"Nilimpa Mashrti Matatu Robert aliyetaka niwe Mkewe angali nafsi ikitaka kuwa Mtawa" Sr. Roselyne

  Рет қаралды 169,432

Jugo Media

Jugo Media

Жыл бұрын

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/GDS87FVmKB5...
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+255757560764?text=NIUN...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+255757560764?text=Taar...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 152
@CarenNarotso-oo8qd
@CarenNarotso-oo8qd Жыл бұрын
My best friend in high school,iknew u would land here,very shy and humble,mungu akujalie Rose
@junelizzy1684
@junelizzy1684 Жыл бұрын
That's my niece. Am proud of u my toto. Mungu akupe nguvu uzidi kumutumikia💪💪💪💪
@mushken65
@mushken65 Жыл бұрын
Nimekupenda sister kwa kuwa dada aliyekuwa na misimamo isiyoweza kutingishwa na lolote. Barikiwa zaida maishani unapoendelea kumuhudumia mungu 🇰🇪
@rukobaannakletus3589
@rukobaannakletus3589 Жыл бұрын
Anajua analofanya,huo ulikuwa wito wake.hongera Sana sir.
@saimonjohnsumley9198
@saimonjohnsumley9198 Жыл бұрын
Roho wa Mungu akujaze Sana!! Superwoman
@rebekamwimi1394
@rebekamwimi1394 Жыл бұрын
Hongera kwa uutumishi. Yesu awe Bwana na mwokizi wa maisha yako
@teclangalale9235
@teclangalale9235 Жыл бұрын
Cjapenda coz huyo ROBERT now atakuwa na familia yake, na still unasema utamtumia hiyo Crip it means bado mnawasiliana hakuna mwanamke anapenda mumewe aendelee kuwasiliana na ex wake, utakuja sababisha mtafaruku kwenye ndoa za watu
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 Жыл бұрын
Hongera san sister MUNGU akuongoze kwa kila jambo🙏🙏🙏
@pamelacecilia1551
@pamelacecilia1551 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana sister
@ponsianpaschal-lz6wg
@ponsianpaschal-lz6wg Жыл бұрын
"Mungu akujalie moyo mkuu"
@mickThadon
@mickThadon Жыл бұрын
Asanteni Sana Jugo Media 🙏🙏🙏
@erastomwakalukwa3946
@erastomwakalukwa3946 Жыл бұрын
Life is by chance and choice 🙋💐🔥
@eliudwakundu3726
@eliudwakundu3726 Жыл бұрын
Very inspiring story of good redeñce
@josephturuthi1183
@josephturuthi1183 Жыл бұрын
Hiyo ni Kali, lakini kuna mashaka mahali Fulani kwa maoni yangu pengine hiyu kinjana alikua na msichana mwingine mahali Fulani, maoni yangu tuu.
@waltersesuru43
@waltersesuru43 Жыл бұрын
Sister mungu akubariki %%
@BaltazariMosha
@BaltazariMosha 2 ай бұрын
Hongera sister
@ClementWitsoni
@ClementWitsoni 27 күн бұрын
Hongera sana sister
@barakandabunganie6585
@barakandabunganie6585 Жыл бұрын
Nice story simama imara
@davidaguvasu4553
@davidaguvasu4553 Жыл бұрын
That's how it should be. Rules must govern our relationships.
@ngombegeorge3577
@ngombegeorge3577 Жыл бұрын
Tafuta interview ya kufundisha neno la mungu wafundishe . Ni kwa namna gan mtu atapona na nguvu za Giza na masister wafundishe watu . Namna ya mtu kufanya maombi ya tofaut na vitabu. Muunin anawezaje kumshinda mganga ; mchawi: msoma nyota. Ww ukafika hatua tukakuandkia kua wema wenu ni uovu mbele yangu . Man achana na izo habar kabsa
@benedettaochieng
@benedettaochieng Жыл бұрын
Kazi ya mungu wa iendelee😮
@clianamwampamba3819
@clianamwampamba3819 5 ай бұрын
Hongera Sana Kwa wito
@user-od6wn9qt7d
@user-od6wn9qt7d 3 ай бұрын
Hongera sana dada
@user-wl4yo4zp9t
@user-wl4yo4zp9t 3 ай бұрын
Sister una msimamo hongera
@marymimina
@marymimina Жыл бұрын
A very touching story indeed🥰 Mungu azidi kukuongoza katika huduma.
@jameswanyancha5940
@jameswanyancha5940 Жыл бұрын
Hongera sana sister
@muchirijohn2034
@muchirijohn2034 Жыл бұрын
@@jameswanyancha5940 🙏🙏🙏
@bibianmumbe7464
@bibianmumbe7464 Жыл бұрын
Mtawa hongera. Lakini iwapo baadaye ulivunja n.a. uko unajisifia public ju hatukujui Mungu akuhurumie
@brigidnafula6096
@brigidnafula6096 Жыл бұрын
Mahojiano mazuri
@evanschaedirectoreffortcon6264
@evanschaedirectoreffortcon6264 Жыл бұрын
The SR seems to to have some family feelings, at one time she might get married. Watch the space
@aurickyenze5780
@aurickyenze5780 Жыл бұрын
Mtawa? I believe it's much better to serve God in marriage than being a childless nun. To me, this beautiful lady is a wasted resource. You were meant for Robert but you let him down. Utashangaa utakapofika mbinguni na kupata jina lako halipo mle...na nimeenda......
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Ай бұрын
Mtazamo wako ni sawa na wakwangu
@simonjoel6633
@simonjoel6633 Жыл бұрын
Afadhali ata hajakuoa mbona tumbo kubwa hujazaa ata mtoto mmoja? Bayaaaaa hovyooo
@evanskipruto9613
@evanskipruto9613 Жыл бұрын
Congratulations sister vs robart
@ndayizeyefredina-ni8uf
@ndayizeyefredina-ni8uf Жыл бұрын
Kutoka Burundi Nami ningeyaweza🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@sylvestermakau3687
@sylvestermakau3687 Жыл бұрын
Kazi ya mungu haina makosa sr rossyne Sylvester hapa mtumikie mungu kwake Kuna raha
@daudichoghoghwe5035
@daudichoghoghwe5035 Жыл бұрын
Mm nisingeweza kabisaaa
@maryflaviournafulasifuna6347
@maryflaviournafulasifuna6347 Жыл бұрын
Happy to see you Sr Roselyne 👏Homie 🙏🙏
@viviankakai512
@viviankakai512 Жыл бұрын
Webuye team tupo hapa
@rumanyikajoe7038
@rumanyikajoe7038 Жыл бұрын
Hapo sijakuelewa sister. Hapo ulikuwa unachumbiwa ukiwa shule au ilikuwaje. Maana kisheria hairuhusiwi kuchumbiwa ukiwa mwanafunzi.
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Жыл бұрын
Wewe siyo mwelewa, amesema Robert alikubali kumnunulia kila hitaji asome vizuri ili hapo baadae waje oana.
@muchirijohn2034
@muchirijohn2034 Жыл бұрын
@@othmarluwawilo8308 Asante kwa kumkosoa Robert.
@ngombegeorge3577
@ngombegeorge3577 Жыл бұрын
Man achana na habar ya kuwaoji masister hao ni wanadamu akiteleza katika kuongea au akaongea uongo ni hatar Sana tafuta habar nyingne na ukiendelea kuwafanyia interview ni kosa mbele ya mungu' nakuhahid siku ukimfanyia sister interview ya namna hii tofaut na neno la mungu nitalituma neno la mungu likukumbushe-
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Midia hawawezi kumhoji mtu bila ridhaa yake. Yawezekana Sister mwenyewe ndio .amependa kushea Na watu. Lakini mtazamo wangu naona Kama huyu Sister anahisia za mapenzi au hisia za kuolewa. Na kama mawazo yangu yako sahii iko siku ataolewa na atazaa watoto wake.
@michaelmaja-1699
@michaelmaja-1699 Жыл бұрын
😂😂😂
@smithkiratu4806
@smithkiratu4806 Жыл бұрын
Let us anandagama Against Rains!!
@alexandermutakha882
@alexandermutakha882 Жыл бұрын
Hongera Robert Kwa uvumilivu na upole.
@renatusmahimbalipigahaosta4811
@renatusmahimbalipigahaosta4811 Жыл бұрын
Alimtafuna bhana
@baloz8974
@baloz8974 Жыл бұрын
@@renatusmahimbalipigahaosta4811 🤣🤣🤣🤣 au sio
@isaacmissoy3522
@isaacmissoy3522 Жыл бұрын
Robert where are you??. I think you still have a chance
@francismkenda
@francismkenda Жыл бұрын
Hii ya sister ni kwa sabab alitaka awe mtawa ila kinyume na hapo hamna ambaye angehangaika kukufuatilia eti
@comics3437
@comics3437 Жыл бұрын
Mh?? Kwa iyo amajitunza hajaguswa, safi sana
@WaweruG
@WaweruG Жыл бұрын
Kiswahili kitamu...angelikuwa pia mwanahabari, mwalimu hodari.
@user-ym6hd7xh3g
@user-ym6hd7xh3g Жыл бұрын
Ni mwanahabari
@kipkoechchepkinoiyo4124
@kipkoechchepkinoiyo4124 Жыл бұрын
Hapo ziwezi,mwenye alifanya hivo alikufa 1996
@user-lq4ps2hq3b
@user-lq4ps2hq3b 6 ай бұрын
Msimamo unatakiwa katika maisha
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
.........🤔
@user-sh8xp5dn3w
@user-sh8xp5dn3w 4 күн бұрын
Huyu namjua sana na picha zake
@ennethnasimiyu2677
@ennethnasimiyu2677 Жыл бұрын
Sio Robbery tu bali mimi nilikuwa na Kujua majina huyu mlulya kamili .ubarikiwe sana
@martinmaina9777
@martinmaina9777 Жыл бұрын
Maria alikuwa sister
@violethbosha1666
@violethbosha1666 Жыл бұрын
Umekosea sana sikupenda
@emmanuelpeter5686
@emmanuelpeter5686 Жыл бұрын
Mimi siwezi
@michaelmaja-1699
@michaelmaja-1699 Жыл бұрын
Hahaaa kwa nini hujapenda
@baloz8974
@baloz8974 Жыл бұрын
Samahani ningefanya nini my violeth?
@veronicarotich9615
@veronicarotich9615 Жыл бұрын
Hizo ndizo masharti nilimpatia mwenzangu wa ndoa kabla tuoane. Nilienda kwao kujua tu watu wake na sikulala kwa ile nyumba yake ya vijana pale kando! Alikubali.
@abduljabbarmohammed4188
@abduljabbarmohammed4188 Жыл бұрын
Hayo masharti naweza kuyatimiza
@rajabujuma3633
@rajabujuma3633 Жыл бұрын
Shopping 🛒🛒🛒🛒🛍️🛍️
@baloz8974
@baloz8974 Жыл бұрын
Umeona eehh
@emmanuelsosten7137
@emmanuelsosten7137 Жыл бұрын
Unasimulia mambo ya Robert ya nini? Andika kitabu sio kuonyesha sura mitandaoni na kupiga piga mapaja. Unamuumiza Robert.
@benjamintinega3836
@benjamintinega3836 Жыл бұрын
Kwa hivo Robert aliwaste mda na hela zake ni sawa tu
@VenanceKaijage-yf9ht
@VenanceKaijage-yf9ht Жыл бұрын
Mimi nawenza hayo masahiriti3
@andrewoloo2169
@andrewoloo2169 Жыл бұрын
Sister read the bible 1timothy 4:1-4 unafaa uoleke dini imepoteza wengi
@PhilipOmondi-qb6my
@PhilipOmondi-qb6my Ай бұрын
read Matthew 19:12 "For there are different reasons why men cannot marry: some, because they were born that way; others, because men made them that way; and others do not marry for the sake of the Kingdom of heaven. Let him who can accept this teaching do so.”
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 Жыл бұрын
Waongo hao ni wake wa Mapadri kwani ulaya tumelifahamu siri zao wazungu waromani katholieke kila Mtu yuko na mke wake na watoto wake .Afrika ndio twafungwa Tu Macho
@rosiempole3
@rosiempole3 Жыл бұрын
Acha unafiki that's not true is how you have been taught according to your teachings&thinking
@sulemanmndeme8961
@sulemanmndeme8961 Жыл бұрын
Nisingeweza
@violethbosha1666
@violethbosha1666 Жыл бұрын
Usinge kubali kuyaongelea kwenye mitandao
@user-wl4yo4zp9t
@user-wl4yo4zp9t 3 ай бұрын
Hayo masharti matatu lazima yazingatiwe
@simonjoel6633
@simonjoel6633 Жыл бұрын
Nilipe MB zangu aisee ujinga tu
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Жыл бұрын
Sister acha upuzi interview Yako haiendan na maadili ya karma yakao
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Wewe ni sister punguza mihemko jifunze kitu
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 Жыл бұрын
Lazima uteste ladha kwanza
@aloycemwakatala2796
@aloycemwakatala2796 Жыл бұрын
Hivi haya mambo ya utawa sijui usister ulianzia watu? Mbona kwenye maandiko sijaisikia? Nasikia mapadri kibao wana watoto lakini wanaaminisha watu kuwa hawaruhusiwi kuoa, vp kwenu kuwa na watoto kisha kujificha hakuna wenye watoto na wapenzi kweli???
@marcokanyama4533
@marcokanyama4533 Жыл бұрын
Fake announcement or Fake stories
@CONDAGA
@CONDAGA Жыл бұрын
Am not a Catholic but am asking apoint of May I know, that ring kwa mkono inamanisha you are married ama?
@anny19988
@anny19988 Жыл бұрын
Pete( ring) inamaanisha agano ( Covenant).Kwa aliyeoa au kuolewa inamaanisha covenant between husband and wife till death do them apart. For nuns and priests ring means covenant between them and Jesus for all days of their lives. For us Catholics, ndoa na maisha ya utawa are both calls and vocations to serve GOD and they are both covenants and not contracts. Una swali lingine?
@CONDAGA
@CONDAGA Жыл бұрын
@@anny19988 Number yako ya simu for more questions
@anny19988
@anny19988 Жыл бұрын
@@CONDAGA Ooh Sorry siwezi Sasa kutoa namba yangu sehemu ya public hivi
@veronicamwautenga7394
@veronicamwautenga7394 Жыл бұрын
Iyo ring ni kwamba amejitoa maisha yake Kwa Yesu kristo
@sabinusmwenda-lf2zr
@sabinusmwenda-lf2zr Жыл бұрын
unaoleweje wakati sista hawaolewi
@samwelsammy1121
@samwelsammy1121 Жыл бұрын
Hivi bible imeandikwa wapi huo utawa
@jumayusuf1694
@jumayusuf1694 Жыл бұрын
Hivi ukristo hauruhusu hawa masista na padri kuoa na kuolewa au?
@bakarimhina4133
@bakarimhina4133 Жыл бұрын
Umemdhulumu Robert Huoni Unalo Deni la Duniani Hadi Akhera. Mlipe Thamani ya Vitu Alivyokuletea Kwenu Hapo Kidogo Utakuwa Umetenda Haki.
@wycliffenyamweya.w
@wycliffenyamweya.w Жыл бұрын
Mwenyewe kajulishwa ulikuwa mchezo wa pata poteza, sasa basi ingekuwa balaa ikiwa hangeambiwa hili tangu mwanzo.😭😂
@christopherpaulo9490
@christopherpaulo9490 Жыл бұрын
Unayo bikira?
@vicentmigodela190
@vicentmigodela190 Жыл бұрын
😃
@elizabethbwakila3982
@elizabethbwakila3982 Жыл бұрын
Hana huyo
@user-sh8xp5dn3w
@user-sh8xp5dn3w 4 күн бұрын
Hana Namjua
@danielchacha2973
@danielchacha2973 Жыл бұрын
Mtangazaji ushuhudu huu umenibarika ni kweli vema pia mahojiano yahusu je uliwahi chumbiwa au oa au olewa au toroka nyumbani bila baraka itakomaza wachanga wanaowiwa wito.
@wilsonmkumbo
@wilsonmkumbo Жыл бұрын
Sasa Robart aliishia wapi?
@robertorota-ff1jc
@robertorota-ff1jc Жыл бұрын
Sikilizeni somo kwa faida yenu mwalim huyo
@agnesmkanga4617
@agnesmkanga4617 Жыл бұрын
Yes! Ujumbe kwa Vijana wa sasa,ili kupata watu sahihi katika mahusiano yao!
@ethanevans2971
@ethanevans2971 Жыл бұрын
Mwongo huyu ....
@saimonjohnsumley9198
@saimonjohnsumley9198 Жыл бұрын
Rozi wote Wana akili sana
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Nasikia masai hawezi kuwa sister unajua ni kwa ni nini?
@JugoMedia
@JugoMedia Жыл бұрын
Si kweli mbona wapo Masista ambao ni Wamasai
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Mimi nauliza masista shughuli zao kuu ni zipi? Kwanani ukitaka kuwa padre lazima uwe unasimamisha? Usikute nikwaajili ya hao masista? Kwann mpaka uwe iunasimamisha? Naoma sana nijibiwe, kama siyo kazi yao kuwahudumia kimapenzi ni nn?. Hawatakiwi kuoa wala kuzaa aasa kwann wanatakiwa kusimamisha?.
@jumahasani3324
@jumahasani3324 Жыл бұрын
ningechomoa
@stephenmuasya6403
@stephenmuasya6403 Жыл бұрын
Ungechomoa nn
@estherjackson6038
@estherjackson6038 Жыл бұрын
Huyu sister Ana hisia za kuolewa.
@joycekalago532
@joycekalago532 Жыл бұрын
Jaman😂😂
@estherjackson6038
@estherjackson6038 Жыл бұрын
@@joycekalago532 Kweli ati.Anaongea kwa hisia Sana.
@estherjackson6038
@estherjackson6038 Жыл бұрын
@@joycekalago532 Huwezi ukasema" alikuwa boyfriend WANGU"" Ana maanisha.
@felisterligwa
@felisterligwa Жыл бұрын
Usijichumie dhambi za rejareja dada.Muogope Mungu,huyo ni mnadhiri wa Mungu
@rogath_silayo
@rogath_silayo Жыл бұрын
Maamuzi magumu katika maisha hayahitaji hisia!!! Aliona utawa unamfaa zaidi japo hata ndoa sio kwamba NI mbaya!!!!
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 Жыл бұрын
Ninyi 'watawa' Kuweni weledi. Wewe una mama na baba ikiwa na maana ulizaliwa..Kwa nini hamtaki kuwa mama? Kuwa mtawa maana yake ni kutoolewa? Ugumu ni upi ukiwa mtawa na familia yako? Tupeni somo la kuwa watawa hawazai. Maandiko yapi yana sema utawa ni kutokuwa na mume au mke wa mtu. Zaeni mkaogezeke mkaijaze nchi. Hayo ni maagizo ya Mungu,haya ya kwenu mnayatoa wapi? Tusaidieni tujue na kuelewa tusiojua.
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Kuna rule na regulations...bibliaa inatoaa rules Ila regulations zaweza wekwa na congregation Fulani Kwa lengo la kutoa huduma Bora Kwa Mungu mda wote..kama kutoolewa na kutozaa.. chukulia wangekuaa wanazaaa afu wanapaswa kutoa huduma kabisani then haoohapi anamtoto anaumwa au anataka kunyonya
@antonyndinga8890
@antonyndinga8890 Жыл бұрын
Safi Sana sister, Imani yako kuitetea na Mungu akubariki. Pia Dunia ijue ya kuwa , Kuna watu Wana Imani ya kweli ktk Mungu
@mariachannel2047
@mariachannel2047 Жыл бұрын
Wewe unayesema zaeni mkaongezeke, naomba nikuulize swali, je wote waliolewa wamezaa? Na je walioko huko nje wote wamezaa. Naomba nikwambie kwamba kila mtu ana haki ya kuishi kile maisha yatakayompa furaha. Si wote wanaitwa kuishi maisha ya ndoa. Huko nje ndoa nyingi tu zimevunjika unadhani ni kwa nini?. Kila mwito ni zawadi toka kwa Mungu . Biblia inasema kuna ambao wamejifanya kuwa matoashi kwa ajili ya ufalme wa Mungu na kuna ambao wamefanywa tayari toka tumboni mwa mama zao kuishi style hii ya maisha. Soma waraka wa pili mtume Paulo kwa wakorinto 7: na kuendelea
@anneoyoooyoo596
@anneoyoooyoo596 Жыл бұрын
Wewe huwezi kuelewa maana wewe sio mkatoliki mwenzetu
@abdallahselemani6423
@abdallahselemani6423 Жыл бұрын
Duh! Kweli kabisa
@mzarendo.com9624
@mzarendo.com9624 Жыл бұрын
Hivi wewe ni kweli unakiri mbele za Mungu kwamba hujabanduliwa kweli bikra yako? Au ndo unatuzuga tu, lkn ma-father wana wagonga sana ngozi hawa masister wana siri kubwa sana.
@thadeimkula7093
@thadeimkula7093 Жыл бұрын
Huyu ame liwaa Hilo solaku uliza
@michaelmaja-1699
@michaelmaja-1699 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@michaelmaja-1699
@michaelmaja-1699 Жыл бұрын
Kabanduliwa mala kibao
@fadhilikiyungi1741
@fadhilikiyungi1741 Жыл бұрын
Kionozi uko sahihi
@mariachannel2047
@mariachannel2047 Жыл бұрын
Binadamu huwa wanafikiri mapenzi ndo kitu cha kwanza katika maisha. Ndo maana hata hapa huyu Sr. anaongea juu historia ya maisha yake .lkn wapo humu badala ya kusikiliza wanawaza tuu kwamba amesijui nini ? Kazi kweli kweli
@alextercisio
@alextercisio Жыл бұрын
Wewe ulizaliwa ni mama Yako alikuwa mjinga wewe hutaki kuzaa juu uko mwerefu????
@hellenkerry4078
@hellenkerry4078 Жыл бұрын
Paul is clear from the book of Corinthians If you can practice celibacy,u can do it. If u can't,go ahead and marry
@alextercisio
@alextercisio Жыл бұрын
@@hellenkerry4078 brainwashed from nonsense Paul who is Paul is he God?
@josephhaule3563
@josephhaule3563 Жыл бұрын
🥱🥱🥱🥱🥱
@raphaeljulo3826
@raphaeljulo3826 Жыл бұрын
Hongera sister
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 130 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 33 МЛН
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 29 МЛН
MAPOKEZI YA WAGENI,  UPADRISHO KIGOMA 2024. Mapigo saba  na watoto wayanogesha
12:45
KATOLIKI KIGOMA Online TV
Рет қаралды 3,3 М.
Mambo imechemka, Raila's hot message to America sends Ruto into fasting
18:43
ELIUD NA MAMA YAKE KWENYE SHOW YA WAISA
18:50
Eliud Samwel
Рет қаралды 64 М.