NIFFER AMUOMBA MSAMAHA VUNJABEI, PENZI LAKE NA PATRICK KANUMBA MAMBO NI 'HUYU HAPA HUYU.....'

  Рет қаралды 166,808

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

NIFFER AMUOMBA MSAMAHA VUNJABEI, PENZI LAKE NA PATRICK KANUMBA MAMBO NI 'HUYU HAPA HUYU.....'
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 240
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 Жыл бұрын
Hata akisemwa nakapenda tu. dada Niffer hongera yu found true love uko happy and proud of your Man
@hamisahodari9229
@hamisahodari9229 Жыл бұрын
Bila gigy wala uyu dem nilikuag cmjui jmn....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@neemapatrick1610
@neemapatrick1610 Жыл бұрын
kam mm ty
@sichanaali7284
@sichanaali7284 Жыл бұрын
Weeeeeeh! nampenda huyu dada ❤❤❤yuko vizuri anajilewa nampendaaaaaah😍😍😍
@Chatt-town
@Chatt-town 7 ай бұрын
Perfection ❤❤❤
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Watu wanawivu sana jamani unamchukia hata usiemjua niugonjwa wa akiri kumchukia usiemjua. Nifff ochu wako na unampenda sana mfike mbali ❤️
@fauziakitenge8061
@fauziakitenge8061 Жыл бұрын
Mmmh niffer anajimaliza kwa huyo ochu
@jacintabati6238
@jacintabati6238 Жыл бұрын
Dada maringo huyu kwa kweli
@hawamfaume3171
@hawamfaume3171 Жыл бұрын
Niffer n mzur kuongea anaweza yupo charming sema anauhaya mwingi
@lindaemmanuel4446
@lindaemmanuel4446 Жыл бұрын
muache jmn muhaya mwenzangu
@yasinthaprosper4226
@yasinthaprosper4226 8 ай бұрын
Hahaha NAMI Muhaya otyooooo hahahaha
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 Жыл бұрын
Aaaa naona wengi wanaomsema bi dada wamepigwa hatua balaaa Yani MTU ukifanikiwa ukizingatia umri mdogo 🤣😂😂😂😂😂aloo niffer achana nao piga KAZ mwenyez mungu yu pamoja na wewe♥️💞♥️❤️❤️💖💖
@azinarashidi5204
@azinarashidi5204 Жыл бұрын
Huyu bado mdogo🥰🥰love you Niffer M napenda unavyompenda Mungu🥰🥰
@nadanasser1020
@nadanasser1020 Жыл бұрын
❤️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 nakupenda saaana dada
@meryamreally2768
@meryamreally2768 Жыл бұрын
Ok sawa ❤️
@mrnobody-qg6ed
@mrnobody-qg6ed Жыл бұрын
We muhaya malaya sana wew I know u since kitambooo
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
Nakupnda wedada❤❤❤
@loveneypoul9285
@loveneypoul9285 Жыл бұрын
Nakupenda niffer🤩
@joysarah
@joysarah Жыл бұрын
Eti ana miaka 23😄😄🙌
@willygraphics360
@willygraphics360 Жыл бұрын
Kwani ni uongo?
@sadasaid4408
@sadasaid4408 Жыл бұрын
Mashallah nifa uko vzr kuongea
@imranihussen5764
@imranihussen5764 Жыл бұрын
Niffet nakupenda san❤
@issahpaul4510
@issahpaul4510 Жыл бұрын
Huyu demu kalewa na umarufu
@MahelaMnazaleti-vg6mo
@MahelaMnazaleti-vg6mo Жыл бұрын
Mtazamo wako tu
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Жыл бұрын
Bila gigy nilikua sikujui hakii vile🤣🤣🤣
@kingcopper_tz
@kingcopper_tz Жыл бұрын
Niffer: mimi sina boyfriend nina mwanaume Niffer baada ya dakika tano: boyfriend wangu mnyamwezi sanaaa
@justinemasweta2877
@justinemasweta2877 Жыл бұрын
aise watu mko makini
@ismailferouz8688
@ismailferouz8688 Жыл бұрын
Hhhhh mdomo koma hapo umensaidia ndg
@rehemalukali8326
@rehemalukali8326 Жыл бұрын
Unaangaika tu fredy wala hana muda na wewe na ndoman hakujibu coz kakuzarau
@vickydan2869
@vickydan2869 Жыл бұрын
Saaaaana
@rehemalukali8326
@rehemalukali8326 Жыл бұрын
Kila interview lazima ajiongeleshe kuhus Fred mwenzie yupo kimya
@charlessalimu5875
@charlessalimu5875 Жыл бұрын
Mara boyfriend mara mwanaume wangu, ni hatari na mademu wa Tanzania
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 Жыл бұрын
Bichwaa ndio romantic name🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Жыл бұрын
Hata asemwe vibaya me Niffer nampenda sana, hata Mimi pia napitia unayopitia mpenzi, napigwa vita kisa upambanaji wangu, usiogope Mungu yupo na wanaotuwazia mabaya ukiangalia tumewazid Kwa Kila kitu, ko wache wabwatuke ila Mungu yupo nasi💪
@beatricekamenge7000
@beatricekamenge7000 Жыл бұрын
Siku zote ipo hivyo MPAMBANAJI lazima wakuongelee
@gabrielishmael5956
@gabrielishmael5956 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@annafrancis7313
@annafrancis7313 Жыл бұрын
Na ukijipost wanasema unajidai unawaringishia😂😂😂😂
@albassammusaalbassam7487
@albassammusaalbassam7487 Жыл бұрын
Upambani Katika kudanga ama?
@preciouspeter2897
@preciouspeter2897 Жыл бұрын
Mmmh
@hassansammy1076
@hassansammy1076 Жыл бұрын
Niatari kweli
@tausihasheem5169
@tausihasheem5169 Жыл бұрын
Nimependa ulivyosema kitu cha kwanza n kumuamin Mungu🙏
@furahayahaya8472
@furahayahaya8472 Жыл бұрын
yan nakupenda mno sanaa beby niffa
@hamzamoshi8275
@hamzamoshi8275 Жыл бұрын
Niffer mzuri uyu dada uuuuuuwiiiiii💜💜💜💜💜💜💜💜🙆🏻‍♂️✔✔✔
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
wa kawaida sana mbona..uso mzitp
@wisperfect5320
@wisperfect5320 Жыл бұрын
Macho yako mabovu tu😀
@chuchudorice8531
@chuchudorice8531 Жыл бұрын
Kwany kuwa kuwa na ex nikuwa ulikuwa umeolewa mxieeew huyu anajiona Nani kulikuwa wengi wanoma hata kina wema ila Leo wametulia punguza misifa
@noelalubulilla6362
@noelalubulilla6362 Жыл бұрын
Hahahahaha sema niffer unampenda ochu ..ata ukimuongelea tu inaonyesha
@daglaskiberenge106
@daglaskiberenge106 Жыл бұрын
unachanga'nya habari mwadada kama ulitoa kimpango wako mlielewana ss sio watoto wadogo ulikolea kisa mkwanja, habari tunayo!
@allanikaal6379
@allanikaal6379 Жыл бұрын
I don't know why people catching feeling with this girl first of all ni mdogo inafaa mjue lazim atakuwa na immature nyingii kwa umri wake mambo ya kujickia n kitu cha kawaida ngojeni afike miaka 25 kwenda juu ndo muanze kumwambia aache maringo
@halimakanik8789
@halimakanik8789 Жыл бұрын
Amefika25 vzur tuu
@yasinthaprosper4226
@yasinthaprosper4226 8 ай бұрын
Umeona kaka ndy Ile barehe bado anayo utoto Yani. Akifka25 hatokuwa hvo Kwanza akili itachange.maringo yatapungua NAMI nilikuwa hvo si Mimi Tu Kila kijana
@faridaabdallah7424
@faridaabdallah7424 Жыл бұрын
Kwan mkisemaga mna date ndo kitatokea nini
@chidybwax8080
@chidybwax8080 Жыл бұрын
Tutafut hela jaman salooon hoyeeee
@wisperfect5320
@wisperfect5320 Жыл бұрын
Eti ongea kiswahili bhn😁
@abedomar5183
@abedomar5183 Жыл бұрын
Mademu wa bongo njaa Sana yani
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
Umaarufu unamlevya na hilo Duka
@jacklinechuga2569
@jacklinechuga2569 Жыл бұрын
Jomoniii nimekupenda bure niffer
@ashanguya843
@ashanguya843 Жыл бұрын
Wewe aueleweki mara wasema ausuki ayo manywele ulio nayo au auswali tena we mnafiki aueleweki
@mimikimanga3126
@mimikimanga3126 Жыл бұрын
Acha makasiriko weweeee
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
@@mimikimanga3126 kwakweli, anataka aeleweke ili iwaje sasa,..
@selemanimchana3598
@selemanimchana3598 Жыл бұрын
Huyu demi mshamba kweli, kweli mjuaji saaana! Mademu kama nyinyi ndio vile
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 Жыл бұрын
Ahahahahaaaa Ahahahahaaaa jmn mimi ni muhaya lakini sijafikia ayo majigambo aya
@rosenaafya9356
@rosenaafya9356 Жыл бұрын
Nmependa mwishoni Saloon gani Et needvaa aaaha Sijui😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mussafoum6562
@mussafoum6562 Жыл бұрын
Nice one
@deus8629
@deus8629 Жыл бұрын
Ipo siku huyo mwanaume unae msifia tutasikia story nyingine... tunza hii comment pls
@Gody360
@Gody360 Жыл бұрын
MaKn
@thekennedy2002
@thekennedy2002 Жыл бұрын
Mchaga ww ni mnyamwezi nmekubali unajua interview
@canisiusjohnkayombo4996
@canisiusjohnkayombo4996 2 ай бұрын
Mapenz konyo kweliiii kwaiyo kashaachana na patrick,sahivi niffer kafunga ndoa na mwingine,kwel kila mtu nawakati wake
@hashimlowela294
@hashimlowela294 Жыл бұрын
Ila niffa anacheka vizuri kinoma af napenda mdada mwenye kaaibu flani iv kama uyo duh dogo Suma anafaid
@swaumironlady3645
@swaumironlady3645 Жыл бұрын
Mnaanzaga sio yy mwsho wa siku mambo hadharan
@masika.zubeda.430
@masika.zubeda.430 Жыл бұрын
She is 23 daah kumbaaa nikoo 12😂🤣🤣🤣
@noraazan9124
@noraazan9124 Жыл бұрын
Wivu wa watu tu.Songa mbele
@vestinambunda8837
@vestinambunda8837 Жыл бұрын
Tutunze interview🤣 Maan Nana dolly ni pisiii kweliii na akabagwaa🤣🤣🤣 Itakuwa ww sura nzitoo ivoooo punguzaaa mihemkoooo dada weka na akibaaa ya maneno
@zailethomary4093
@zailethomary4093 Жыл бұрын
Sem wat mna wiv
@dayanandama8873
@dayanandama8873 Жыл бұрын
Nana hajawahi kudate na ochu ww....ni washkaji tuuh maana wanaigiza series moja ya pazia
@vestinambunda8837
@vestinambunda8837 Жыл бұрын
@@dayanandama8873 Kaa hapo hapo🤣
@everlyne8595
@everlyne8595 Жыл бұрын
Uyo wanadatevzr sana
@abasisudi1809
@abasisudi1809 Жыл бұрын
Gud girl but mtii mungu wanadam Wana mengi
@najuf8021
@najuf8021 Жыл бұрын
Mimi nikajua anaakili
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
Me napita tu maana comment za waja sina la kusema
@sophiangaoga7451
@sophiangaoga7451 Жыл бұрын
Ila tukitaka ubuyu Zaid tumuone dada mange kimambi kuhusu huyu bibie .
@saimarmuhsin9578
@saimarmuhsin9578 Жыл бұрын
Mfyuuu ujinga tu mwanume si akuoe mnafanya uzinifu kisha manaongea kwa proud kabisa khaa uchafu tu
@eliasenyaleonard178
@eliasenyaleonard178 Жыл бұрын
Et ongea kiswahili
@dianadenice3610
@dianadenice3610 Жыл бұрын
Hujui ata kudanganya mjinga wrw😅😅
@mayamu2150
@mayamu2150 Жыл бұрын
Miaka 23 ya mbwa
@munnahbakari725
@munnahbakari725 Жыл бұрын
Kumbe Kfc wanauza na pizza siku hizi na watu hata hamsemi jamani..
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
😂😂😂
@nin6324
@nin6324 Жыл бұрын
KFC Mikocheni Kuna Pizza Hut
@diywithhassy3773
@diywithhassy3773 Жыл бұрын
@@nin6324 uwongo uwoo pizza hut iko kivyake kfc kinyake loh
@tausihasheem5169
@tausihasheem5169 Жыл бұрын
🤣🤣kaupiga mwingi
@tonestisakwe368
@tonestisakwe368 Жыл бұрын
😅😅
@halimambarouk4612
@halimambarouk4612 Жыл бұрын
Unamuamini mungu kweli dada angu lkn ujistiri
@divinebernard1047
@divinebernard1047 Жыл бұрын
Kwanza apo kwa urembo atukome!!uyu dada mbaya ilaanajiona sijuwi Rihanna 🤔🤔
@mwajabukaseke8710
@mwajabukaseke8710 Жыл бұрын
Ochu hajafkish 25
@hashimlowela294
@hashimlowela294 Жыл бұрын
😄😄😄
@suzanmeela5542
@suzanmeela5542 Жыл бұрын
Yan kajing'ata akubali tuu ochu ni mwanaume wake ndo ndo hyo boyfriend wake
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 Жыл бұрын
Binti huyu ni anajitambuwa ni bichwa kweli❤️
@zulehhasani6690
@zulehhasani6690 Жыл бұрын
Et ongea kiswahili bwana 😂
@reneeisaya733
@reneeisaya733 Жыл бұрын
Demu muongo huyu,kfc piza ya matako😂
@theopistachialo6750
@theopistachialo6750 Жыл бұрын
😅😅😅😅😂😂😂
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@stewardmbena3737
@stewardmbena3737 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Sasa uongo wake nini? KFC 🍗 kula 🍕 umeona ni kitu kikubwa
@reneeisaya733
@reneeisaya733 Жыл бұрын
@@NR-ll4sr 🤣🤣🤣kfc tangu lini kuna piza
@bossjooh
@bossjooh Жыл бұрын
Daaaah Mdada Mzuri Uyu ila amfikiii Wanguu🙅☕️🙅☕️
@fakiikibakola1300
@fakiikibakola1300 Жыл бұрын
GIGI ashukuliwe mmi nilikua simjui hyu
@rehemalukali8326
@rehemalukali8326 Жыл бұрын
Huy ndo amshukuru gig coz kajulikana 😂😂😂😂
@givenlugenge2212
@givenlugenge2212 Жыл бұрын
Wewe kama mim😅
@sameeraaljabry8703
@sameeraaljabry8703 Жыл бұрын
kfc mkala pizza😂😂😂
@user-ce2uj8oi4h
@user-ce2uj8oi4h 8 ай бұрын
😅😅ety bichwa nimefrah
@lusekelodaison8159
@lusekelodaison8159 Жыл бұрын
Mara ana mwanaume tena anageuka ana boyfriend au mm ndiye sijamuelewaaa
@kingnicky2568
@kingnicky2568 Жыл бұрын
Eti ukamweka ndan haya bwana ipo sku mtu atajichangnya ...ntanunua hio kesi hta amini
@YasiniHasani-og4hc
@YasiniHasani-og4hc Жыл бұрын
Kwa uzur gani
@stamalamkulungwa8708
@stamalamkulungwa8708 Жыл бұрын
Dada wawatu anapambana mwacheni jamani
@valeriaally6584
@valeriaally6584 Жыл бұрын
huyo Ochu ndio kwanza anakua,bado ujana hajaumaliza,usijimalize dada ukadharau ulikotoka
@samwelipaschal6412
@samwelipaschal6412 Жыл бұрын
Aka kadada Kazuri wivu tuache jaman sema ndo ivo wengine atunaga neema mm huyu akiwa rafik tu nalizika
@madamoppa-cg9hd
@madamoppa-cg9hd Жыл бұрын
Hakana uzuri...wowote usimpe sifa zisizo zake
@zailethomary4093
@zailethomary4093 Жыл бұрын
Kazur afu mpambanaj
@carlitomsolla7287
@carlitomsolla7287 Жыл бұрын
Kwann kawa maarufu uyyu bongo bwana sasa anatak kusemaje
@Officialmrisho
@Officialmrisho Жыл бұрын
Haaaa
@rehemalukali8326
@rehemalukali8326 Жыл бұрын
Huy ndo inaonekana anampenda san mwanaume ila ataachwa muacho mmoja matata
@khadijandege2036
@khadijandege2036 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅jamani
@vickydan2869
@vickydan2869 Жыл бұрын
Hahaha muacho
@rehemalukali8326
@rehemalukali8326 Жыл бұрын
@@vickydan2869 😂😂😂
@donkaloza6985
@donkaloza6985 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@shadrackkassale2968
@shadrackkassale2968 Жыл бұрын
Bichwa🤣🤣🤣 nakupenda sana vile unajikubali
@jazeerajuma5014
@jazeerajuma5014 Жыл бұрын
Mmmmh majirani hawezi kuongea uongo
@tabomusic3625
@tabomusic3625 Жыл бұрын
Babu hakuna kitu kitafanya amani iwepo kwenye mapenzi zaidi ya kipara yaani kipara kinaanza vingine baadae
@tinalikasi7585
@tinalikasi7585 Жыл бұрын
We kila mtu rafiki yako
@fatimarita6490
@fatimarita6490 Жыл бұрын
KFC za tz wanauza 🍕 pizza
@francisjuly5761
@francisjuly5761 11 ай бұрын
Wacuba tushaelewaa😂
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Kwenda uko unamajigambo sana wewe punguza majivuno
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 Жыл бұрын
Anaonyesha sana kibuli huyu majivuno yamemjaa bila kupepesa macho ila mbele ya Camera anajisafisha
@nawechi4818
@nawechi4818 Жыл бұрын
Ujuaji wa kihaya🤣
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 Жыл бұрын
@@nawechi4818 Aaaah huyu muhaya kumbe au?
@nawechi4818
@nawechi4818 Жыл бұрын
@@kennyrogers4734 ndioo🤣🤣
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 Жыл бұрын
@@nawechi4818 Ndiomana kumbe bc ndiomana majirani zake wanamuonyesha sababu kuna mambo anayowaonyesha hawapendezewi nayo kbs
@mizesuleiman1834
@mizesuleiman1834 Жыл бұрын
Sawa ulikua ushuke uongee nao uombe radhi
@sonialapatrona511
@sonialapatrona511 Жыл бұрын
Uyu mdada ananyodo saaana
@sundaykomba1327
@sundaykomba1327 Жыл бұрын
Tutafuten pesa vijana
@SekelaJakson-ls7dd
@SekelaJakson-ls7dd 8 ай бұрын
Mmh zambi Yule kinyoz amekataliwa 😂😂kisa Hana salali😢
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 Жыл бұрын
Et mnyamwezi kichizi boya kweli wewe
@amenyemwansile6919
@amenyemwansile6919 Жыл бұрын
Mshamba wee muombe msamaha gigy money kwa kumtukana bila sababu za msingi wewe umemwonea gigy wewe ningekuwa mimi ningekunyooosha
@vickydan2869
@vickydan2869 Жыл бұрын
Unampenda sana patrick cjajua nayy anakupenda hvhv alaf unapenda ukiulizwa kama unadate nae ila patrick cdhan kama anaweza kukuoa kwa ulivo ww ni muongeaji sana na sifa juu sory lkn
@paskalinapa6177
@paskalinapa6177 Жыл бұрын
Yap ata mm siko sure kama anaeza olewa na Patrick Kanumba
@sheilahhamid8510
@sheilahhamid8510 Жыл бұрын
KFC Kuna pizza??
@neylaboniphace2431
@neylaboniphace2431 Жыл бұрын
Dharau za kihaya🤣
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 7 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 54 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 58 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 77 МЛН
Cook with Wema Sepetu - S07E03 Niffer
8:04
Wema Sepetu
Рет қаралды 74 М.
NILILALA NA FRED VUNJABEI / SIONGEI NA GIGY /MONI ALINITESA
20:04
Wasafi Media
Рет қаралды 112 М.
育児6年目の韓国人父が娘と遊ぶ方法4 #shorts
0:11
ミョリムMyorimu
Рет қаралды 36 МЛН
БУДЕТ ЗНАТЬ КАК ОБИЖАТЬ БАБУШКУ
0:18
МАКАРОН
Рет қаралды 2 МЛН