NIKKI MBISHI: B DOZEN NA ADAM MCHOMVU, NYIE SIO WALEMAVU/ MSILETE HURUMA

  Рет қаралды 230,618

Wasafi Media

Wasafi Media

5 жыл бұрын

#TheBarTender ... Episode Number 11 🍹🍸 .
.
Leo Kwenye TV Atakuwepo Baba Malcom, Zohan #NikkiMbishi Kwenye Counter ya #TheBarTender 🍹 na Kupiga Mastory na #BabaAko #Jonijooo .
.
Big Shout Out To ..... @rhapsodys.dar 🏙

Пікірлер: 1 000
@JulianDamas
@JulianDamas 5 жыл бұрын
Hii interview imenifumbua sana kuhusu wasanii. Nimejua why nikki mbishi sio msanii anayepewa promo sana. Its because HE KNOWS MUCH kushinda wanaotaka kumtumia. NIKKI YOU ARE A GENIUS BRO
@tamimukombo3097
@tamimukombo3097 5 жыл бұрын
Huwa naamini mimi nina IQ kubwa sababu nliweza kujisemea moyoni tangu siku ya kwanza nimemskia nyimbo ya nikki mbishi kwamara ya kwanza nikiwa kidato chapili 2011 pasina promo wala shinikizo lolote kuwa huyu jamaa ni msanii wakipekee mkali zaidi kuwahi kurap Africa nanilitokea kupendezwa hadi leo kwa namna jamaa anaghani na lifestyle I'm proud to be nikki mbishi fun
@bartonussiri6781
@bartonussiri6781 5 жыл бұрын
Mwamba Jonijooo tokea nianze kuangalia interviews zako zote za TheBarTender sijaona Mtu genious kama Nikki Mbishi I appreciate That
@victorodera2756
@victorodera2756 5 жыл бұрын
Mad love from Kenya, nikki is a bright dude....never missed any of your show...i had to write a comment coz of the high IQ that nikki have.
@fadhiliibrahim9702
@fadhiliibrahim9702 5 жыл бұрын
You're very right
@Kobe_254
@Kobe_254 5 жыл бұрын
He should move to Kenya, right? LoL
@sashayusufu6045
@sashayusufu6045 4 жыл бұрын
Mpe zawad brother
@BrooDiara
@BrooDiara Жыл бұрын
​@K Kobe 😅jjh😅k9okh😅kk😅😅kjjkjjkjhjhhko😅ko😅jkhk😅kkjjj😅kkjhjil😅j
@nyotamy3678
@nyotamy3678 5 жыл бұрын
Nikki Mbishi is the genious infact. I love this Guy.
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 5 жыл бұрын
lakn ulutegema nin kwa mtu aliesoma computer engineering hio course bila division 1 husomi. so offcourse he is bright
@danielmadenyeka4248
@danielmadenyeka4248 5 жыл бұрын
Huko na nako utabamba tu Jonijoo. Salute sn kijana
@dambwelahiphop
@dambwelahiphop 4 жыл бұрын
You have too
@edwardmbele6752
@edwardmbele6752 5 жыл бұрын
Jonijoo leo kakutana na teke za mbavu 😂😂😂 Nick sio mtu mzuri 😄😄
@aggreymgallah6250
@aggreymgallah6250 5 жыл бұрын
dr unju bin unuk baba Malcolm comrade kipepe you are doing well bro
@barakachawe6241
@barakachawe6241 5 жыл бұрын
Amezoea kukutana na wabana pua ambao hawajasoma leo kakutana na msomi + genius Mr Unju 📚
@nasibushekulamba4257
@nasibushekulamba4257 5 жыл бұрын
Mojaa ya interview kalii za bartender🙌🏿🙌🏿
@mecksedeckkauzeni5703
@mecksedeckkauzeni5703 5 жыл бұрын
interview kama hizi naonaga ulaya
@azizijuma9959
@azizijuma9959 5 жыл бұрын
Nikki the most genius mc ever seen in Tanzania
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 5 жыл бұрын
Azizi Juma kabisa
@kimani754
@kimani754 5 жыл бұрын
NGWAIR i do approve Nikki too
@lawrancejosephat7387
@lawrancejosephat7387 5 жыл бұрын
Kazi nzuri sna kaka #JONIJOO creativity ya hali ya juu mtu hachoki kutazama INTERVIEWS zako hku akirudi rudia wala hazichoshi big uppp bruv 🙏💯💯
@mrmangetown4323
@mrmangetown4323 5 жыл бұрын
Leo babakoo umeingia geto la mhuni jasho limekutoka 😀😀😀
@tumainifuraha199
@tumainifuraha199 5 жыл бұрын
Haaaaaaa huyo ndo the said of Dr UNJU,the Genious,Terabites majina kibaaao! baba akoooo leo umepatikana mzee!!
@mbawilehasheem7438
@mbawilehasheem7438 5 жыл бұрын
Baba ako niki mbish umtisha mkali i didn't expect you could be dat genius 4 real dont judge a book by its cover ✊
@wa2kusitz650
@wa2kusitz650 5 жыл бұрын
Jonijoo kama sisi ndio mabosi zako na unakubali hili,tunaomba NIKI MBISHI ALUDI TENA APO,,,,BABAAKO
@mvungigaming
@mvungigaming 5 жыл бұрын
Naunga mkono hoja...
@mvungigaming
@mvungigaming 5 жыл бұрын
Naunga mkono hoja...
@modricabdis2796
@modricabdis2796 5 жыл бұрын
Sure
@pantaleodamas6879
@pantaleodamas6879 5 жыл бұрын
😄😄😄
@rohityalsina5972
@rohityalsina5972 5 жыл бұрын
Naunga oga mkoro uga ega oga hoja mkono
@collinsnjuguna3119
@collinsnjuguna3119 5 жыл бұрын
nikki mbishi duuuh!!! i say ya leo nimeipenda.....yani uyu jamaa ni msomi ivi na hata haringi walai...heshima yangu imepanda zaidi mkubwa wangu....toka .pande za thika road kenya.
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 5 жыл бұрын
Don't JUDGE a book by the COVER ,take your time to read what is inside. Nikki Mbishi umetisha. Big up Bro.
@emmanuellaizer4548
@emmanuellaizer4548 5 жыл бұрын
hahahaha ya leo imekuwa kicheko kwangu Mr. Mbishi anajibu kama vile hajui kumbe ndiyo kasema jibu! embu tusiwe Mwijaku jamani;;;;~
@khalidwaziri5403
@khalidwaziri5403 5 жыл бұрын
Haha this men is smart
@ramsokhamis9262
@ramsokhamis9262 5 жыл бұрын
Yaaaan sio poaa jamaaa yukoo timamuu saanaa kichwaniii.... 🤔🤔💪
@ellybissack8284
@ellybissack8284 4 жыл бұрын
wameenda kupiga magot kwa dozen n Adam mchomvu wana lia lia kuzimia studio waonewe huruma hii game sio ya huruma watu wanafany kz
@hkmeme5437
@hkmeme5437 4 жыл бұрын
@@ellybissack8284 nimerepeat Mara nyingi, yani nineipenda
@sezaboy2940
@sezaboy2940 5 жыл бұрын
This guy is speaking his mind, that is a mere truth. I hate this behaviour of our artistes bowing down to radio presenters.
@khalifkarama
@khalifkarama 5 жыл бұрын
The guy is talented and smart.. Nikki mbishi 👍
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 5 жыл бұрын
I see genius nick 😂😂😂 jonijo huyo cyo lelemama wanamjuwa IYUNGA MUST
@mussa5461
@mussa5461 5 жыл бұрын
Amesoma pale must Mbeya kumbe
@shaphyvuai6805
@shaphyvuai6805 4 жыл бұрын
Mbeya computer science
@jumalove2631
@jumalove2631 5 жыл бұрын
Leo umekutana na msomi duuu jamaa katisha saana kama umekubali Leo jojo kachemka gonga like
@chikanunoizmekah8540
@chikanunoizmekah8540 5 жыл бұрын
Mjuba
@ramsokhamis9262
@ramsokhamis9262 5 жыл бұрын
Yaaaan baalaa watu Kama awoo tunawaita The brighter thinker..
@kyataonline5262
@kyataonline5262 4 жыл бұрын
NIKKI MBISHI !!
@haroonmdou2954
@haroonmdou2954 5 жыл бұрын
daaah huyu jamaaa bhn n kweli mbishi kila swali yeye kameza tuu #jonijoo baba ako umechemka ww leo wahuni siyo watu wazuri💪💪
@adamlyanda9450
@adamlyanda9450 5 жыл бұрын
Hip pop is consciousness jonijoo... Niki much respect bro...sema nini iyo photosynthesis.. Kama umeteleza ..ni kitendo cha mmea kujitengenezea chakula.Sema umetisha mzazi still material yana flow
@officer1208
@officer1208 5 жыл бұрын
Wangapi ndo tunaangalia leo hii Interview ya Nikki mbishi,Tujuane. UNJU NI genius.
@babubomba8563
@babubomba8563 5 жыл бұрын
Mwisho wasiku kuwe na na tunzo za bartender itakua nzur babaaaaako
@fibonaccimwadime9479
@fibonaccimwadime9479 5 жыл бұрын
Kazi nzuri bro #wahuni sio watu wazuri kutoka +254 namkubali jonijooooo.....babaAkooo
@leeskillz3734
@leeskillz3734 5 жыл бұрын
Sio #babaako ni slogan ya #MotraTheFuture
@fibonaccimwadime9479
@fibonaccimwadime9479 5 жыл бұрын
@@leeskillz3734 haina vanga that guy is super genius amepita maswali yote ya jonijoo isipokuwa yale extra moja kamlemea bt tried his best ,i have not seen a guy with confidence like this #Nikki mbishi big ups
@leeskillz3734
@leeskillz3734 5 жыл бұрын
@@fibonaccimwadime9479 huyo ni #babamalcom ni shida hakoseag we tafuta interview zake ila usisahau ile ya #jonijo akiwa na #nikkimbishi kweny #timesfm
@allysudi4429
@allysudi4429 5 жыл бұрын
Haahahhaahh baba malcom umetisha mzee baba wauni hatukosag mswal since we at skull and MC should knw more as u did...congratulation bro
@hawadutch6478
@hawadutch6478 5 жыл бұрын
Nikki mbishi arudishwe tena. He's genius 🙆
@Norbert_Assenga
@Norbert_Assenga 5 жыл бұрын
Doooh this is the best interview i have seen this year✌🔥🔥 mad respect Unju
@khalifamkali4286
@khalifamkali4286 5 жыл бұрын
UNJU UMEUA HII INTERVIEW YA GENIUS MOTHER FANTA.... LONG LIFE KAKA
@ashanalinga8719
@ashanalinga8719 5 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁Leo ndo leo Jonijooo umekula za uso daah sikutegemea kama Niki mbishi Yuko vizuri kiasi iko Nilikuwa namchukulia Poa ila Leo amenikomesha mpaka Mimi duuh wahuni kweli siyo watu😁😁😁😁😁Jonijoo baba ako
@shallyakida819
@shallyakida819 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@salimsalem5991
@salimsalem5991 5 жыл бұрын
cjawah coment toka kipind hiki kimeanzaa ILAAA N mbishi ni Genious maswal nimependa ulivojibu kazi nzur broo
@shabannyangido3305
@shabannyangido3305 4 жыл бұрын
Naku
@khalidhamis5811
@khalidhamis5811 5 жыл бұрын
Nikki unaakili nyingi San acha wakuite mbishi nimekuelewa San ankoli big-up
@sabamillion2076
@sabamillion2076 5 жыл бұрын
A pure meaning of GENIOUS..#UNJU
@maryamammar1488
@maryamammar1488 5 жыл бұрын
Nimefurahi sana Leo nikki Ana akili sana masha Allah 💖
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 5 жыл бұрын
Lazima ukifua umwage povu 😂😂😂🔥🔥😂💯💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👊daaa! Unju wee ni hatari
@ibrahimzubery9994
@ibrahimzubery9994 4 жыл бұрын
Joninjooo babako mtubaya hapo muhuni simtu babako nikibishi noma Leo umekula uchochoro mkali
@norahprotas1769
@norahprotas1769 5 жыл бұрын
Iyo ndo faida ya kwenda shule!!! jonijo fanyeni mpango wa kutowa tuzo za hapo kwenye maswali aiseee my bro Nik leo kipindi chako kakipeleka kisomi snaaaaaaa!!!!
@nowtv300
@nowtv300 5 жыл бұрын
we need this kind of rappers.not only gifted but rapper should also be elite n literate cyo unaimba imba utumbo afu kichwa kibovu. A supa bigup bro UNJU UNJU
@Cyper255
@Cyper255 5 жыл бұрын
Ngoja aje Nikki wa Pili na PHD yake tuone kama yupo vizuri kichwani au ni elimu ya kukariri.
@azizymasawe2090
@azizymasawe2090 5 жыл бұрын
Ukonga stand up
@shaphyvuai6805
@shaphyvuai6805 5 жыл бұрын
Definition of genius.... Dr Unju... namkubali sanaaaaa
@christinalrene1132
@christinalrene1132 5 жыл бұрын
Babaako wahuni Sio watu umechezea za uso leo😂😂😂#NIKKI MBISHI🙌🙌🙌
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 4 ай бұрын
nouma mzee
@luomusicchannelfromtanzani5650
@luomusicchannelfromtanzani5650 5 жыл бұрын
Interview kali kuliko zote 2019
@paulsylvester7877
@paulsylvester7877 5 жыл бұрын
Babaako Nikki mbish umetisha kwa maswal Duuuuu wasanii walioenda shule
@kibwamoko8767
@kibwamoko8767 5 жыл бұрын
Unju ni noooma. Ana diploma tu lakin ni mjuzi wa mambo hvyo. Hawa ndio magenius tunao wataka. HIVi ushaongeza elimu yako kk. We ni Fundi sana Niki mbishi. kama unakubali gonga like hapa.
@paschalmasanja1483
@paschalmasanja1483 5 жыл бұрын
Nimependa sana u genius wa jamaa, big up. Kwenu ni pale ulipozaliwa siyo alipozaliwa baba yako. Baba akoooo
@shaphyvuai6805
@shaphyvuai6805 5 жыл бұрын
Nikki mbishi unju bin unut.....uko poa sanaaaaa kwa lyrics kalii iLa kujifnya too much know on everything ndio mbya vitu vingne potezea sio kila kitu unachukulia too personal nakukubali sanaaaaa keep good music like kma unamkubali unju
@joesimba
@joesimba 5 жыл бұрын
Mi sio country boy 😂😂😂 • country boy(m) • young killer(m) •gigy money(f) • lulu diva(f) • dude(m) • master j(m) • romy jones(m) • kitale(m) • chege(m) • madam ritha(f) • NIKKI MBISHI(m) NOTE: Female=27.3% Male =72.7%
@hezbonmahaulane7798
@hezbonmahaulane7798 5 жыл бұрын
Jonijoo yaaan kati ya bartender zoooote me nimeenjoy ya kwanza ya #GIGYMONEY & #NIKKI MBISHI hizi ni noumaaaaaaa babuuuuuuu
@yahayamzaramu9203
@yahayamzaramu9203 3 жыл бұрын
Mimi pia broo nirio injoy zaidi ni ya nkki na gygy
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 жыл бұрын
ivi like mnazipelekaga wapi namimi naombeni jamani...
@peterlibelinah8597
@peterlibelinah8597 5 жыл бұрын
NIMEKUELEWA SANA NIKKI MBISHI KILE KITENDO CHA Q CHILLLAH KWENDA KULIALIA KWA B DAZEN ILI AMSAIDIE NI UJINGA NA UKOSEFU WA AIDIA MPYA KATIKA ANACHOKIFANYA KIUKWELI Q CHIEF NI MTU MKUBWA SANA KIMUZIKI ...... HONGERA SANA NIKKI MBISHI KWA KUONGEA UKWELI
@nicken3250
@nicken3250 5 жыл бұрын
Huyu jamaa ntaanza kumfuatilia... Yuko bright sana.
@bravoothegreat3115
@bravoothegreat3115 5 жыл бұрын
aliyeona Nikki ameayapika jicho makalio ya Martha alike
@Rick-pr6ym
@Rick-pr6ym 5 жыл бұрын
Tangu show ianze hii ndo show kali kuliko zilizopita...... Jamaa yupo smart sana, anajibu vizur sana...... Interviews za wana hip hop znakuaga lit sana.....
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 5 жыл бұрын
jamaa kanishangaza had mimi he is freaking genius daah
@sashayusufu6045
@sashayusufu6045 4 жыл бұрын
napenda maswali yako lakini ungetoa zawad Kwa wanao jibu
@mayamohamad710
@mayamohamad710 5 жыл бұрын
,😂😂😂jmn Nikki usivae mwani upo poa tuu handsome
@evancevlado5049
@evancevlado5049 5 жыл бұрын
Leo mmekutana na jiwe UNJU BIN UNUQ...the Genius hahahahaaaa
@lawrencewilfredlugendo8781
@lawrencewilfredlugendo8781 5 жыл бұрын
Aiseee sijawahi kucoment you tube ila huyu jamaaa kafanya nicoment maaana kwa kumwangalia tuuu nikasema hawezi chomoka maswali ya jonijo ila kampangua jonijo kama ajax alivompangua real Madrid kwake.akili mingi bro@niki mbishi
@godblessmhando1326
@godblessmhando1326 5 жыл бұрын
show kal
@dennismwalagho5858
@dennismwalagho5858 5 жыл бұрын
i lyk this interview...eeeh bwana q-chillah amezidi kazi kulia lia tu mtu mzima oyoooo
@charlestobby6031
@charlestobby6031 5 жыл бұрын
Nick Mbishi you are genius bro nimesikiliza interview nzima sijakereka hata kidogo especially sehemu ya maswali hapo umeniacha hoi you made my day Bro😂😂😂
@Nelsonmlay
@Nelsonmlay 5 жыл бұрын
Sikuwahi kuwa fan wa nikki ila nimemkubali kwaanzia leo huyu jamaa ni hatar
@jumachillo
@jumachillo 5 жыл бұрын
Brother niki anachokiandika n anachochana ni mara 1000 ya anachoongea kwenye interview ! swali langu umemkubali kwa interview au mziki wake?
@Nelsonmlay
@Nelsonmlay 5 жыл бұрын
@@FreshFizzo kabisa
@georgemagori2158
@georgemagori2158 5 жыл бұрын
Nikki Mbishi n msanii hatar xnaa bongo tafta nyimbo zake uckilize ndugu
@elishamalila5904
@elishamalila5904 5 жыл бұрын
huyu unju ni shida nice interview
@mudykhalid2708
@mudykhalid2708 5 жыл бұрын
Nadhani leo walikua hawakuelewi washakufahamu unju mtu mkubwa ubongo mkwabwa best interview ever seen b4
@amanihamidu2095
@amanihamidu2095 5 жыл бұрын
Tukiwa na mastaa 50 tz kama nikk mbishi game litafika mbali namkubali maisha yangu yote 🏁✊🏿
@emmanuelmasanula7464
@emmanuelmasanula7464 5 жыл бұрын
Tunamsubiri huyo Nikki wa Pilli wao tuone usomi wake, jonijo mleteee kwenye hii kitu asee.
@ramadhankiduwanga4932
@ramadhankiduwanga4932 5 жыл бұрын
nikki mbishi shule imekaa kijanja hpo
@hkmeme5437
@hkmeme5437 5 жыл бұрын
Nikk mbishi ni genius huyu jamaa
@shulekongwechrisdadchrisda401
@shulekongwechrisdadchrisda401 5 жыл бұрын
Unju the genius noma sana haijawah tokea kabisaaaa show Kali jonijoo kasomeee
@hansmaston1949
@hansmaston1949 5 жыл бұрын
Plz jonijo uyu mtu mleye tena mala yapili unafanya intervew ksli lkn intervew ya uyu jamaa nikar kuliko zote jamaa anaakili nyingi sana
@danieromaiko3569
@danieromaiko3569 5 жыл бұрын
mwanaume kamili haogop maswali yakijiinga nakubali baba ako
@bluesportstvtz4033
@bluesportstvtz4033 5 жыл бұрын
Kozi ya kibaaabeeee, af kimyaaaaa. Ila watu wana kozi za makelele wanaitwa wasomi. Nikki zohan is the real genius.
@zuberysaugga3605
@zuberysaugga3605 5 жыл бұрын
The best interview kwenye the bar tender 🙌🙌🙌jamaa aliua asee schokagi kuicheki
@jangajr6504
@jangajr6504 5 жыл бұрын
Mumuite na Yule Nikki Mwenye masters Tulinganishe uwezo wa kichwaaa
@jumanyamhanga8606
@jumanyamhanga8606 5 жыл бұрын
Haaahaaa
@rogermbogo2423
@rogermbogo2423 5 жыл бұрын
Huyuu muhun anajuaaa
@denismrutu9655
@denismrutu9655 5 жыл бұрын
Hawezi yule
@fadhilfedha9533
@fadhilfedha9533 5 жыл бұрын
Jonijoo leo umekutana na babaaako mwenyewe hahahahaaa...wise ones chill like nobodyz business.
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 5 жыл бұрын
Dr Unju! Aaaah! Noma sana!! Uko deep sana! Kama hujui vile kumbe ndio jibu! Kichwa matata sana! Kina vitu vingi sana na leo ndio nimeelewa kwa nini wimbo kama kijusi wimbo bora wa hip hop kuwahi kuusikia umetoka kichwani kwako!!
@modooutfits1339
@modooutfits1339 5 жыл бұрын
Katika Bartender zote zilizopita hii imeua zote Nikki mbishi salute
@sadickmjengera9599
@sadickmjengera9599 5 жыл бұрын
Mwambie Dada ajali usafi mana katema kitu kutoka mdomoni mwake kupitia mkono wake kisha ajanawa anaendelea na kazi
@najmamohamed6060
@najmamohamed6060 5 жыл бұрын
Umeonaeeh.. alafu alipotema tu akapangusa nakitambaa alicho nacho mkononi
@jezaadamumbale704
@jezaadamumbale704 5 жыл бұрын
Hahahahah mko makin san
@AhmedHussain-pd8vl
@AhmedHussain-pd8vl 5 жыл бұрын
Kwaiyo
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 5 жыл бұрын
😂😂😂watu mko makini ngoja nirudie nione
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 жыл бұрын
Dakika ya ngapi?
@TheLasn7
@TheLasn7 5 жыл бұрын
Interview bora kabisa. Hongera nikki. Tunataman wasanii wawe na level hizi za uelewa wa mambo. Sio wote ila wengi wawe hivi mfano ukiwa na nikki wote wawil..game inaweza kupata muelekeo mzuri
@normanmhina5601
@normanmhina5601 5 жыл бұрын
Nikki 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@marysilayo9529
@marysilayo9529 5 жыл бұрын
Sijawah comment ila kwa huyu noma sana .....ni genius sana huyu.
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 5 жыл бұрын
Unju nina madada wazurii wabichi tuma mshenga...
@sureboitv4274
@sureboitv4274 5 жыл бұрын
Jamaa kapasua nakubali sana bonge la inter view
@exodusezekielkaitira6238
@exodusezekielkaitira6238 5 жыл бұрын
nicki genious aka dr unju...smart mind
@shabanimbaga8921
@shabanimbaga8921 5 жыл бұрын
What a Genious 🙌🙌🙌.. Nick u're a realy 'Mbishi'
@balneoshujaashupav9456
@balneoshujaashupav9456 5 жыл бұрын
Ana haki ya kuitwa mbishi ( Respect my bro Nikki mbishi)
@modooutfits1339
@modooutfits1339 5 жыл бұрын
Jonijo umekutana na teke la vandame
@preciousrey1639
@preciousrey1639 5 жыл бұрын
Shikamoo broo unjuu......Baba ako umepatkana leo😁😁😁
@ommyp7rajaa415
@ommyp7rajaa415 5 жыл бұрын
Leo broo joni joo umekutana na teke la Vanne dame 😂😂😂😂
@truppdizz7330
@truppdizz7330 5 жыл бұрын
Aaaaah nikki mbishi we nyoko mamae
@justinejoasi7390
@justinejoasi7390 5 жыл бұрын
Kama uneona Nikki mbishi kinywaji kinaisha haraka gonga like
@rashidyrashidy3923
@rashidyrashidy3923 5 жыл бұрын
This man is GENIUS 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@tunuyaomar5017
@tunuyaomar5017 5 жыл бұрын
Mzee NIKI hapo kwenye ngonjera hadi mm nimecheka...🤣🤣..ila ongea ya NIKI imenikumbusha x wangu wa utotoni....😍
@lucasroswe6544
@lucasroswe6544 5 жыл бұрын
Mbishiiii
@sarahmwasege7573
@sarahmwasege7573 5 жыл бұрын
Baba Malcom,unakuwa genius sana bwana. I do appreciate you bro
@stevenmaketa8051
@stevenmaketa8051 4 жыл бұрын
Kama umeskia. Nikki nakasema Rujewa Mbarali ndio home gonga like twende sawa
@luxtiller5773
@luxtiller5773 5 жыл бұрын
genius Nikki hii ndo interview bora kuliko zote nilizoangalia big up nikki, jonijooo and wasafi tv
@nkwabitz233
@nkwabitz233 5 жыл бұрын
WCB Firee.
@getujohn3630
@getujohn3630 4 жыл бұрын
Ndo uyo Alexander Bellam🤣🤣🤣something like like that.....but ckumbuki vizuriiiiiiiii.......we mbishi wew
@hassannyeme7948
@hassannyeme7948 5 жыл бұрын
watu wamesoma but they follow their dreams...!!! he loves Hip Hop..but is an educated man..#Unju
@hamisinanyata1237
@hamisinanyata1237 5 жыл бұрын
Shikamoooo unju. Upo vizur sana mwote mwote. Kwel we ni kichwa cha Taifa.
@Cyper255
@Cyper255 5 жыл бұрын
Kwanini T. I. D na Q Chillah mnalia lia kwa Adam Mchomvu.
@hkmeme5437
@hkmeme5437 4 жыл бұрын
Hatari sana
@justinesanga8809
@justinesanga8809 4 жыл бұрын
Oi jonijoo arudi tena mbishii best interview..never seen beforeeee piga kelelee kwa unju akeeeeeeeeeeeeeeeeee
@officialslogantz4181
@officialslogantz4181 5 жыл бұрын
Nice my brother Niki. Photosynthesis ni kitendo au tabia ya mmea kujitegenezea chakula kwa kutumia mwanga wa jua kupitia majani au ukijani wake.
@joesimba
@joesimba 5 жыл бұрын
Kajibu haraka haraka tu, ila nahisi hata hilo alikua anajua
MASTER JAY: HARMONIZE, KAIMBE GOSPEL, HATUTAFUTI MSANII #TheBartender
30:16
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 7 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 33 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 205 МЛН
TID : WEMA SEPETU / ANANUKA MDOMO
33:37
Wasafi Media
Рет қаралды 305 М.
Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa
55:54
MSASA PODCAST
Рет қаралды 59 М.
PROFESSOR JAY : WEMA SEPETU,  HALI MBAYA, NYWELE ZINAWASHA
26:58
Wasafi Media
Рет қаралды 183 М.
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
0:19
PAVLOV
Рет қаралды 19 МЛН
Gymrat CAT is a CHEATER?! 🙀 #kitten #cat #cute #aicat
0:45
Stunning Cat Stories
Рет қаралды 30 МЛН
Gymrat CAT is a CHEATER?! 🙀 #kitten #cat #cute #aicat
0:45
Stunning Cat Stories
Рет қаралды 30 МЛН