#PART4

  Рет қаралды 57,709

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

#PART4: DR SULLE ASIMULIA JINI ALIVYOFIA MWILINI -MTU AKAZIMIKA MBELE YAKE AKASOMA DUA AKAWA MZIMA..
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 215
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
vip zawadi
@user-cd2ej4re5k
@user-cd2ej4re5k Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@evansmusyoka5215
@evansmusyoka5215 Ай бұрын
Can i get the doctors no.
@RamadhanLunda
@RamadhanLunda 21 күн бұрын
Iyoni doctor mzuri lakini anatamaa Sana na nimshilikina😢 mungu atusaidie Sana na tamaa za pesa atunusuru yallab
@nuhukenny7183
@nuhukenny7183 Ай бұрын
Dr Sule, asanti sana. Na kukubali
@JumaMhafigwa-ic8ff
@JumaMhafigwa-ic8ff Ай бұрын
Dokta sule unayosema ni kweli mm nawajua majini vizuri sana na nna uwezo wa kumuadhibu jini nitakavyo kwa idhini ya Allah
@CharoHarrison-lf3jc
@CharoHarrison-lf3jc 22 күн бұрын
Msibaa
@omigrodrasnet7638
@omigrodrasnet7638 22 күн бұрын
Yesu alishasema wasiokili kuwa yy ndiye bwana hawatarithi ufalme wa mbinguni
@AssumaneAndane
@AssumaneAndane 26 күн бұрын
Masheikh,linganieni Dini,sio hela😢😢😢😢😢
@erickashindi2666
@erickashindi2666 Ай бұрын
Uwongo mbaya, Nchi zilizo endelea mgonjwa hua anatibiwa kwanza kisha analipa baadae
@cleverommy5706
@cleverommy5706 Ай бұрын
Mwongo weee mara kibao unasikia anataka kwenda kutibiwa india zinahitajika mili 20
@IsaKinyonga
@IsaKinyonga Ай бұрын
Usipotoshe umma muongope allah
@YarmanAljahhdiry
@YarmanAljahhdiry 24 күн бұрын
Doctr salaam alaykum Allah akuhifadhi hi inaitwa kujikanyaga kwasababu yaufikishaji hi njia inahitaji elimu zaidi jamii haiwezi kuelewa ila kunanjia malumu ila kwakukusaidia swali zawali alafu bainisha yote yalokuepo moyonimwako mkabidhi Allah tubia ulipokosea omba kheri kwa allah ndio daraja yako itarudi insha'allah rudi kwa Allah ila ukitaka kufikisha elimu nyengine wafate walio kusomesha nivipi ufikishe kabla kukurupuka
@HakizimanaJeandieu-dy7cx
@HakizimanaJeandieu-dy7cx Ай бұрын
Shukran
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
Masha'allah Masha'allah sheikh wetu
@Mina.15
@Mina.15 Ай бұрын
Watu?😂😂😂 wako ni mchawiii sio sheikh
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
Ujuwi Lolote Kasome
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 Ай бұрын
@@Kuminamoja1995 anajua jini hutumikishwa na mtu baada ya kukufuru,na hawi jini mwema huwa shayatwiin,na yeye si nabii sureiman
@lilmojr7
@lilmojr7 Ай бұрын
Usiseme mashaallah kwa mtu mshirikina Allah atulinde na fitna yake
@johngeorge4834
@johngeorge4834 21 күн бұрын
😂😂😂😂
@kipchorngwonektiroto457
@kipchorngwonektiroto457 Ай бұрын
Mshirikina wa kiwango cha juu sana
@TheBastarrrd
@TheBastarrrd 18 күн бұрын
😂😂
@user-sb4fy9fl8k
@user-sb4fy9fl8k Ай бұрын
Nakuamini shekhe
@haroubsalim779
@haroubsalim779 Ай бұрын
Huyu jamaa Yuko vizuri kiasi, muongeaji na mwenye akili kiasi chake, So kuna mambo anapatia na mengine anakosea kama mashehe wengine, Sasa tusimhukumu Kwa makosa tu na anapopatia tumpongeze.
@muharramhamisi5140
@muharramhamisi5140 Ай бұрын
Mim nampenda sana uyu sheikh kuna vit ving san najifunz kutok kwake ,kwanz confedence ake,mashaallah ❤
@user-ts1kz1lw9p
@user-ts1kz1lw9p Ай бұрын
Dr Tule macho yako yameanza kubadilika
@HadinanKimimbi
@HadinanKimimbi Ай бұрын
Doctor sule story alivyomuelezea nyuki Atari sana
@user-xh5vl6eh6i
@user-xh5vl6eh6i 23 күн бұрын
Na ile story ndo ilinifanya Mimi nimpende doctor sule na kuanza kumfatilia mpaka Leo hii masha ALLAH ♥️💞💞 aliweza kweli
@vicmosessande
@vicmosessande 14 күн бұрын
Tumia Muizi Ushike Wezi, Dr. Sule Alitumia Shetani Kutoa Shetani. Yesu Kristo Ashinda Mashetani
@SelemanAmir-ze8zz
@SelemanAmir-ze8zz Ай бұрын
Acheni kuendeshwa akili na mitazamo yawatu bila kutumia tafakari za akili zenu someni kwanza na sio kufuata kauli za waajiriwa wa madhehebu walikuja kwa mitaala maalum ya zogo ktk dini
@saidissa8273
@saidissa8273 Ай бұрын
Jibu hoja pacha porojo.ukiletewa mgonjwa wa majini utamtibu vp.huna elmu
@Mohammed-mn2xg
@Mohammed-mn2xg 13 күн бұрын
Maelezo yako na ya mgangamchawi hakuna tofauti isipokua kujificha kwa dini lkn hyo ilimu hauko kwa dini na kundi moja ndilo litasalimika cku ya kiama wanaofuata Qur'an na hadith za mtume SAHIHI zaidi ya hyo n motoni
@salehothman6144
@salehothman6144 Ай бұрын
Dah kazi kweli kweli
@HadinanKimimbi
@HadinanKimimbi Ай бұрын
Msikilizeni vizur msimkosoe Sema Shekhe sule anavitu
@technicalgearboxenginebysc1360
@technicalgearboxenginebysc1360 Ай бұрын
Mpaka hapo de sure tiba zako sio kumtegemea Mungu unaita majini mashariki kusini kwann usimuite Mungu kutumia dua hapo uchawi unatumia
@MohamediOmari-nz4vv
@MohamediOmari-nz4vv Ай бұрын
Unajua majini yaliumbwa kwa ajili gani
@Nassir-cl3bt
@Nassir-cl3bt 26 күн бұрын
Majina ni ya nani ni yako c na ya Allah tena majini ya Kher wew tumia akil Mungu yuko hapo asingetaka awangekuja ao majini mfano mtu akipagaliwa na mashetani uwa ywaenda wapi ebu tuambieni vizur msimuhukumu uyu doctor sule
@lilmojr7
@lilmojr7 Ай бұрын
Wallahi huyu anaharibu sifa ya uislamu kwa wenye elimu ndogo wataona waislamu una shida huyu sasa anadhihirisha sio mlinganiaji huyu ni mganga tena anaefanya shirki Allah atulinde nae
@Nassir-cl3bt
@Nassir-cl3bt 26 күн бұрын
Wewe elimu hauna uyo Dr sule anaelimisha hapo lbda amepandisha ama ameona majini jaman izo akil zenu ziko wap na wenda nyinyi ndio mnatumia majini Dr sule anatoa ukwel kbsa
@LugomeRisasi
@LugomeRisasi 16 күн бұрын
Wewe ndo huijui dini yako
@Mpakauseme
@Mpakauseme Ай бұрын
Taiwan si nchi ya kislam ni pahala wa wachina na hakuna wizi wamazingira hayo uyasemayo nafikiri haukuzunguka ulimwengu mzima , Malaysian nchi ya kidini ya uislam nakuna rushwa na ushenzi kwenda mbele mpka na huko Indonesia kwenye waislam wengi zaidi so mjomba labda uwadanganye hao watu wapo nyumbani
@ZubeirJuma-up7kb
@ZubeirJuma-up7kb Ай бұрын
Mshirikina uso umetoka nuru ya imani umekuwa kama uyo jini wako umekwabuka mchezo na shirki tamaa ya pesa na maisha ya Dunia tafuta kazi za halali Acha uvivu
@user-qb4cv7hs1o
@user-qb4cv7hs1o Ай бұрын
Yani mshirikana hana ata hofu ya mungu Kesho wataulizwa anakera kwa kweli aseme Tu ni mganga wa kiyenyeji asijivije kivuli cha dini
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Anatuharibia dini yetu kwa maslahi yake binafsi hana hofu na kesho yake, Eee MOLA wetu malezi tunusuru
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 Ай бұрын
Nikweli huyu amepotea kabisa mungu amrudishe ktk njia ya haki. Jini hawezi kukulinda wakati yemwenyewe ni kiumbe dhaifu. Allah anasema ktk quran Akiwaambia wanaume wa kibinadamu walivyotafuta ulinzi kwa wanaume wa kijini allaha akasema wamewazidishia madhambi hii ni hatari sana Ayah ni hii وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi
@lilmojr7
@lilmojr7 Ай бұрын
Allah ameondoa nuru katika paji la uso wake kwa hii shirki anayofanya Allah amuongoe
@athumannyungundileki9799
@athumannyungundileki9799 Ай бұрын
Kweli sule amepoteza nuru katika paji lake la uso kwa ajili ya usirikina
@Dafetty
@Dafetty Ай бұрын
Part 5 please 😅😅😅❤
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 Ай бұрын
Dr Sule ni mtaalamu
@muhammadally393
@muhammadally393 Ай бұрын
Muhammad Ally Rufungura kutoka Kampala Uganda Dr Sule umenipa moyo na kufanya hofu zangu zitoweke kwa ajili ya elimu ya tiba ya Quran Allah mtukufu akurahisishie kila kitu
@mariyammariyam1454
@mariyammariyam1454 Ай бұрын
Mimi nakukubali Sana unaongea unafafanua kutoka moyoni Asiyekuelewa Analake Jambo mashekhe weeengi sasaivi nikumzungumzia sule selu mungu Akusimamie uzidi kuwaponya watu nakuwaelimisha Asante nakupenda Bule
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 Ай бұрын
Mashekhe wa Tanganyika bwana hatar duniya mbele Ahera nyuma😂😂😂😂
@sawebenjamin4015
@sawebenjamin4015 17 күн бұрын
Dini ni jitiada ya mwanadamu kutafuta mungu, ukiristo sio dini, Ukiristo ni mungu kutafuta mwanadamu %100
@KelvinMwanzia-hh4rh
@KelvinMwanzia-hh4rh 8 күн бұрын
Naomba namba yako dr sule
@wambelahassan1764
@wambelahassan1764 Ай бұрын
Hiv jmn elim tunayo au tunapayuka t ebu tusomen jmn ,,mi nasoma t hata sielew ila najifunza napata uelewa
@user-ts1kz1lw9p
@user-ts1kz1lw9p Ай бұрын
Dr Tule
@NoorynMuddy
@NoorynMuddy Ай бұрын
Sawa doctor tumekuelewa rkn punguza tumbo hilo utapunguza utyamu😊
@djsma255
@djsma255 Ай бұрын
Aise napiga hili la pete, na nyota kwanza mtume Muhammad S.A.W alitukataza mambo yakusoma nyota, alafu mbona simple kama unataka baraka na mvuto na ikifika saa 9 usiku amka Allah anashuka mpaka mbingu ya dunia na kunadi, kuna mwenye dua nimjibie, kuna mwenye haja nimtumizie kuna mwenye kutaka msamaha nimsamehe.... Huo ndio muda na njia ya uhakika ya kupata baraka na bahati na mafanikio, haya ya majini na nyota sio mila yetu wafeasi wa mtume Muhammad S.A.W
@user-wo9zf6oo4j
@user-wo9zf6oo4j 4 күн бұрын
Ni najuwa kusoma kiarabu
@KelvinMwanzia-hh4rh
@KelvinMwanzia-hh4rh 8 күн бұрын
Naomba namba yako natoka kenya
@abdillahiharuna0029
@abdillahiharuna0029 Ай бұрын
Kitu ambacho nimekigundua nikwamba kuna siri kubwa kwenye elimu watu wengi wanaangamia kwakukosa maariya
@sawebenjamin4015
@sawebenjamin4015 17 күн бұрын
Dr sule ameunganisha jitiada ya kutafuta mungu na uganga= kwa hivo ushirikina kamili.
@bosskenya123
@bosskenya123 29 күн бұрын
Hapo mnaita majini waje kuwasaidia sisi uwa tunaita roho mtakatifu. Hatuwezi fanana ng'0
@user-ro5yn1uw8v
@user-ro5yn1uw8v Ай бұрын
Naomba namba ya Dr sulle
@IsaKinyonga
@IsaKinyonga Ай бұрын
Jamani huyu jamaa atakupotezeni kueni makini
@rashdabdulazizi4193
@rashdabdulazizi4193 Ай бұрын
Jifunze hautopotea
@NMJAsaid
@NMJAsaid Ай бұрын
Sasa shekhe wa wadudu naona waanza kuwa mchawi, mwanga. Yaani hata sijui wazungumzia dini gani!
@medinaser9712
@medinaser9712 Ай бұрын
Tazama hatari anasema ndigu zake ndio waliyomtia hayo majini ..sifa ya hao washirikina ni kugoganisha ndugu
@nuhukenny7183
@nuhukenny7183 Ай бұрын
Lakini Haku mention jina
@Mina.15
@Mina.15 Ай бұрын
(CRAMPS)MCHAWIII MKUBWA WEWE NA HIYO CREMPU YAKO😂😂😂 ….
@AbubakaryAbdallah
@AbubakaryAbdallah Ай бұрын
Sas jaman uchawi hapo umeingiaje ni ukwel tu Kwan imam ghazal anavitab hatar San lakin mbona hamumuiti mchawi
@user-xf4qs5ti5m
@user-xf4qs5ti5m 28 күн бұрын
Kumbe yule mtetezi wa sule ni kuku jogo jina😂
@user-zz7jr7yj9m
@user-zz7jr7yj9m Ай бұрын
Wa kwanzaaa ilaaaa Habari yaifungukiii
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 Ай бұрын
Sulle ni mganga wa kienyeji anayejificha kwenye kivuli Cha dini fulani
@salumuledisalum8038
@salumuledisalum8038 Ай бұрын
Hili ni tapeli kubwa
@aliymwanafuno9848
@aliymwanafuno9848 27 күн бұрын
Mmmhhh kote kasema,ila kwa kikwete kapotea,kikwete mwiz2
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Ай бұрын
Makubwaa! Kumbe waislamu mnatumia mini,badala ya Mungu?? Nilimtukanaga sn Mwaipopo akikuponda.Mwaipopo nisameheee.
@Shuu.A
@Shuu.A Ай бұрын
Wee usiseme waislam mtaje huyu tu anaesema usichanganye waislam wote hapa na hao wanaojiita manabii na wachungaji pia wao washirikina tele
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 Ай бұрын
UISLAM HAUTUMII MAJINI KABISA, NI YEYE TUU HUYO Nikweli huyu amepotea kabisa mungu amrudishe ktk njia ya haki. Jini hawezi kukulinda wakati yemwenyewe ni kiumbe dhaifu. Allah anasema ktk quran Akiwaambia wanaume wa kibinadamu walivyotafuta ulinzi kwa wanaume wa kijini allaha akasema wamewazidishia madhambi hii ni hatari sana Ayah ni hii وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi
@user13375
@user13375 Ай бұрын
​@@Shuu.Ashehk wenu huyo acha kumkataa
@hassansingano1150
@hassansingano1150 Ай бұрын
Nabii Suleiman alikuwa akiwatumikisha majini atakavyo. Kwa iyo, tukae chini tusome.
@user13375
@user13375 Ай бұрын
@@hassansingano1150 huyo ni seleman wa kwen ,wa bibilia hakuwa ivo
@pascalmgina
@pascalmgina Ай бұрын
Sheikh anatangaza biashara
@abuubilal2646
@abuubilal2646 Ай бұрын
Huyu mganga sio shekhe
@Ngendakumana_
@Ngendakumana_ Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kwanijini ndiokitugani😅😅😅😅 anakufagaaa😂😂😂😂😂
@user-ts1kz1lw9p
@user-ts1kz1lw9p Ай бұрын
Nimefahamu kisomo chako cha masaa yote hakikusaidia mpaka ulipotaka msaada wa Majini kwa time ilioiweka mwenyewe
@shabanhussein5366
@shabanhussein5366 25 күн бұрын
nakuombea duwa dokta sule saidia watu, wanao kuona ufai wapo wanakuona una faa.
@lordenoughforme4417
@lordenoughforme4417 Ай бұрын
Mushrik mkubwa
@AbubakaryAbdallah
@AbubakaryAbdallah Ай бұрын
Sheikh samahan lkn ila kwa hap shirk imeingiaje
@GSaleh-xr3vn
@GSaleh-xr3vn Ай бұрын
Kama kweli unatumia majina ya Allah kwann usiyataje au ni kichaka tu chakujifichia tumuogope Allah
@allycux1221
@allycux1221 Ай бұрын
Ayo majina yapo bro shida akiyataja watu wata umizana hata mimi nime yambiwaga kweli ukitaka ndakwambiya ila ndakupa shurti ili usije kumiza watu
@GSaleh-xr3vn
@GSaleh-xr3vn Ай бұрын
@@allycux1221 naomba nami unipe elim.Mtume anasema nifikishieni walau aya moja na Mungu anasema wala msiuze aya zangu kwa thamani ndogo ya kidunia nakuomba unipe elim
@bosskenya123
@bosskenya123 29 күн бұрын
So huyu n mgaga?
@alexmatheka8771
@alexmatheka8771 22 күн бұрын
Na si mnasema majini n wasaidizi wenu😂😂😂😂😂imekua aje
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 Ай бұрын
ILA DR SURE MIAKA YOOOOTE HATUKUJUI LEO UNAJIFICHUA,
@cryptoboy-5
@cryptoboy-5 Ай бұрын
wew siuneshika smart phon juzi
@hassansingano1150
@hassansingano1150 Ай бұрын
Ni vigumu sana kumuelewa Dr Sule. Sule ni kichwa. Kuhusu majini, mbona Nabii Suleiman alikuwa akiwamiliki na kuwatumikisha, ajabu nini? ,
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 Ай бұрын
@@cryptoboy-5 ndio,sio juzi tu ehe shda nini?
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 Ай бұрын
@@hassansingano1150 hata nabii Muhammad swallallah alayh wasallam,alikua na wake 9,wee unaruhusiwa? Nimswadiq kauli yake iliuchawi ufanyike ni razma jni lihusishwe, Jini hatumikishwi na mwanadamu ila ni shetani, Ima kuna habar mtume katumikisha jn ktk shughli zake? NYINYI NDO MNASABABISHA WASOMA QUR ANI WAONEKANE WACHAWI,
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Ай бұрын
@@hassansingano1150 labda Suleiman wa mchongo wa Qur'an lakini yule wa Biblia hakuwai kutumia majini.
@rashdabdulazizi4193
@rashdabdulazizi4193 Ай бұрын
Wa Afrika elimu ndogo ndiomaana kila anaefanikiwa wanasema mshirikina,freemason,mwizi,mchawi,kumbuka njia za mafanikio ni nyingi kuna halali na haram nijukumu lako kuchagua upite na ipi
@Nassir-cl3bt
@Nassir-cl3bt 26 күн бұрын
Doctor sule ywatoa elimu watu awajamuelewa kbsa na ni ukosefu wa elimu atuna walahi
@binwasiumbanga9256
@binwasiumbanga9256 Ай бұрын
Miaka 24 huyo mtoto kijana?
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Ай бұрын
Kwenye bible,tiba! Vipi kuhusu qur an,Fiqh,hadith au upande huo hauna kitu wewe unajua bible na majini2?
@user-wo9zf6oo4j
@user-wo9zf6oo4j 4 күн бұрын
Ustadhi sule naomba unijaliye niwe mwanafunzi wako kwenye tiba japo niko Burundi nitashukuru nikikubaliwa ombilangu
@fatumatandika6220
@fatumatandika6220 Ай бұрын
Mimi hata freemason nilikuwa siamini kumbe vipo na yeye tutamuelewa siku moja acha atoe darsa
@MohamedRashid-ob9nq
@MohamedRashid-ob9nq Ай бұрын
Huyu ni tapeli tahadharini
@amosethantheking8815
@amosethantheking8815 Ай бұрын
Dini yenu ni ya majini, siyo utapeli bali Quran imetoka kwa majini..
@IssaAli-wz5jh
@IssaAli-wz5jh Ай бұрын
​@@amosethantheking8815Endelea kujidanganya ipo siku utajuwa wapi ilikotoka Qur an we subiri tu.
@adamally8791
@adamally8791 20 күн бұрын
​@@amosethantheking8815Kuwa na heshima wewe nani alikuambia QURAN imetokea kwa majini😡, Tulia ujifunze wewe
@KAIPAAA3211
@KAIPAAA3211 Ай бұрын
Wasomi wanajuwa huyu Sure ni muongo taper sana kawadanganya watu kuwauzia pete zauongo pumbavu
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Ай бұрын
NAUNGA MKONO HOJA--.KAMA HUAMINI KAA KUSHOTO HUJAITWA
@sleyumngolo
@sleyumngolo Ай бұрын
Ili kazi ya mungu ifike vzr lazima upingwe na wengi saiv dr sule ameanza kufanikiwa sasa
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb Ай бұрын
Kwenye majini kuna kazi ya Mungu acha uongo
@lilmojr7
@lilmojr7 Ай бұрын
Huyu ameanza kufanikiwa kwenye mambo ya ushetani sio mambo ya mungu chunga kauli yako ndugu yangu usimsifie aliepotea muombee mungu amrudishe kwenye mstari sahihi
@user-hc8fi9lc6t
@user-hc8fi9lc6t Ай бұрын
Aswari hawana hayo ila bakwata Mambo yenu
@user-vr6lu8tq1n
@user-vr6lu8tq1n Ай бұрын
Njaaa
@Mteule1010
@Mteule1010 Ай бұрын
Aliyesikia KIBIRITI UPELE gonga like hapa.
@simonndirangu336
@simonndirangu336 Ай бұрын
Listening from Kenya malindi.. hii sijasikia
@SayakuluAyubu-dy4wy
@SayakuluAyubu-dy4wy Ай бұрын
Musikitiwasuleimani wanautaka wakirsto ulijengwa na majini ,we mjinga kasome
@jamesnjiru5928
@jamesnjiru5928 Ай бұрын
Ndio kwa quoran sio kwa bibilia.
@myself4128
@myself4128 Ай бұрын
Dini ya Uislamu inahubiriwa na waganga wa Kienyeji,Uislamu na Mapepo damu damu!ushirkina na uchawi ni sehemu ya uislamu! Mwisho wenu unajulikana endeleeni Kuongopeana!Mbinguni hakiingii kichafu
@user-uf6qf9lx4y
@user-uf6qf9lx4y Ай бұрын
Wewe hujui usemalo
@seifsaid9905
@seifsaid9905 Ай бұрын
Umepigaje hapo mkuu mara kufa mala kupooza ahahaha kwer we ni .....
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Ай бұрын
Sule wewe nimganga ushekhe ulishauweka bench zamani sana nakama umeamuwa kufata njiya hiyo sule utakuja kujuta mbele ya mungu
@MubarakDiis
@MubarakDiis Ай бұрын
ASalaam aleikum naomba namber ya Dr sulee
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js Ай бұрын
Mh! Atari km kwelii
@mohdali2408
@mohdali2408 Ай бұрын
Sheikh huo sio uisalam tulio jifunza, ila Munaiga wakristo kupata kipato
@RashidAbdallah-vo8bi
@RashidAbdallah-vo8bi Ай бұрын
Sule nakuamini
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Ай бұрын
Umeshapotea baba
@MohamediOmari-nz4vv
@MohamediOmari-nz4vv Ай бұрын
Soma muelewe sio kuongea vitu amuelewi
@hassansingano1150
@hassansingano1150 Ай бұрын
Kuna kitu Dr Sule aliwahi ongea, alisema **Nabii Suleiman alipewa uwezo na Mungu kuwatumikisha Majini atakavyo**, kwa iyo, anayo sema Sule kiukweli inahitajika elimu, sio kupinga tuuu.
@FarajaMtavangu
@FarajaMtavangu Ай бұрын
waislam ntaongea mengi lakin dini yenu Haina msimamo inajipingapinga saaaaaaana kiundani inatisha ila kama Allah ndiye MUNGU wenu basi Allah na YAHWEH ni miungu miwili tofauti ila mwisho ndo huu soon Kila mtu atajionea hakutakuwa na wakusimuliwa
@user13375
@user13375 Ай бұрын
Hayanaga Mungu hayo ,maabudu majini
@babajay3445
@babajay3445 Ай бұрын
Sawa kama sisi waabudu majini nyie mnaabudu ushoga mbona hata papa alisema
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 Ай бұрын
Ukiingia Paradiso ufunge mlango na wenye utatu wenzako
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy Ай бұрын
Nyie ndo mna mungu, wafungisha ndoa za jinsia moja na kuutangaza ushoga Duniani na Israeli ndo makao makuu ya ushoga na PAPA ndio shoga mkuu wenu
@omigrodrasnet7638
@omigrodrasnet7638 22 күн бұрын
Wasiomwabudu yesu hawana mungu
@CashKassim
@CashKassim 3 күн бұрын
Sule ww ni hatari kwatafakuri tupe elimu hayo madini tuponye fikra
@chrithicksambo2287
@chrithicksambo2287 23 күн бұрын
Kingine umesahau mwanasiasa aliyekuwa mwislam anakuwa mwizi na mzururaji 😂
@issachina9443
@issachina9443 Ай бұрын
😂huyu mndengereko ni shidah allah amuifadhi
@MohammedSaid-tf5qc
@MohammedSaid-tf5qc Ай бұрын
Wandege 🌟 mashaallaah kusoma raha istikh daamulkuddaam inafaaa njooni Misri huku mutiwe adabu kielimu na madukturu kutumia majini ktk kheri yafaaa
@abdulazizkassim775
@abdulazizkassim775 Ай бұрын
Comoro fani ya roukiyat hawayitabouwi vizuri ndiyo mana aliwadaganya
@mariyammariyam1454
@mariyammariyam1454 Ай бұрын
Wivu huo😮😮
@mariyammariyam1454
@mariyammariyam1454 Ай бұрын
Kumponda sule ni husda dumu sele ktk nguvu yamungu
@abdulazizkassim775
@abdulazizkassim775 Ай бұрын
@@mariyammariyam1454 mimi nampenda dr sule katika maelezo yake ya sayansi na hoja za bibilia Lakini tatizo lake moja tou ; anataka kuingiya katika fani zote nayeye hazi wezi , fani zakusomeya watu roukiyat n'a mambo ya sheria ya dini . Abaki tou katika hoja n'a sayansi (dawa labda,...) Machallah napenda sana mdahalo abawo dr sule yupo Anajuwa kabissa dini nyingi na kuchambuwa vizuri
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 Ай бұрын
Nikweli huyu amepotea kabisa mungu amrudishe ktk njia ya haki. Jini hawezi kukulinda wakati yemwenyewe ni kiumbe dhaifu. Allah anasema ktk quran Akiwaambia wanaume wa kibinadamu walivyotafuta ulinzi kwa wanaume wa kijini allaha akasema wamewazidishia madhambi hii ni hatari sana Ayah ni hii وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi
@BakariMbega
@BakariMbega Ай бұрын
Umevunja bendi
@JumaMhafigwa-ic8ff
@JumaMhafigwa-ic8ff Ай бұрын
Na anaebisha anitafute mm nakubaliana na Docter Sule ni mkweli mm nipo chanika zingiziwa ila sitaki kujitangaza mm namtoa jini bila mtu kuanguka wala kumfusha dawa mm namuita jini na lazima aje ninayo elimu ya majini
@RichardHenjewele-gs8rk
@RichardHenjewele-gs8rk 24 күн бұрын
Kumbe bibiria kitabu tukufu
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj Ай бұрын
Kumbee juix imeshia 😂😂
@israelmkaka2807
@israelmkaka2807 Ай бұрын
Wachawi mmekutana
@medinaser9712
@medinaser9712 Ай бұрын
Tapeli mkubwa
@saidjelani1566
@saidjelani1566 Ай бұрын
Mrongo mkubwa tapeli tuu
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 Ай бұрын
Hakunaga majini wema
@japhetmsafiri
@japhetmsafiri Ай бұрын
Jini ni jini tu .....hamna jini zuri wala baya
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 7 күн бұрын
Toa andiko
@user-eb2fo6xq4t
@user-eb2fo6xq4t 19 күн бұрын
Yani we ni mwehu hujui kitu maji yapo na yanafanya kazi na yanatumwa we Fala wa wapi wewe
She ruined my dominos! 😭 Cool train tool helps me #gadget
00:40
Go Gizmo!
Рет қаралды 63 МЛН
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 35 МЛН
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
WHO DO I LOVE MOST?
00:22
dednahype
Рет қаралды 79 МЛН
MAJINI WA DK SULE SIO WEMA USIMTETE || MAJIBU KWA BABA KIR'WASHA || Muhammad Bachu.
1:04:29
KISA CHA DEREVA LORY,ALIVYOKUTANA NA FREE MASON USIKU WA MANANE SAFARI ZA KONGO
38:52
FAHAMU KUHUSU MAJINI YANAYOWEZA KUKUPA PESA NA UTAJIRI DR SULLE
21:12
NENO LA KWANZA LA NABII NUHU KATIKA KUTOA DAAWA // SHEIKH OTHMAN MAALIM
47:12
She ruined my dominos! 😭 Cool train tool helps me #gadget
00:40
Go Gizmo!
Рет қаралды 63 МЛН