NI NYANYA YA TANZANITE F1 NA BWANA SHAMBA BARAKA JULIUS 0762796243 MPONELA SONGWE

  Рет қаралды 2,887

EPINAV

EPINAV

7 ай бұрын

Ni Bwana shamba Wako Baraka Julius (Agronomist) 0762796243 Mponela Songwe na TANZANITE F1 Shambani Kwa Mkulima Bw. Bahati Wilson.
Mbegu hii ya Tanzanite F1 Hapa shambani imevunwa mara mbili na inamwendelezo mzuri na wenye matumaini ya kuvunwa zaidi na zaidi.
Kwa Mkulima wa Songwe na Maeneo Jirani wasiliana na Bwana shamba Mr. Baraka Julius 0762796243 Ili uweze kujipatia mbegu hii ya Tanzanite F1 na Huduma nyingine kutoka Kampuni ya Epinav.
Wasiliana nasi Kwa simu namba 0747906694
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#nyanya #kilimobiashara #kilimo #agrigraphics #kilimochakisasa #agribusiness #tomato #habari #miche #wizarayakilimo #huseinbashe #ubunifu #vijana #News #wasafi #itv #tbc #cloudstv #dar24media #trending #kilimochanyanya #shambani #BBT #epinavSeeds #QualityCare

Пікірлер: 2
@pascalpaul4145
@pascalpaul4145 4 ай бұрын
Niko MWANZA naipataje
@praygod6838
@praygod6838 7 ай бұрын
Iko vizuri sana, bei ya mbegu ikoje kwa 10g?
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 69 МЛН
KILIMO CHA NYANYA KWA MTAJI KIDOGO - CHANGAMOTO, MAPATO NA MATUMIZI A-Z (PART 3)
22:56
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 1,4 М.
Tomato Tanzanite F1|The best in Tanzania
1:19
MedCom Investment
Рет қаралды 6 М.
MBOLEA MUHIMU YA TATU KWA NYANYA
18:22
MINJA KILIMO
Рет қаралды 1,7 М.
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
DAWA YA MNYAUKO KWA NYANYA
21:22
MINJA KILIMO
Рет қаралды 3,5 М.