Makange ya kuku | Jinsi yakupika makange ya kuku matamu sana | Rosti la kuku.

  Рет қаралды 124,852

Rukia Laltia

Rukia Laltia

4 жыл бұрын

Facebook: Rukias kitchen
Website:rukiaskitchen.com
Instagram:rukias_kitchen
Cookpad: Rukias kitchen
Mahitaji:
Tomato mkebe vjko 3
jumbo ama magi cube
ndimu nusu
kitunguu maji1
pilipiliboga
carrot 1
garammasala kijiko kidogo
curry powder kijiko 1 kidogo
pilipilimanga kijiko nusu kdogo
Kuku nusu kilo
royco kijiko 1 kdogo
chumvi
kitunguusaumu na tangawizi vijiko 2 vya kula
Mafuta.

Пікірлер: 79
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
If you would like to watch this video in English press the link ➡️ Chicken stew | How to cook a tasty and thick chicken stew | Kenyan chicken stew . kzfaq.info/get/bejne/ad6EqqeKrLmmfY0.html
@munahamis1479
@munahamis1479 4 жыл бұрын
Hello sister mm nataka kupika mapange ya kuku mzima wa kisasa Recipes please
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Kwenye picha kuku anaonekana mkubwa kumbe wa kiasi vipande
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Asante 😋
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Tunapenda
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 4 жыл бұрын
Mashaa ALLAH Napia wajua kueleza step by step Hongera yammy.,
@hermandemello2200
@hermandemello2200 2 жыл бұрын
Ty Rukiya for the awesome n lovely chicken Makange I'm pleased and happy watching ur post from Tanga Tanzania Wow.
@emk6360
@emk6360 4 жыл бұрын
Thank you dear. You are such an amazing chef
@flora.damaryamila7313
@flora.damaryamila7313 4 жыл бұрын
Asante sana kwa maelezo ya upishi mzuri.
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
Sauti yenyewe mashalla , nice one
@taucrasheed4942
@taucrasheed4942 4 жыл бұрын
Ma sha Allah yummy yummy
@faazatiali
@faazatiali 4 жыл бұрын
Mashallah mashallah habibty 😍 😋 😋 😋 looks so yummy jamani, must try hun ❤️❤️
@aishaaisha7032
@aishaaisha7032 4 жыл бұрын
Masha Allah nice
@azzaalmaamry76
@azzaalmaamry76 4 жыл бұрын
MaashaaAllah habibty
@allymamu9219
@allymamu9219 4 жыл бұрын
Mimi naipend San saut yk pia so yum😋😋
@shayograce7193
@shayograce7193 3 жыл бұрын
Nimependa sauti yako dear unaelekeza vizur hongera
@marymathew6529
@marymathew6529 4 жыл бұрын
Your my favorite chef,I love how you cook.
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Mary Mathew aww thank you so much ❤️
@kuimwangi3198
@kuimwangi3198 3 жыл бұрын
Asante sana nimesoma jinsi ya kutayarisha kuku leo
@masoudkhamis9580
@masoudkhamis9580 4 жыл бұрын
Shukran habbty
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Aiiiiiii wedada unaniuwa mwenzio kwa mapishi yako mazuri,
@leilamohamed7445
@leilamohamed7445 4 жыл бұрын
Mashallah. Bado tanduri
@alvismumkaranja3360
@alvismumkaranja3360 4 жыл бұрын
Soo yummy
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 4 жыл бұрын
Sauti yako nzuri Mungu amekujalia, je unaweza kuimba kufanya muzik ?
@rukayasalafiyat5230
@rukayasalafiyat5230 4 жыл бұрын
MAA SHAA ALLAH
@Misskinyua.
@Misskinyua. 4 жыл бұрын
Yummy
@user-yt8od5ci4c
@user-yt8od5ci4c 3 ай бұрын
Nimeelewa dada nilitamani sana kujua hapo sawa
@aimeebanza9893
@aimeebanza9893 4 жыл бұрын
Nice
@athmankambi937
@athmankambi937 4 жыл бұрын
Safi sana kazi nzuli
@jacintawanza5007
@jacintawanza5007 Жыл бұрын
Asante sana
@neema_mollel
@neema_mollel 4 жыл бұрын
Asante dear
@calvinchonjo
@calvinchonjo 2 ай бұрын
I love u Rukia...God bless u
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 2 ай бұрын
🥰🥰🥰Ameen
@MWALIMUMBUNIFU89
@MWALIMUMBUNIFU89 4 жыл бұрын
Ukipika kwa muda mrefu hizo vegetables, vitamins na enzymes zilizomo humo ndani yake si zinaharibika?
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Looks delish😋😋😋
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
B's Magic Kitchen thank you so much ❤️
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
@@RukiaLaltia you're welcome dear😘❤
@konsolatatutu423
@konsolatatutu423 4 жыл бұрын
😋😋👍
@elizabethejohn8127
@elizabethejohn8127 4 жыл бұрын
Nimependa hingeraa
@akinyiokeyo4618
@akinyiokeyo4618 3 жыл бұрын
Mbona hajatumia tomato fresh?
@neelam507
@neelam507 4 жыл бұрын
👌👌👌👌👌what is Royco?
@marryyohana89
@marryyohana89 4 жыл бұрын
Nimeipenda bule
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
Sauti tu mie
@pendondossy2158
@pendondossy2158 4 жыл бұрын
Makinika nami mpk mwisho napenda
@fetlisheshenry2510
@fetlisheshenry2510 2 жыл бұрын
Jumbo ni nini
@kundigobo7266
@kundigobo7266 2 жыл бұрын
Hayo siyo makange bana,ni rosti
@joelndowo
@joelndowo 3 жыл бұрын
tatizo hivo viungo vengine ntavitoa wapi sie wa mbeya huku....daah sema unaelekeza vizuri sana dada
@edinayinza1829
@edinayinza1829 2 жыл бұрын
😁😁😁
@esterstaphord5184
@esterstaphord5184 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 mahiii umegusaaa penyew 😂 ... hata uyolee havipo hivyo viungo
@marymathew6529
@marymathew6529 4 жыл бұрын
Je siwezi tumia nyanya ya kawaida tofauti na nyanya ya mkebe?
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Unaweza dear isage kwa blender ndio uxuri
@rukiabaybe8594
@rukiabaybe8594 4 жыл бұрын
Mi kila siku najiuliza makange nini jaman kumbe nii ivyo
@loreenodongo9930
@loreenodongo9930 4 жыл бұрын
Where can i buy the greated ginger plus garlic?
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Supermarkt
@foztz2249
@foztz2249 3 жыл бұрын
Naweza kutumia nyanya fresh instead of nyanya ya kopo katika hiyo recipe yako?
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Waeza
@RAMADHANKHAMIS
@RAMADHANKHAMIS 4 жыл бұрын
Mapishi mazuri ila Royco, Jumbo na Tomatoe ya mkebe ni bidhaa vya kemikali nyingi - vinachangia pakubwa katika kuenea kwa mangonjwa kama vile kansa.
@missykayla2460
@missykayla2460 4 жыл бұрын
how about curry powder?
@RAMADHANKHAMIS
@RAMADHANKHAMIS 4 жыл бұрын
@@missykayla2460 Ideally Curry Powder is a mix of natural herbs
@RAMADHANKHAMIS
@RAMADHANKHAMIS 4 жыл бұрын
@@missykayla2460 Ideally Curry Powder is an assortment of herbs originally from , very good ...
@leaherasto929
@leaherasto929 26 күн бұрын
Point kubwa sana
@AmonAlbert-jk7gu
@AmonAlbert-jk7gu Жыл бұрын
Y
@TeamKRX
@TeamKRX 4 жыл бұрын
Si nimchuzi tu
@happysamweli4438
@happysamweli4438 3 жыл бұрын
Naweza changanya ndiz zilizokatwa kma chips na kuacha dk 1au nitapoteza ladha my
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Ndio waeza
@happysamweli4438
@happysamweli4438 3 жыл бұрын
@@RukiaLaltia asante dear
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Zaman nilikuwa napenda viive Sana kalot hila wanasema za makange Ata za kawaida hazitakiw kuiva Sana
@ashuramrisho9828
@ashuramrisho9828 4 жыл бұрын
Naomba namba yako ya wasap
@mwendwabbc9183
@mwendwabbc9183 2 жыл бұрын
Pilipili manga yaitwa aje na kizungu
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 2 жыл бұрын
Black peper...
@glorylema5652
@glorylema5652 4 жыл бұрын
Dada naomba niwe muonjaj
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Glory Lema karibu sana 😂😂 dada sema uko mbali
@glorylema5652
@glorylema5652 4 жыл бұрын
@@RukiaLaltia ntakuja tu mbali ni mbinguni jaman
@leonialymo8286
@leonialymo8286 4 жыл бұрын
Dada mambo gani hayo yakunitoa mate kwenye mtandao. You are great my dear.
@faazatiali
@faazatiali 4 жыл бұрын
Mashallah mashallah habibty 😍 😋 😋 😋 looks so yummy jamani, must try hun ❤️❤️
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Omg it’s really really tasty love 😋😋😋👌 im just making u to salivate 🙈🙈
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 4 жыл бұрын
Masha'allah
@al-nnisaamuhaajiriin2101
@al-nnisaamuhaajiriin2101 4 жыл бұрын
Nice
I Built a Shelter House For myself and Сat🐱📦🏠
00:35
TooTool
Рет қаралды 24 МЛН
Как быстро замутить ЭлектроСамокат
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 12 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 5 СЕРИЯ
27:21
Inter Production
Рет қаралды 605 М.
Makange ya nyama | Jinsi yakupika nyama yakukaanga.
5:24
Rukia Laltia
Рет қаралды 234 М.
JINSI YA KUPIKA CHIPS VURUGA/CHIPS MASALA
5:45
Ika Malle
Рет қаралды 903 М.
CHIPS VURUGA YA KUKU
8:04
keki plus
Рет қаралды 14 М.
makange ya samaki (sato) ni mazuri sana😋
4:56
homecookingtz
Рет қаралды 6 М.
How To Make Swahili Biriani | Chef Ali Mandhry
11:40
Chef Ali Mandhry
Рет қаралды 1,9 МЛН
Who’s more flexible:💖 or 💚? @milanaroller
0:14
Diana Belitskay
Рет қаралды 18 МЛН
Vous préférez quand je ferme mon clapet c’est ça! 😠😂
1:01
Hack de Vie
Рет қаралды 19 МЛН
My cats decided to teach me a lesson #cat #cats
0:17
Prince Tom
Рет қаралды 15 МЛН
Who reaches the finish line first ??
0:59
SS Food Challenge Junior
Рет қаралды 35 МЛН
Who reaches the finish line first ??
0:59
SS Food Challenge Junior
Рет қаралды 35 МЛН