Рет қаралды 192
Hii ilikuwa iwe live talk na Mr. @~Edwin
Nadhani ni kwa sababu changamoto za kimtandao Mr. Edwin alishindwa kujoin.... Badala yake nikaendelea kushare mawazo machache..
Lengo kubwa ilikuwa ni kujadili kuhusu #nguvuyaakili ( #powerofmind ).
Natarajia kupanga kufanys tena huu mjadala na nitaalika wazungumzaji wawili zaidi akiwemo Mr. Ibrahim Kuhoga.
Endelea kufuatilia. Usisahau ku- #subscribe
I am using Streamyard (web-based) for my livestreaming sessions. If you want to give it a try, please use the link below:
streamyard.com/pal/d/46554275...