NJIA SITA ZA KUBADILISHA MAISHA YAKO NDANI YA MWAKA MMOJA- MTUME NA NABII JOSEPHAT MWINGIRA

  Рет қаралды 25,249

COH global

COH global

Жыл бұрын

Welcome to our official KZfaq Channel...
Please feel free to follow us on social media
Telegram 👇
t.me/inEGTV
Instagram👇 efathageneralst...
TikTok 👇
www.tiktok.com/@efathageneral...
Facebook 👇
efathagenera...

Пікірлер: 37
@AmaniJasipa
@AmaniJasipa 3 ай бұрын
Baba MCH mwingira mungu akulinde daima nakupenda sana baba yangu
@yehugkgk
@yehugkgk 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@user-so4ju9cw2y
@user-so4ju9cw2y 5 ай бұрын
Mimi naitwa jackisoni fute nipo zambia naomba munisaidie namba ya muchungaji wa tunduma kuna watu huku wanataka kuungana na kanisa la efatha
@MussapauloUsalanje-rd3ty
@MussapauloUsalanje-rd3ty Ай бұрын
Amina mtumishi
@amanduspeters7893
@amanduspeters7893 9 ай бұрын
1. Amua kusikia mambo yatakayojenga ubora wa maisha yako tu - Sikiliza waliofanikiwa katika mazingira kama yako 2. Kataa na futa habari zote zinazoonyesha kushindwa 3. Weka Malengo yako - na buni namna gani unataka ukife hapo 4. Tumia muda mwingi katika kile unachotaka kikupe faida- Chora Ndoto yako 5. Lipa Gharama - achana na mambo na watu wasiokupa faida 6. Agana na Mungu katika unachokifanya
@bishoptvalbert4112
@bishoptvalbert4112 6 ай бұрын
WATUMISHI WA MUNGU VIJANA USIISHI MAISHA YA MAIGIZO • Usilazimishe kuvaa suti wakati uwezo wako halisi ni kushona suruali ya kitambaa na koti la mtumba Iishi hiyo hatua kwa furaha, ujasiri na moyo wa shukurani ukijua NI HATUA TU KWENYE MAISHA UNAPITIA, HAUTAKUWA HAPO MILELE na ukidumu kuwa mwaminifu kwenye wito na huduma yako, kuna siku UTAZIDIWA NA WINGI WA NGUO HADI USHINDWE UVAE IPI UACHE IPI! Wote tumepita huku, Wote tumepitia haya, Ni hatua tu kwenye ukuaji binafsi na kuaminiwa na Mungu! • Usilazimishe kutaka kuishi nyumba nzima wakati uwezo wako halisi ni chumba na sebule! Utajikuta hela yote inaishia kwenye kodi tu, huna kingine ulichofanya. Kubali kuishi kwenye chumba na sebule au chumba kimoja, huku ukimtumikia Mungu kwa furaha na uaminifu, SIKU SI NYINGI MUNGU ATAKUHAMISHA HAPO NA MAISHA YATAKUWA NA MWONEKANO BORA ZAIDI! Wote tumepita huko, Wote tumepitia haya, Ni hatua kwenye ukuaji binafsi na ukuaji wa huduma ili kuaminiwa na Mungu na mambo makubwa mbeleni! •Usilazimishe kutembelea gari binafsi au ya kukodi wakati kiwango chako halisi ni daladala au bajaj na bodaboda! Utajitesa, utajiumiza, utakuwa dissapointed mno kwenye maigizo yako hayo. Panda daladala kwa furaha na humo nena kwa lugha na kusifu kwa moyo wa shukurani kwa hatua hiyo. Siku zinakuja MAGARI UTAKUWA NAYO, NA UTAENDESHWA NA DEREVA BINAFSI! Wote tumepitia hayo, Mungu ametupitisha huko, MIMI ASKOFU DICKSON CORNEL KABIGUMILA NAPANDA BODABODA NIKIWA DAR ES SALAAM KWA AJILI YA FOLENI, NDIO USAFIRI WANGU BORA NA HAIMAANISHI NIMEISHIWA AU NINA HALI MBAYA, NAOKOA MUDA, NATUMIA MUDA WANGU VIZURI! NA UPAKO UKO PALEPALE, NEEMA IKO PALEPALE, NA KIBALI KIMEJAA KAMA CHOTE! Usisahau hili, "Maisha yapo kwenye hatua tofauti tofauti na watu wapo kwenye viwango tofauti tofauti" (Askofu David Oyedepo) USIIGIZE MAISHA KUWA HALISI JAA SHUKURANI KWA ULIPO HUKU UKIMWAMINI MUNGU KWA HATUA BORA ZAIDI KESHO, Askofu Dickson Cornel Kabigumila ABC GLOBAL DUNIANI 15.01.2024 Picha ya kwanza ni mimi mwaka 2010 nikiwa field TAZARA na ya pili ni jana Jumapili 14.01.2024 ABC GLOBAL SABASABA
@shakilaibrahim3271
@shakilaibrahim3271 8 ай бұрын
Amina
@DainesMlowe-in9uy
@DainesMlowe-in9uy 3 ай бұрын
Nicee
@jamesandanje8459
@jamesandanje8459 11 ай бұрын
Amen 🙏 be blessed thanks
@fidonifidel
@fidonifidel 6 ай бұрын
Jamani Mafundisho kama haya ya watumishi adimu muwe munaruhusu kudaunilodiwa ili tuwaonyeshe wengine .
@annaamani4436
@annaamani4436 7 ай бұрын
Amina baba
@MagangaMasunga
@MagangaMasunga 6 ай бұрын
Ameen mtumish wa mungu
@user-hp1xe4tf4p
@user-hp1xe4tf4p Жыл бұрын
Ameen 🙏🙏🙏
@D_erek_018
@D_erek_018 Жыл бұрын
Perfect Daddy 🙏🙏
@user-vo6vl1hq7x
@user-vo6vl1hq7x Жыл бұрын
Sawa Daddy, thanks,
@seciliajohn1456
@seciliajohn1456 2 ай бұрын
Baba mchungaji nahitaji namba zako unisaidie Ili tuwasiliane Kuna muda moyo wangu umevunjika sana ila Bado cjakata tamaa nahitaji maombi yako
@bonifacebochela4717
@bonifacebochela4717 Жыл бұрын
Aminaa
@lisajoanmark1748
@lisajoanmark1748 3 ай бұрын
@user-zo6um7zq1b
@user-zo6um7zq1b 7 ай бұрын
Napokea kwajina la yesu
@eliudmwamlima2691
@eliudmwamlima2691 2 ай бұрын
Naomba nambazako.mchungaji
@macedoniusfrances8410
@macedoniusfrances8410 Жыл бұрын
Barikiwa 🙏🙏🙏 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Amen
@neematinda5738
@neematinda5738 Жыл бұрын
🙏
@eliudmwamlima2691
@eliudmwamlima2691 2 ай бұрын
Namba
@VictorNdeoya
@VictorNdeoya 11 ай бұрын
Napokea maisha hayo kwajina la yesu
@ElineMmary-tw8zc
@ElineMmary-tw8zc Жыл бұрын
Nikweli kabisa wajifunze kwa walio weza
@seciliajohn1456
@seciliajohn1456 2 ай бұрын
Naitwa Cecilia john, naitaji maombi yako, baba wa efatha, sina mtoto nina miaka 38 niliondolewa kizazi baba nisaidie, nimelia sana, nimechekwa sanaaaaa, ila nina imani ipo cku nitapata watoto baba nisaidie nami niondoe aibu hii
@wittnessamson9360
@wittnessamson9360 2 ай бұрын
Karibu kanisani Secilia
@glorytv5292
@glorytv5292 Жыл бұрын
Ameeee ongera mt
@barakaayubu6126
@barakaayubu6126 7 ай бұрын
Natamani kuonana na mwingira USO Kwa USO nitafanyeje Ili nifanikiwe katika hili?
@wittnessamson9360
@wittnessamson9360 2 ай бұрын
Karibu kanisani Baraka
@petroshija1222
@petroshija1222 Жыл бұрын
Amina
@marthakesi9185
@marthakesi9185 Жыл бұрын
Amina baba
@mwebraniasamson4734
@mwebraniasamson4734 Жыл бұрын
Amen
@andreafulgence6315
@andreafulgence6315 10 ай бұрын
Amen
@syphrinejuma5557
@syphrinejuma5557 Жыл бұрын
Amen
@mwamatengejay
@mwamatengejay 6 ай бұрын
Amina
Maneno ya mwanzo wa kongamano kutoka kwa Mtume na nabii Mwingira
11:28
maarifa ya baba
Рет қаралды 20 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 18 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 103 МЛН
AMUA UNACHOTAKA LEO - JOEL NANAUKA
17:14
Joel Nanauka
Рет қаралды 97 М.
UPENDO.Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira
1:54
Efatha Church Mtwara
Рет қаралды 1,8 М.
Apostle & Prophet Josephat E. Mwingira | ZIJUE NJIA 21 ZA KUSHINDA SILAHA ZA GIZA - Sehemu ya I
40:48
Apostle & Prophet Josephat E. Mwingira
Рет қаралды 29 М.
TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA
16:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 117 М.
Mtume na nabii Josephat Mwingira  Akiomba ikulu Leo
6:52
Consolatha Constantine
Рет қаралды 35 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 18 МЛН