NI NANI BARAHIYANI || MJUE SALIM BARAHIYANI KWA UFUPI

  Рет қаралды 12,222

abul abbaas

abul abbaas

2 жыл бұрын

Sheikh Abul Fadhl Kassim Mafuta حفظه الله ورعاه

Пікірлер: 95
@salehmussa9371
@salehmussa9371 2 жыл бұрын
Wallah Mtume SAW hakufundisha haya mambo, mashekhe mnawapoteza waislam, kwanamna mnavogombana wenyewe kwa wenyewe.
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 11 ай бұрын
Hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake . Si hivyo tu bali muwahabi imefika kiwango cha kujikufurisha nafsi yake
@NamulyaWanamulya
@NamulyaWanamulya 5 ай бұрын
Shekh salim anafaidika sana na anavuna swawabu nyingi sana kutoka kwako mana kila wakati ni kumzalilisha tu
@ibnmulika4480
@ibnmulika4480 2 жыл бұрын
Huyo sheikh mafuta anajiona anajuwa Sana na anajiona yeye ndo Kama anamiliki pepo vile.
@aminaosman3315
@aminaosman3315 16 күн бұрын
,Ansar hakuna suna ñi zulma tupu warejeshe haki za yatima WA marehem said janjira wakamfuñgulia kesi mjane kwa haki yake wakashinda kwa zulma hakuna asiyejua lakini Allah kajiharamishia dhulma Allah atawahumu inshaallah
@abuuahmadiddi9444
@abuuahmadiddi9444 2 жыл бұрын
Alhamdulillah
@ibrahimpesa30
@ibrahimpesa30 2 жыл бұрын
Baarakallahu fiik akhuna Abul fadhwil
@omarimamboleo6990
@omarimamboleo6990 2 жыл бұрын
nyote mpo kwenye miradi msiwadanganye watu
@nadiakarata8984
@nadiakarata8984 2 жыл бұрын
Miradi gani shekh wangu
@abuuqatada9791
@abuuqatada9791 2 жыл бұрын
@@nadiakarata8984 una hoja gan kuwa masalafy Wana miradi Yao binafc
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 11 ай бұрын
Wote walipwa na saudia kufaraqisha waisilam
@arafatsaid920
@arafatsaid920 6 ай бұрын
Allah akusameh​@@user-kc4fv6cf8l
@user-dn3jh6oz8s
@user-dn3jh6oz8s 6 ай бұрын
Allah atukubainisheni uovu wenu nyote kitu kimoja maslahi tuu
@athumanisese5580
@athumanisese5580 2 жыл бұрын
Wew sheikh mafuta mnachofanya sio sahihi.
@allybungumo9092
@allybungumo9092 8 ай бұрын
Yeye shehe salim alichofanya ni sahihi?
@user-ec9md6cp4c
@user-ec9md6cp4c 9 ай бұрын
Assalam alaikum nawausia waislamu waache maneno makali dhidi ya masheikh zetu,awe anaradd au anaradiwa,hayo maneno yatakuja kuangamiza watu fii naari jahannam.bora mkae kimya t ikiwa hamjui hakki ni ipi
@dullahkidofaiter5465
@dullahkidofaiter5465 2 жыл бұрын
Mnasumbuka na mnafiqi huyu kasimu mafuta namchukia kwa ajiri ya allah bora allah amfushe analeta fitina kubwa ktk umma
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 2 жыл бұрын
Itakurud mwenyew endapo utakua umesema uongo
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 2 жыл бұрын
@@mussamsuya8595 iqr'aa
@swaleheally9814
@swaleheally9814 2 жыл бұрын
ALLAH AMUHIFADHI SHEKH ABUL FADHLI QAASIM MAFUTA QAASIM
@user-lb2lx5bq6e
@user-lb2lx5bq6e 2 жыл бұрын
Matatizo yao ni kuwa wanapenda kujikweza sana , kila m1 kati yao anajua kuliko mwngn , hawaishi kujibizana Haielekei kusema huu nduo mfumo alikuwa akiufata Mtume , maswahaba na watu wema waliopita .
@omarimamboleo6990
@omarimamboleo6990 2 жыл бұрын
masalafi kusemana miskitini ndiyo usalafi wenyewe au ndiyo sunna ya bwana mtume s a w
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Katika dhambi ambayo itakuganda mpaka mbele ya allah ni Kuugawa umma ambao mtume umma huu ameunganisha kwa tabu sana
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 2 жыл бұрын
Kalale
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 11 ай бұрын
Hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake . Si hivyo tu bali muwahabi imefika kiwango cha kujikufurisha nafsi yake
@jamalbahdela524
@jamalbahdela524 2 жыл бұрын
Mawahabi vp mshadhulumiana au?
@mohamedsalim972
@mohamedsalim972 2 жыл бұрын
Nyninyi mnao jifanya mashekhe kaziyenu kuupoteza umma shauriyenu
@MustafaSilima
@MustafaSilima Жыл бұрын
We hujui maana kufanikisha uma nyamaza uczidishe manano ambayo hayana maana
@uledihassan6065
@uledihassan6065 2 жыл бұрын
Huu ni ujinga mkubwa alionao mafuta Muda wote ni kutukana masheikh
@khamisjuma3657
@khamisjuma3657 2 жыл бұрын
kama kwenu bado nyumbani dawa inazidi kusonga mbele ALHAMDULILLAH, ALLAH atuthibitishe sisi na vizazi vyetu,QURAN na SUNNA kwa ufahamu wa wema waliotangulia,kwa hapa tulipofikia ALHAMDULILLAH ,tunamuomba ALLAH ailinde
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 11 ай бұрын
Hiyi ndio akbar bidaa kuambatanisha qurani na sunah kwa ufahamu wa salaf
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 11 ай бұрын
Hiyi ndio akbar bidaa kuambatanisha qurani na sunah kwa ufahamu wa salaf
@NamulyaWanamulya
@NamulyaWanamulya 5 ай бұрын
Umri wa shekh Salim ni kama mzazi wako ilikupasa uumpe heshima kama mzazi: una mema Gani ya kumlipa kwa machafu unayomsema Na kumzalilisha !!!!!
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 11 ай бұрын
Masalafi ni kama manyani kwenye shamba , wakipatana hula mazao na wakigombana hufuja mazao. Hawana faida kwenye hali yoyote
@allybungumo9092
@allybungumo9092 8 ай бұрын
Wamjua shkh barahiyan wewe shehe?
@Abutwaibah001
@Abutwaibah001 6 ай бұрын
HASAAD KITU KIBAYA SANA, NYOYO ZENU ZIME JAA HASAAD WALA HAMUNA USALAFY NDANI YAKE.
@bombo45
@bombo45 2 жыл бұрын
Mwendelezo pls
@athumanimcharo5904
@athumanimcharo5904 2 жыл бұрын
Watu WA madufu unarad mawahabi wenzako unawarad we wataka nn
@othumanmcharo9045
@othumanmcharo9045 Жыл бұрын
Kwani huko siyo kusengenya?
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Hiii yani wewe ndo peke yako mchamungu Wengine wote wamepoteaaa Kaz kusema watu tuuuuuuu
@nadiakarata8984
@nadiakarata8984 2 жыл бұрын
Ndivyo alivyo
@abuuqatada9791
@abuuqatada9791 2 жыл бұрын
Wote ao Ila wew umeamuwa kumzungumzia yeye tu lkn waangalie uyo barahiyani mwenyewe , Muhammad bachu ,Abuu iddi na wwngine halafuone Kam nao hawawasemi watu au nndo umechaguwa kumtaja yey tu sheikh Qassim
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 11 ай бұрын
​@@abuuqatada9791 Mawahabi tu ndio wenye tabia ya kupapura watu . Mzee idi yeye hurejesha hujma tu
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 11 ай бұрын
Hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake . Si hivyo tu bali muwahabi imefika kiwango cha kujikufurisha nafsi yake
@jamalbahdela524
@jamalbahdela524 2 жыл бұрын
Hela za Saudia gawaneni vizuri mawahabi, mtaja toana roho bureee
@nadiakarata8984
@nadiakarata8984 2 жыл бұрын
Sivyo unavyodhani shekh. Pesa ni za umini wao wala sio saudi. Mana huna ushahidi ni wivu tu
@abdulnaseerabdulhakeem9302
@abdulnaseerabdulhakeem9302 2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀
@imranijuma6955
@imranijuma6955 2 жыл бұрын
SHEKH KASIM NAKUKUBALI LKN UNAKOSEA BANA UNATAKA USIKILIZWE WW TUUUU NA WW UNAKOSEA KWANI VP
@abuuqatada9791
@abuuqatada9791 2 жыл бұрын
Kukosea Kam Kukosea Sheikh Qassim hatoacha kukosea maan kukosea ni moja Kati ya sifa za kibinaadam Ila kuhusu kutaka kusikilizwa basi alitakalo yey ndilo la sahihi maana anayoyasema yey kwa HAKIKA ni HAQQI na yey hutaka waislam wasisikilize yasiyikuwa ya HAQQ , lkn pia unawez unaweza kubainisha wapi Sheikh Qassim alipokosea ktka gurdumu la DAAWA ?
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 11 ай бұрын
​@@abuuqatada9791 Mafuta na mwalimu wake barahayanibwote ni wapotofu . Mungu awaepushe waisilam na upotofu wao
@nassorsalum9110
@nassorsalum9110 2 жыл бұрын
mwalimu lakn usisahau fadhila. maana ndie aliekulea huyoooo
@abulabbaas6689
@abulabbaas6689 2 жыл бұрын
Lete Ushahidi Wa Maneno Yako Wapi kalelewa Sheikh Kassim Mafuta Na Mudiyru *BARAHIYANI*
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 11 ай бұрын
​@@abulabbaas6689 Bali alikuwa ni mwanafunzi wa barahayani khasa . Hata mukikataa hicho kitu kinajulikana . Lakini Hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake . Si hivyo tu bali muwahabi imefika kiwango cha kujikufurisha nafsi yake
@khamisjuma8813
@khamisjuma8813 2 жыл бұрын
Na si misikiti hiyo tu, ila mpk Masjid Farouk wa huku Mkele Znz pia wameupora kwa sababu ulikuwa ni Msikiti wa Jumuiya Ya Uamsho Na Mihadhara, baada ya vurugu zile wakaupora msikiti ule. Waliobakia walikuja pale kuudai msikiti wao lkn wakadinda. Hii kama hujui wewe uliza.
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 4 ай бұрын
Hana jipya huyu kijukuu cha tamta jadidah,kpnd sheikh barahiyan anatetea Sunnah ww ulikua waimba qasida qasida
@saidmacheni-bp4cp
@saidmacheni-bp4cp Жыл бұрын
Inawezekana huyu Qasim anaitikadi na chembechembe za uyahudi.
@mohammedjuma5595
@mohammedjuma5595 2 жыл бұрын
Ww kassim mafuta huna usheikh bora daimond n harmonize n alikiba wana umuhimu kama wwe ngedere unae ukimbilia moto
@khamissaid9586
@khamissaid9586 2 жыл бұрын
Dah Allah akuongoze
@Ahmed-yp2si
@Ahmed-yp2si 2 жыл бұрын
KUWATUKANA WATU PASI NA HAKI NI KATIKA MADHAMBI MAKUMBWA,MTUME صلا الله عليه وسلم AMESEMA"KUMTUKANA MUISLAM NI DHAMBI NZITO NA KUMUUA NI UKAFIRI" kwa hivyo fanya Tawba ndugu yangu na unaposema sema na watu kwa kwa uzuri,الله Tuongoze njia iliyonyooka
@AliMohamed-gv7nw
@AliMohamed-gv7nw 2 жыл бұрын
Dah Allah akusameh naakuongoze maneno mabaya sana uliyo sema hatakama humkubali
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 2 жыл бұрын
Unaropoka ovyo kalale
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 11 ай бұрын
Hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake . Si hivyo tu bali muwahabi imefika kiwango cha kujikufurisha nafsi yake
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Tunapata faida gani kusikiliza upuuzi kama huu kutoka kwa mwehu kama huyu??uwahabi ni uvundo wa mwisho ktk dini wallaahi
@OmariirigoHoseniomari
@OmariirigoHoseniomari 2 ай бұрын
Hauna akili ndo mana hautoelew
@omarabdul4686
@omarabdul4686 2 жыл бұрын
Aloo weye kunkalia kusem wa2 tuu wasbiri wa2 waongee upat uwasem je wewe umekamilik sheikh Wang Kama mwenzio kakosea mfate sio uanike aibu zake
@abuuhazmimakamealy7208
@abuuhazmimakamealy7208 2 жыл бұрын
Vipi akh kwani huyo barahiyaani kawafuata aoanaowaita masalafiyah jadida?
@nureinimohamed449
@nureinimohamed449 9 ай бұрын
Wananchi mweni wangalifu mambo na matendo ya ugaidi. Huyu mtu anatowa mawaidha lazima aseme ubaya na maovu ya ugaidi
@allymahaba3425
@allymahaba3425 Жыл бұрын
Je ndio Uislam huo kusemana mitandaoni? Nyie mnalipwa mishahara kuutukanisha Uislam? Hili ni balaa kubwa. Sub-haanallah. Hivi mnadhani Waislam wanahitaji kusikiliza ujinga wenu huu?
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Umevamia apo mafuta uwo msikiti sio wako acha uwongo
@nadiakarata8984
@nadiakarata8984 2 жыл бұрын
Shekh wa halua huyo
@nureinimohamed449
@nureinimohamed449 9 ай бұрын
Kumjua yeye si umuhimu wanchi na manachi. Lazima yeye apambane na matendo ya ugaidi ndo atakuwa mtu wa kuaminika.
@saidifadhel9706
@saidifadhel9706 2 жыл бұрын
Utafikiri wamekutana watu wenye dini mbili tofauti, huyu muislam na mwengine myahudi. Eti ndio hawa walioambiwa kuwa waislamu ni ndugu, si juwi udugu wao hawa umeendea wapi. Tena wanadai kuwa ni masheikh hawa, eti ndio wana madaaris wanafundisha. Sasa huku sio kuufarakisha umma huku??? Kila mmoja akiwa hafikirii kwa anacho kifanya madhara yake ni makubwa sana. Mcheni Allah huko siko na masalafi hawakuwa hivyo.
@ahmedabry293
@ahmedabry293 Жыл бұрын
Wallah mpaka aibu yani masheikh kukaa kusemana yani cjui tumefika wapi huku.. Imekuwa ni mipasho tu dah
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 11 ай бұрын
Hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake . Si hivyo tu bali muwahabi imefika kiwango cha kujikufurisha nafsi yake
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 11 ай бұрын
فمن اوتي الحكمة فقد اوتي خيرا كثيرا Masalafi wanauaduwi na hekma na akili
@abulabbaas6689
@abulabbaas6689 9 ай бұрын
@saidifadhel9706 وَقَالَ مُحَمَّدٌ : سَمِعْتُ عَلِيَّ بْنَ شَقِيقٍ يَقُولُ : سَمِعْتُ عَبْدَ اللَّهِ بْنَ الْمُبَارَكِ يَقُولُ عَلَى رُءُوسِ النَّاسِ : دَعُوا حَدِيثَ عَمْرِو بْنِ ثَابِتٍ، فَإِنَّهُ كَانَ يَسُبُّ السَّلَفَ. Masalaf walikua hivo
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Fanyeni Daawa acheni ķuzitakasa nafsì zenu. Tuwaona vizuuùuuři.Sisi sio matutusa.
@Abutwaibah001
@Abutwaibah001 6 ай бұрын
SHEIKH SALIM TWAMJUA KWA KHERI WALA HUNA HAJA KUTUJULISHA NA UPOTEVU WENU HIZBU IBLIS KWA VAAZI LA USALAFY.
@MohamefMullah
@MohamefMullah Жыл бұрын
Hakuna salafi ni kujidanganya tu ni pote la mawahabi na uwahabi ni shida kazi yao ni kujikweza na kujifanya wao ni Watu wa peponi wenziwao ni wa motoni utafikiria hiyo pepo ni ya mjamba wao, mimi nahic Salum Baraiyan na Kassim mafuta wana mambo yao binafs kwani wote wanajifanya masalafi tena wanajitukuza sasa inakuaje kupigana vijembe
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 11 ай бұрын
Hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake . Si hivyo tu bali muwahabi imefika kiwango cha kujikufurisha nafsi yake
@allymahaba3425
@allymahaba3425 Жыл бұрын
Sikiliza da'waa salafia hiyo!!! Eti malumbano hayo wanayatangaza mitandaoni jamani!!! Hao wote ni Mawahhabi sio Waislam wengine!!! Yaani Kassim na Barahyani. Wanatukanana. Wote wako kwenye misheni za kugombania hela hapo. Yaani wamedhulumiana!!! Hapo tena hakuna dini ni kutukanana tuuu!!!
@othumanmcharo9045
@othumanmcharo9045 Жыл бұрын
Nyote mwagania ugali tuh hakuna anayejua kesho atakuwa wap
@omarimamboleo6990
@omarimamboleo6990 2 жыл бұрын
huku kutaja watu ndio usalafi poleni sani masalafi wakarne ya 15 hijiriyyah
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 2 жыл бұрын
Kalale
@musashelufumo3532
@musashelufumo3532 2 жыл бұрын
Nikheri kubainisha shekhe
@hamisiselemanishekhmtupawa3176
@hamisiselemanishekhmtupawa3176 2 жыл бұрын
Sisi tunomfwata mtume hattukani mtu mtajua wenyewe mnaojiona mkokwenye hak
@maulidilikata8005
@maulidilikata8005 2 жыл бұрын
Maashaallah shaykhu abulfadhli allah akupe mwisho mwema na awaongoze ktk haki wale wasiojua umuhimu wako ktk uislam tanzania amani hii tuliyonayo asbabu ni wewe na maduat wenzio wa kisalaf
@issasuleiman8309
@issasuleiman8309 2 жыл бұрын
Ninawasiwasi na elimu yako
@hashimsaid5546
@hashimsaid5546 2 жыл бұрын
Huyu sheikh sijui huwa ana matatizo gani barahiyani hajawahi kumtaja yeye kwa jina Ila yeye anamtaha kila wakati
@farhannurkey
@farhannurkey 2 жыл бұрын
wewe umemskiza huyo barahiyani au unaropokwa..wewe ndio una matatizo kaangalie video zake kenge wewe
@ahmedhusseinshnoor1210
@ahmedhusseinshnoor1210 2 жыл бұрын
Hashim said : Wewe Ni mrongo saana Ama Ni jaahil , hujuwi kitu afadali ufunge hiyo mdhomo . Barahiyani ashamtaja jina laake mara nyingi . Na pia nataka ujuwe Si lazima attajwe jina laake , cha muhimu ni kuilinda dini yetu dhidi ahlul bidah Na ahlul baatil .. huyu jamaa barahiyaan anachanganya watu wengi kwa hivyo ndugu yetu abu fadhl Ni waajib kumradh publicly..
@saidmacheni-bp4cp
@saidmacheni-bp4cp Жыл бұрын
Sheikh mwenye adabu za uislam na adabu za kijamii hawezi kutoa maneno hayo nilioyasikia either anachembechembe za uyahudi au elimu yake Haina ufahamu.
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 44 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 9 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 66 МЛН
RAADD KWA MUDILU WA ANSWAR SUNNAH SALIMU BARAHIYANI |Sheikh Qasim Mafuta
41:32
KWANINI ABU MUAWIYA SIO SALAFIY |RADDI KWA QASSIM MAFUTA | Muhammad Bachu.
1:04:43
KUSIMAMA MAAMUMA KABLA YA IQAMA KWA AJILI YA KUSWALI
6:28
MASJID AISHA MCHINA MWISHO
Рет қаралды 9 М.
SHEIKH BARAHIYANI ALIVYO VUNJA MIZIMU KIJIJINI KWA ABUU AYMAN ASHIRAZ.
7:25
ABDALLAH HUD - HUD (salafiy)
Рет қаралды 3 М.
Kuna IBADHI gani mwenye jina la Uthman Radhwiyallahu A'nhu?
5:00
RADDI KWA SALIM BARAHIYANI || SHEKH ABUL FADHL KASIM MAFUTA
17:39
Je! Sheikh Kishki ni Salafy? | Sheikh Salim Barahiyan
7:56
IHSAAN TV
Рет қаралды 31 М.
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32