njoo tuongee biashara ya vitumbua. in biashara nzuri sana na biashara yenye faida ya kutosha .kama utafuata taratibu,maelekezo na vipimo vyote.. Mara nyingi biashara hii faida yake inazidi mtaji.
Пікірлер: 45
@olivabongole90962 жыл бұрын
Umefanya juu juu sana. Wengine hatuna idea kabisa hatujui viungo vyake wala kuusaga huo mchele
@maruunyange10913 жыл бұрын
Nakupenda Jana, Leo na kesho my love.
@monjefrank63418 күн бұрын
Yaan unaelekza utafkr wote tunajua😢nenda step kwa step tuelewe
MashaaAllah hio pan nzuri sanaaaa.. Napenda sanaa vile alikua akisonga shukran kwa hili somo babe
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Asante sana love
@ciekeyslebulu63932 жыл бұрын
Jaman mngetuelezea jinsi ya kuchanganya,na mmetumia viungo gani
@josephinentaumenya6460 Жыл бұрын
Mmh. Umelipua sana maelezo yako. Ni ngumu kuelewa
@EstherMsakyАй бұрын
Mchele kiasi gani,, vyote viwe vya kias gani ili kupata hiyo elf 10 ili kupata elf13
@cookwithmsoo3 жыл бұрын
Wow. Just wow! Creativity at it's best. You're doing a good job ya kutuelimisha sis
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Asante sana love..thanks for supporting
@paulinamoshi81412 жыл бұрын
Mme tufundisha juu juu process za uandaaji hakuna
@rajabukamota4141 Жыл бұрын
HUjasemAaa tunawekaa nn hujatonyeshaa mwanzoo wa kuchangany ivooo kwa mm cjaelewa
@maryrogers71413 ай бұрын
Habari nilijaribu kusaga mchele kutumia blenda lakini chenga zinabaki na hata nikipiga Sana chenga zinabaki wewe unafanyeje unapotumia blenda usibakie chega chenga je! ni utaratibu gani unaotumia ktk kuandaa mchele wako Hadi kuusaga kutumia blenda? Swali la 2 mbona ninapohuumua maji yanapanda unga unabaki chini na Wala hauumuki tatizo ni nini au nimekosea wapi? Naomba unifahamishe
@NyagazDXB3 жыл бұрын
Wow wow wonderful
@lucywaithira72543 жыл бұрын
Great!!!
@lucywaithira72543 жыл бұрын
Sijaelewa michanganyiko hiyo.
@leonidasimon7814 Жыл бұрын
Hizo ndoo jaman kaaa
@yusramkamiamaji75652 жыл бұрын
Umetumia mchele gan?
@rajabukamota4141 Жыл бұрын
Kam n sukar na vtu gan vnahtajkaaa hujawlewekaaa
@kuluthumually68112 жыл бұрын
Biashara nyingi zakusimuliwa huwa slzina faida kubwa kwa maneno lakini uhalisia no
@amuialvov30573 жыл бұрын
♥️♥️
@maryolalo3 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@dorothylyimo537811 ай бұрын
Je huo mchele hukuusaga?
@stellahmichael71562 жыл бұрын
Mbona namba yenyewe haipatikani?
@salmaseif87553 жыл бұрын
Mbona hamjaonesha mbinu zake kumbe mnatangaza darasa🙄🙄
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Ndiyo ni darasa dear,karibu
@floramagoli45052 жыл бұрын
Mchele ametumia kiasi gani?
@stellahmichael71562 жыл бұрын
naomba namba ya simu nipate kuelekezwa vtumbua
@jackyluns82243 жыл бұрын
Keki plus mie nataka darasa LA kutengeneza buttercream inayokauka haraka kwenye keki
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Nitafute whatsap nikupatie recipe.
@jackyluns82243 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly ok
@elizabethwilliam50082 жыл бұрын
Sasa dada hapo kwenye viungo naomba naomba urudie
@evalineemmanuel81789 күн бұрын
mchel kias ghn my
@ramsonmoha33472 жыл бұрын
Jee unachanganya na unga wa ngano
@giovannyally6066 Жыл бұрын
Hi mamb
@joanbetty57523 жыл бұрын
Dia only rice plz reply me am here uganda 🇺🇬 kyiswahiri no plz tell me
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
You have to pay for the recipe dear
@AnethDavid-jg2ol Жыл бұрын
Ashu raasatesana
@nageryt Жыл бұрын
Numba yako ya simu haifanyi
@nasraomar-gc6kd Жыл бұрын
Siku pati watsap
@faridahamis1165 Жыл бұрын
Mtoa maelezo cyo mpishi,hata YY kupika ajui ndo maana kamrekod mwenye kaz yake,kaficha maelezo ili ulipie 15000,Kwa staili hii Bora utafute mpish wako mzur mtaan mpatane akufundishe tu