Mjadala baina ya Mwl Philip Joseph na Fransis Ndacha. Je ni nani Mungu wa Biblia?
Пікірлер: 13
@rashidkazi4924
Ndacha uko vizuri
@AnafBanda
Kukataa roho
@whajavfsb5154
Kutetea utatu nikazi kwa sababu hakuna ushahidi wa maandiko wala Roho ya unabii na sijui kwann watu wanajilazimisha kutetea kitu wasichokuwa na references kama hujui ukimya ni mzuri na si kujilazimisha uonekane unajua na hujui ..Mungu atusaidie sana 😢 shetani ameingiza mafundisho ya ajabu ajabu
@bernardmkuffya5171 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mwalimu Ndacha!
@bernardmkuffya5171 Жыл бұрын
I understand pastor Ndacha cause he is reasoning from scriptures but mwalimu philip you got reasons out of the bible.
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Ndacha upo vzr
@NoradMsigwa-rt1uu Жыл бұрын
Yupo sahihi sana huyu ndugu
@daudibomani1940 Жыл бұрын
NDACHA yupo sahihi Hana ubabaifu Kama huyo mwingine
@user-mc2xd4eu2p
Biblia inapingana wote wananukuu bibilia na wote wakristo
@daudibomani1940 Жыл бұрын
NDACHA yupo sahihi Hana ubabaifu Kama huyo mwingine