No video

NUKSI za kukosa Pesa, Mpenzi, Kazi, Mvuto wakupendwa na watu Tiba BURE kutoka kwa Sir binladeni

  Рет қаралды 8,136

BINGO ONLINE TZ

BINGO ONLINE TZ

3 жыл бұрын

Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
#bingoonlinetz
#sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1

Пікірлер: 29
@bingoonlinetz
@bingoonlinetz 3 жыл бұрын
Kama kuna somo unataka kulijua kutoka kwa sir binladen acha comment yako hapo chini na BINGO ONLINE TZ tutakuletea na ili kumpata sir binladen mpigia simu 0679426148 . LINK YA KZfaq YA SIR BINLADEN kzfaq.info/love/5QELa40yMcx2CgwMnoQAWQ
@johnnhashim9123
@johnnhashim9123 3 ай бұрын
Nauliza nuks na vifungu ViPi hapa sheik Kuna tofauti na tofauti yake nininiii
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 25 күн бұрын
Ninashida bwana yangu ameenda ulaya kanitoro na shinda mingi ninazo
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 25 күн бұрын
Sheikh shida mingi bwanangu alipotehya ulaya na amenisahau kabisa ni a nuksi kibao
@khadhiriramadhan5984
@khadhiriramadhan5984 3 ай бұрын
hii hali iliwahi kuntokea saana napata pesa lakni haikai mambo hayaendi yaani ilikuwa nimikosi ila kwasasa nikosawa Allihamndu Allah 🤲🤲
@saidikhamis9747
@saidikhamis9747 2 ай бұрын
Au ulikuwa unahonga Sana? Kama ukiwa muhongaji Sana pesa yako kweli haitakaa.
@SaumuDastani
@SaumuDastani 3 ай бұрын
Dr,mimi.nataka kazi
@SulaymanKhamiss
@SulaymanKhamiss 2 ай бұрын
Assallam Alleykum naweza nikajuwa unapatikana wapi
@EshaShamu
@EshaShamu 3 ай бұрын
Ustadhi unapatikana wap
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 11 ай бұрын
1:17 Naomba nisaidie yakuondoa mkosi
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 11 ай бұрын
Jaman tupo mbali tusaidie hata kututajia hizo dawa TU utakuwa umetusaidia
@noamboma-ds7bk
@noamboma-ds7bk Жыл бұрын
Naomba nisaidie kupata kazi
@saidikhamis9747
@saidikhamis9747 2 ай бұрын
Kupata KAZI mpaka uhangaike sio KUKAA ndani Tu.
@user-hr3pv4ch1w
@user-hr3pv4ch1w 5 ай бұрын
Mimi ma watoto wngu Haruna bahati
@dianaburton1415
@dianaburton1415 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana
@rehemahassan9743
@rehemahassan9743 3 ай бұрын
Aslkm Mimi ninashida na mumewangu Kila afanyavyo hafanikiwi nuksi nyingi mpaka twakosana
@user-vk1ph3xv6g
@user-vk1ph3xv6g 5 ай бұрын
Jamani Mimi nateseka sana sana hadi nishawaza kujiuwa tu nipumzika nahizi shida
@nurudinisalim290
@nurudinisalim290 3 ай бұрын
usifanye ni jambo baya sana ila nikushaur t emb jaribu kuwashirikisha mambo yako baadhi ya watu ambao wanaweza kukufariji
@user-hr3pv4ch1w
@user-hr3pv4ch1w 5 ай бұрын
Nina watoto wangu hawana bahati niganye mini
@user-nd8kq5gf9z
@user-nd8kq5gf9z Жыл бұрын
Nilikuwa naomba dawa za kutoa mikos kaka
@bitricBakari
@bitricBakari 7 ай бұрын
Nisaidie dawa
@alimzee
@alimzee Жыл бұрын
Ni nukus ndio ninayo
@hajraramadhani3892
@hajraramadhani3892 2 ай бұрын
L
@bitricBakari
@bitricBakari 7 ай бұрын
Ninazo unanisaidiaj
@salummpoto9094
@salummpoto9094 Жыл бұрын
Haaaa ww mwizi
@kibatarijuma8059
@kibatarijuma8059 Жыл бұрын
Acha dharau kaka ulimjuaje mwizi kaka na wew siyo mwizi heshimu kazi ya mtu
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 4 ай бұрын
Mh utamwambiaje mtu mwuzi
@aishaaisha4895
@aishaaisha4895 3 жыл бұрын
Sasa mbona namba hamja weka
@sirbinladen786
@sirbinladen786 3 жыл бұрын
0679426148
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
JINSI YA KUTOA MAJINI MWILINI KWA NJIA NYEPESI SANA
58:19
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 10 М.
NJIA RAHISI YA KUMVUTA MPENZI UNAYEMTAKA (SEHEMU YA KWANZA)
9:42
OPTIMIST: Maalim Abalhasan
Рет қаралды 130 М.
BIN LADEN: MIVUTO 10 YA AJABU KATIKA BIASHARA
14:44
Mbengo Tv
Рет қаралды 769
#LIVE: ZIJUWE NJIA ZA KUONDOKANA NA MIKOSI
1:04:37
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 10 М.
Meditation | Mafanikio | Meditation ipi ufanye na Ipi usifanye?
15:21
Rakims Spiritual
Рет қаралды 17 М.
KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO
27:31
Wasafi Media
Рет қаралды 210 М.