No video

THE CLASSIC MAALIM NASH :TOKA NASH Y HADI MAALIM/NILIWAHI FUKUZWA STUDIO KAMA MBWA /KUTAPELIWA ZENJI

  Рет қаралды 12,940

KuviFacts

KuviFacts

8 ай бұрын

Kama ilikupita episode hii na Maalim Nash ambayo ilifanyika mwaka mmoja uliopita basi hii ni maalum kwa ajili yako,MC Mahiri Maalim Nash alifika na kutupa simulizi za kusisimu
Kuhusa muziki na maisha yake kwa ujumla.

Пікірлер: 41
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 8 ай бұрын
Tuonyeshe ufuasi wetu kwa hawa kwa vitendo sio maneno matupu,hawa wana bidhaa kama album,eps,nguo kama tisheti,tununue kazi zao hiyo ndio sapoti ya kweli
@medardsotta5211
@medardsotta5211 8 ай бұрын
Conscious! Nilikuwa namuona Nash sana kipindi naishi Temeke miaka ya 2016-17 sikuwahi jua ana knowledge kubwa kiasi hiki. Kipindi kizuri, nimejifunza mengi!
@juliusngowi952
@juliusngowi952 8 ай бұрын
Mzee wa CBT (Chamazi Bamia TV)..majina mengi, Maalim Nash
@edwardfaraji1133
@edwardfaraji1133 8 ай бұрын
Mwanangu Nash Mc Zuzu mtoto wa Temeke
@tahfifdilham3688
@tahfifdilham3688 Ай бұрын
Huyu jamaa ana akili siyo sana mungu amjaalie kila a kher
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 8 ай бұрын
Kk Saleh Jabir mlete Bonta Maarifa kwenye session yako
@uwezokinahi7870
@uwezokinahi7870 8 ай бұрын
Bonta ni another Legend kwenye Huu Muziki ambaye watu wengi hawamfahamu... Watoto wa 2000 hawawezi kumjua
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 8 ай бұрын
@@uwezokinahi7870 Umeonae Mtaalamu hiyo haina ubishi
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 7 ай бұрын
Daah, kibongo bongo haheshimiki sijui kwa nn, Bonta ni noma sana
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 7 ай бұрын
@@frankkajoba8372 Bongo unafiki ni mwingi unapewa Maua yako au unashindanishwa na kuambiwa ww ni Mkali ukiwa upo kwenye futi 6 za ardhi😥😥😥😓😓😓😓😓😓😓😓
@edwardasumwisye3010
@edwardasumwisye3010 7 ай бұрын
Mwaka uliofuata nikarudi Masasi, Kijijini CHIGUGU kuanza maisha mapya
@Chemba67
@Chemba67 8 ай бұрын
Respect to you brother Kuvi kwa kumleta Maalim Nash.......
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 7 ай бұрын
Amani wana🇰🇪 namkubali Maalim Oi Oi
@lawrencedeocary9940
@lawrencedeocary9940 7 ай бұрын
Ilala Home ndio mnatokea.shout out to dully homeboy .all the from Brazil
@johnrichard5482
@johnrichard5482 6 ай бұрын
👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼HESHIMA KWAKO #Nash_Mc Zuzu...✍️🎤🎧🎵🎶🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@alkaullahmediaTz
@alkaullahmediaTz 8 ай бұрын
Nash nimeanza kusikia nyimbo yake ya TABIA nikiwa simjui kabisa, ila badae nikamjua... kupitia tamaduni music
@nasrikileo7291
@nasrikileo7291 8 ай бұрын
Asante kaka kuvi kibonge tozi
@enezacleopa6272
@enezacleopa6272 8 ай бұрын
Maalim Nash King 🤴 TMK
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 8 ай бұрын
Respect Hiphop 👊✊
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 8 ай бұрын
Nash Mc namkubali Kwa ngoma zake za Mitihani,Naandika,VVU,Tabia na Mwalimu Mashaka
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 8 ай бұрын
@@emmanuelmayunga1518 Sana tu sema tu hizi Mainstreams media zinawabania Wasanii wa Hip Hop
@user-vy7zy8pb5c
@user-vy7zy8pb5c 6 ай бұрын
Tafuta muhadhiri kaka
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 6 ай бұрын
@@user-vy7zy8pb5c Hiyo nitaisaka
@user-cg3cm4qv4q
@user-cg3cm4qv4q 8 ай бұрын
Kumbe huo wimbo wa kisa cha mwanafunzi umeimba we bro! Kumamamae wali, nilikuwa naupenda sana huu wimbo
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 7 ай бұрын
Jinga wewe matusi ya nn
@jumazinga941
@jumazinga941 8 ай бұрын
Nakubal zuzu
@little_tz
@little_tz 8 ай бұрын
Nash ni mmoja tu 🔥🔥
@bensonjohn9633
@bensonjohn9633 8 ай бұрын
Maalim
@enezacleopa6272
@enezacleopa6272 8 ай бұрын
Tamaduni 🎶🎶🎤🫡
@francismsobi3893
@francismsobi3893 8 ай бұрын
Kaka fanya mpango tupate na ile uliyofanya na MC Koko Kalapina. Haipatikani popote pale..
@samirmswahili
@samirmswahili 8 ай бұрын
Kuvichaka 🐐
@jumajuma6612
@jumajuma6612 7 ай бұрын
Mlete na Nikki Mbishi napenda wanaadisia toka walipoanzia
@ahmedmudric9546
@ahmedmudric9546 7 ай бұрын
Mwalimu nash mc mtoto wa temeke madege maenee kata 14
@briangodfrey1487
@briangodfrey1487 7 ай бұрын
Gadafi
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 8 ай бұрын
LEGEND
@user-cb9us5oi6d
@user-cb9us5oi6d 7 ай бұрын
Kipindi hicho naanza kumuona nash ni pale BRITISH COUNCIL kwenye harakati walizokuwa wanazifanya kina zavara na jamaa anaitwa evance..
@mtuporicharles9110
@mtuporicharles9110 8 ай бұрын
Hac.15
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 7 ай бұрын
Bomu la nuclear rejea historia
@warrapgtimamuskillz6872
@warrapgtimamuskillz6872 8 ай бұрын
Oyaa wanataka PIN CODE 😂😂😂 shwain zao
@nyotamy3678
@nyotamy3678 8 ай бұрын
@kessylyuma2593
@kessylyuma2593 7 ай бұрын
Nash mc
Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa
55:54
MSASA PODCAST
Рет қаралды 59 М.
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 10 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 28 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 7 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН