NI NOMA DIAMOND PLATNUMZ AMPA ONYO KALI ZUCHU KWA KUTAKA KUMNYANGANYA GARI MENEJA WAKE DORICE MZIRAY

  Рет қаралды 2,064

wambui Media

wambui Media

8 ай бұрын

Пікірлер: 11
@linashayo2068
@linashayo2068 8 ай бұрын
Nakupenda bure wambui Yaani wewe ni breaknews namba moja bongo. Ukiacha mange kimambi wewe unaongoza. Niko nje ya nchi lakini nakutatilia sana. Yaani habari zako zina break internet, alafu huzisikii kwingine na ukizisikia zinakuwa zilipendwa, keep it up dear ❤
@wambuimedia
@wambuimedia 8 ай бұрын
Asante 🙏 nakupenda sana MPENZI Asante kwa endless support it means the world to me🥰
@channyanjen9047
@channyanjen9047 8 ай бұрын
Zuchu kula roho meno uwuwache uyo diamond,Allah atakupa riski yako nikwaju anaona unampenda sana njoomana anafanya anacho jisikiya kilasiku unazarauliwa nawatu kisa yeye kuwa na msimamo fanya kazi indeleya kujituma Mungu atakusimamiya yani naumiya utafikiri ni mimi
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 8 ай бұрын
Wambuyi for life 🫶🫶🫶🥰🥰🥰penda bureeee
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 8 ай бұрын
Kwani huyu zuchu lazima, daimond loooh!
@uwimana6533
@uwimana6533 7 ай бұрын
Alikua hajiamini kupata mwanaume kama daimond 😂😂😂😂
@khadijab7066
@khadijab7066 8 ай бұрын
Safi sana bwana simba,yeye kasema anampa sangara tope sasa bado mpaka aseme 😂😂😂😂
@marciabrown1172
@marciabrown1172 8 ай бұрын
Hayatuhusu na wewe maisha yako je ? Tumechoka na wivu wako chuki zako ka
@ashnaom2270
@ashnaom2270 8 ай бұрын
ZUCHU usi mwache Simba komaa nae , japo anakukomoa nawewe mkomoe usitoke kijinga mpaka aseme angalia shekel mdogo angu
@uwimana6533
@uwimana6533 7 ай бұрын
Atachoka mwanaume akiwa hana mapenzi ya kweli hata anganganie atachoka hata zari na Tanasha walitimka bila kufukuzwa 😂😂😂
@ashnaom2270
@ashnaom2270 7 ай бұрын
@@uwimana6533 akijua Yuko shamba lahela hatatoka kiboya akitoka hatalia njaa kizembe
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 38 МЛН
kilichomponza Mauzinde hichi hapa
2:02
MTORO MEDIA
Рет қаралды 14 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /23/ #love
28:53
BabaJoan
Рет қаралды 194 М.
СБЕЖАЛ ОТ РОДАКОВ ЧЕРЕЗ ПОТОП и ЭТО ЗАКОНЧИЛОСЬ ПЛОХО!! (SchoolBoy Runaway)
10:01
ShadowPriestok - Евгений Чернявский
Рет қаралды 512 М.