Nchi 7 zataka raia wake kuondoka LEBANON hofu ya VITA kamili kati ya ISRAEL na HEZBOLLAH ikiongezeka

  Рет қаралды 13,747

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

3 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 95
@henry1933
@henry1933 Күн бұрын
Millard Ayo na wadudu wake SnS katika viwango vya kimataifa
@user-st1zs1ng2x
@user-st1zs1ng2x Күн бұрын
Naomba hii vita itimie ili wote tuonje joto la jiwe 😢 .. Dhulma imevuka viwango.. 🙌💔🇸🇩
@ce-08
@ce-08 Күн бұрын
Wapigane waarabu wote na wazungu wote waafrika tuwauze chakula tu😂
@user-st1zs1ng2x
@user-st1zs1ng2x Күн бұрын
@@ce-08 itatuonja wote Dunia yote haitakua salaama.. America keshasambaza meli za kivita baharini... Unaeza kupata pic yajayo hayafurahisha
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm Күн бұрын
Hamna hii vita itakua kubwa sio bora kuomba vita watu wanateseka
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm Күн бұрын
​@@ce-08tunateseka sisi mafuta mafuta yatapanda bei
@ce-08
@ce-08 Күн бұрын
@@AliNassor-qt6fm sasa wakipigana tutatafuta njia nyingine acha waumizane na wao kwanza hapo ndiyo tutapata akili yakujitegemea maana watakuwa hawazalishi Kuna mda shida inakupa akili
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua Күн бұрын
Hapa ndio naamini habari zake Big up
@HusseinMohamad-pl2cf
@HusseinMohamad-pl2cf Күн бұрын
Bas watalike kwa wa kwanza kukoment😂😂😂
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Күн бұрын
Israel awatofanya kitu uko lebanoni anaogopa.propaganda iyo kataze jwenda na israel.
@lucasbatano333
@lucasbatano333 Күн бұрын
Wakiwashe tu
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td Күн бұрын
Hiyotam kbs 🇧🇮💐❤️
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ Күн бұрын
Sinza madukani #ndovudentalclinic
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm Күн бұрын
Sio bora kuomba life is going to be more than harder
@Rey_D669
@Rey_D669 Күн бұрын
Hao wote naona niwachochezi wa Vita kwani bila hatua wanazo chukua Israel wasinge pata jeuri yakushambulia rebanon kama Ben gants alivyo sema huko marekani katika ziara yake majuzi ila tunaiyombea rebanon mwisho mwema katika vita hii maana wanataka kuifanya iwe kituvo cha Vita iliyo yalemea mataifa makubwa pande zote 🙏🙏
@FridayMwassa
@FridayMwassa Күн бұрын
Bila Iran pasingekuwa na vita, Iran ndiyo anagawa silaha kwa waasi
@Rey_D669
@Rey_D669 Күн бұрын
@@FridayMwassa hao sio waasi utamuona ni muasi kulingana ni mpinzani wako sku zote yule uliye taka aishi kama wewe unavyo tako iwapo atapinga nayeye kuanzisha empire yake utamuona msalit na muasi ndio hawa sasa waarabu na wazungu
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART Күн бұрын
Kwa dalili hizi vita vipo hapa wameshapanga hawa Israel kuingia vitan yetu macho acha tuone time will tell kama DJ Sma anavopenda kusema
@uwimana6533
@uwimana6533 Күн бұрын
Israël kajipanga kama gaza tuone kitakachotokea 😂😂😂
@directortwicep3028
@directortwicep3028 Күн бұрын
Hofu nikwamba Israel wapo safi sana maangamizi ya anga na atapiga popote lazima nchi ambazo raia wake ambao wapo Lebanon watoke
@dannywillson5874
@dannywillson5874 Күн бұрын
Hao sio hams 😂😂hatoboi hii itakuwa vita Yao ya 3 na hajawah kushinda
@directortwicep3028
@directortwicep3028 Күн бұрын
@@dannywillson5874 anglia hiikzfaq.info/get/bejne/np2nnMx8uL_Wpmw.htmlsi=gHsgGzAOQrpJZi9a
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 Күн бұрын
​@@dannywillson5874ISRAEL ana nuclear KUMBUKA ilo
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Күн бұрын
Chama kubwa sns
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Күн бұрын
Mwislam mnyonge ni yule ambae hajainua silaha, vita ya mwisho ya Israeli na hawa jamaa jasho liliwatoka hadi Marekani aliingilia kati, Wapigani wote wa Kiislam wataingia Lebanon, na Hezbola watalazimisha vita iende ya ana kwa ana hapo ndipo hali itakavyokuwa mbaya kwa Israel 🇮🇱
@lakasid3860
@lakasid3860 Күн бұрын
Kwaiyo hii kumbe ni vita ya waislamu?
@FridayMwassa
@FridayMwassa Күн бұрын
​@@lakasid3860wameshaingiza udini tayari
@FridayMwassa
@FridayMwassa Күн бұрын
Kwaani Israel kuchangiwa na waislam itakuwa mara ya kwanza
@Williamstozzo
@Williamstozzo Күн бұрын
Hakuna watu waoga kama islam's
@emmadora7848
@emmadora7848 Күн бұрын
Mbona wameshindwa kuwasaidia wapalestina mpaka muda huu? Wanawashangaa tu wanakufa na kuteseka au wao si waisilamu?
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Күн бұрын
Heeee moto unalipuka sasa
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q Күн бұрын
Waache wajifanye superior waone Lebanon ndiyo itapigwa wasiondoke Israel wataambulia majivu
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q Күн бұрын
Hao raia waambiwe kuondoka na Israel wasichukulie powa Israel inaweza futwa pia
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 18 сағат бұрын
Is not easy
@feisalkhamis9445
@feisalkhamis9445 Күн бұрын
na vipi kwenda Israel ni salama
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 18 сағат бұрын
Ndio
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Күн бұрын
Hiyo vita itakua mbaya sana
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d Күн бұрын
Muwambiege hata uko Israeli waondoke acheni kujidanganya mashoga
@vibetz9991
@vibetz9991 Күн бұрын
Ndo napakia apa niondoke zangu
@Rey_D669
@Rey_D669 Күн бұрын
😂😂
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Күн бұрын
Mbona islaeli hawawasihi wasiende uko
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 23 сағат бұрын
Mm kama marekani hajaondoa raia wake hapo bado ni salama amini amini nawambieni marekani ndio israel na israel ndio marekani
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj Күн бұрын
Sijui kwnn iziraili haiogopew kila nchi inaidindia waizirail toka waumbwe hawajawah kuish kwa amani ujue Hawa wanalaana ya milele kwakule kuwauwa mitume kwa wing mitume wengi walikua wanawauwa hawjamaa ata uyo isa wanaijifanya ndo mung pia walinfukuza wamuuwe sem mung akampaisha juu
@FridayMwassa
@FridayMwassa Күн бұрын
Acha uongo wa dini yako.Taja mitume walio wauwa kama siyo uongo wako.kitabu chenu kinabumba bumba habari za kucopy kwenye biblia ili kionekane cha kweli
@emmadora7848
@emmadora7848 Күн бұрын
Wenye laana ni wanaokufa kama vifaranga vyenye kidere na kuombaomba huruma ya Dunia na Dunia inawaacha wale Cha moto
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma Күн бұрын
Tena mnasema hawa wa Israeli sio wale walioandikwa kwenye Biblia!!! Mnachanganya mambo!!!! Naf
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Күн бұрын
​@@emmadora7848Wanaokufa ni kina nani? Maana hata Israel watu wanakufa sana pamoja na kwamba wanapewa misaada kedekede na nchi tajiri zaidi duniani
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj Күн бұрын
@@FridayMwassa unaonekana hujui chochote kwny historia mitume walio wauwa ni zakarya wali kereza kwa msumeno nabii yahya walimkata kichwa manabii karibu wote waliteremshwa iziraili lakini wali wakataa nahuyu isa wakanwita mingu hasa yan apo ndo wamempenda
@richwase6550
@richwase6550 Күн бұрын
Israel ikiingia vita saiz inaenda kuw sio taifa tena n ndio waisraeli halisi ambao n weusi(wabantu) watajulikn lkn hana namna lazm unabii utimie n ukwel ulud kwao. #MWALIM N MMOJA TU #ZOULOULA100
@user-ik4jj5gb6h
@user-ik4jj5gb6h Күн бұрын
Huu ni mwaka wa 100 anapigana na akikuzidi maeneo yatachukuliwa Israel aiogopi kitu wanajua ndo maana wanawazuia raia wao kwenda Lebanon akiwa na maana kwamba Lebanon itakuwa majivu
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 Күн бұрын
​@@user-ik4jj5gb6hvipi kuhusu taliban wanatoa jeshi lao laki moja na iraq laki moja na siria wanatoa laki moja alafu yemen wamesema watatowa jeshi laki mbili unazungumziaje hapo😂 wakati israil imeomba juzi wamepungukiwa na wanajeshi 8000
@FridayMwassa
@FridayMwassa Күн бұрын
​@@salumabdallah2990vita siyo uwingi wa askari bali zana na mbinu
@emmadora7848
@emmadora7848 Күн бұрын
​@@salumabdallah2990wameshindwa kuwatolea Wapalestina ,watawatolea Lebanon? Ujue hata Palestine Kuna watu waliwapa kiburu but now hawana pa kukaa, shule hakuna ,hospital shida na hakuna anayewasaidia
@emmadora7848
@emmadora7848 Күн бұрын
​Hizo sehemu zote umetaha ni maskini wa kutupwa ,halafu u think Israel atakosa wa kumuunga mkono? Ombeni amani acheni wehu
@frankbutati8343
@frankbutati8343 Күн бұрын
Hesebolla wamejichanganya, sasa waombe Mungu suluhu ya maongez kuliko vita
@Goldentouch_Ab
@Goldentouch_Ab Күн бұрын
Fuatilia historia wamepigana mara ngap? mara ya mwisho ilikuwa 2006... israel ali retreat
@user-xc6ls9xn8h
@user-xc6ls9xn8h Күн бұрын
Mwisho wa Izrael umefika
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Күн бұрын
Pls
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Күн бұрын
SAFARI HII TUNAINGIA TELAVIV NA JERUSALEM. KUTISHA HAKUNA.
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 Күн бұрын
😄😄😄wanaowasifia ezibolaha, ndio aoao watasema lebanon inaonewa, HAYA NYIE WAPONZENI
@meckymichael1880
@meckymichael1880 Күн бұрын
Hii si mara ya kwanza Hezbollah kupigana na Israel na casualties zilikuepo Kwa pande zote Israel kufungua font nyingine ya vita ikiwa yupo kupigana na hamas itampa wakati mgumu
@Williamstozzo
@Williamstozzo Күн бұрын
Soo mara ya kwanza kupigana multiple front,,,and wanajiua na walishajiandaaa
@Williamstozzo
@Williamstozzo Күн бұрын
Israel hawatapigana saivi kama gaza,,,watatumia nguvu kubwa kuliko mwanzo
@user-xc6ls9xn8h
@user-xc6ls9xn8h Күн бұрын
Tuwone nani atapata hasara Izrael umefika mwisho wake
@JoelFortunatus-du8ww
@JoelFortunatus-du8ww Күн бұрын
Israel 🇮🇱 hawezi kupigana na Lebanon 🇱🇧 kwa sasa Bali imetangaza wazi wazi kuwa kwa sasa lseral hatuna mda wa kupoteza kupigana na heziballa Bali tutatumia nyukilia ☢️☢️☢️ ☢️☢️ tuu
@saidiomar6642
@saidiomar6642 Күн бұрын
Akitumia nyuklia ndio israil imeisha
@godblesshudson1564
@godblesshudson1564 Күн бұрын
​@@saidiomar6642imeisha kivipi ebu nielekeze
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Күн бұрын
​@@saidiomar6642Kivipi labda
@ce-08
@ce-08 Күн бұрын
@@saidiomar6642 sio kweli ikipgwa nyuklia hakuna nchi itakayo Fanya fyooo kama Haina uwezo wa nyuklia sababu na wao watajua kitakachofata nikupigwa nyuklia japo mm sidhan kama nyuklia itatumika.
@reubenbushiri1753
@reubenbushiri1753 Күн бұрын
​@d255tvwatachapwa vizuri shida Kuna mkono wa marekani pale
@user-nz8bv6xn9r
@user-nz8bv6xn9r Күн бұрын
Kilichotokea gaza kitatokea labanon mara dufu mana hezbollah walijipendekeza wenyewe
@Goldentouch_Ab
@Goldentouch_Ab Күн бұрын
hao sio mara yao ya kwanza kupigana...mara ya mwisho ilikuwa 2006 ...israel alirud nyuma
@JoyceSekele-n2f
@JoyceSekele-n2f Күн бұрын
mnao ibeza Israel mnajidanganya Israel nitaifa lilio balikiwa na mungu na wanahakili nying xana na wanaxilaha zakixaxa hao iziblaa mtawaxikia watakoxa pakukimbilia watawaletea watoto wao majanga
@walker-96
@walker-96 Күн бұрын
Lebanon mashoga tu .... Mda sio mrefu wataanza kupiga kelele Israeli wanaua watoto
@Goldentouch_Ab
@Goldentouch_Ab Күн бұрын
hao sio mara yao ya kwanza kupigana...mara ya mwisho ilikuwa 2006 ...israel alirud nyuma
Kim Jong un drives Putin during state visit to North Korea
1:39
The Times and The Sunday Times
Рет қаралды 6 МЛН
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 147 МЛН
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 25 МЛН
Israel yaichimba mkwara Lebanon ‘Tutawapiga tuwarudishe zama za mawe’
3:08
Deng’s Hidden Political Revolution | The Economics of China Episode 2
12:45
New Economic Thinking
Рет қаралды 9 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 242 М.
Mtu yeyote anaweza own bunduki USA ata mtoto wa 16 years.
31:35
Huku Yues
Рет қаралды 500 М.
heavy-duty electric engineering 5-wheeler 4WD cross-axleSuper power and long range part488
0:26
Heavy Deuty Electric Tricycle2.1
Рет қаралды 11 МЛН