бұрын
Duuuu leo mwana kaonekanika media 💪💪
@shabanomary69585 жыл бұрын
Mjomba nash salute
@johnsonmarick455 жыл бұрын
Wewe wakupe tu uprofessa wa Hip hop😎
@kastorymalila11095 жыл бұрын
Fact Nash
@ratifahabibu70035 жыл бұрын
Chafu moja respect for hipop mr king and king manking nas amc
@dicksonkeneth61625 жыл бұрын
Mtangazaji nakushauli kwa jinsi ulivyo smart kiakili jitahidi kua smart hata kimuonekano leo ndio kwa mala ya kwanza namuona mtangazaji ambae kanyoa kiduku lakini kwa anavyo hoji ana hoji kiakili
@ibrahimsangondo79145 жыл бұрын
Maarim nash
@jumachillo5 жыл бұрын
Nash Mc is so real since day one. #respect
@mantully8025 жыл бұрын
S
@aloysfussi39003 жыл бұрын
Presenter Big up
@kibwamoko87675 жыл бұрын
Zuzu. Mpalestina chizi Hahaha Safi sana Nash
@nicksonpesha44395 жыл бұрын
Namkubari sana uyo mwamba
@nyotamy36785 жыл бұрын
Facts
@isackahmed25632 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@joshmangi5 жыл бұрын
Nash Mc ameonyesha jinsi alivyo na ufahamu wa kutosha kuhusu anachofanya, pia mtangazaji amejitahidi sana kuongoza mahojiano.
@agun_machine5 жыл бұрын
Kama unafanya hip hop na aumkubali huyu mwamba kafanye tu mambo mengine
@bonnienichols38525 жыл бұрын
Hahaha au vp e
@moziidavchonchi33385 жыл бұрын
NASHI MC MCHIZ ANAJUA KISHENZ
@primitivetv70085 жыл бұрын
Mshkaji anajua maswali..kama ivo ndo inavotakiwa siyo mtangazaji unaoji maswali yasiyo na kichwa wala miguu
@edwardcharles10665 жыл бұрын
maalimu hyo mtangazaji anakusmbua naye ndo walewale uliowachana wanaua game au wenye maswali ya kiwaki
@poolboypoolboymanstrong85705 жыл бұрын
kaka nac sio utani %100
@nathanaeljimmy539310 ай бұрын
Mtangazaji uko Smart kichwani sana unauliza mambo yenye Tija
@tamimukombo30975 жыл бұрын
Fact
@pmt795 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@shadiluck90155 жыл бұрын
ZUZU namkubali sana huyu bwana ...
@makantaafrika5 жыл бұрын
HAHAHAHAH SAFIII
@flolafaustine37912 жыл бұрын
NashMc Zuzu
@aloysfussi39003 жыл бұрын
Nakubali Nash
@raginauthor18815 жыл бұрын
HONGERA MWANANGU
@bonnienichols38525 жыл бұрын
Big up nash
@mohamedmbuzu55245 жыл бұрын
Ulamaa Nash, mtangazaji umekutana Mhariri🤣
@manwoka40785 жыл бұрын
Wanyooshe MC Nash
@kombozuberi31435 жыл бұрын
Zuzu#maalimnashi
@jangajr65045 жыл бұрын
😂😂 konki liquid faya
@nasdogomaishagani92672 жыл бұрын
Nash hata ukikutana nae na kuongea nae ni ka’ interview tu jamaa ka’ hashim dogo ma Mc wa kweli na wanaofata misingi ya HIP HOP utawajua hawapindishi wala kumung’unya maneno ka’ ni nyeus n nyeus na wala hawadiss diss wengine ili watrend Salut Nash Mc #HIP_HOP ‘s consious
@kaskaziniansgang12884 жыл бұрын
Mzuzu mkali wetu, wasomi tunakuelewa
@kaskaziniansgang12884 жыл бұрын
Shout out to presenter
@mugadimon35635 жыл бұрын
Nash mc anaongea ukweli
@Relis_talkswisdom.5 жыл бұрын
Mtangazaji upo vizuri kaka utafika mbali sna
@lazarokisenya54573 жыл бұрын
Haipewi nafasi kwa sababu ya ukweli uliomo ndani yake na ukweli bongo haukubalikubaliki pili hip hop ni shule na wabongo wengi hawana shule
@deogratiusmathias25 жыл бұрын
umeonekana Leo kwenye media
@innowatamaduni92485 жыл бұрын
Nash unaongea ukwel kabisaa yan
@ibrahimkanuto35144 жыл бұрын
nash
@brianmass-60385 жыл бұрын
Eminem ndo aliyezidi mauzo wasanii wote sio tupac mzee uchebe..
@mugadimon35635 жыл бұрын
2 PAC mpaka sasa record cell album haijavunjwa na alishakufa 23 yrs now
@neko98695 жыл бұрын
Uko sahihi Nash mc
@andrewkitaly60035 жыл бұрын
media za bongo zinatakiwa zibadilike ziache ubaguz
@seifsalim13494 жыл бұрын
Kaka nash
@johnsonmarick455 жыл бұрын
Watu wanataka kukata mauno tuu💏👨❤️💋👨, hawataki consciousness from #Hiphop
@abdulissakara59954 жыл бұрын
Shujaa
@cosmasambrose30815 жыл бұрын
Amani kwako mc zuzu, kwa love uliyoonesha kwa zizi
@abdulissakara59954 жыл бұрын
✌
@micochaznduki42755 жыл бұрын
Nash mtu konk makini
@lazarokisenya54573 жыл бұрын
Haipewi nafasi kwa sababu ya ukweli uliomo ndani yake na ukweli bongo haukubalikubaliki pili hip hop ni shule na wabongo wengi hawana shule