hongera wapendwa. kwa hakika tumeuona mkono mtakatifu wa bwana. mbarikiwe sana. antony kutoka nairobi kenya
@petermndeme74554 ай бұрын
Kazi nzuri sana hii, nawaombea mto nzuri zaidi!
@richardmvuyekule630011 ай бұрын
Mungu awabariki sana, hakika hapa Mungu katukuzwa kwelikweli, mm nimebarikiwa.
@peraziakaloly9246 Жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri Sana ya kumsifu Mungu kwa kupitia utume wa uimbaji pia kuinjilisha dunia. Hakika Mungu ahimidiwe na kusifiwa milele yote Amina
@stevenpius8420 Жыл бұрын
Bwana azibariki kazi za mikono yetu. Mbarikiwe sana 🙏🙏
@user-pq8pf3zk1l Жыл бұрын
Wimbo safe huuuu
@richardseraphine8629 Жыл бұрын
Daima Tuwe watu wa Shukrani
@wolfgangmsigwa94 Жыл бұрын
Hongereni sana wapendwa kwa kazi hii, naweza kusema, "Hakika nimeuona ukuu wake Mungu, Asante Mungu wangu kwa wema wako." Ni mapito mengi tunapitia ila bado yeye anatupigania asante kwa mtunzi kutufanya tutafakari kwa pamoja ukuu wa Mungu kwetu sisi mbarikiwe nyote 😇😇😇🙏🏾🙏🏾
@user-yl3lm8ws7c Жыл бұрын
Hongeleni sana kazi nzuri
@pascalpaul3204 Жыл бұрын
Hongereni saana 👏
@St.FrancisXavierDSM Жыл бұрын
Asantee
@ngurukaboy Жыл бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuri sana mungu awabariki kila siku muendeleee kufanya vizuri
@norragillet9866 Жыл бұрын
🙏🏽🙏🏽
@St.FrancisXavierDSM Жыл бұрын
Aminaaaa
@fredloureparmelo1941 Жыл бұрын
Well-done, and God bless you all. raising and fall sounds, sauti zimepagwa zikapangika,