No video

NDARO NA STEVE MWEUSI LEO WAMEYAKANYAGA

  Рет қаралды 1,568,374

Ndaro Tz

Ndaro Tz

Күн бұрын

#ndaro #stevemweusi #comedy #trending #chekatu

Пікірлер: 453
@FabianDirector
@FabianDirector Жыл бұрын
Daaaaaaaa kila siku nyie ndo mnamalzaga bando langu mnajuwa sana kunifurahisha🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣👍
@ArthurJoseph-fv6sl
@ArthurJoseph-fv6sl 2 ай бұрын
Hawa mafundi asikwambie mtu aseee
@jadenmsafi
@jadenmsafi Жыл бұрын
Kashatupoteza huyu🤣🤣🤣
@chikamajenisia2244
@chikamajenisia2244 9 ай бұрын
Stive eti tulikwambia utulete n'gamuyamuy😂😂
@AllyJackson-xd5uv
@AllyJackson-xd5uv 8 ай бұрын
Ndaro ni msenge,,, eti baba mwenye nyumba akichukua nyumba yake😂😂😂😂😂😂
@AmaniOmari-ev2gu
@AmaniOmari-ev2gu 2 ай бұрын
Haaaaahaaaa
@momanyijames1785
@momanyijames1785 Жыл бұрын
Kumbe za mwizi arubaini stivo na ndaro jamani pole 🤣🤣🤣
@crecencierthomac1673
@crecencierthomac1673 Жыл бұрын
Nilisema mm lazima kiwakute kitu mjute sasa😂😂😂😂😂
@ngovielkingeliance6125
@ngovielkingeliance6125 Жыл бұрын
Nafurahi zaidi ku ona mjeshi kikofia pamoja n'a Steven mweusi 😂😂😂
@KuyaMsuka
@KuyaMsuka 11 ай бұрын
Wana vituko san
@hajrabablysh8892
@hajrabablysh8892 Жыл бұрын
wame homba duuuh kigoma moja ndarooo, nipotezwe ukuje naangalia hehehaheeeeeh
@ommyrexh6294
@ommyrexh6294 Жыл бұрын
Hap ni wap? Usinijibu 😂😂😂😂
@issamumbere2113
@issamumbere2113 Жыл бұрын
😂😂 kwa mwisho boda akakataa kuchukuwa hela 😂😂
@reganclarence4657
@reganclarence4657 11 ай бұрын
loooh amnazo mpo vizuri hii kali ya mwaka
@abdulbora812
@abdulbora812 11 ай бұрын
Wana zogo wana fujo wana kulitafuta😂😂 1 lv machizi kazi safi🇺🇸✌️
@christinaernesto4636
@christinaernesto4636 11 ай бұрын
Yani Steve na ndaro Mungu anawaona😂😂😂😂😂
@martinkagoma
@martinkagoma Жыл бұрын
Steve ni kiherehere mno😅
@OthumanBashiri
@OthumanBashiri 11 ай бұрын
Kweli machiz wamekutana😜😜🤣🤣🤣
@asiasalim9323
@asiasalim9323 Жыл бұрын
Nywele za kuhota hizo vepeee ee 😂😂😂
@jamessamwel9456
@jamessamwel9456 Жыл бұрын
Nilikuwa sijawahi mfuatilia huyu Ndaro, aiseee he is more than comedian
@memsiigaufe9225
@memsiigaufe9225 Жыл бұрын
Ndaro steve 😂😂wasenge sana mbavu zangu😂😂🇧🇮🇧🇮
@petermaina-nb9xh
@petermaina-nb9xh Жыл бұрын
Steve mweusi am watched from Kenya🇰🇪 unafurahishanga hae👋
@petersaiperere5315
@petersaiperere5315 Жыл бұрын
Wuee Steve na ndaro mmekua wakora Sana af mkaushe mkora kama nyinyie mtauponza kweli
@wyclifemwachi1964
@wyclifemwachi1964 9 ай бұрын
Huyu ndaro ni muha wa kigoma
@SHIJA_
@SHIJA_ Жыл бұрын
steve na ndaro ni mbwa 😂😂
@mussamageme2748
@mussamageme2748 Жыл бұрын
Nimechelew jmn nipenk like ata kumi jmn😢
@joshuason557
@joshuason557 Жыл бұрын
Eti pesa ina sula ya bibi yako ?!!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MahoridiMamba-ok2pw
@MahoridiMamba-ok2pw Жыл бұрын
😂😂😂😂
@chuseboy
@chuseboy Жыл бұрын
Kila ck wanangu mnauwa😂😂 tunajivunia kama watanzania kuwa na vichwa hiv tu Nazipenda Kaz Zenu😂😂
@locktyggertz8554
@locktyggertz8554 Жыл бұрын
Hivi Steve mlimwambia awapeleke wap huyu dereva boda boda wa pili pumbavu zenu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅
@ThegreatBritain1
@ThegreatBritain1 Жыл бұрын
Ati zingatia sehemu ya kwenda😂😂😂😂
@jaybizzo_milosso
@jaybizzo_milosso Жыл бұрын
Ndaroooooo oyeeeeeee hatar saaaana
@emmanuelmuhando1052
@emmanuelmuhando1052 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Steve na ndalo nimmbwa 🤣🤣🤣
@huviraakyoo9276
@huviraakyoo9276 11 ай бұрын
Jamani nampenda ndaro❤❤
@itwas2022
@itwas2022 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Mjeshi kikofia + steve mweusi = 🔥
@user-bf8fg1jq2k
@user-bf8fg1jq2k 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 muulizeni mwalimu wa mathe
@ElizabethMdinku
@ElizabethMdinku 2 ай бұрын
Sawa Steve lakin mungu anawaona
@satixsatixstarsilence
@satixsatixstarsilence Жыл бұрын
Kimoja Steve mweusi siku zote una niudiha siku 😂😂😂😂
@nunuuali5316
@nunuuali5316 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hapo kwenye ndugu yenu
@andrew0502
@andrew0502 Жыл бұрын
Eti twende tutafute wa mwisho tukampotezee maeneo ya nyumbani
@MursalLusinde
@MursalLusinde 2 ай бұрын
Yaan we acha tyu
@UpendoIbamba-uk2hd
@UpendoIbamba-uk2hd Жыл бұрын
Wao nina kupenda sana Steve mweusi nitafute makini niigize
@UpendoIbamba-uk2hd
@UpendoIbamba-uk2hd Жыл бұрын
My!hahahahaaa
@KondeBreezy22-lm7wi
@KondeBreezy22-lm7wi Жыл бұрын
WAziri wa maji tena🤣🤣🤣🤣🤣
@byelatibazigiza4305
@byelatibazigiza4305 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂hakhiamungu nimecheka kumbe YESUtunamkumbia wakati wa shda!Stivu na Ndaro mtafka mbinguni mmechoka sana,😂😂😂 na❤ sana mnajua kunipa raha
@KuyaMsuka
@KuyaMsuka 11 ай бұрын
Acha t
@puritymutindi4905
@puritymutindi4905 Жыл бұрын
Naeza tamani sana kupatana na Steve mweusi
@jacklineyaa717
@jacklineyaa717 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 unafikiria kila tajari ni wa kuteka Steve wewe
@mejoomejoo-vl2vi
@mejoomejoo-vl2vi Жыл бұрын
Nawapenda sana mach love from Tanzania 🇹🇿
@ErickAlly-pm7dw
@ErickAlly-pm7dw 11 ай бұрын
Noma Sana pamoja❤
@user-ik2qn7xp9k
@user-ik2qn7xp9k 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂❤
@carolinemahenge1674
@carolinemahenge1674 Жыл бұрын
Jaman dteve na ndaro jamani big up😂like zangu
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 Жыл бұрын
Ndarooo na Steve mweusi nawakubali Sana 🤣🤣🤣🤣
@emertonmwakina8593
@emertonmwakina8593 10 ай бұрын
Hapo nimejifunza kitu Boda tosheka na kidogo ulichopata haya basi waendakujionea mambo😂😂😂😂😂Hata peni hupati😂😂😂😂😂😂😂
@fatmahsayyed5443
@fatmahsayyed5443 7 ай бұрын
Daaaaaah kak mmetixh knma😂😂😂😂😂😂
@FanesKalumbwa
@FanesKalumbwa Жыл бұрын
Iyo ajali ilitaka kutokea hapo ni seemu ya maigizo au ingekuwa really 😢😢
@zuleykhasaid967
@zuleykhasaid967 Ай бұрын
Naona ilikua ni ya kwelii hiyo wallah 😢😢
@naamanidamasi6125
@naamanidamasi6125 Ай бұрын
Napenda kumuita mzee wamachalee
@oscarmagongo8903
@oscarmagongo8903 Жыл бұрын
Leo Mapema Sana nimekua number1
@user-kl9ci9ir2d
@user-kl9ci9ir2d 5 ай бұрын
❤❤❤
@Ali-zb4bk
@Ali-zb4bk Ай бұрын
Poa ❤
@Meschactv-uh9us
@Meschactv-uh9us 11 ай бұрын
hello my friends I really like to continue because I like your videos
@alvintemba8378
@alvintemba8378 Жыл бұрын
Wameyakanyagaa🤣🤣🤣, ama kweli mwizi hatosheki
@barackawithokiswaga2686
@barackawithokiswaga2686 Жыл бұрын
Oy mwanangu Ndaro, mnaweza sana😂😂
@ezekielgerald18
@ezekielgerald18 Жыл бұрын
Daah mnatuvunja mbavu
@fabriceabedi8606
@fabriceabedi8606 Жыл бұрын
It's too smart💘🌺🌸🌺!!,seen by mwanakongo's shop🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩.
@wacassinah
@wacassinah 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂huu niukweli kabisa,,,kwanza kina dada hua hawalipi nauli
@thomasnyingo7272
@thomasnyingo7272 Жыл бұрын
Mashikolo mageni 😂😂😂
@PollyShop-pv5nn
@PollyShop-pv5nn 8 күн бұрын
Uwiii nacheka kwel kwel 😂😂😂😂😂😂😂
@frankelias4844
@frankelias4844 Жыл бұрын
Hawa jamaa wanaijua Sanaa,tuwasaport Kwa likes pls
@albertkatuga2434
@albertkatuga2434 Жыл бұрын
Uyo bodaboda wa mwisho anaongea bila wasi yani mpaka raha utazani aigizi yupo kiuharisia kabisa
@PeterJoji
@PeterJoji Жыл бұрын
Pamoj
@Efootball_is_ours
@Efootball_is_ours Жыл бұрын
Umetisha mkali
@KuyaMsuka
@KuyaMsuka 11 ай бұрын
Vp
@HalimaAbdallah-gl8wf
@HalimaAbdallah-gl8wf 11 ай бұрын
uwakika
@user-fn2wp5lj5o
@user-fn2wp5lj5o 9 ай бұрын
Heri Tanzania....hio mchezo na WA Boda wa huku Kenya hautapenda my friend 🤣🤣🤣🤣
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣sijawahi kuona mafala Kama ndalo na Steve
@user-bz1vx1xl2b
@user-bz1vx1xl2b 7 ай бұрын
Kiukweli awa wajama wameni chekesha zaidi😂😅
@user-bz1vx1xl2b
@user-bz1vx1xl2b 7 ай бұрын
Kiekiekiekiekiekie
@venaciokariuki4552
@venaciokariuki4552 Жыл бұрын
😂😂😂😂 napenda hiyo
@akimbeneysizhou469
@akimbeneysizhou469 Жыл бұрын
Huku niwapi tena😅😅😅😅 guys mmeniwua
@SalumHamad-q1c
@SalumHamad-q1c 14 күн бұрын
Zingatia sehem yakwenda tutaongea bei😅
@bullsjoy254
@bullsjoy254 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅aky unanibabanga Sana guys much love from Kenya 🇰🇪
@doopdee10
@doopdee10 Жыл бұрын
Lugha ya kenya
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Akir zenu bwana hatari sanaa Uyu maa mupo nae uyu jamaaa au nini Maana yupo siliasi sana uyu jamaa nayeye
@upperboyofficial1818
@upperboyofficial1818 Жыл бұрын
Siku za mwizi ni ngapii🤣🤣🤦
@MartooNdale5480
@MartooNdale5480 10 ай бұрын
Combination Moja nomaa😂 mumeweza tu saana
@bellabelle1593
@bellabelle1593 Жыл бұрын
Leo mumeyakanyanga jamani mbavu zangu🤣🤣🤣
@BarakaTiras-li2gh
@BarakaTiras-li2gh 5 ай бұрын
Sawa ndaro na st
@barakal.mollel5480
@barakal.mollel5480 7 ай бұрын
😅😅😅😅 Ukisikia Maisha yanasema je kimbia
@AbdulWahab-hg1ge
@AbdulWahab-hg1ge Ай бұрын
Ndaro & Steve 2wape nini mmetisha sana
@AmmynClassic
@AmmynClassic 20 сағат бұрын
Eti umesomea COED😂😂😂
@shelomaday4633
@shelomaday4633 4 ай бұрын
Et twende hvi ( HIVI NI WAPI) HAHA STEVE km mwalimu wa mathe vile HAPA N WAPIIIII....
@user-fk2ol9fk2b
@user-fk2ol9fk2b 10 ай бұрын
Kkkkk awa ni wazalendu kamili.😂😂😂 Show na show
@duchaider
@duchaider Жыл бұрын
Ndaro kichaaa😅
@Jali-et8py
@Jali-et8py Жыл бұрын
Nawapenda sana ,much love from Uganda 🇺🇬 💖
@draizonofficial9896
@draizonofficial9896 Жыл бұрын
@FestoStiven
@FestoStiven 10 ай бұрын
Stivu mweuzi na ndaro moko mnaweza kwakweli
@user-fz9le6md1k
@user-fz9le6md1k 8 ай бұрын
Kweli mko vizuriii nawapat nikiwa kenya
@ilafashantabindi-ej4dh
@ilafashantabindi-ej4dh 10 ай бұрын
Halaf. We ndaro mwiz. Bloody from kg moja😂😂😂😂
@simaisaleh761
@simaisaleh761 11 ай бұрын
Ndaro ni🔥
@user-in8dp6bd6g
@user-in8dp6bd6g 10 ай бұрын
😂😂😂😂naweza tamani kupatana n'a Steve mweusi
@SafiaKhatib-po9fl
@SafiaKhatib-po9fl 5 ай бұрын
Unaomba kuongea nae ulimpigia wwe😂😂
@ClaudeNtakirutimana-du3zy
@ClaudeNtakirutimana-du3zy 4 ай бұрын
Nawapenda bro🤣🤣🤣
@ShabikiWaYanga
@ShabikiWaYanga Жыл бұрын
kazi nzuri sana #Mr_Ndaro
@user-xx2fu5xz9z
@user-xx2fu5xz9z Ай бұрын
Pumbavu shafii huogi ndio man utak kukubali unapigan n Steve mweusi mtu asie n maneno jinga san shafii mashavu kam paka w dukan alfu kumbe njaa ndio inakusumbua 🤣🤣wataka Steve akulipe ww tafuta ela n nguvu zako wacha kutafuta wenzako mshenzi ww shafii tena mshenzi usie n mfano
@davidjoshua9634
@davidjoshua9634 10 ай бұрын
Et umesomea Coed 😂😂😂😂😂
@Fes_org
@Fes_org Жыл бұрын
Fala kweli Hawa mbwa😂😂
@vestinehacingingo5351
@vestinehacingingo5351 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 😂ila steve bwana eti muogope mungu 😂😂😂
@user-ib6ik3wt2c
@user-ib6ik3wt2c 5 ай бұрын
Daaah, nawakubari sanaaaaa
@user-nc1si2jf6p
@user-nc1si2jf6p 6 ай бұрын
Hahaha mm mkenya kicheko cha niua jamani
@davidteonest6291
@davidteonest6291 Жыл бұрын
Ila ndalo katisha Sana umu🤣🤣🤣😂
@user-ig4ts3hw3q
@user-ig4ts3hw3q 10 ай бұрын
Mnatuchekesha Sana aki m😂😂😂😂
@muhammadjamady-zx1jy
@muhammadjamady-zx1jy Жыл бұрын
Waone kwanza bado.kidgo tu wasababishe ajaliii 😂😂😂
@user-fq9ol4nr9x
@user-fq9ol4nr9x Жыл бұрын
Kimewakuta 😂😂😂😂😂😂😂
@AdamHassan-ss5qd
@AdamHassan-ss5qd 2 ай бұрын
Jamani iyo ajar ingetokea ingekuwa ya kweli au ingekuwa ya maigizo
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 11 ай бұрын
Mmekutana pipa na mfuniko😂😂😂
@HassanAli-di8qz
@HassanAli-di8qz 12 күн бұрын
Jeme ivi wakenya awana maemdeleo nisaindieni mm mkenya ata mm nacheza muvi nimwigizaji mzuri tup
@user-qj6nz2rq1o
@user-qj6nz2rq1o 9 ай бұрын
😅😅😅😅 mutakuja kutu toa mbavu jamn kah
@user-bs7ut2tg7f
@user-bs7ut2tg7f 10 ай бұрын
Nakubali sana mjeshi kikofia
@MagrethJonathan-ir2vr
@MagrethJonathan-ir2vr 4 ай бұрын
hahahahaha😂😂😂 hiyo noma
@user-gu2sc4zs2m
@user-gu2sc4zs2m 10 ай бұрын
Hii imeenda 😂😂😂
@caromelvin
@caromelvin Жыл бұрын
Aki mwanivunja mbavu Mie Je madem wenu wanafurahia😂
@sammiesammie1469
@sammiesammie1469 Жыл бұрын
Mbona hivi rakini una namba zangu za sim tiyali baibe mbona uwasiliani Nami kwan kwendaj baibe.😍😍💕
@user-fs7hl6vg2p
@user-fs7hl6vg2p Жыл бұрын
Ndarooo eeeh umeuwaaaaa mwamba
NDARO NA STEVE MWEUSI UTACHEKA UGOMVI WAO
11:34
Ndaro Tz
Рет қаралды 768 М.
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 53 МЛН
NDARO NA STEVE MWEUSI WAFANYA FUMANIZI UTACHEKA
15:21
Ndaro Tz
Рет қаралды 589 М.
UMALAYA SHULENI (part 2)
13:55
BabaJoan
Рет қаралды 2,1 МЛН
KOSA LA MAMA || Swahili Latest || Bongo Movie 2021
2:00:01
kapaayathegreat films
Рет қаралды 4,3 МЛН
WAUZA MANDAZI  HAWA STEVE NA NDARO
9:19
Mweusi Family
Рет қаралды 448 М.
NDARO NA STEVE KUMBE MAFUNDI UTACHEKA
14:02
Mweusi Family
Рет қаралды 454 М.
AFANDE NDARO NA STEVE WAMEYAKANYAGA
12:25
Mweusi Family
Рет қаралды 369 М.
BEST FRIEND | Full Movie |
1:25:54
CLAM VEVO
Рет қаралды 2,4 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18