Nilifanya mapenzi na mama yangu ili nipate utajiri,tulichinja misukule,joka kubwa chumbani PART1

  Рет қаралды 167,661

Davistar Mata Media

4 жыл бұрын

Пікірлер: 426
@lwesyajj5981
@lwesyajj5981 4 жыл бұрын
Wapendwa tumwombesana Mungu atuepushie hii roho ya kishetan. Pia tumwombe ktk roho na kweli
@mashaelieazer6120
@mashaelieazer6120 4 жыл бұрын
Kumbuka shetani haki vitu vya bure,na kazi ya shetani ni kuua,kuharibu,lakini kwa mungu ni furaha,amani,upendo,uzima wa milele.
@estherwangare7655
@estherwangare7655 4 жыл бұрын
Kazi ya shetani ni kuiiba kuaribu na kuua na watu kama hawa uwa wana chukuliwa hatua gani
@ramadhanothman8110
@ramadhanothman8110 3 жыл бұрын
Du kweli unajua utajiri mgumu
@mackynicky8278
@mackynicky8278 4 жыл бұрын
Kwa shetani hakuna cha bure kweli, Mali na vitu vyote vya duniani ni vya Mungu.
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 4 жыл бұрын
Hadhithi Zuli kwa kweri, Kumbe Pia Hao Wanganga Wajiitao Hodari Hufa, Na Kama Wanadamu Mwa Fahamu hivyo Mbona Mwa Wafatafata, Jameni Geukieni Kwa Mwokozi Yesu, Yeye Peke Ndio Kiboko ya Mambo Yote Amini 🙏🙏👍👍👍
@rahmahamisi7604
@rahmahamisi7604 4 жыл бұрын
Hallelujah
@mathiaslambert1454
@mathiaslambert1454 4 жыл бұрын
Uongo
@syliviafrancis486
@syliviafrancis486 4 жыл бұрын
kzfaq.info/love/BD68LtmFXPUJtEc7T509CQ
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
@@mathiaslambert1454 uongo?soma torati ya Musa uone waganga walivyo awana nafasi mbele za Mungu ni nyinyi waislam mnapenda waganga mashekh wotee waganga ni wachawi mganga awez kua mkristo
@mwatimasaleh423
@mwatimasaleh423 4 жыл бұрын
Acha unafik mjinga wewe uliona sheikh gani mganga ukiona mganga jua hana imani ktk dini fuuuu
@furahinimbwambo
@furahinimbwambo 4 жыл бұрын
Kumbe waganga wanakufa lakini Yesu anaishi milele jamani tumrudieni Mungu tusidanganywe na mambo yanayopita, utajiri na heshima vina Bwana,
@abuuaymankhudhaifa7981
@abuuaymankhudhaifa7981 4 жыл бұрын
Yesu pia snitch tu, lazima afe.
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 4 жыл бұрын
Kweli kabisa vinavyo onekana vyote vitapita
@linvi_chemutai
@linvi_chemutai 5 ай бұрын
​@@abuuaymankhudhaifa7981He is Alive. Find Jesus find peace ❤
@rachelcharles5190
@rachelcharles5190 4 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana kaka kinatujenga na kutupa experience za maisha na mambo mbalimbali yanayo tuzunguka ubarikiwe sana brother
@jamilaally3172
@jamilaally3172 4 жыл бұрын
Dah kwer maisha ni safar ndefu dah shukran ndugu tunajifunza mengi kupitia juhudi zako big up kido.# actually life is very difficult but don't lose your hope to Allah SubhanaAllah b'se Allah is able above of Anything.
@user-il1bv6vs9q
@user-il1bv6vs9q 4 жыл бұрын
Wah the world is a darkness,, i cover my self with blood of Jedus christ Amen
@eveimbusi5940
@eveimbusi5940 4 жыл бұрын
Amen
@moureenmwende3989
@moureenmwende3989 4 жыл бұрын
Amen
@juliejulie8704
@juliejulie8704 4 жыл бұрын
Jameni hakuna kitu kibaya kwenye maisha kama umaskini na hakuna kitu kizuri zaidi na kuridhika na Hali yako nashukuru Mungu sijaumbwa na moyo wa tamaa napambana na Hali ya warabuni ili niwape maisha mazuri wanangu wasiishi Kwa shida kama nilivyoishi Na namshukuru Mungu Kwa kila hatua vijana pigeni kazi Mungu atawabariki hakunaga cha bure hapa duniani
@eliasgembe934
@eliasgembe934 4 жыл бұрын
Pole kijana kwa hayo uliyo ya kutana nayo..unaonaeeee .sas rud kwa mungu wako amen
@georgetavalentine4686
@georgetavalentine4686 4 жыл бұрын
Can't stop watching on your vds,unajua sana kazi yako keep it up
@pqolai7740
@pqolai7740 4 жыл бұрын
Asante sana kaka saupi yako nzuri na hizi zina sisimua sana mwenyezi Mungu atunusuru scs binadamu
@eddywedy1898
@eddywedy1898 4 жыл бұрын
Hii show bila kukoment chochote ntakuwa mbinafsi jamn mungu atulinde hii pumz yetu isije ikatupoza hapo kesho kiama🙏
@sadaukovizurikakanyimbozak6753
@sadaukovizurikakanyimbozak6753 4 жыл бұрын
Allah atujalie mwisho mwema pamoja na vizazi vyetu lnshallah
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Mungu atunusuru tamaa n mbaya shkuran bro Davistar kwa mafunzo 👏
@hamismabula5813
@hamismabula5813 4 жыл бұрын
Kama tunamaanisha Muumba wetu, aliye hai, mwenye enzi, tunayemtegemea 100% basi tuandikeni "Mungu" siyo "mungu!" mungu wa herufi ndogo ni shetani ndg zangu tunaotoa ushauri hapa!
@suzankumburu310
@suzankumburu310 4 жыл бұрын
Hamis Mabula na sio Mungu ni "MUNGU"kwa herufi kubwa zote
@hamismabula5813
@hamismabula5813 4 жыл бұрын
@@suzankumburu310 Sawa kabisaaa!
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Kabisa wewe umesoma maandiko nimeipenda kauli yako
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
@@suzankumburu310 ya Kwanza herufi ndiyo ya muhimu zaidi hata Jina lako anza na herufi kubwa siyo ndogo
@hamismabula5813
@hamismabula5813 4 жыл бұрын
@@trophainamagogwa7966 Asante sana kwa kukazia juu ya hilo.
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Africa kuna Mambo hakika Mungu atusaidie tumjue Mungu wa kweli
@ZainabZainab-tv9ir
@ZainabZainab-tv9ir 4 жыл бұрын
Kaka honger kwavipindivyak watutumejifunzameng from🇧🇮
@mishidede5473
@mishidede5473 4 жыл бұрын
Napenda utuendelezee yule pastor. Mm napenda sanaaa kukufatilia.vipindi vyako Viko sawa
@khadijajuma1408
@khadijajuma1408 4 жыл бұрын
Subhana Allah Yarabby tunusuru na familia yetu
@fauziakassim323
@fauziakassim323 4 жыл бұрын
Tamaa si nzuri kuna kazi au biashara ambazo unaweza Fanya ili uwe tajiri utajiri ni akili tu bora msimamo haaa hata huna aibu unazungumzia mbele ya watu ungemuomba mungu akusamehe tu hiyo ni siri yako jamani tamaa acheni
@tamariophant6919
@tamariophant6919 4 жыл бұрын
Hakuna cha bure kwa shetani,shetani nimuuaji tuu, ukifanya kaz kwa mikono yako ipo siku mungu atakutoa chini ulipokua mpaka juu, cha muhimu tuwe wavumilivu
@danrevelian
@danrevelian 4 жыл бұрын
Huo upigaji picha uko sawa kabisa,mwambie tu cameraman wako aongeze ubunifu yaani awe na shots nyingi za kuficha identity ya mgeni wako,all in all kazi nzuri sana...!!!
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 4 жыл бұрын
Sawa nitalifanyia kazi
@justinmmbando5386
@justinmmbando5386 4 жыл бұрын
@@DavistarMataMediaDM safi broo
@sarahkhwaka2864
@sarahkhwaka2864 4 жыл бұрын
Jesus Christ!May God almighty help us youths.waiting for part 2 .
@kirakaabeid1824
@kirakaabeid1824 4 жыл бұрын
Hamu Sina. Nipo hoi Mimi naomba niendelee kuzoa taka.
@zaby-n-mamashasha6671
@zaby-n-mamashasha6671 4 жыл бұрын
Utajir unasiri kubwa kweli hadi kizunguzung kwa hiyi story,🙆🙆🙆🙆
@stellakins3770
@stellakins3770 3 жыл бұрын
Hahahahah
@godfreyjoseph8399
@godfreyjoseph8399 4 жыл бұрын
Mungu atulinde na huku kupenda vitonga shetan yupo kazini muda wote
@fauziasitara5059
@fauziasitara5059 4 жыл бұрын
Duhhhh noma mwenyezi mungu atuepushie tamaa kwa nafasi zetu
@kokayusuph5954
@kokayusuph5954 4 жыл бұрын
Davistar. Usishangae kesho uka kuta watu wame tengeneza movie na wamepiga mihela kupitia story za kwenye platform yako
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 жыл бұрын
😂😂Kabisa
@rayt984
@rayt984 4 жыл бұрын
Sijui nianze Mimi!!
@marthamshana9050
@marthamshana9050 4 жыл бұрын
Kweli
@jimmyaaron7644
@jimmyaaron7644 4 жыл бұрын
Hongera story nzuri, muendelezo plz
@alawitv2843
@alawitv2843 4 жыл бұрын
Mikasa..nakikubali sana kipind hiki gonga like kama unakubaliana hiki kipind
@kinabukheri9328
@kinabukheri9328 4 жыл бұрын
Kipindi kinatufunza dunia
@joycekunyanja1027
@joycekunyanja1027 2 жыл бұрын
Makete ni ndan ya mkoa wa njombe sio iringa.maisha haya bila Mungu tutateseka sana
@merinajuma139
@merinajuma139 4 жыл бұрын
Mmmmh kaka mtangazaji unamoyo ww kuftlia hya mambo yakutisha🙌
@mackynicky8278
@mackynicky8278 4 жыл бұрын
Mzee baba Davistar unaogopa hadi umekunja sura 🤣🤣
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 4 жыл бұрын
😂😂😂
@salehfrank9448
@salehfrank9448 3 жыл бұрын
Tu msifu mungu ja Mani.yesu ni mwema sana.utajiriwake sio wama sharti.
@SamsungA-su2qj
@SamsungA-su2qj 4 жыл бұрын
Japo napata tabu huku arabuni lkn kwa pesa na utajiri wa kichawi siutaki
@khadijaahmada2544
@khadijaahmada2544 4 жыл бұрын
Ijawa napita kwenye bonde la uvungu wa umauti kamwe sito acha kupambana...nko dubai nakomaa na napata hela zangu japo hadhikidh mahitaj ila si kwa njia hio..Allah atunusuru sisi na kizaz chetu...
@lewismpangala927
@lewismpangala927 4 жыл бұрын
Kuna tabu kweri kweri waarabu tena
@susankaburu140
@susankaburu140 4 жыл бұрын
Wacha tukae na mwarab siz.
@lovenesskalenge2683
@lovenesskalenge2683 2 жыл бұрын
Aisee nilipo batizwa kwenye Kanisa la Yesu Ni Bwana na mwokozi wa mataifa yote . Najua kabisa Yesu yupo na anatendaa kikubwa uvumilivu na yeye shetan kazi yake kukatisha tamaa. Yesu Naomba niangalie kiumbe chako niwe na mwisho safii🙏🙏
@manbanshaban9253
@manbanshaban9253 4 жыл бұрын
Duh,,,kisa kizuri sana lkn kila nikimcheki jamaa mi naona sura kama ya aslay.
@teychriss3248
@teychriss3248 4 жыл бұрын
Hahahaha uwiii
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@starluzenja9861
@starluzenja9861 4 жыл бұрын
😂😂kweli
@saidahj2543
@saidahj2543 4 жыл бұрын
Acha niwe maskini mwenye amani...
@elizanyaga3502
@elizanyaga3502 4 жыл бұрын
😂😂
@benardpaul1271
@benardpaul1271 4 жыл бұрын
😁😁 hio ni ukweli
@Githinji07
@Githinji07 4 жыл бұрын
Davistar my first time kukuona ukiongea mimi hukusikia ukiongea ukisimulia handithi kazi mzuri kaka.
@florencendatila9183
@florencendatila9183 4 жыл бұрын
Mungu atusaidie tumuishie yeye unaeza ukajiona uko safe kuna ndugu yako kapata tamaa anakutoa kafala😂
@estermosha1985
@estermosha1985 3 жыл бұрын
😂😂😂
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 4 жыл бұрын
jamani tuafanyeni kazi utajili ni mtihani sana bora uwe tajiri peponi kuliko kuwa tajiri duniani kijana muombe mungu akusamee ulichokifanya
@pezasally8204
@pezasally8204 4 жыл бұрын
Daaah aseee kiongoz fany mpango wa part twebee bas
@abdillahkhamis4303
@abdillahkhamis4303 4 жыл бұрын
Nakubali sana davistar mata mr fax unatupa kitu roho inapenda
@esterelias8189
@esterelias8189 4 жыл бұрын
Duuuh omba mungu usingiwe na hii roho napinga kwa damu ya Yesu huo utumwa wa kishetani.
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 4 жыл бұрын
MUNGU NI MWEMA SIKU ZOTE NA UTAJIRI WAKE HAUNA MASHARTI.SHETANI KAZI YAKE NI KUHARIBU NA KUTIA AIBU POLE MRUDIE KRISTO YEYE TAJIRI WA MATAJIRI NA HAFI
@gladysmamatwins1019
@gladysmamatwins1019 4 жыл бұрын
Kabisaa..... yeye hafi, wala haendi retire hivi karibuni..... wala hana expiry date.
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 4 жыл бұрын
Uwongo mtupu hili ni kundi la waganga feki wanatumia mitandao kueneza ujinga yaani kuwatowa watu kwenye imani zao za kweli hawa watu enzi ya mwalim walikuwa hawana nafasi wanatiwa viboko na kifungo juu sasa hivi wapo huru sana tafuteni kazinhiyo sio kazi.
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 4 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atunusuri, tufanyeni kazi jamanii kwenye maisha hakuna njia ya mkato
@allahisone6386
@allahisone6386 4 жыл бұрын
Kbsaaa
@benardpaul1271
@benardpaul1271 4 жыл бұрын
Hahaha kukimbilia utajili kwajia yahalali si mzuri bro rudia kwamungu utajiri utapata
@phineruge3480
@phineruge3480 4 жыл бұрын
Eeeh Mungu Uturehem, Uwaepushie wanetu kupenda utajiri wa njia ya mkato.
@syliviafrancis486
@syliviafrancis486 4 жыл бұрын
Please subscribe to my KZfaq channel kwa story Kama hizi kzfaq.info/love/BD68LtmFXPUJtEc7T509CQ
@fauziasitara5059
@fauziasitara5059 4 жыл бұрын
Ameen
@zuhramsuya8194
@zuhramsuya8194 4 жыл бұрын
Amin
@shifaazawadi4438
@shifaazawadi4438 4 жыл бұрын
Kongole bro Davistar endelea nakazi hiyo ss pia tunapata maarifa yakujikinga kupenda vya bure
@inspiremotivatekenya2286
@inspiremotivatekenya2286 4 жыл бұрын
Wuuueeeeh🙆‍♂️..Tubu tubu thambi
@zaitunishee4431
@zaitunishee4431 4 жыл бұрын
Matangazaji macho jamani ata iyo historia siisikii🙊🙊💋💋
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
Huo niunyama wahali yajuu kijana rohoo ngumu sasa ubongo damu yamamayako ndoulekwamiezi tano halafu kafara kila baada yamiezi mbili amatatu jamani siutamalixa UKoo wote angekuambia angalau kilamwaka ila huo utajiri Bora nife masikini eti mkeo atakuwa mamayako jamani hii nikweli
@demitrahawkins5457
@demitrahawkins5457 4 жыл бұрын
Nura Fedrick 🙏🙏😭😭
@bertinaafonsorapaz8345
@bertinaafonsorapaz8345 4 жыл бұрын
We acha2,khaa..afu mbona huyu alikuwa anaangalia2 masharti ya mwenzie mbele ya mganga?mmhh
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 4 жыл бұрын
Eemungu tunusuru tutafte kwa halali🙏🙏
@zulfaismael1858
@zulfaismael1858 4 жыл бұрын
Inalillahi wainailleyhi rajiun.(All comes from thee and shall go back to thee)Tuwache matamanio ya dunia maana maisha ya dunia ni mafupi,tuwe wenye kuridhika na kile tulichopewa na Mola hata kwa uchache wa mpunga.Kiufupi tusiweze kumuasi Mola Muumba na Mlezi wetu kwa matamanio ya nafsi zetu maana kwake ndio marejeo yetu soote na adhabu Yake ni kali mno kwa yule anaye Mshirikisha.
@latefalatefa5594
@latefalatefa5594 4 жыл бұрын
Emwenyezi mungu naomba nipemoyo wauvumilivu niheri nifanye kz kwawarabu naamini nitafanikiwa tu nama neno lako linasema nitaibariki kaziyamikono yenu🙏Ameni
@allahisone6386
@allahisone6386 4 жыл бұрын
Osha Hammaaamu hadi kielewekeee
@zakiahaji1683
@zakiahaji1683 3 жыл бұрын
@@allahisone6386 kieleweke vo 😂😂😂😂
@joycetimothy2956
@joycetimothy2956 4 жыл бұрын
Yan kakaAa upo vzul hatuchok kukuangalia in short hauboi 😘😋😋
@happyjumanne5203
@happyjumanne5203 4 жыл бұрын
Davistar I really love you mooo,good job bro
@rukiammangammanga1166
@rukiammangammanga1166 3 жыл бұрын
Mama mzazi kabisaaa daaaa😥😥
@anithabuberwa2253
@anithabuberwa2253 4 жыл бұрын
Kweli tamaa mbaya 🙉 🙉🙉🙉🙉 mpaka mnatafuna minyama msiyoijua ni ya mnyama gani!!!!!🙆🙆🙆
@zaidanawadhi2664
@zaidanawadhi2664 4 жыл бұрын
Kazi nzuri, part 2 kaka.
@deelissa2746
@deelissa2746 4 жыл бұрын
Davistar 😍😍😍 sina namna
@mussaonesmo5195
@mussaonesmo5195 4 жыл бұрын
First one bro like yako kama kawaida, nakubali sana tunajifunza kupitia Davister Mata, respect kwako bro
@mamajecha7856
@mamajecha7856 3 жыл бұрын
Tunabeba mimba kwa uchungu nakuzaa vile vile matokeo yke mmh Mungu tuafu na utuhidi
@fozyafozya4060
@fozyafozya4060 4 жыл бұрын
Nice story 👌👍
@mussaonesmo5195
@mussaonesmo5195 4 жыл бұрын
Kama kawaida kaka sifungi data nasubiri kuwa nawe pamoja katka mwendelezo coz najifunza mengi kupitia kazi zako, Kazi nzuri sana
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 4 жыл бұрын
Shukrani
@cjdivinah2162
@cjdivinah2162 4 жыл бұрын
Shetani hana mamlaka kwa maisha yetu....mwombe Mungu na utie bidii naye atakusaidia
@jasminali5921
@jasminali5921 4 жыл бұрын
Yarabi tunusuru sisi waja wako tupe rizki kwa njia ya halali yarabi 😭😭😭😭😭😭
@aminamodi8927
@aminamodi8927 4 жыл бұрын
Hivi mwapenda kucheza na mind set za za watu kuleta story za urongo kama waamini unachosema basi wewe na huyo mjinga mwenzio onesha sura yako tukuone ns kukupa ukweli kuwa huo niuzushi na kukukumbusha kabla ya uzushi huu nini ulifanya kabla na wewe mc huna kazi ya kufanya wamaliza MB za watu PUMBAVU NYIE
@fredrickthomas2173
@fredrickthomas2173 3 жыл бұрын
Huyo dogo muongo sana
@georgetavalentine4686
@georgetavalentine4686 4 жыл бұрын
Duh!ila Mungu atuepushe na huyu kiumbe aitwae shetani
@yohanamussa8336
@yohanamussa8336 4 жыл бұрын
Utajiri wa shetani una siri za ajabu sn
@husnaothuman1609
@husnaothuman1609 3 жыл бұрын
Mungu Nisamehe.. Nitakufa Masikini....mm Jmn Ila Kwz Mzazi .. Hapan
@nawwafomar4518
@nawwafomar4518 4 жыл бұрын
ahaa hii ndio siri ya rafiki zangu kutoka kuleeeee ndio maana wanatajirika
@youngyayoo2805
@youngyayoo2805 4 жыл бұрын
Utajiri unatoka mbali sana
@tatukhalidshija7255
@tatukhalidshija7255 4 жыл бұрын
Allah atunusuru na haya majaribio ya shetani
@phleriahwanga4306
@phleriahwanga4306 4 жыл бұрын
Allah ndio shetani mwenyewe.. Mlilie Yesu🙏
@saidyssaley1509
@saidyssaley1509 4 жыл бұрын
@@phleriahwanga4306kwa vile you mdogo lkn Ukikua utajua Allah ni nani na shetani ni nani ,,,, NA ALLAH akuonyeshe njia kabla pumzi yako haijakatika
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
@@phleriahwanga4306 ukome wewe usimtukane Allah . wewe unamrusi alokuumba na kukupa pumzi za bure akakuumbia dunia . ni mshenzi sana. wewe km unamtusi namuomba Allah akuoneshe utukufu wake akuzibiye hiyo pumzi yake unayoringia Amin.
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
@@phleriahwanga4306 Mimi siwezi kumtusi Yesu maana ni mtume km mtume Muhammad ila laana za Allah ziwe juu yako mbwa wewe.
@phleriahwanga4306
@phleriahwanga4306 3 жыл бұрын
@@kiri5807 Hahhahahahaa basi maombi hayo ata hayaskiki😂😂 maana allah sio Mungu😂 Ni shetani mkubwa nanimerudia ni shetani mkubwa.. Wacha anikatize pumzi tujue 😂😂😂
@annajoseph9955
@annajoseph9955 4 жыл бұрын
Watu wanapenda kitonga loh mungu atusaidie tu
@bebisheni4380
@bebisheni4380 4 жыл бұрын
nguvu za mwenyezi mungu ziwashukie mshindwe na mregeee
@kizakadafiomar2067
@kizakadafiomar2067 4 жыл бұрын
Ahhh Niatar sanah kbx
@maxwellssemakula1565
@maxwellssemakula1565 4 жыл бұрын
Jaribu kutuletea part 2 kwa haraka kidogo plz
@angeljasson4376
@angeljasson4376 4 жыл бұрын
hongera kaka kwa kazi nzur
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 4 жыл бұрын
Shukrani
@annaanyango6510
@annaanyango6510 3 жыл бұрын
Nothing coming freee a good life is to struggle then you believe in god you'll have everything broooo
@fauziayassin7987
@fauziayassin7987 3 жыл бұрын
Huyu jamaaa mbna anamponda mwenzake akat walienda pamoja
@acruxe5810
@acruxe5810 4 жыл бұрын
Davistar nakubali mku
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 4 жыл бұрын
Misikule ya maneno ya kuambiwa🤣🤣🤣
@faridasilwani9676
@faridasilwani9676 4 жыл бұрын
😂😂😂 joy na mwenzake
@estheramiry8483
@estheramiry8483 4 жыл бұрын
Huyu mwongo makete kulikuwa hakuna daladala wala vigari vidogo kulikuwa na gari moja tu linaitwa mwafrika mpaka leo, hakuna dala dala wala gari dogo linatoka iringa kwenda makete.
@faridasilwani9676
@faridasilwani9676 4 жыл бұрын
Watakuwa walienda njombe awo
@fredrickthomas2173
@fredrickthomas2173 3 жыл бұрын
Huyu dogo muongo sana
@aboudjuma523
@aboudjuma523 4 жыл бұрын
Mwendelezo davistar
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 жыл бұрын
Mwenzio alikuwa tayari ni mchawi na mzoefu wa kula zile nyama. hata ile misukule kwaake kilikuwa siyo kitu cha ajabu kwake. ila tu ule uchawi wa utajiri alikuwa hana.
@bertinaafonsorapaz8345
@bertinaafonsorapaz8345 4 жыл бұрын
Kama ndoto dahh😂😂😂maisha haya,mapito ya mwenzio unaweza kuhis movie
@arafampoma3399
@arafampoma3399 4 жыл бұрын
Mtangazaji bwana eti story yako ni mzuri sana ulivyo nisimulia allahakbar mungu atupe mwisho mwema ishallah
@africanstears7755
@africanstears7755 4 жыл бұрын
aisee brother....hatari sana
@hildaemmanuely4961
@hildaemmanuely4961 4 жыл бұрын
Sema alikuwa anasema maneno siyo dua Mana ukisema dua hiyo husomwa kwa watu wema
@geraldrobert1801
@geraldrobert1801 4 жыл бұрын
Davista, wewe umejuwaje kwamba misukule huwa haionekani!!? Tuweke wazi Mr Fact 🏃🏃🏃🏃
@igurusitv6553
@igurusitv6553 4 жыл бұрын
Mkuu upo hadi huku hahahahah
@lizzaitun5097
@lizzaitun5097 4 жыл бұрын
Kazi njema,,,nasikia Tanzania Kuna majabu kumbe hivi ndivyo Mambo uwa
@yohanahbyzehomba1352
@yohanahbyzehomba1352 Жыл бұрын
Wew uko wapi? Nchi gani?
@naimanurdin8984
@naimanurdin8984 4 жыл бұрын
Acha niendelee kupigika Oman kutafuta Pesa Yangu kihalali ila naamin madhali nna nia na khofu ya Mungu nitafika malengo kwa hiki kidogo changu cha halali nikipatacho
@mr.booster5575
@mr.booster5575 4 жыл бұрын
Huyu jamaa anayehadithia ninmuongo iringa to makete unaenda kwa daladala wakati Ni zaidi ya kms 300 kwa Basi
@paulinekhasandi3728
@paulinekhasandi3728 4 жыл бұрын
Tanzania mna mambo kumbe si wote matajiri wa kutoka kwa Mungu mrudiyeni mungu heri ufee masikini wa kweli. Kumbuka hakuna cha bure
@magejuliani5293
@magejuliani5293 4 жыл бұрын
Tamaa tu zinawasumbua! Hamna cha bure
@geraldrobert1801
@geraldrobert1801 4 жыл бұрын
Huyo mzee nahisi atakuwa ni MWAKIPANDE 😂😂😂 Gonga LIKE kama unakubaliana namimi
@umbeaeastafrica7943
@umbeaeastafrica7943 4 жыл бұрын
Sio yule wa Loliondo?😂😂😂
@teresiahkiarie8440
@teresiahkiarie8440 4 жыл бұрын
Shetani hana kitu chake duniani kazi yake ni kuimba na kuua may God protect us from any evil in Jesus mighty name
@babymansouth1164
@babymansouth1164 4 жыл бұрын
+254 Leo hamjafunikaa jamaniisasa siwatamjuaa shilawadu😈😬 Ila Maisha haya Duh Yaani wanadamu tunafanyayoyote ili tupatePesa na maishamazuri Allah tusaidiee😢😢😡
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 40 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 8 МЛН
БУКЕТ МЕЧТЫ НАСТОЯЩЕЙ СЛАДКОЕЖКИ😂😂😂
0:19
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 3,2 МЛН
Приостановили веселуху😨 #симпсоны
0:59
Choices for your loved ones❤️
0:15
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 17 МЛН