Uungu wa Yesu.

  Рет қаралды 2,072

Sauti ya Uzima

Sauti ya Uzima

Жыл бұрын

Ushahidi wa ndani na nje ya naandiko kuhusu Uungu wa Yesu Kristo.

Пікірлер: 59
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Nyinyi mmepotea na mnapoteza watu Yesu hawezi kuwa Mungu
@elishampoki8751
@elishampoki8751 9 күн бұрын
Ameni mtumishi wa Mungu,
@saadomar2480
@saadomar2480 5 күн бұрын
YESU ANAUUNGU GAN WAKAT YY NIMTU KAMAWEWE. WAONGOWAKUBWA MNAPOTEZA WATU.
@SaidiNyanga-ct8zq
@SaidiNyanga-ct8zq 16 күн бұрын
Mungu Akubarik mtumish
@victorponera1572
@victorponera1572 Ай бұрын
Nakuelewa sana ,,,mwalimu!!!.
@dennismasira8992
@dennismasira8992 Ай бұрын
Mwalimu bado elimu yako katika uungu wa Yesu ni ndogo njoo kenya nikufundishe maandiko
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 17 күн бұрын
Waalimu.vipofu
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 17 күн бұрын
Danieli.angaika.yesu.sio.mungu.wala.mungu.sio.yesu
@nehemiekwizera1277
@nehemiekwizera1277 Ай бұрын
Nyie wote bado wanafunzi kabisa
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr Ай бұрын
Asante mtumishi kwa kutueleza na kutufundishaa mengii Tusiyoyajua MUNGU wa mbinguni akubariki sanaaa
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Sasa Mungu wambinguni Gani Tena uyo mna jichangana Yesu ni Mungu Sasa uyoemwine wa mbinguni Gani tena
@christophersimwinga6689
@christophersimwinga6689 Ай бұрын
Wewe niMwalimu nimekukubali na Leo ndo nimeelewa kuwa dini zote zitahukumiwa Kwa haki
@christophersimwinga6689
@christophersimwinga6689 Ай бұрын
Yes Mwalimu upon sahihi hata yesu mwenyewe alisema Mimi na baba ni Kitu kimoja
@mwinyijuma2686
@mwinyijuma2686 15 күн бұрын
Bado hujaelewa yesu aliposema hivyo sababu umesoma sentence Moja tu katika kitabu Cha yohana 10:30 ukitaka kujua maana halisi soma kuanzia John (yohana) 10:23-34.
@mcndege9724
@mcndege9724 Ай бұрын
John 3:16 Mungu akajituma...... Mungu akafa siku tatau.... Waubiri bubu waliopotoka hawaelewi maandiko wanawapotesha watu. Yesu ni mwana wa Mungu alie hai.. hiyo ndo wokovu..
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Mungu akafa sikutatu na ninani aliendesha dunia
@niyoaze
@niyoaze 25 күн бұрын
mukibishasana birauthurivu nakusikiriza kwamakini utakbuzi haupati wendekwaumakini kwakuwa mdanwingi hufafawa naroho wamungu anayekuwa ndaniyethu
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Kwanza ukitaka kujuwa mmepotea towa andiko inasema tusamiyane kwa jina la yesu towa hapo yesu anesema Mathayo 11:29 tufunze kwake sasa wapi yesu alitowa iyo salamu ili tujifunze kwake
@emmanuelallankanumba5234
@emmanuelallankanumba5234 Ай бұрын
Je ni Mambo gani yesu au Issa aliamulu umma wa waislamu wayashike na kumfuata yeye kama hakim ili wapate wokovu maana sisi wakrito inaeleweka asiyezaliwa mara ya pili hawezi kuona ufalme wa mbinguni,,mimi ndio njia na kweli na uzma huwezi kwenda kwa baba ila kwa njia ya mimi nk naomba unipe elimu kuhusu hawa ndg zetu nini hatma yao aksante
@jospinchance
@jospinchance 7 күн бұрын
Alina mutu Alina mungu wakati wowote ni mechack pa Sud Kivu Bukavu
@jospinchance
@jospinchance 7 күн бұрын
Akuna mutu alishaka ona mungu
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Iyo tito ni Paul ndiyo anasema yesu ni Mungu
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Oyo missionary ndiyo wale tu wa catholic imani zao
@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 Ай бұрын
Ukisikia watu wa moton wakiwa duniani
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Ndiyo hawa
@msemakweli243
@msemakweli243 Ай бұрын
Hapo mnapotosha watu mungu haonekani, yesu ana uhungu
@lastpage488
@lastpage488 Жыл бұрын
nimepata kitu kingine
@nehemiekwizera1277
@nehemiekwizera1277 Ай бұрын
Kwanza maneno ya Daniel anajichanganya mwenyewe, eti huwezi kutofautisha neno na mwenyenalo, basi ukasema Kwamba John 1:1 , Neno alikua, then ukaja ukabadisha eti Neno lija , si unaona unajichanganya.
@jemimanzombo9808
@jemimanzombo9808 Жыл бұрын
Amina🙏🙏🙏
@geoffreykomu9782
@geoffreykomu9782 Ай бұрын
kama yesu ni yule mungu mmonja ambaye haonekani, nashidwa ibilisi katokea wapi kuja kuwadanganya watu, kisha huyu mungu ajifanye mwanadamu ili apambane na huyu ibilisi.
@dennismasira8992
@dennismasira8992 Ай бұрын
Muulize tena kwa sauti
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 Ай бұрын
Amina,ningependa mfanye hii majadiano moja kwa moja na mwalimu kutoka Kenya 🇰🇪,jina lake ni Ndacha.Anasema Yesu sio Mungu ila ni malaika MKUU ZAIDI.Mbarikiwe watumishi
@msemakweli243
@msemakweli243 Ай бұрын
Kinacho watatiza ni kukalilishwa yesu sio mungu hila ana uungu
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 Ай бұрын
@@msemakweli243 Hiyo uungu wa Yesu Kristo ndo inamfanya awe Mungu (Isaya 9:6; Wafilipi2:5-11)
@JESUSISLO891
@JESUSISLO891 Ай бұрын
Ndacha hajielewi anafaa kurudi Kwa Imani ya kweli
@msemakweli243
@msemakweli243 Ай бұрын
@@davidochiengbuoga7165 kwahyo mungu watakuwa wangapi?
@msemakweli243
@msemakweli243 Ай бұрын
@@JESUSISLO891 wewe ndo fikira zako
@kelvinmpanda-ms2ik
@kelvinmpanda-ms2ik Ай бұрын
Kuna Yesu na Mungu ila Yesu sio Mungu
@julyuzkemei5754
@julyuzkemei5754 Ай бұрын
Umepotea kabisa...soma biblia kwa makini brother
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 Ай бұрын
YESU Kristo ni Mungu kwa utukufu wa Mungu Babaye (Isaya 9:6; Wafilipi2:5-11)
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 Ай бұрын
Je, unafahamu kuwa mtoto wa nyoka ni nyoka, vile vile, Mtoto wa Mungu ni Mungu. Yesu Kristo ni Mtoto wa Mungu,tena mzaliwa wa kwanza wa Mungu na yupo pamoja na ndugu zake hapa duniani.Ndungu zale Yesu Kristo ni 'miungu "(Zaburi82:6; Yohana 10:30-37)
@nehemiekwizera1277
@nehemiekwizera1277 Ай бұрын
Then akasema eti Thomas, alimuita Yesu Mungu ....mbona hakusoma waebrania 1:7,8 ambapo Mungu Baba Mwenyewe akumuita Mwanawe Mungu.
@djskadi7355
@djskadi7355 Ай бұрын
Kenya kwa ndacha atachukuwa nusu saa anabadilika uyoo anadanganya Yesu ni Mungu kwa Nature sio Mungu mkuu kwa sababu ni mtoto wa Mungu ndo maana anakuwa mungu kuna Mungu mkuu na Bwana Yesu soma imani Yohan 7-3 huu ndo uzima wa milele hii andiko alitaki kachumbali uyu mwalimu wa utatu ni uwongo kabisa akuna andiko linasema Mungu baba Mungu mwana Mungu roho kama lipo watoe kunyeshe mvua ya damu 😅
@petromachanga5538
@petromachanga5538 Ай бұрын
Safi utatu
@nehemiekwizera1277
@nehemiekwizera1277 Ай бұрын
Then akasema eti Emmanuel maana yake ,hakfu akaweka maneno yake. Jamani
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
2wakorintho 12:7 Na makusudi nisipate kujivuna kupita kiasi Kwa wingi wa mafunuo hayo nalipewa mwiba katika mwili mjumbe wa shetani ili anipige nisije nikajivuna kupita kiasi
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Sasa uyo ndiyo na shetani ndiyo wame wangiya nyinyi ote kuleta imani yesu nimungi
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Warumi 3:7 Lakini ikiwa kweli ya Mungu imezidi kidhihirikasha utukufu wake kwa sababu ya Uongo wangu mbona mimi ningali nahukumiwa kuwa mwenye dhabi
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Paul najiita Muongo na Mwenye Dhabi nakila anaye mfuta wote motoni Aliwanda nganya kuwa yesu ni Mungu nanyi wajinga hapo studio mkaamini
@amedesamki425
@amedesamki425 16 күн бұрын
Yesu wa biblia siyo isa wa kurani
KUKUA KIROHO
48:20
Sauti ya Uzima
Рет қаралды 61
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Sabeel Ahmed
Рет қаралды 448 М.
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 10 МЛН
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 402 М.
UKIOTA NDOTO NYOKA KAINGIA KATIKA CHUMBA AU OFSINI........ || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
4:26
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 57 М.
MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE - TAMBUA YESU KRISTO NI NANI KWAKO?.
2:27
MARANATHA ONLINE TV.
Рет қаралды 3,9 М.
MBINU ZA KUOMBEA MAJARIBU || Mwl Christopher Mwakasege
1:23:21
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 136 М.
BWANA MKUBWA
2:31
Sauti ya Uzima
Рет қаралды 29
JE YESU ALIKUFA???
1:38:58
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 16 М.
JE YESU NI MUNGU?
29:27
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 27 М.
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН