NDOTO ZA KUPAA NA TAFSIRI ZAKE - Imam Mponda

  Рет қаралды 39,558

Afya Yako

Afya Yako

4 жыл бұрын

faham tafsiri mbalimbali za ndoto za kuota unapaa angani

Пікірлер: 36
@mejumaamwachirero7324
@mejumaamwachirero7324 3 жыл бұрын
Assalamu Alykum ustadh.kiukweli umeongea ukweli kabisa ndoto za kupaa kwangu ni nyingi sana.nakweli nimesafiri from Kenya to Austria. Nazakufukuzwa nikiwa nimepaa Pia ni nyingi lakini bahati nzuri wanaonifukuza huwa siwajuzi zaidi yangu lila Mara huwa mshindi. Alhamdulillah kwahilo.
@khajjymagele8197
@khajjymagele8197 4 жыл бұрын
Dah naona sana Mara kwa maraa sana af n kama natembea
@asiaissa976
@asiaissa976 4 жыл бұрын
Waalaykumu ssalam warahmatullahi wabarakatuh
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Ata mimi ndoglto za kupaa nilishaota mara nyingi
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Mim nilishawi napaa sehem nisiyoijuwa lakin sijatoka nyumban kwangu
@pippipa920
@pippipa920 3 жыл бұрын
Me ni mkristo nimependa sana juu nimeona ukweli
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
Hiyo ndoto ya kupaa Mara kwa mara
@danielwilliam9758
@danielwilliam9758 4 жыл бұрын
Haha haha uyu jama muongo kweli, yank ni muongo kweli
@salmakatoto3886
@salmakatoto3886 4 жыл бұрын
Mimi nimetoa napaa na ndege
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Mim nilikuwa naotaga napaa aiku nyingine kwa mda
@deusmaganga4348
@deusmaganga4348 4 жыл бұрын
Mimi huwa naota napaa kwa kutumia mikono yaani Kama nina mabawa
@johnstonselestin9382
@johnstonselestin9382 10 ай бұрын
Na wewe unaota kama mimi
@faoual3456
@faoual3456 3 жыл бұрын
Mimi naota nafatwa na watu wanizuru nakimbiya adi napaa naota Sana ndoto ndoto naogopa kwakweri
@abrahamhaans9361
@abrahamhaans9361 4 жыл бұрын
Niliota nipo katika kundi LA wapiganaji , kuna MTU nilikua karibu akapangiwa mishe ya kuuwawa, sasa wamekuja watu wawili miongoni mwa wale wapiganaji wa msituni wakata mukuua, nikamstua kua kisu iko wakamkosa. Yule mmmoja akatoa bunduki na kuweka risasi moja ambayo ili kua karibu yake na kunielikezea . kuona vile nikatoka adi nje uku nikijizungusha ili asipate shabaha kamili, adi viongozi waliona lile tukio lakini hakuna aliekuja nisaidia. Sasa inakafika pahala naisi anataka apige tu kwani niliisi alishaniweka kwenye target. Nami nianze kukwepa ingawa nilikua naendelea kujizungusha nikaamka.
@boysamson2530
@boysamson2530 4 жыл бұрын
Siamini mm Wenda
@KennedyGallusy-rr1se
@KennedyGallusy-rr1se Жыл бұрын
Mm naotaga napaa napaa kwaku si Mama bila mbawa
@linetkirui5504
@linetkirui5504 3 жыл бұрын
Please help me to understand hii dream ukiota unapaa angani na nguo nyeupe
@user-yy4rn4xh7b
@user-yy4rn4xh7b 4 жыл бұрын
Mimi naota nikianguka kwa shimo
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 4 жыл бұрын
hiyo ni dalili ya kufeli katika maisha muombe mwenyezi mungu akunusuru
@zaitunichibako1214
@zaitunichibako1214 4 жыл бұрын
Asalam alykum m uwa naota napaa mara kwa mara na uwa nafukuzwa na watu au ngombe wa rangi ya brown na uwa ni wakubwa sana
@kheiramour2973
@kheiramour2973 2 жыл бұрын
Zaituni ww ni mwenzangu mana hunatofaut namm
@suzansimon5296
@suzansimon5296 3 жыл бұрын
Naje ukiota watu wanakutafuta afu ukaanza kupaa angan nn maana yake
@juliejulie6063
@juliejulie6063 4 жыл бұрын
Mm hua napenda kuota napaa juu nikiwa nafukuzwa na mtu mbaya, alafu nakua mwenye nashuka chini akikaribia kunishika najisukuma tena kurudi juu, alafu napambana kuamka kama ajanishika nko na hilo tatizo sana, lingine nimefamiwa na maji machafu ama nko qwenye bahari na maji inakimbia
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 4 жыл бұрын
maana ya hiyo ndoto ni kwamba kuna maadui wanakufuatilia ili wakudhuru nakushauri ufanye dua ya kinga inatwa *AL WIQAAYA* kama unaihitaji nitafute whatssap 0652 286 323 shukran
@evalinadickson1269
@evalinadickson1269 4 жыл бұрын
Jamani me niliota nakabidhiwa funguo na mwanamke mwenzangu Tena alikua anagombana na mwanaume, mda huo Niko kazin Kuna baadhi ya vitu akanipa nimwekee xaxa cjui maana yke ninini jaman
@habibihabibafatuma4740
@habibihabibafatuma4740 4 жыл бұрын
Asalamu alekumu waramatulayi wabarakatu mm na ota safari ila safari akamiliki kilasiku
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 4 жыл бұрын
Wa alaykumu ssalaamu hiyo ni ishara ya maisha yako yatakua marefu zidi kumuomba mungu
@dastopadady2402
@dastopadady2402 4 жыл бұрын
Mimi niliota nakimbizwa hafu Nika paaa
@paschalmanase2013
@paschalmanase2013 4 жыл бұрын
Mi nimeota nipo na marafiki zangu tunaelekea mlimani tukakutana na fisi wengi tukapaa wote na fisi wakiwa wengi wanaturukia juu alafu Mimi ikafika sehem marafiki wakapiga corna Mimi nikapitiliza alafu nilipojaribu kugeuza sikuweza kuwafikia walipo na fisi bado ananifuata ndoto ikakata hapo kwani nilishtuka
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 4 жыл бұрын
kuna uadui unakufuata katika maisha yako zidisha kusoma dua za kinga kila siku ili mwenyezi mungu akunusuru
@boysamson2530
@boysamson2530 4 жыл бұрын
Ndiyo
@mejumaamwachirero7324
@mejumaamwachirero7324 3 жыл бұрын
Ila kunamoja sijaijua tafsiri yake.niliota nafukuzwa na polisi lakini kwenye misitu nikakimbia mpaka mwisho nikatokea kwenye jumba zuri na kubwa nikiangalia mbele naona bahari nikaona bora nikitie kwenye bahari kuliko nikae Pale wangenishika,kufika katikati mwa bahari kulishuka kitu Kama feni hivi kutoka mbinguni,numa yangu palikuwa na MTU mmoja Kama alikuwa ananilinda hivi akaniambia hicho kinachokuja kutoka juu nizawadi yako ipokee nilipokea na nikatoka Nacho nje ya bahari ile nafika tu ufuoni Nacho nikaamka
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 3 жыл бұрын
Sawa mejuma nimesoma comment yako ila nakuomba nitafute whatssap tuongee zaidi my whatssap no +225 652 286 323 Ahsante
@mejumaamwachirero7324
@mejumaamwachirero7324 3 жыл бұрын
Utabiri wako niwakweli kabisa mengi ya hizo ndoto zimenifika na nimeona dalili zake.
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 3 жыл бұрын
Al hamdu li llahi
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,7 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 201 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 26 МЛН
NDOTO NA MAANA YAKE, UKIOTA UNAPAA ANGANI  MAMBO HAYA NDIYO YATAKAYO KUKUTA.
19:55
NDOTO ZINAZOASHIRIA KUPATA UTAJIRI SIKU ZIJAZO - Imam Mponda
3:57
TAFSIRI ZA NDOTO ZA KUPAA
4:36
Mponda Media
Рет қаралды 4,1 М.
NUKTA 39 ZA MTU UKIOTA MBINGU | NA TAFSIRI ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN
35:09
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 13 М.
Ukioto Unafua Nguo Na Kuzianua  Ina Manisha Nini?
2:51:15
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 9 М.
ANGALIA Muhammad Bachu AKIJIBU MASWALI KITAALAMU||HUWEZI KUAMINI.
41:26
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 66 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН