Taamu samaki wa kwetu unaliya na ugali na kachumbali ya vitungu tamu saana😋😋😋
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Wanatamanisha hao
@user-he5im1vr7j Жыл бұрын
شااااطرة hudari saaaana
@zulfahussein6784 Жыл бұрын
MashaAllaah tabaraAllaah yaani hapo na kaugali na kachumbali 😋😋😋😋😋😋 Yaani wanikumbusha nyumbani
@ikamalle Жыл бұрын
🔥
@hamisaadamu8099 Жыл бұрын
Paplika una inunulia sokoni au supamarket please naomba uni julishe
@dailyhealthandhygiene7413 Жыл бұрын
Virago hivi vyaeza tumika kwenye kuku?
@eunicegerminus1936 ай бұрын
Samaki nampendaga sana huyu
@Tino_Official_tz Жыл бұрын
Yummy 😋😋
@priscapaulpaul6254 Жыл бұрын
Duh migebuka jaman😍😍😛😛
@nasrajuma91855 ай бұрын
Iyo nyekundunn
@christinahillary3417 Жыл бұрын
Mikeke jamani
@judicahillary9910 Жыл бұрын
❤❤❤❤😋😋
@briellasure257 Жыл бұрын
Hii Ika wapi naweza kununua your frying pan? Help!
@ikamalle Жыл бұрын
Nilinunua kwenye Vyombo vya mtumba dear
@badawyhaji9288 Жыл бұрын
😋😋😋😋😋😋😋
@mdmahammed2852 Жыл бұрын
nimependa mie ningekuwa na ugali mamy
@kamau54ambu Жыл бұрын
Wali
@philipamalemba6688 Жыл бұрын
Tamu ajabu
@getrudemlay6514 Жыл бұрын
Kwenye mafuta uliweka nini
@muniraalmusalmy8363 Жыл бұрын
Hapo dear kwa wali na pia unapika maharage utakula mpaka ushindwe kusimama
@ikamalle Жыл бұрын
Yaaaani 😂
@mbanga6759 Жыл бұрын
Migebuka jamani kigoma runafaidi du Kuna sehemu moja inaitwa sibwesa nilikwenda subutu nilikua nawakimbia sili natamani kisamvu balaa akipiga mtu na kisamvu Kama kabeba kuku
@mbanga6759 Жыл бұрын
@@ikamalle mahm
@elinakazungu1581 Жыл бұрын
Ugali
@ikamalle Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@zubedaally4458 Жыл бұрын
Ningekula na ugali, kachumbari
@ikamalle Жыл бұрын
🤤🤤
@Utadowot Жыл бұрын
Shombo ni nini?
@hamisaadamu8099 Жыл бұрын
Harufu ya samaki
@hamisaadamu8099 Жыл бұрын
Jina jingine la rose mery na nikienda sokoni naulizia jina hilo hilo?
@Utadowot Жыл бұрын
@@hamisaadamu8099 Asante. sijui jina ingine lakini sokoni uliza tu rosemary