NONDO ZA ASKOFU NGALALEKUMTWA KWENYE MISA YA KUMUAGA RAISI MKAPA/ASIMULIA MAMBO MAZITO/AGUSIA KITABU

  Рет қаралды 22,539

Breez Online Tv

Breez Online Tv

4 жыл бұрын

NONDO ZA ASKOFU NGALALEKUMTWA KWENYE MISA YA KUMUAGA RAISI MKAPA/ASIMULIA MAMBO MAZITO/AGUSIA KITABU CHAKE CHA MY LIFE MY PURPOSE

Пікірлер: 36
@filbertdominiki7965
@filbertdominiki7965 7 ай бұрын
Ee Mungu Mwenyezi mbariki mtumishi wako
@azigarykadinde6270
@azigarykadinde6270 3 жыл бұрын
Nampenda sana askofu ngalalekumtwa
@AshaBay-xg7wp
@AshaBay-xg7wp 3 ай бұрын
Amina
@drmatongoro7
@drmatongoro7 3 жыл бұрын
Ulihubiri kufupi na maneno mazuri katika ibada hiyo, pole sana bishop najua siku hiyo ulikuwa unaumwa lakini ulitimiza wajibu wako wa kutoa neno katika siku mhimu na ya kitaifa
@deogratiasmashimbi2281
@deogratiasmashimbi2281 4 жыл бұрын
Homilia imetulia sana. Ina ujumbe mujarabu. Baba Askofu Ngalalekumtwa ameitendea haki mimbari. That’s why I love Catholics
@AdenAdiliano-rh8zf
@AdenAdiliano-rh8zf 11 ай бұрын
Barikiwe sana Askofu
@KumaZoom-ux5hm
@KumaZoom-ux5hm 11 ай бұрын
Homilia nimeipenda
@enosykilufi533
@enosykilufi533 4 жыл бұрын
Amina baba Askofu.
@consolathambuya2563
@consolathambuya2563 4 жыл бұрын
Amina baba
@edsammakallo484
@edsammakallo484 4 жыл бұрын
Mahubiri sahihi, kwa mtu sahihi. RIP
@masanjaelias5829
@masanjaelias5829 4 жыл бұрын
kazeeka kweli aisee
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 4 жыл бұрын
Lakini bado ananguvu.
@lucasmagima5112
@lucasmagima5112 4 жыл бұрын
Omba utakalo nikupe 🙏🙏🙏🙏
@hilarypangamawe6669
@hilarypangamawe6669 2 жыл бұрын
Hiki kitabu Cha Mzee. Mkapa Kiko wapi?
@amosmoses7800
@amosmoses7800 4 жыл бұрын
Mimi ni MLUTHERI na wala sitetereki wala kuhofia kitu. Lakini tunavyoendeshwa na hii serikali chafu ya kiBaguzi ya ccm ni UONEVU mkubwa wa haki za raia. Serikali ya ccm ya KIKATOLIKI ndio iliochukua Utawala baada tu ya uhuru ( uhuru wa bendera ) hadi ivi sasa ccm ya KIKATOLIKI wanaendelea kutawala inchi. Hakukuwepo wala musitegemee kuwepo na Raisi kutoka dhehebu jengine inchini Tanzania. Ata hao waislamu ni mizuzu tu isiojitambua hadi Leo hii. Wengi ndio waliopigania uhuru. Wengi ndio waliouwawa kwenye mapambano. Lakini wengi wao ivi sasa wanatumika kwa ajili ya KURA. idadi yao ni kubwa kwenye visanduku. Kwavile wanajulikana ni Maboya tu. Akili hakuna na Elimu hakuna. Tunaelewa agenda ya serikali ya ccm tokea ianzishwe ni KUWAWEKA WAKATOLIKI INCHINI NAFASI ZA JUU KATIKA KILA MAENEO. JESHINI. POLISH. MAGEREZA. WIZARANI.IDARANI. VYUONI. MAENEO NYETI YA IKULU . MAENEO NYETI YA UCHUMI. MAENEO NYETI YA MIHELA . Uyo aliefariki tunamjua ni mtu aliekuwa akiendeleza na kusimamia AGENDA na MAAZIMIO ya Mzee kambarage. Hatushangazwi kuona mazishi yake yakigarimu maBilioni ya hela za inchi katika kipindi ichi kigumu cha UCHUMI . Embu tusubiri mazishi ya Mzee ruhsa watamfanyia nini ^^^ ccm ni chama cha WAKATOLIKI ..kimeasisiwa kwa malengo malumu. Wapumbavu na Wajinga wataendelea tu kukipigia kura ili wapate kofia na sh 20, 000 .huku wakiendelea kula dagaa wakavu na sembe. Nguo zao viraka vitupu. Elimu kwao inaishia darasa la saba. Ili awe tu mjinga Asione mbele. Hakuna MLUTHERI aliepo ccm ila atakuwa zezeta hilo. Jhkgfd
@Ambagaye
@Ambagaye 4 жыл бұрын
Wewe siyo Mlutheli kuliko Lowassa na Sumaye; halafu hukumbuki gharama zilizotumika katika mazishi ya Dr Ali Juma.
@worframtimoth9781
@worframtimoth9781 4 жыл бұрын
Yani kinacho kuuma ni kuona viongoz wa kikatolik wakihusiana na viongoz wa serikali. Sasa kanisa katolik linaisaidia serikali katika maendeleo, unategemea nini?? Elimu, afya, project za maendeleo nk.
@marcelinamassawe100
@marcelinamassawe100 4 жыл бұрын
Inaonekana unamzigo wa chuki kwenye moyo wako unaongea usichokijua
@lucasmagima5112
@lucasmagima5112 4 жыл бұрын
Ulilazimishwa kuwa ruthelani???🤣🤣🤣🤣
@richardchaula1860
@richardchaula1860 4 жыл бұрын
Saga chupa unywe
@thobiasmalima2068
@thobiasmalima2068 4 жыл бұрын
Amina
@sezarymsala2144
@sezarymsala2144 4 жыл бұрын
Amina
@shukuruantipas8712
@shukuruantipas8712 4 жыл бұрын
Amina
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
MAASKOFU TEC WANENA HAYA KWA ASKOFU NGALALEKUMTWA AKIFIKISHA MIAKA 50 YA UPADRE
9:58
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 1,7 М.
MAASKOFU WAMTEUA PADRE KIKUDO SEKRETARIETI TEC,ASKOFU RUWA'ICHI APANGUA SAFU YA MAPAROKO...
16:02
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11
Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa akitoa neno la pongezi kwa niaba ya TEC
3:46
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 698