Wafahamu HEZBOLLAH: Walivyoanza, Kiongozi wao! VITA na ISRAEL nani ataweza kuibuka MBABE?

  Рет қаралды 26,669

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

14 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 131
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART 12 күн бұрын
Hii ndio habari ambayo nilitaka kuiskia nawapenda sana sns tupo pamoja mpaka hatua ya mwisho
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 12 күн бұрын
DUNIANI MUOGOPE MTU ANAPIGANA VITA KUAMINI ATA AKIFA ATAKWENDA PEPONI KUNA KWENDA KUJILIPUA KAMA WAKATI WA PKK UTURUKI NISHAONA MWAKA 93 MPAKA 99 KUAMINI AKIFA KWENDA PEPONI 😢😢😢
@user-nv6wt3nx5h
@user-nv6wt3nx5h 10 күн бұрын
Shida ya Imani frani hupatikizà chuki zaidi na sio upendo....
@user-nm5ge6dt8i
@user-nm5ge6dt8i 8 күн бұрын
Imani ipi Sasa maana hapo ni myaudi na muislamu we upo upande upi kati ya hizo dini mbili
@user-si7kv4vl2b
@user-si7kv4vl2b 12 күн бұрын
Ally masud bana 😅😅😅😅 et! Drone imekustua yaan mpk ww umestuka hao wajomba ni noma sn yaan tutamgonga mhayudi na chenji atatoa 😅😅😅..
@HassanJambia
@HassanJambia 12 күн бұрын
Kuna mzee anaitwa hamdun embu mtafuteni ana madini sana
@kimchi-91
@kimchi-91 12 күн бұрын
Toa namba yake kaka
@HassanJambia
@HassanJambia 12 күн бұрын
@@kimchi-91 nipe namba yako ww kkk ili nikupe klip umtafute
@HassanJambia
@HassanJambia 12 күн бұрын
Jitahd update huyu mtu au tembelea kwa Chanel ya YUKOHAMA huko ndio anahojiw n mzenji kk embu fny chap
@ibnayub2374
@ibnayub2374 12 күн бұрын
Myahudi hawez pigana na Shia milele eleweni hilo, Hawa n ndugu katika Iman na wote ni watoto wa marekani KISWAHILI n chepes sana Sema watu wengi hawaelew
@ibnayub2374
@ibnayub2374 12 күн бұрын
Lebanon ni nchi iliyo vamiwa na mashia ndio pakazaliwa hizbullah
@jacobeliufoo7635
@jacobeliufoo7635 12 күн бұрын
Hilo jina lake dahh nasralah lina tamanishaa
@nassoroshakiru7094
@nassoroshakiru7094 12 күн бұрын
Kaka huyu anaitwa Sayyid Hassan Nasrullah huyu kiumbe ni hatar mzee wangu yaaani ni mwamba ukiskia mwamba
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 12 күн бұрын
Uhakika Wana sns hamjawahi kutuangusha
@remijilasana3383
@remijilasana3383 11 күн бұрын
Very informative reporting...
@SanguloRaahoo
@SanguloRaahoo 12 күн бұрын
Asante
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 12 күн бұрын
Hizbu ni Chama Allah ni Mungu, so ni Chama Cha Mungu, kwa lugha ya kiarabu.
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 12 күн бұрын
*Jeshi la Mungu
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 12 күн бұрын
@@shabanibussara8454 hizbu ni Chama jaish ndio jeshi
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 12 күн бұрын
IDF anateketeza raia wengi wasio na hatia lakini mbaka sasa IDF wameanza kurudi nyuma hari itakuwa mbaya zaidi kama wataendelea na ubabe mbele ya GAZA
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 12 күн бұрын
Hao raia ndo maadui Sasa kaka hujui
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 12 күн бұрын
​@@Officialjidaa-sn9cs adui ni ww kwnz usioweza kutumia fikra zko vzur
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 12 күн бұрын
@@mohamedaley5632 acha ujinga unahc wanaua ovyo unavyodangnywa kawasaidie Sasa tako wewe
@woah.africa99
@woah.africa99 12 күн бұрын
Official we mtumwa unajua hao wakristo pumbavu ww unaitwa mtumwa na hao wazungu hao nibwauaji walingia 1946 kutoka ulaya walingia ardhi ya warabu hao sio esrael wa kale hv waje watu kutokaa ulaya waseme ardhi hi ni yetu kisha wakue ww na familia yaki ww hujui ukweli kwa hiyo hamas wakiliipiza kisasi ndio magai ila hao mashatani wanaua watoto ktk ardhi yao ni sawa hiy ni ardhi ya warabu sio wazingu leoperd ambae aliua kongo watu milioni wanafitinisha africa watu vita ilacwafrica Burkina faso na Niger wesha watoa wafaransa ww baki hujui kitu
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 12 күн бұрын
@@Officialjidaa-sn9cs siwez kuwa mpumbav kama ww naelewa sahihi na kupandikizwa fikra mbovu kama ulivyopandwa ww... kama hao raia ni adui wamemshikia nan silaha?
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 12 күн бұрын
Hivi vita vya hawa watu ni vita ya kibabe hakuna wa kuzaraupiwa
@PekeKayumbe
@PekeKayumbe 12 күн бұрын
❤❤❤
@majidbushahu2465
@majidbushahu2465 12 күн бұрын
Yaani mm sauti yako siielewi hata kidogo Nikushauri ukale sana mayai na vitu vya kujenga sauti ikiwa pamoja na kufanya mazoezi ya kuongea kwa step bila kuludia maanenno.
@shooterseifgallery
@shooterseifgallery 12 күн бұрын
Noma sana kiwake tu
@mudiskaina2342
@mudiskaina2342 Күн бұрын
wew mtangazaji eti wataweza kuijibu israli kweli kwani Israeli ashawashambulia israil mpka israil
@user-nv6wt3nx5h
@user-nv6wt3nx5h 10 күн бұрын
Yetu macho...
@seifmiraji43
@seifmiraji43 12 күн бұрын
Ni hatari sana kupigana vita na watu wanao shambulia bila mfumo😅
@mdmohiuddin6488
@mdmohiuddin6488 10 күн бұрын
Ni Chama cha mungu Ali
@user-rk6jf6zq6d
@user-rk6jf6zq6d 9 күн бұрын
Ako kawimbo cha sns wa ha kabisa noma
@hassanpashua
@hassanpashua 12 күн бұрын
Kwann wasiwe na nguvu wkt washapigana mara mbili
@user-qp5vi9yt6m
@user-qp5vi9yt6m 12 күн бұрын
Ndo apo sasa mana watu washapigana mara mbili
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y 12 күн бұрын
Uyo netanyahu akuwe m bishi tu ivo zitapigwa mmpaka mwisho kwani ndo nn
@e11said23
@e11said23 12 күн бұрын
Hii hezb.ninzuri sana hawana ubaguzi kabisa sunni wakristo yoyoye wanampokea kazi iedelee
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 10 күн бұрын
👊👍✌️
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 12 күн бұрын
Israel ina nguvu ya lakini imeonesha udhaifu mkubwa kwa hamas hivo in ushahidi tosha kwamba ikiwa itaingia vitani na hizbollah vita hukua muda mrefu na vitakua vikubwa
@zuricakes6817
@zuricakes6817 12 күн бұрын
Umeulizwa nani ataibuka MBABE. Wacha kujiumauma, Mbabe unamjua! Kiboko ya Middle East😊
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 12 күн бұрын
Israil hamuwezi Hisbullah ataa siku 1 na wakianza vita Israil atapotezwa fasta sn aisee
@nizarrama225
@nizarrama225 12 күн бұрын
​@@zuricakes6817umeshamaliza kula kande 😂
@woah.africa99
@woah.africa99 12 күн бұрын
​@@zuricakes6817 hao hata mababu zako waliwafanya watumwa mpaka leo na kugombanisha wafrica wachukue mali zao middle east nibardhi ya warabu na pia hao sio esrael ni wameletwa na marecani kuona ardhi ina petrol na africa madini ukae ujue hao ni wezi tu sio wenyeji wenye ardhi ni phalestin kuna misikiti ya mana bee hapo ardhi takatifu sio hao wazungu na majibwa na vibukta vyao vinatembea sio utamaduni wa warabu hiyo
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 12 күн бұрын
Mbabe bado hajajuilikana mpka sasa ​@@zuricakes6817
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 12 күн бұрын
Kama Israel walishashindwa na Hesbollah mwaka wa 2006 na 2010 sasa saa hii Israel wanaenda kumalizwa kabisa
@ce-08
@ce-08 12 күн бұрын
😂😂 labda marekani kama hayupo
@jumakhamis226
@jumakhamis226 12 күн бұрын
Watasaidiwa na bwana wao mmelekani
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 12 күн бұрын
@@ce-08 Kwani 2006 na 2010 Marekani ilikua wapi? Marekani yenyewe imekimbia mbio Lebanon kuongea na serikali ya Lebanon wawambia Hesbollah wasiingie kwenye vita na Israel
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 12 күн бұрын
@@jumakhamis226 Kwani 2006 na 2010 Marekani ilikua wapi? Marekani yenyewe imekimbia mbio Lebanon kuongea na serikali ya Lebanon wawambia Hesbollah wasiingie kwenye vita na Israel
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 12 күн бұрын
Hivi ww wa israel unawaona ni watu wa kawaida ety kaa ujifunze kutafuta ukweli wa nguvu za israel zipo wapi kichwani ama kwenye vitu
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 12 күн бұрын
sawa sawa malipo nihapahapa duniani
@Aminaamina-us5yj
@Aminaamina-us5yj 12 күн бұрын
Sasa irani yenyewe ata ndege ya kubeba raisi hawana 😂😂kujitekenya warabu watauliwa na wataendelea kuuliwa wasipo anza kufundisha watoto new generation to grow up with fresh mind and love other wise bado sana
@enockramadhani7065
@enockramadhani7065 10 күн бұрын
We ni Mshamba tu nani alikwambia Iran ni waarabu
@user-pt8wo4ss2p
@user-pt8wo4ss2p 12 күн бұрын
Uwezo wanao
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n 12 күн бұрын
Nyi mnaleta ydin hadi kwenye mahisha yawatu nyiwatu wanakufa nyi mmekaliatu kushabikia vta nakupanisha
@user-qp5vi9yt6m
@user-qp5vi9yt6m 12 күн бұрын
Ndugu mtangazaji uyo israili alishachezea kichapo na hezbulah mwaka 2006 ebu kumbuka
@jumashimba9620
@jumashimba9620 11 күн бұрын
Vita
@NoelNjementi
@NoelNjementi 12 күн бұрын
Uyo mwongeaji anaasila zakuuwawa warisi wakiongozi wairani hayatora haminey
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 12 күн бұрын
Huku Kim JON UN , Putin, huku Hezbollah huku Hamas, Taliban,huku Iran yaani kusingekuwa na hao viumbe Marekani angekuwa anafanya atakalo Kwa mataifa mengi , tushukuru uwepo wao maana wanawafanya Marekani na NATO wanaongea Kwa vituo
@MkhayaSogadari
@MkhayaSogadari 12 күн бұрын
Kk nakufatili sana nikiwa southa Africa tenguwa Kaulitz akuna wa isilam wakawaidi wot ni wa isilam kama vp kiristh ni mki risthu tu ulimi auna mfupa
@husseintuwa4521
@husseintuwa4521 12 күн бұрын
Maana ya Hizbullah ni KUNDI LA MWENYEZI MUNGU NA SIO JESHI LA MWENYEZI MUNGU.
@kujatwende
@kujatwende 12 күн бұрын
Wako Na uwezo mkubwa sana
@jayotv2024
@jayotv2024 9 күн бұрын
TITLE YA HII VIDEO AIHELEWEKI 😂😂😂😂😂😊
@Goldentouch_Ab
@Goldentouch_Ab 12 күн бұрын
Ushambuzi bado sana ..unachambuaje unashindwa kuelezea vita ambavyo walishapigana ..mfano 2006??nn
@seifmiraji43
@seifmiraji43 12 күн бұрын
Punguza ujuaji
@mdmohiuddin6488
@mdmohiuddin6488 10 күн бұрын
Hisbu maana yake cha hata zanzibar kulikuwa na Chama Kanagawa hizbu
@ndizindeleti761
@ndizindeleti761 12 күн бұрын
Malekani na jeshi lake bora katolewa na taleban
@mandeladaimu9683
@mandeladaimu9683 12 күн бұрын
Leo wakwanza
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 12 күн бұрын
kwahio 🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 7 күн бұрын
IDF watapigwa tu kwani wengi wao ni viongz wa ushoga na usagaji acha wasa nao ni mashoga
@aminielkombe66
@aminielkombe66 12 күн бұрын
Kama Hamas na Hothis,, dola ndani ya dola
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 12 күн бұрын
Israel wameyatimba hope watanyamazisha hawa manyau 🤦
@AbelsonGidion-vo1uj
@AbelsonGidion-vo1uj 12 күн бұрын
Jidanganyee
@user-mc2zl1gj6u
@user-mc2zl1gj6u 10 күн бұрын
Nyie wafagilieni tu hao walebanoni islael msione IPO kimya wamefanya hayo mashambullizi ndani ya islael kwa. Kushitukiza wakianza kugomgwa msi badilishe maneno kuwa wanaonewa hao ote mfadhili wao ni urusi na Irani hao wanao fanya chokocho kwa Israel dawa yao inachemka
@jumashedafa
@jumashedafa 12 күн бұрын
Putin yupo nyuma yao maana wanajua wanazid kumdhoofisha marekan cz ndio mtoa silaha kwa israel....Hivy kujigawa na kutoa silaha watafel...Sasa hapa picha litokee putin na kim wampge mmarekan au watafut vikundi vingi vya kupga na marekan ad wasalimu amri na akidhoofik zaid waend wakawamalize
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 10 күн бұрын
Makini
@jumashimba9620
@jumashimba9620 11 күн бұрын
Lebonan wanapakana na nchi zipi
@canisiusibrahim9856
@canisiusibrahim9856 12 күн бұрын
Mbona kama ni inshu ya U.S.A hii inshu za kidini
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 12 күн бұрын
Israel mashoga lazma wangamizwe
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew 12 күн бұрын
Hawa wanajiamini kutokana iran wanawasaidia
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 12 күн бұрын
Israel hasaidiwi?
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 12 күн бұрын
Lebanon itaanza kulia pia
@user-mc6ln7ek7q
@user-mc6ln7ek7q 12 күн бұрын
2006 Israel ilishindwa na apo ata hezzbullah haikiwa inanguvu kama sasa
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 10 күн бұрын
​@@user-mc6ln7ek7qIsrael mashoga tu
@zuricakes6817
@zuricakes6817 12 күн бұрын
Mbabe mmoja tu Middle East😃
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 12 күн бұрын
Aende peke yke aone....mbna mbabe anaomb misaada Ulaya+Marekani
@zuricakes6817
@zuricakes6817 12 күн бұрын
@@salehkhalfan7345 Hamas na hao Hezbollah wako peke yao?
@ce-08
@ce-08 12 күн бұрын
​@@salehkhalfan7345 wote hao wanasaidiwa hakuna anaepigana yy km yy awe Hezbollah au Israel
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 12 күн бұрын
Sema Ulaya inapigana na mataifa ya Middle East
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 12 күн бұрын
Mbabe omba omba 😂😂😂
@michaelkavavila7371
@michaelkavavila7371 12 күн бұрын
Mimi siiilaumu isarel...hata ingekua TZ...JESHI LISINGE KAAA KIMYA WATUWAKE.,KUTEKWA,KUCHIMJWA ,KUBAKWA..MOTO UNGEWAKA TU..TUACHE USHABIKI
@dauddavid6837
@dauddavid6837 12 күн бұрын
Ndugu yangu wewe wafatilia habari zawapi mateka wote waisrail walioachiliwa huru wanawashukur hamasi namna walivyowatunza lakini angalia wapalestina waliotekwa na israil wengi niwanawake nawatoto nawamerudishwa wengine hawana vidole wengine hawana meno kwamateso waliyo pewa alafu nashangaa ukisema eti hmsi wameua raia na wamebaka Nduguyangu fatilia habar acha kulishwa matango pori
@zuricakes6817
@zuricakes6817 12 күн бұрын
@@dauddavid6837 Wanawashukuru hamas walivyowatunza, kwani walikuwa na shida kabla hawajatekwa? Yaani uniteke alafu uniangalie vizuri? inahusu nini?
@radjabusuleiman6486
@radjabusuleiman6486 12 күн бұрын
Israel imeteka wa Palestina 12000 wako gerezani kuna wenye myaka 10,20, 25, 30, 40 wanawake kwa watoto
@ce-08
@ce-08 12 күн бұрын
​@@dauddavid6837 sasa lile tukio c watu walikufa au cku ya uvamiz ilikuwa mifugo ndyo ilkufa
@sameerbaksh98
@sameerbaksh98 12 күн бұрын
Tatizo usifate propaganda soma vizur history utaelewa hatuna ushabik
@mozamoza3960
@mozamoza3960 12 күн бұрын
Kwanini wasiwape mabom hamasi
@salumucharles9655
@salumucharles9655 12 күн бұрын
Hamasii wamechoka kina kuja kikosii kipya 😂
@jkifutu7936
@jkifutu7936 12 күн бұрын
Msulimoto bullaza
@rashidmaty7824
@rashidmaty7824 12 күн бұрын
Ww Aly n pro American,yaani ipo wazi,kitu cha hizbullah,ww uchambua ch Israel
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 10 күн бұрын
Ali ana kauchoko fulan mwehu huyu
@ElijahOwino-xe2cd
@ElijahOwino-xe2cd 11 күн бұрын
Iran haiwezi kuishinda Israel kivita... Yani Iran itatandikwa vibaya... Ngoja muone kitakachowakuta Lebanon
@rashidmsuya5721
@rashidmsuya5721 11 күн бұрын
Mbona hamna sehemu apo ambayo imezungumzia vita ya Iran na Israel iyo inazungumzia hezbulah na Israel stuka ww
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 10 күн бұрын
Israel mashoga hawajiwez
@ElijahOwino-xe2cd
@ElijahOwino-xe2cd 10 күн бұрын
@@omarymwaluko9765 ila nchi za kiislamu zimeshindwa kumpiga.. Kila vita wanatandikwa halafu wanaanza kelele mara ooohh.. Israel isitishe vita.. Yani mfanye uchokozi halafu mkichapwa eti mnaonewa.. This time round mtatia akili
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 10 күн бұрын
@@ElijahOwino-xe2cd lini Israel mashoga wameshinda vita choko ww
@ElijahOwino-xe2cd
@ElijahOwino-xe2cd 10 күн бұрын
@@omarymwaluko9765 niambie ni lini Israel imeshindwa vita
@raydanfrenk
@raydanfrenk 12 күн бұрын
Mchambuzi wang penda Dj s anaweka udini na ushabeki wa kijinga
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 10 күн бұрын
Ali choko mwenzako
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 13 МЛН
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 152 МЛН
Haha😂 Power💪 #trending #funny #viral #shorts
00:18
Reaction Station TV
Рет қаралды 15 МЛН
BALAA: HEZBOLLAH waiteketeza IRON DOME ya ISRAEL, vita kamili vyanukia?
6:39
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 270 М.
Дальнобойщик натворил делов...#дуракинадороге #shorts
0:30
eBike designs are getting wild 🙌
0:22
Rob Rides EMTB
Рет қаралды 32 МЛН
2JZ 2000 сил! СКОЛЬКО СТОИТ? #shorts  #тюнинг #автотюнинг #2jz #TURBO
0:51
МАРТИН БОГАТЫРЕВИЧ garage
Рет қаралды 681 М.
Внутренняя часть бензовозов 😯
0:50
ОМЕГА шортс
Рет қаралды 2 МЛН