No video

PART1:Ndoa Yaharibika Kanisani Baada Ya Mume Kufumaniwa Na Mkewe Akitaka Kuoa Mke Mwengine Kwa Siri

  Рет қаралды 705,341

Afrimax Swahili

Afrimax Swahili

Күн бұрын

Hii ni Historia Ya Mwanamke Aliyemfuma Mume Wake Akitaka Kuoa Mwanamke Mwengine Kwa Siri
Kumbuka :Asili ya Video Hii Iliundwa Kwa KISWAHILI&KIFARANSA Chini Ya Afrimax Ltd,Ikimaanisha Tunamiliki Haki Yake kwa 100%,Hili Ni Toleo La Kiswahili,
#afrimaxswahili #truly #historiaisiyoyakawaida #trending #tanzania #rwanda
Usisahau Kubonyeza Alama Nyekundu (Subscribe)kisha Alama Ya Kengele ili Uwe Wa Kwanza Kupata Video Zetu AFRIMAX SWAHILI

Пікірлер: 395
@RobertRange-uf3rf
@RobertRange-uf3rf 4 ай бұрын
Kama umegundua kuwa afrimax ndio walimzanua huyu dada kwamba kuna harusi gonga like😅😅
@user-pb6lv2kq1g
@user-pb6lv2kq1g 23 күн бұрын
😂😢😂😂😂😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢🎉😢😂😂1❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤111qq1❤❤
@user-mx9th6ky6o
@user-mx9th6ky6o 2 ай бұрын
Pole sana mama kwa kuachwa bila hata kupewa talaka,Mshirikishe Mungu akupambanie katika hilo
@VanisyJonathan
@VanisyJonathan Ай бұрын
Exactly 😢😢😢
@rosemichael5268
@rosemichael5268 6 ай бұрын
Asante mchungaji napendekeza afungwe miezi 6
@janejoshua433
@janejoshua433 6 ай бұрын
O God bless this woman because of this kids o jesus of nazarethe remember this woman
@HappynessLombo
@HappynessLombo Ай бұрын
Pole sana dada wanaume wanaroho mbaya sana
@JenniferFalanzisk
@JenniferFalanzisk 2 ай бұрын
Mungu anatuona kwa haya tuyatendao analipa kwa wakati muamin Mungu
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 6 ай бұрын
Hivo vimapacha mashaaalah,vtakua, lailahailalah,aoe wote, watoto watamlaani,
@virginiacarolinewanjiru556
@virginiacarolinewanjiru556 6 ай бұрын
Beautiful twins kids looks like father.
@cleophaxgeremy2148
@cleophaxgeremy2148 6 ай бұрын
wuuuuuuueeeeeeh izi ndoa jamani ndoa jamani,mie Mungu anijalie nikioa nisiwe mume wa tamaa😢😢,na mume naye anaacha mke mwema tena mzuuri zaidi anafuata vitu vya ajabu ajabu, jamani ndoa😢😢
@berthasalim1313
@berthasalim1313 5 ай бұрын
Aaa
@naslaahmada5187
@naslaahmada5187 4 ай бұрын
Yaan wanaume waongo kwel katelekeza familia nakwenda kuoa tena daah
@jacquelinelukambuzi5085
@jacquelinelukambuzi5085 6 ай бұрын
Ee Mungu amhurumie huyu mama na kumuinua kwa ajili ya uzao wake tu, wanawake tunapitia mengi jamani🙆
@ANNASTACIAMWENDE-bo7dw
@ANNASTACIAMWENDE-bo7dw 3 ай бұрын
Sana
@user-rn3yh6ed5k
@user-rn3yh6ed5k 3 ай бұрын
Tena sana
@RashedaSalem-mk3yb
@RashedaSalem-mk3yb 3 ай бұрын
Pole sana dada fumilia mwenyenzi munguako na wewe atarundi
@user-ov7td6us4v
@user-ov7td6us4v 6 ай бұрын
🎉Huu ni ukatili mkubwa huyu mwanaume Mungu anamuona kuamua kinyonga watoto na njaa kisa mwanamme Na atashughulika naye
@josephineariga438
@josephineariga438 4 ай бұрын
I was l was the first lady with children. S8ngeenda kustop their wedding . Ningesahau na nilee watoto wangu na Mwenyezi Mungu.😊
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 6 ай бұрын
Pole sister Mungu Yuko nawe awezi kuacha
@EditaMaro
@EditaMaro 4 ай бұрын
Mungu amjalie huyu Dada ampe nguvu ya kushinda majaribu haya
@kassimukipingu7917
@kassimukipingu7917 7 ай бұрын
Duu hii ni hatari sana mungu aniepushe na tamaa hizi Maana siku zangu za kuishi siinyingi
@umfahad2609
@umfahad2609 7 ай бұрын
Naomba serikali ichukue hatua ya haki, kwa huyu baba. Ili iwe fundisho kwa wengine.
@evansanyona9499
@evansanyona9499 6 ай бұрын
Police cannot force a man to love a woman he doesn't love, But watoto wake anafaa kushughulikia.
@user-in1et7yx2m
@user-in1et7yx2m 7 ай бұрын
Mungu amwone Huyo mwanaume Hana hata huruma ya watoto Kuna kesho yake
@zarafimnyamafitv
@zarafimnyamafitv 6 ай бұрын
watoto bdo wadogo
@vailethdaudi-tb9jb
@vailethdaudi-tb9jb 2 ай бұрын
Ahsante Mungu kwa kunipatia afya njema
@wilper6318
@wilper6318 18 күн бұрын
Machozi ya huyu mama na watoto Mungu mkumbuke, mhifadhi, mtajirishe.
@StellaHailonje
@StellaHailonje 21 күн бұрын
Jamni Pole sana dada MUNGU yupo na ndio msada wako binadamu ni wasaliti lakini MUNGU hasaliti i atalipwa jipe moyo
@Irriswhartirris
@Irriswhartirris 6 ай бұрын
As women we need to stop letting these men get away with this. If a man finds out that you got a child he didn't know about.. He would leave you without thinking twice even if it was a lie.. But a whole woman with children come crying at your wedding and the pastor continues to officiate and you just stand there like it's nothing.. God is not with you and that marriage, if he can do this to his own family then he will show you flames 😮😮😮
@MaggyGesare
@MaggyGesare 5 ай бұрын
Dada yangu mungu hakushindie majaribu🙏
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 7 ай бұрын
Kweri huyo mwanaume chòzi la mke wake litamugalimu sana
@marthakagiri5873
@marthakagiri5873 7 ай бұрын
Huyo mwanaume alaaniwe sana na Mungu
@KayagoAziza
@KayagoAziza 7 ай бұрын
Mbona ya zamani
@user-ls2nq2eq3l
@user-ls2nq2eq3l 7 ай бұрын
Hata mm niliwai kuiona au nimovie tu
@mwitaagness455
@mwitaagness455 7 ай бұрын
Danaaaa😮
@jospinemokeira
@jospinemokeira 6 ай бұрын
Hii ni ya zamani
@user-hd5bg8qw1b
@user-hd5bg8qw1b 6 ай бұрын
WENGINE NDIO TUNAIONA LEO.
@user-er1ly3me9l
@user-er1ly3me9l 6 ай бұрын
Na hata mwanamke alie fumaniwa hana akili, angekuwa anazo angemuacha mwanaume papo hp na kuondoka, je angefanyiwa yy angejisikiaje? Kama alifunga ndoa amekosea kwa mkewe si vizuri kutelekeza familia, na hata hy atatelekezwa tu. By mwaipaja . Gua D
@elfapaul4191
@elfapaul4191 7 ай бұрын
Sio kwa mwanaume tuu, huyo bb harusi mpya anapaswa kujiuliza kama mwenzake kafanyiwa hivyo yeye atakuwa salama hapo baadae ??? Ukiona mwenzio ananyolewa za kwako tia maji.
@AnthonyAnatory
@AnthonyAnatory 7 ай бұрын
Mwanamme huyo n taira San unachukua mume wa mwenzio
@SakinaMyovela-hf2ir
@SakinaMyovela-hf2ir 6 ай бұрын
Machoz ya mtu hayaendi bure.
@irenedaniel3546
@irenedaniel3546 6 ай бұрын
Mimi yalishanikuta sikwenda hata kupinga ndoa yao bt mingu alinilipia ile ndoa haikumaliza hata miez mitatu acheni sina hamu na hawa wanaume
@begumisachristopher4697
@begumisachristopher4697 6 ай бұрын
Maombi ni silaha. Tujitahidi kumaliza matatizo yetu mapema na haraka.viongozi wa dini ni muhimu sana kuwa makini kabla ya kufungisha ndoa,
@marthaonyango9301
@marthaonyango9301 6 ай бұрын
Wanaume sio watu jamani
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
NA HIYO KANISA SIYO YA UKWELI . MAANA MUNGU NI MMOJA . HUWEZI KUFUNGISHA NDOWA MARA MBILI KAMA NI MCHUNGAJI.
@ShadiaIdrisa
@ShadiaIdrisa 15 күн бұрын
Pore sana dada
@user-tu1yc6du6m
@user-tu1yc6du6m 6 ай бұрын
kweli wanaume nimitihan aiseeeee mungu atuongoze daima
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 6 ай бұрын
Mungu Simama na Mimi nikuombaye Mke mwema hutoka kwako nijaliye hitaji la moyo wangu liwe takatifu,maana dunia ya Leo Mungu bila wewe atuwezi,Mungu naamini sitakuwa na stress ya Mke ni pesa tu nitatafuta kwa nguvu zote Amen
@RosemaryMakoye-r9w
@RosemaryMakoye-r9w Ай бұрын
Pole dada Mungu atakutetea
@user-dk4vp6np1r
@user-dk4vp6np1r 6 ай бұрын
Pole San dada
@umfahad2609
@umfahad2609 7 ай бұрын
Inaskitisha saana. Baadhi ya wanaume ni wanya nyasaji kwa wtt na wake zao. Wakipenda mwengine, mke wa mwanzo ana telekezwa. Ila na huyu mpa ajue. Na yeye itafika cku pia yatamkuta km yalio mkuta mwenake. 😢😢
@ExcitedAurora-gd8mp
@ExcitedAurora-gd8mp 6 ай бұрын
Jama uyo ni panya
@NeemaSamweli-mt7ho
@NeemaSamweli-mt7ho 18 күн бұрын
Hyo ndoa haitadum kwa jina la yesu
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 6 ай бұрын
Hii inauma sana haki huyu mwanaume amelaaniwa kweli, Mungu anakupa Mke anaye kupenda na uko na Watoto naye alafu unamkimbia Mke wako😳 wanaume wenzangu tukioa tukuwe na msimamo kujua kuona ni pingu za maisha,mpendwa mtunze mkeo,tamaa za Nini,eeh Mungu nimesimama na wewe ninajiheshimu sana nakupenda sana najielewa na sitakaa niwe Mme wa kumtesa Mke wangu nitampenda na kintunza kwa Upendo wangu wote daah hii inauma sana 😢😢
@sofiaomar9919
@sofiaomar9919 7 ай бұрын
Sio haki kbsa ww uwache famili yako kwa mke mwengine lkn waume kaeni mukijua km mkeo hakua mwema kwako hata huyo pia atakutenda km ulivyo mfanya mkeo mkubwa
@jovitusiinnocent7534
@jovitusiinnocent7534 7 ай бұрын
Hii ni stor bwana kwaiyo kipidi anapigiwa simu camera zilitoka wapi acheni upumbavu
@alexjosephmambo6990
@alexjosephmambo6990 6 ай бұрын
Story tu hii kwani yeye anaishi na camera kila siku au!! Et mpaka anaenda kujiandaa na wanae na camera inaona hiyo haipo snario tu hiyo
@jovitusiinnocent7534
@jovitusiinnocent7534 6 ай бұрын
Kabisa sorry hii
@GetruderMfinanga
@GetruderMfinanga 6 ай бұрын
Hata mm sijaelewa hapo
@erastolyimo2423
@erastolyimo2423 6 ай бұрын
Yaani kituko kabisa, wasioelewa wabaki hivo tulioelewa tumeeleea
@ELM-pv4ou
@ELM-pv4ou 2 ай бұрын
Stor ime rudishwa nyuma sikiliza vizuli
@KabulaJoin
@KabulaJoin 2 ай бұрын
Pole Sana dada
@roselinemoshi5008
@roselinemoshi5008 7 ай бұрын
Watoto jamani uwiiiiii 😢😢😢
@lazarojembe8532
@lazarojembe8532 7 ай бұрын
Polesana
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 3 ай бұрын
pole Sana mama uchungu wako umenikumbusha mbali nikama umeniotonesha kidonda Ina Uma Sana
@ruzindazajonas8506
@ruzindazajonas8506 7 ай бұрын
Ni laana tu kwa huo mwanaume! Hata huo mwanamke mpya hanamume ni picha tu. Tena yule mke alieachwa ni mzuri zaidi kuliko huo mpya.
@hudhudisonline2040
@hudhudisonline2040 6 ай бұрын
😢😢
@hellenwanjiru7989
@hellenwanjiru7989 6 ай бұрын
Asante Mungu. Huu si mwanaume wa kuoa. Hana hisia kwa mke wala watoto. Hata atakayeolewa naye, hatakuwa muema kuliko huyu mama na hatazaa dhahabu iwe atalidhika
@gikaroalexnchagoa8226
@gikaroalexnchagoa8226 6 ай бұрын
Mbona kama movie. Anaanza kupigiwa simu kamera zikiwepo, anaenda Nyumbani kujiandaa kamera ipo, safari ya kwenda kanisani kamera ipo. Duh😂😂😂
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 6 ай бұрын
Vitoto vizuli jamani ivi sisi wanaume tupoje jamani ani kwa mimi ata ikipita siku mbili sijawaona wanangu moyo wangu unakua haupo poa sababu nikiwaza 2 machozi yatitilika kwa maixha yaduniani yalivyo mafupi hii adi nalia jaman😢😢😢😢😪
@user-dm9pe5wu6e
@user-dm9pe5wu6e 6 ай бұрын
Nimeumia sanaa jamn
@BrendaWaningu
@BrendaWaningu Ай бұрын
pole dada
@user-fb7vo2fh4w
@user-fb7vo2fh4w 6 ай бұрын
Enyi wanaume kuweni nahurma kwa sisi wanawake mtuonehe huruma ivi kweli umemzalisha mtoto wamwenzio watoto wote hao leo hii wamfanyia hivo dada .mungu atankulipa ishaallah munagu yupo pamoja nawe jitaidi sana kumuomba mwenyezimungu atakujalia riziki
@adelinaamosi9437
@adelinaamosi9437 2 ай бұрын
Yani tena mapacha mara mbili hushukuru tu
@EstherClement-wb4jo
@EstherClement-wb4jo 3 ай бұрын
Pole sana
@fraidamsemwa5518
@fraidamsemwa5518 6 ай бұрын
Hiyo ni dharau iliyopitilizaa Mungu amhukumu kwakweli
@MildredNamalwa
@MildredNamalwa 3 ай бұрын
Pole dadangu ni ujungu sana
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
MWANAMME NA WATOTO TELEE. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
@JaneKathenya
@JaneKathenya 3 ай бұрын
Pole sana mama kwa hiko
@yoabuboaz6854
@yoabuboaz6854 2 ай бұрын
pole San mama mushukur mung Kwan jambo Hilo ipo siku mung atainuw uzao wako tu
@user-ih3cj6em5k
@user-ih3cj6em5k 7 ай бұрын
Inaumiza Jaman
@VeronicaGasper-v1t
@VeronicaGasper-v1t 19 күн бұрын
Naombeni hao mapacha
@shedracklesudai95
@shedracklesudai95 6 ай бұрын
Hakika Mungu aingilie kati kweli kwenye ndoa
@julyodette6945
@julyodette6945 6 ай бұрын
Miaka ya nyuma ningekuwa kama huyu mama lakini kwa sasa 😅😅😂😂 I dont care kabisa jamani akioa anipe kadi ya harusi ntamchangia kiroho safi 😅😅
@gladysmwatabu9154
@gladysmwatabu9154 6 ай бұрын
Umekuwa na roho kama yangu,hawa wanaume wanatunyanyasa kisha wanalimbikiza makosa kwetu aty sisi ndio tunachagia...sooooo saaad😭
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 6 ай бұрын
Dawa ya kucht ni kutelekeza na kuoa mwngne
@Mtumishi-je6el
@Mtumishi-je6el 3 ай бұрын
Ee Mungu utuhurumie cc wanaume
@user-nz5dh9mq9s
@user-nz5dh9mq9s 6 ай бұрын
Mungu amtete huyu mama wa watoto,,kwa mwanaume anastahili kuludi kwa mke wa watoto ikishindikana Shelia ichukue mkondo wake.
@marthanahumu6360
@marthanahumu6360 3 ай бұрын
Kuna wanaume ninkatili aiseew
@antonelatweve478
@antonelatweve478 28 күн бұрын
Malipoo nii dunian na Soo mbingunii dadaa utiwee nguvuu na bwanaa maan Soo mchezoo
@euniceadhiambo228
@euniceadhiambo228 6 ай бұрын
it is Soo hearting
@user-ej9jf5lo5f
@user-ej9jf5lo5f 5 ай бұрын
otek matin
@neziajoseph9726
@neziajoseph9726 5 ай бұрын
Ndugu zangu,sisi ni wanawake na kifupi wenzetu Wana changamoto ila sisi za kwetu ni funga kazi ndio SBB tunakimbiwa mwanaume hawezi kukukimbia hiv hv maana tuna ghubu Sana...na hatuambiriki
@nancygitonga3282
@nancygitonga3282 3 ай бұрын
This lady needs justice
@CesiliaGodwin
@CesiliaGodwin 5 ай бұрын
🎉tupo pamoja kwa maombi
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 23 күн бұрын
Huyo baba laana ya huyo mke wa kwanza itamfuata popote, alipata mke mwenye baraka tangu uzao baraka za mapacha mara mbili, yani wanaume dah 😢
@EverlyneNangekhe-yq3eq
@EverlyneNangekhe-yq3eq 4 ай бұрын
The tears of this woman will torment them
@josephmassimba4856
@josephmassimba4856 7 ай бұрын
unaedai wanaume wote mashetani kumbuka mambo mawili baba yako ni mwanaume na uliyenaye ni mwanaume.jifunze kuona Hali na kuikabili Hali sio kugeneralise eadely like that😊
@crispakyando8854
@crispakyando8854 6 ай бұрын
Du,Inauma sana
@tianarest
@tianarest 6 ай бұрын
Ulimkuta binti kigoli mukazaa watoto wazuri 5 leo unamuona hafai ukaenda kwa mwanamke ambaye nae alisha bilingishwa na vijana huko tunaita garasa kumbuka hata warembo wanazeeka kitakulamba wew baba rudia familia yako,
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 7 ай бұрын
Mwisho wa siku watoto waje wafanikiwe baba choka mbaya alafu mbwa flan aje aseme watoto hawamjali baba yao fyuuuu!
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 7 ай бұрын
acha aoe make mwingine nyinyi wanawake mna jeuri na viburi sana yaani unamjibu mwanaume unavotaka na Hadi wewe ujisikie ndio unampa akikugusa tu utasikia niache sasa we unataka afanyeje
@mzeeicon913
@mzeeicon913 7 ай бұрын
Wewe ni Mjinga
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 7 ай бұрын
@@mzeeicon913 muacheni aoe mwanamke mmoja kamwe hajamtosha mwanaume hao wanawake wenyewe majeuri na viburi kama Nini na hivi anakua anajua ukristo hauluhusu mke wa pili ndio atakuletea jeuri mpaka basi wanaume wanayofanyiwa ni Siri yao acha waoe ndio hao wanawake viburi na majeuri kwa wame zao watatia akili
@StellaMcharo-es5zv
@StellaMcharo-es5zv 5 ай бұрын
​@@Hussein-gx4qu❤❤❤ 85
@veronicaUrio-wv5vj
@veronicaUrio-wv5vj 3 ай бұрын
Inauma sana dada pole we mwanaume utaenda motoni
@Kelvinchristopher072
@Kelvinchristopher072 6 ай бұрын
Ivi ni kweli au story ya kuigiza
@DianahOsmundi
@DianahOsmundi Ай бұрын
Fainali uzeeni tutunze watoto wetu tuache kuwafikilia
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 6 ай бұрын
Unaoa mwanamke anakuletea kiburii anajiona mwamba ata mm nasepaa kwani ndoa ni nn mbona zamani watuwalikuwa wanaishi tena miaka mingi sanaa mm singe tishikaaa mwambaaa
@julyodette6945
@julyodette6945 6 ай бұрын
Sepa na wanao kwa nini uwaache kwa mwanamke mwenye kiburi
@alicesospiter7625
@alicesospiter7625 4 ай бұрын
Wewe no walewale😂
@happynesskizuri7948
@happynesskizuri7948 4 ай бұрын
Mungu atakulipia dada atakufuta machoz
@user-sn2ef2qt8r
@user-sn2ef2qt8r 4 ай бұрын
Duuu aisee sijui alipatwa masawabu gani mume adi kwenda kuoa mke mwingine daaa atuwezi jua siri wanajua wenywe jamani daaa Sema inauma usiombe ikukute😔😢😢😢
@user-gl9tr3ug9o
@user-gl9tr3ug9o 4 ай бұрын
Eeeiih sisi wanawake tunayapitia machungu sana 😢😢
@user-rh2tm9cd8i
@user-rh2tm9cd8i 5 ай бұрын
Pole sana dada
@HellenMacha
@HellenMacha 3 ай бұрын
Aachane nae...moyo wake haupo naye,akapambane na Mungu hatamuacha.
@songeza
@songeza 6 ай бұрын
Akili zetu wanawake finyu hivi kweli hakupata tetesi kama ana mke? Cha kujiuliza hicho na wachungaji wawe wanafuatilis sana jambo kama Hilo atafunga ndoa kwingine akaenda kanisa lingine akafungishwa ndoa je! Wewe mchungaji unaemfungisha hujui kama ana ndoa huyo?
@PaulineKawira-dn7ph
@PaulineKawira-dn7ph 4 ай бұрын
Ningeenda pia
@user-nq3lf7hs4q
@user-nq3lf7hs4q Ай бұрын
Halafu huyo baba anategemea baraka kwa machozi hayo yaliyomwagika hapo mama na watoto ataishi kwenye maisha ya laana mpaka atakapotoka hapa duniani haki
@morjanoman5181
@morjanoman5181 7 ай бұрын
Hii nifilam sio kweri sijawaikuona mwanaume wa. Kikiristu akaruhusiwa kufunga ndoa nyingine kama mmojawapo ajatanguriambele za Aki si kweri
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 6 ай бұрын
Kwa taarifa yako wanaume wa funga vizuri tu nina ushahidi ndoa ya kikristo mwanaume akawa kwenye mipango ya kuoa mke akaenda kwa huyo kimada akajifanya yeye ni binamu wa mwanamme huyo kimada hakujua akasema yote na mipango ya harusi kabisa chezea wanaume wewe kama wanafanya mapenzi nje ya ndoa zao kwani wanaruhusiwa mapenzi nje ya ndoa hiyo si ni ndoa tosha maana wanafanya tendo la ndoa 😢😢 ndugu yangu usidanganyike na sheria za dini mijitu haijali na nje inatoka sana tu sheria zako wewe wao hawajali choose mume wisely 😢😢
@leonardnewschannel2965
@leonardnewschannel2965 6 ай бұрын
GOD Is watching
@user-fb7vo2fh4w
@user-fb7vo2fh4w 6 ай бұрын
Ukiwa we mwanaume wamfanyia huyu mwanamke wakwanza hivo kumbuka allaha anajuwa kutoa mitihani mpaka utajuta mkeo ulomsaliti
@gerkombo6512
@gerkombo6512 6 ай бұрын
Hamjui kilicho nyuma ya pazia, kwa hiyo acheni kiherehere. Mwanamke kama hueleweki utaachwa tu haijalishi una watoto wangapi.
@williamngochani7008
@williamngochani7008 6 ай бұрын
huwezi jua nyuma pazia kuna nini! kwanza hakuna mwanamume mwenye akili ambaye anaweza kumuacha mke bila sababu, kuna muda muda hawa wanawake inabidi kuishi nao kwa akili sana sio kuhukumu bila ya kujua kuna nini hadi aamue kuoa tena. anyway siri wanayo wenyewe.
@theodosiamalley
@theodosiamalley 3 ай бұрын
Lilinikuta sitaki kukumbukia jamani,,hajafikiria kabisa alipaswa ajiulize kwann mwenzie kaachwa
@AnithaPaulus
@AnithaPaulus 4 ай бұрын
Wee mwanume mungu akulaan
@nahidabooko1446
@nahidabooko1446 6 ай бұрын
Subhana Allah, wallahi uwamuzi wakuu walitoa na mbaya
@user-ze8dy1bk7p
@user-ze8dy1bk7p 6 ай бұрын
Daaa,inauma Sana jamani.
@josephinemativo390
@josephinemativo390 6 ай бұрын
Hii kinaelewekwa kwa mwenye amepitia haya,Soo paining...
@Peterelius1
@Peterelius1 6 ай бұрын
Mwanaume alipaswa afungiwe jiwe la kusagia shingoni na kutupwa baharini, maana ana unyama ndani yake
@ChikuOmmary-ii2xf
@ChikuOmmary-ii2xf 7 ай бұрын
Watoto 5 unamuacha Mungu atakulipia
@hellenkibone
@hellenkibone 6 ай бұрын
That couple will never see peace 😢😢
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 3 ай бұрын
Pole familia yote ni hatari San dunia Kwisha KBS ndodunia hiyo mzunguko 😭pole dadaa
@mnyangabejowrlicecy1747
@mnyangabejowrlicecy1747 6 ай бұрын
Taarifa ipo na miyaka minne inaenda mitano sasa weee waileta leo ,,Yaani watz wanaona ndiyo habari mupya 😏😏😏 kwanini usitafute mupya
@DenGospels
@DenGospels 2 ай бұрын
😊😊😊😊 haaaaa
@wannaproducts
@wannaproducts 7 ай бұрын
Hii ndoa nasikia baadae ilifungwa. Habari ya miaka kadhaa hii sio mpya
MASKINI:Watoto Wanaomba Kwa Mungu Mama Yao Afe Maana Anateseka Sana|
12:15
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 95 МЛН
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 46 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
tazama namna ambavyo walivyo ingia utapenda
2:06
MC MBONABUCHA SENIOR
Рет қаралды 30 М.
PENZI LA DADA WA KAZI 💞 | Love Story
30:06
DONTA TV
Рет қаралды 4,9 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 95 МЛН